Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Polisi wanasaka wezi ambao wanaibia maajenti wa Mpesa katika eneo la Athi River

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 сер 2020
  • Maafisa wa polisi katika eneo la athi river wanawasaka washukiwa wawili wa ulaghai waliobuni mbinu ya kuiba pesa kutoka kwa ajenti wa kutuma na kupokea pesa kwa njia ya simu.
    Wawili hao walijifanya wateja na kubadili simu ya ajenti kabla ya kujitumia pesa zote zilizokuwa kwenye simu hiyo.

КОМЕНТАРІ • 17

  • @joyiezpeter1209
    @joyiezpeter1209 4 роки тому +3

    Wakishikwa hakuna mambo ya wapelekwe POLIS STATION , ni mikono yote miwili ikatwe na shoka

  • @josephirungu9468
    @josephirungu9468 4 роки тому +2

    Now my question is, how do they know the pin?

  • @forgivepraisebetogod8196
    @forgivepraisebetogod8196 4 роки тому +1

    Si customer ajichangulie nyanya, Edda hapo hata wewe ulichenzwa

  • @EmmahEmmahh
    @EmmahEmmahh 4 роки тому

    watashikwa tu I've seen this happening na wakatrasiwa

  • @forgivepraisebetogod8196
    @forgivepraisebetogod8196 4 роки тому +1

    Careless mpesa lady, leaving the phone on top of the table secondly why can't the customer apick tomato n pay rather than the mpesa attendant to leave her counter, l blame her for leaving the phone on counter

  • @agieulerohojuu3238
    @agieulerohojuu3238 4 роки тому +2

    Y don't they follow the persom who received the money ?!🤔

    • @thevineyard7149
      @thevineyard7149 4 роки тому

      They are the same using dead people's identifications

  • @pinchesmbuche4354
    @pinchesmbuche4354 4 роки тому +3

    Kwani safiricom can't trail the money. What is the use of having unsecured money transfer system. In a country. And cyber criminals roam free .

  • @rehemasalim4590
    @rehemasalim4590 4 роки тому +1

    maskin pole

  • @yahyahassan5224
    @yahyahassan5224 4 роки тому

    Lakini watajua aje pin

  • @joyiezpeter1209
    @joyiezpeter1209 4 роки тому +1

    Attend to one customer @. a time and don't just leave mpesa mobile that openly .

  • @maryambarayan7599
    @maryambarayan7599 4 роки тому +1

    Inauma I say na ni vijana wadogo.dawa yao nikutiwa upofu

  • @tonyjoseph4721
    @tonyjoseph4721 4 роки тому

    The Mpesa lady is part of the gang,watch her moves,How did the criminals know the exact phone she was using?How careless does someone leaves a phone/Mpesa phone just so close to the customers/strangers reach,and Mpesa security is not that weak ati unachukua simu ya mtu and get access to his/her mpesa account so quick,poorly planned deal

  • @DaveMwangid2015
    @DaveMwangid2015 4 роки тому

    How can the Mpesa girl abandon her main duty of Providing Mpesa service, leave her Mpesa Till phone unattended to go and choose tomatoes for a walk inn customer unless she was part of the heist? She even admits to calling the “ thief” ? What kind of robbery is this?...

  • @dobba78
    @dobba78 4 роки тому

    Sorry my sister aky huyo mtu anaibui aky mwizi wa muchana aky so sad pia ni kama alikuwa na dawa jamini hiyo muda yote tio unajuwa hiyo simu si yako