Kongole chekwa chekwa vigogo wetu wa lugha! 👏 👏 Kwa kweli sichelei kuwavulia kofia maghulamu kwa mabanati wa shule ya Kijani kwa jinsi wamejifunga kibwebwe na wanavyojisatiti kuzimanya na kujieleza kikamilifu katika lugha zote ambazo halmashauri ya usimamizi wa shule yetu imeruhusu zifunzwe humo! 🎉 Heko wanakijani kwa ujumla kutoka kwa wakurugenzi, wakufunzi hata wanagenzi! Jinsi ninavyojihisi mwenye bashasha na majivuno kujitambulisha nayo! Kila la heri katika jitihada zenu daima ndilo dua langu kwake Maulana Rabuka Rahimu Mteremezi wetu. 🙏
🎉🎉🎉
Hongera
Kongole chekwa chekwa vigogo wetu wa lugha! 👏 👏
Kwa kweli sichelei kuwavulia kofia maghulamu kwa mabanati wa shule ya Kijani kwa jinsi wamejifunga kibwebwe na wanavyojisatiti kuzimanya na kujieleza kikamilifu katika lugha zote ambazo halmashauri ya usimamizi wa shule yetu imeruhusu zifunzwe humo! 🎉
Heko wanakijani kwa ujumla kutoka kwa wakurugenzi, wakufunzi hata wanagenzi! Jinsi ninavyojihisi mwenye bashasha na majivuno kujitambulisha nayo! Kila la heri katika jitihada zenu daima ndilo dua langu kwake Maulana Rabuka Rahimu Mteremezi wetu. 🙏
🎉🎉🎉,hongera !