Wenye masikio sikieni ambavyo Roho aambieni makanisa! Mshindi atavikwa taji la uzima. Balikiwa sana Mchungaji.Nailitamani saana kujuwa maana ya maandiko haya na sasa naanza kuelewa.
Yahitaji Neema ya Mungu kwa tuliowengi kuelewa mambo haya..binafsi nachanganyikiwa kabisa hata sielewi nitafunguliwa lini. Nikifuatilia Quran, Biblia, Wahubiri wa kimataifa na wakitaifa, historia ya binadamu na ukombozi wa fikra za mwafrika, tafiti za kuhusu Biblia na Quran..yote hayo najikuta njia panda..Natamani kupata mwongozo.
Umeongea ukweli kwabisa nimelewa vizuri Mungu akubariki sana ili andiko umelifafanua vizuri wakristo tushikamane na Mungu wa kweli maan a hata Biblia inasema kweseni mkiomba maan siku yaja mbaya kwetu
Asante mtumishi kwa neno. Lakini Mimi Nina mawazo tofauti na wewe kwenye zile siku 1260. Kwa upande wangu zile siku ni sawa na miaka 3 na unabii wa danniel 9 lile juma la mwisho la miaka 7 ambayo mpinga kristo atakuwepo duniani. Kwa miaka 3 na nusu kanisa litakuwa protected against him but baada ya Ile miaka 3 na nusu atalishinda kanisa ataweka chukizo la uharibifu. Mwisho wa hilo Juma ndipo Yesu atakaporudi. Same image imetumika katika wale mashahidi wawili ambao ni makanisa mawili la wayahudi na mataifa kwa siku 1260 sawa na miaka 3 na nusu walipewa nguvu ya kuhubiri na kufanya miujiza then mpinga kristo atawashinda kwa miaka 3 na nusu iliyobaki. Then kanisa litanyakuliwa na mapigo ya mwisho ya hasira za mungu kwa wote waliokuwa na alama ya mnyama kwenye paji la uso.
This prophecy is about that last week of. Daniel prophecy ambapo mpinga kristo atapewa nguvu ya kulidhuru kanisa kwa miaka 3 na nusu. Unabii wa Daniel 9 lile juma la mwisho mpinga kristo atafanya agano na wengi kwa juma moja miaka 7 na katikati ya juma hilo atafanya chukizo lenye kuleta uharibifu. Hii inamaanisha ataweka sanamu katika hekalu na kulazimisha watu wote waliabudu. Atalishinda kanisa then baada ya juma hilo yesu atarudi.
Mchungaji Yesu mbona alitaka kuuawa na Herode? Na sio serikali ya kirumi maana kama ingelikuwa ni serikali ya kirumi mbona alirudi ikiwa bado serkali hiyo hiyohiyo inatawala???
mpendwa kanisa nimwanamke kweli lilikimbilia nyikani kwamda huo nikweli ila joka aliludi kupambana na wote wnaolitii neno la bwna ni kanisa Gani tena wkt limehifadhiwa nyikani ?
Imeldis Sogorya we ni binadamu au wew ulitaka akufundishe vip uelewe na je niwapi huyu mtu kakosea? Wew unaijua biblia au kunamtu huwa anakuambia alivyosoma? Nakama unaijua ukweli tufundishe
😇😇natamani Siku moja tukutane kwa Bwana afu umwambie Bwana Yesu kuwa huyu mtumishi ni KENGE,endelea kutukana tu watu maana Mwenyezi Mungu ametupa Uhuru sisi viumbe wake ndo maana tunashetani hata Leo.
Wewe nihatari. Mafundisho mazuri safisana.unanifunguwa maco.barikiwa san
Ubarikiwe pia mtu wa Mungu.saidia kusambaza mahubiri haya na Bwana akubariki
Wenye masikio sikieni ambavyo Roho aambieni makanisa! Mshindi atavikwa taji la uzima. Balikiwa sana Mchungaji.Nailitamani saana kujuwa maana ya maandiko haya na sasa naanza kuelewa.
Amina
ubarikiwe kwa somo zuri kazi yako ni njema
Ubarikiwe sana nilikuwa natafuta. Parmi ya zimoja adiko. Mungu akubariki
Amen, kila siku tufuate na kulinda katiba ya mungu ubarikiwe mchungaji na roho mtakatifu wa mungu awe nawe.
Ameena na ubarikiwe mtumishi wa mungu
Wakristo wenzangu tuamini, tutubu, tujifunze, na tuiamini injili.
Mungu yupo.
Amina ndugu Simkwayi
I real love this because it teachers me lot
Naomba kumfahamu Mumishi huyu wa Mungu aliyefundisha masomo haya tafadhali
PR David Mmbaga
Amen,MTU wamungu,umenifunza nenokweli barikiwaxana,mchungaji
Mungu azidi kukufunulia...thank you Jesus for everything.
Amina
Nainjoy ,naelmika ,ni Kama nko wapi Yan najickiaa fraha
Somo ili limenifuza mengi abayo sikua najua MUNGU akubariki sana mchungaji
Thanks so much paster you are a blessing to so many may God bless you so much
i know I'm kinda off topic but do anybody know a good site to stream newly released tv shows online ?
Pastor unatubariki sana! MUNGU AKUBARIKI. Naomba uzungumzie UNABII WA GOGU NA MAGOGU ule wa EZEKIELI. Amen!
mungu akubaliki unae sikiliza unabii ahsante!
Hubiri neno halisi, usihubiri CHUKI ndgu!!!
Truth to practice purity in the morning.
Ameeeen ameeen MUNGU atabaki kua MUNGU tuu
Ooh Glory to god
Yahitaji Neema ya Mungu kwa tuliowengi kuelewa mambo haya..binafsi nachanganyikiwa kabisa hata sielewi nitafunguliwa lini. Nikifuatilia Quran, Biblia, Wahubiri wa kimataifa na wakitaifa, historia ya binadamu na ukombozi wa fikra za mwafrika, tafiti za kuhusu Biblia na Quran..yote hayo najikuta njia panda..Natamani kupata mwongozo.
Salum mkenga, Soma biblia af mwite roho mtakatifu hautajutia maamuzi ...
Umeongea ukweli kwabisa nimelewa vizuri Mungu akubariki sana ili andiko umelifafanua vizuri wakristo tushikamane na Mungu wa kweli maan a hata Biblia inasema kweseni mkiomba maan siku yaja mbaya kwetu
Yaaan nilikuwa natafuta tafsiri ya haya maandiko barikiwa sanaa
Barikiwa sana Dada Selina
Amen mcungaj ubarikiwe
ubarikiwe mtumish kwa somo zuri
Zamda Salumu barikiwa sana
SAMWEL YAMBA Amina barikiwa pia mtumishi
Nabarikiwa sana Mungu azid kuku tumia vyema katika kazi yake na akupinganie
MUNGU hakubariki sana
Isonge mbele injili ya Yesu!
Napenda xana kusikiliza mawaidha haya
Mungu Akubariki sana
TUNABARIKIWA SANA ENDELENI KUTUFUNULIA MENGI KATIKA BIBLIA ILI TUBALIKIWA ZAIDI AMEN....
Barikiwa sana
Upo vizuri mtumishi
Amen amen 🙏🙏🙏
Ni kweli kabs mtumishi
Ahsante mchungaji,Swali kama mwanamke huyu ni kanisa je nikanisa gani ambalo lilimzaa Yesu?
Kabla ya Yesu kulikuwa na kanisa
PR somo limenibariki
Mungu akubari MTU wa mungu kwakaz
Aminaaa
Upo sahihi
Ukweli kabisa
Mungu akubari sana
Amen, Mtumish wa Mungu
Asante mtumishi Wa Mungu
mbarikiwe sana ninyi
Ashukuriwe mungu wetu Wa mbinguni
Ndgu Mhubiri,,,Joka sio utawala wa Rumi bali ni ibilisi na shetani>>>ona Ufun. 20:2
Nimepata nilichokua nakitafuta
Kazi yako njema
Bwana Yesu na ainuliwe daima.Barikiwa sana.
amen mutumishi wa Mungu
Mungu akubariki sana mtumishi ubarikiwe sana
Amina
Wizi mtupu hana lolote..
mungu akubariki mtumishii
Ameen
Barikiwa kwa mafundisho haya maana ni kweli na amina Mimi kama msomi wa Theo nimekukubali asilimia 100.
Barikiwa sana ndugu WMM
Amina sana
Amen 🙌
ubarikiwe sana
Bariki mtumshi
hakika nabarikiwa sana
Ameni barikiwa sana mtumishi
ok jina la bwana lihimidiwe mungu akubariki sanaa
Ameen
Kuna baadhi ya watu wachache ndio wanaielewa hii huyu ni bikra maria haswa kwa wale wacakolik na legion maria
Uhame kwenye kanisa kwa sababu ya tarehe y kuzaliwa yesu utakuwa mwehu wa imani
Hajui kitu
Asante mtumishi kwa neno. Lakini Mimi Nina mawazo tofauti na wewe kwenye zile siku 1260. Kwa upande wangu zile siku ni sawa na miaka 3 na unabii wa danniel 9 lile juma la mwisho la miaka 7 ambayo mpinga kristo atakuwepo duniani. Kwa miaka 3 na nusu kanisa litakuwa protected against him but baada ya Ile miaka 3 na nusu atalishinda kanisa ataweka chukizo la uharibifu. Mwisho wa hilo Juma ndipo Yesu atakaporudi. Same image imetumika katika wale mashahidi wawili ambao ni makanisa mawili la wayahudi na mataifa kwa siku 1260 sawa na
miaka 3 na nusu walipewa nguvu ya kuhubiri na kufanya miujiza then mpinga kristo atawashinda kwa miaka 3 na nusu iliyobaki. Then kanisa litanyakuliwa na mapigo ya mwisho ya hasira za mungu kwa wote waliokuwa na alama ya mnyama kwenye paji la uso.
This prophecy is about that last week of. Daniel prophecy ambapo mpinga kristo atapewa nguvu ya kulidhuru kanisa kwa miaka 3 na nusu. Unabii wa Daniel 9 lile juma la mwisho mpinga kristo atafanya agano na wengi kwa juma moja miaka 7 na katikati ya juma hilo atafanya chukizo lenye kuleta uharibifu. Hii inamaanisha ataweka sanamu katika hekalu na kulazimisha watu wote waliabudu. Atalishinda kanisa then baada ya juma hilo yesu atarudi.
Mchungaji Yesu mbona alitaka kuuawa na Herode? Na sio serikali ya kirumi maana kama ingelikuwa ni serikali ya kirumi mbona alirudi ikiwa bado serkali hiyo hiyohiyo inatawala???
Amen
Mungu akujaze mema
Amen
jina la BWANA liinuliwe
Amina sana.ubarikiwe sana
Eehh mm nilikuwa naelewa kwamba haya mambo hayajatokea bali yatakuja kutokea .nikijua Yohana kafunuliwa tu .ndio itakayokuja kutokea
mpendwa kanisa nimwanamke kweli lilikimbilia nyikani kwamda huo nikweli ila joka aliludi kupambana na wote wnaolitii neno la bwna ni kanisa Gani tena wkt limehifadhiwa nyikani ?
Nimsaidie tu mwanamke huyu ni Israel na sio kanisa
Tunaposoma Kanisa inamaanisha watu wa Mungu
Amima
Je,yohana alitabiri mambo yajayo au yaliyopita baada ya yesu kuondoka duniani?
Alionyeshwa yaliyopita, akatabiri yaliyokuwepo na pia akatabiri yajayo.
Hujui biblia kenge wewe. Huna Roho Mtakatifu huwezi kutafsiri biblia. Kwenye ukweli unapindisha. Muombe Roho Mt. Akusaidie kutafsiri Biblia. U know nothing.
Imeldis Sogorya we ni binadamu au wew ulitaka akufundishe vip uelewe na je niwapi huyu mtu kakosea? Wew unaijua biblia au kunamtu huwa anakuambia alivyosoma? Nakama unaijua ukweli tufundishe
Tunaomba utufundishe iliyokweli mpendwa na kama huijui..shame on you maana maandiko yanasema mwenye hekima hutoa maarifa..tupe maarifa
PMP GOSPEL Online aminahhh nashukr kwa mmilik wa hii chanel unawajibik
😇😇natamani Siku moja tukutane kwa Bwana afu umwambie Bwana Yesu kuwa huyu mtumishi ni KENGE,endelea kutukana tu watu maana Mwenyezi Mungu ametupa Uhuru sisi viumbe wake ndo maana tunashetani hata Leo.
@@pmpgospeltv6882Amen
Aminaaa
Amen
Amen
Ujumbe huu pembe mdogo na joka hawapendi ufundishwe.Barikiwa.
Somo nzuri
Amen
Amen
Amen