Jemedari kweli umebadilika leo umeongelea mpira na c ushabiki nimependa sanaaaaaa kweli Aziz analeta utoto sana tena sana hayuko serious kabisa yy ndio ametukoseha magoli mengi kwa kweli
Aziz ki kaleta utoto upi hiv wale mazembe mliwaona walivyokuwa wanamkaba jamaa.mpk mwisho wakamuumiza, mnakosea aziz kapambana sana kifupi wachezaji wamewawin mazembe
JEMEDARI HICHO UNACHOKISEMA HATA MIMI NILIKUWA NACHUKIA NIKIONA WACHEZAJI WANACHEZA MIPIRA YA NYUMA HUKU TULIKUWA NA UWEZO WA KUFUNGA GOLI 6,KHS WASUDAN ONDOA HOFU TUNAKULA TU,KHS AZIZ PIA NI KWELI ANAJIFANYA ANAREMBA HUKU WANZAKE WAPO HUO NI UZEMBE SANA TENA SAMA.
Simba damu , unajua mpira , Yanga akikosa kikosi cha Gamondi alichokuwa anapanga matokeo Kimataifa yanakuwa magumu, ukitoa Kibwana waliobaki ni first eleven ya Gamondi
😂😂😂😂 yani mchambuzi mzima hajui kama kigezo cha kwanza ni points na kigezo cha pili ni head to head bayo magoli mengi wala hayana kazi tena yanga kama watalingana alama na Mc Alger kinachotakiwa ni yanga kumfunga Mc Alger goli 3 bila na wanafuzu moja kwa moja
Hizi mechi haziko ivyo Mc alger tukimpiga zaidi ya gol2 nae katoka Wanaangalia tulivyo kutana Kama point tutakua sawa Sasa awa watakua sawa nani Waende zao😅😅😅
Nashangaa eti lichambuzi na halijui chakwanza ni points harafu inafata Head to head badala awambie yanga siku yakucheza na Mc Alger ndio goli zinatakiwa ziwe nyingi sana zaidi ya 3
We ndo ulikuwa unasema yanga inanunua Match za league,kimataifa pia GSM yupo ananunua match na anadhamini league ya mabingwa toka hapo unakiongea nini?
Jemedar huwa sikupend lakin leo umeongea point kuhusu Aziz k. Pamoja nakupata magol meng ni muhimu sana . broo umeanza mwaka mpya good❤
Leo kaka umeongeya kimpila ❤❤
@@ahmedburhan5104 Hamna kitu amekosa pakutokea sio kwamba haelewi anajizima Data hana Cha kuituhumu yanga.
😂😂😂😂😂😂 nakweli aseee
Yesssss
Jemedari kweli umebadilika leo umeongelea mpira na c ushabiki nimependa sanaaaaaa kweli Aziz analeta utoto sana tena sana hayuko serious kabisa yy ndio ametukoseha magoli mengi kwa kweli
Aziz ki kaleta utoto upi hiv wale mazembe mliwaona walivyokuwa wanamkaba jamaa.mpk mwisho wakamuumiza, mnakosea aziz kapambana sana kifupi wachezaji wamewawin mazembe
❤❤❤❤❤ mola axhukululiwe wananchib🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaongea point sana jemedari me mwenyewe wameniboa wachezaji wa yanga kulikua na uwezekano wakuwapiga ata goal ata 5
Hazina maana yoyote sema huyo jemedari hajui kanuni za mpira yanga wanaetakiwa kumfunga goli nyingi ni Mc Alger sio mazembe
Ni kweli Jemedari leo umeongea points sana pacome na Aziz Ki wamebowa sana mechi tulikuwa tuwafunge hata goli 7
Jemedari leo ameongea vizuri, Yanga wamepoteza nafasi nyingi, lazima wawe makini kutumia nafasi wanazopata
Siku zote Huwa sikuelewi ila Leo Nimekuelewa sana sana
Mwambieni jemedari kwenye suala la kulingana point huwa hawa angaliii goal differences wana angalia head to head basi
Hapo kwenye slaggish za azizi ki nahunga mkono hoja mzee kuna muda decision wise anatuangusha sana.
JEMEDARI HICHO UNACHOKISEMA HATA MIMI NILIKUWA NACHUKIA NIKIONA WACHEZAJI WANACHEZA MIPIRA YA NYUMA HUKU TULIKUWA NA UWEZO WA KUFUNGA GOLI 6,KHS WASUDAN ONDOA HOFU TUNAKULA TU,KHS AZIZ PIA NI KWELI ANAJIFANYA ANAREMBA HUKU WANZAKE WAPO HUO NI UZEMBE SANA TENA SAMA.
Sawasawa kabisa Yanga ilipaswa kumfunga goli nyingi...mbeleni zinasaidia!!!!!!
Aucho ni mwamba sana ..,
Hii ndo gusa achia twende kwaoo
Jemedari said na Wilson oruma mmepewa Hela muichafue yanga Aya Sasa Kiko wapi 😅
Huyu mjinga. Sai goal difference hatuangalii tunaangalia head to head
Simba damu , unajua mpira , Yanga akikosa kikosi cha Gamondi alichokuwa anapanga matokeo Kimataifa yanakuwa magumu, ukitoa Kibwana waliobaki ni first eleven ya Gamondi
Muwe mnawaambia wachezaji hayo mambo sasa
Jemedar unaona haibu mahana kila SK yanga unaiombea mabaya
😂😂😂😂 yani mchambuzi mzima hajui kama kigezo cha kwanza ni points na kigezo cha pili ni head to head bayo magoli mengi wala hayana kazi tena yanga kama watalingana alama na Mc Alger kinachotakiwa ni yanga kumfunga Mc Alger goli 3 bila na wanafuzu moja kwa moja
Hiyo head to head. Tayari tulipigwa. Mechi ijayo tukiwapiga kwa kipigo kama walichotupiga inakuwaje?
Ungeingia ucheze wew
Haya mashindano yanazingatia head to head na GD
Jemedari roho mbaya 😂😂
Haya mashindano wanaangalia head to head,sio wingi wa magoli
mwambien wanaangalia head to head sio goal difference
Hiyo head to head nayo tutakutana lakini
Na tayari tulipigwa
Hawezi kuacha kuikosoa tim kubwa huyu muuza sumu😂😂😂😂
amejalibu kuichafuwa YANGA kashindwa sasa anakaa kwenye mfumo 😂
Hizi mechi haziko ivyo Mc alger tukimpiga zaidi ya gol2 nae katoka Wanaangalia tulivyo kutana Kama point tutakua sawa Sasa awa watakua sawa nani Waende zao😅😅😅
Kwenye kufunga magoli mengi hapo tunakubaliana kabisa leo hii mechi ilitakiwa goli 5 kabisa. Aziz Ki kafeli baadhi ya nafasi.
Leo umesema Ukweli Kwa Aziz Ki
Akuna kitu wakigongana point na MC basi wataangalia H2H na pia iyo sio basketball kusema unafunga tu kwamkono.
Leo saa mbovu imesema.ukweli kulikuwa na goal hata Saba leo
Jemedary leo unasemaje tambie sasa
We jamaa huwaga mkweli.....
Hata na mimi nilitegemea yanga washinde goli Nyingi ili kupunguza ile negative goal difference
Wanaangalia head to head na cyo goal difference 😂😂, mchambuzi hajui kanuni
Leo kiswahili kimenyooooooka
Jemedar Caf Cha kwanza wanaangalia Head to head alafu ndio magoli yanafuata.
Kikubwa Yanga amfunge mc Alger goli tatu.
Nashangaa eti lichambuzi na halijui chakwanza ni points harafu inafata Head to head badala awambie yanga siku yakucheza na Mc Alger ndio goli zinatakiwa ziwe nyingi sana zaidi ya 3
Siku zote unaongea pombe but to day safi sana
Amepoa kwa sababu huwa anaisema vibaya Yanga
Huyo anaongelea mpira tu tena miaka yote ukiwa shabiki oya oya ambae hujui mpira lazma usimuelewe
Kwendraaaaaaa mkaanga sumu
Huyu Jamaa ana chuki kali sana dhidi ya Yanga
Anaongea lkn hana raha vp leo mechi haijabetiwa maana wewe ndo unatoaga ushahidi😅😅😅😅😅
JEMEDALI Hana furaha kabisa
jemedari na mashoga zako mnaumia moyoni wanafiki wa kishoga
Ww niwahivyotu usijipendekeze najua unaongea vizuri mwisho najua utaharibu
Mchambuzi wa hovyoooo
Mbona jemedali amepoa xana
Haya mashindano hayana idadi ya goal bhn
We ndo ulikuwa unasema yanga inanunua Match za league,kimataifa pia GSM yupo ananunua match na anadhamini league ya mabingwa toka hapo unakiongea nini?
Acha chuki
@elickmaendeleo1141 chuki mnazo nyinyi madunduka yanga inapofanya vizuri kwenye league mnalalamikia udhamini wa GSM nyie marefa FC mbebeo.
Yanga anawezaje kununua mechi, wasioipenda Yanga wataipenda tu. Pokeeni maua wananchi 🎉🎉🎉
Yanga wajinga sana,hasa pacome,yaan anacheza kijinga sana,badala watengeneze magori
Huna la kukosoa govinda wewe