Upendo Nkone- Mungu Baba

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 лют 2025
  • Dini

КОМЕНТАРІ • 207

  • @kijahhsaidy664
    @kijahhsaidy664 2 роки тому +20

    Iam muslim.. whenever I feel like giving up.. this song comfort and make me stand again..2022 is so hard year for me .. but I believe I will make it.

    • @judithdafa3346
      @judithdafa3346 2 роки тому +3

      God is with you my dear. Keep trusting him☺️🙏🏽

    • @kamaryabdul8059
      @kamaryabdul8059 Рік тому +3

      i hope you’re doing well

  • @immaculatendinda7134
    @immaculatendinda7134 5 років тому +20

    10/1/2020 Niko hospitalini nimelazwa lakini naisi uwepo wako ewe yesu

  • @HoseaKayumbo
    @HoseaKayumbo 13 днів тому +1

    Yesu uwe kwangu daima haijalishi nini ninapitia haijalishi maumivu niliyonayo, haijalishi hapa nilipo, haijalishi ni nimeachwa na watu wangapi🥹, bado ninakuamini Yesu kristo uko kwangu daima Bwana🙌🙏 ohoo Lord naomba uwe wangu daima

  • @Rumayo_006
    @Rumayo_006 Місяць тому +5

    2025 still my Favourite Song🤍

  • @lauramsuka870
    @lauramsuka870 12 років тому +46

    it takes me back in the 2005 ,that moment when you cant even pray,whn i lost both parents....when i felt like my whole world has crashed down on me,this song gave me anew hope,that no matter wht Jesus is there for me

  • @Mrrecklezzzz
    @Mrrecklezzzz 14 років тому +23

    nilalapo
    ndani ya mkapo
    wema wako baba
    bado upo kwangu
    nimezungukwa
    na nguvu zako
    ewe Yesu
    urafiki mwema
    nilalapo
    ndani ya mkapo
    wema wako baba
    bado upo kwangu
    nimezungukwa
    na nguvu zako
    ewe Yesu
    urafiki mwema
    karibu Yesu
    ukae kwangu
    siku zote
    maishani mwangu
    karibu Yesu
    ukae kwangu
    siku zote
    maishani mwangu
    karibu Yesu
    ukae kwangu
    siku zote
    maishani mwangu
    uwe wangu daima
    nikiwa mjane uwe wangu, uwe wangu daima
    nikikosa chakula uwe wangu, uwe wangu daima

    • @estherkoya8410
      @estherkoya8410 5 років тому

      Asante

    • @stephencidosa7716
      @stephencidosa7716 4 роки тому

      Huu Mwimbo unanikumbusha Sana Baba yangu wa Kiroho Apostle Peter Nyaga..Tabata Chang'ombe RGC

  • @imelda4jesus
    @imelda4jesus 14 років тому +13

    haleluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.... BWANA ASIFIWE. NAKUPENDA YESU SANA NA ROHO YANGU YOTE

  • @mickmillyfranci9173
    @mickmillyfranci9173 10 років тому +24

    Nakupenda sana Upendo Nkone Kwani nyimbo zako nizisikiapo natokwa na machozi, Mungu akubariki sana na azidi kukutia nguvu katika utumishi huo,Jipe moyo mkuuuu umeandaliwa taji kuu na Bwana.nakupenda sana ma mam..mwaaaaaaaaa

  • @neemarobert9999
    @neemarobert9999 Місяць тому +1

    Jibu lako kwa christina shusho niliamin ww ni mtu wa Mungu na unaupendo 2025 ❤

  • @benedictokisoja9412
    @benedictokisoja9412 Місяць тому +3

    Alie muona tin white karibu ulike

  • @dianajulius6155
    @dianajulius6155 6 років тому +62

    Tunaosikiliza 2019 tujuane

  • @patriciagodfrey83
    @patriciagodfrey83 6 років тому +4

    huu wimbo hunikumbusha kipindi kigumu na wazazi wangu ila Mungu ametuinua .. wasomjua Yesu wanateseka nimeijua faida ya kumjua huyu Yesu

  • @akothchristinefaith
    @akothchristinefaith 7 місяців тому +3

    Thank you Jesus for helping me to find this song.... I really needed this song

  • @alexlusaka1315
    @alexlusaka1315 Місяць тому +7

    Anaeangalia December 2024
    Mungu mwema sikia maombi yangu

  • @josephinemtei186
    @josephinemtei186 2 роки тому +2

    It's 2022 still blessed with song I remember I sang it when I was in kibosho girls school my friends loved it be blessed my mom

  • @shijajoh5951
    @shijajoh5951 5 років тому +4

    Pongezi sana mama upendo kwan nyimbo hii nmeiskiliza zamani nkiwa mdogo mpaka leo nabalikiwaa

  • @raymondfeleshi506
    @raymondfeleshi506 2 місяці тому +3

    Karibu Yesu uwe wangu Daima, Kwa neema ya Mungu 2024

  • @constanciamosha5144
    @constanciamosha5144 5 років тому +2

    Hakika upako ndani wa wimbo huuu teleee Mungu akubariki upako wa Bwana usipuguke

  • @shaneshane6704
    @shaneshane6704 7 років тому +10

    jaman sina la kusema zaid ya Mungu akubariki, kwa kwel nahc kubarikiwa

  • @emilianazumbe2854
    @emilianazumbe2854 5 років тому +4

    Mungu akubariki upendo nkone tokea nilipoanza kuusikiliza wimbo miakamingi ililuwa mwaka 2006 iloyopita hadi Leo tarehe 23-2-2020 bado nabariliwa

  • @Mrrecklezzzz
    @Mrrecklezzzz 14 років тому +4

    Mungu baba
    uliye mbinguni
    jina lako
    baba litukuzwe
    ufalme
    wako uje
    mapenzi yako
    baba yatimizwe
    Mungu baba
    uliye mbinguni
    jina lako
    baba litukuzwe
    ufalme
    wako uje
    mapenzi yako
    baba yatimizwe
    karibu Yesu
    ukae kwangu
    siku zote
    maishani mwangu
    karibu Yesu
    ukae kwangu
    siku zote
    maishani mwangu
    karibu Yesu
    ukae kwangu
    siku zote
    maishani mwangu
    uwe wangu daima
    nikijaribiwa, uwe wangu daima
    hata nikiteswa, uwe wangu daima
    ninaomba

    • @marrykeza7166
      @marrykeza7166 4 роки тому

      Amen Mungu baba uliye wambiguni jinalako litukuzwe

  • @rukiandunguru9993
    @rukiandunguru9993 5 років тому +3

    Nabarikiwa Sana na nyimbo zako upendo nkone

  • @djalicegyal7916
    @djalicegyal7916 4 роки тому +5

    i grew up loving this song ; may the good Lord bless this musician. Amen

  • @happymushi2219
    @happymushi2219 5 років тому +6

    2020 nani bado tunamtukuza Mungu kwa huu wimbo

  • @flavianmjuni8141
    @flavianmjuni8141 5 років тому +2

    Ubarikiwe sana mama, wimbo unagusa kweli, Mwenyezi Mungu atukuzwe

  • @ndossytumaini85
    @ndossytumaini85 4 роки тому +2

    Ninamwinua Bwana Yesu kila ninaposikiliza huu wimbo, Mungu azidi kukutunza Mtumishi na kukupa mafunuo mapya kila iitwapo leo

  • @bakazafares5783
    @bakazafares5783 5 років тому +2

    Kama unasikiliza huu wimbo 2020, utukufu kwa Mungu, mwambie Mungu asante!!!!

  • @victormwandry100
    @victormwandry100 2 роки тому

    Karbu YESU ukae kwangu siku zote maishani mwangu 2022 karbu YESU uzaliwe upya ndan yangu

  • @gracemwangi9678
    @gracemwangi9678 3 роки тому +1

    Had to come here after we sang this song at Church on Sunday,sooo uplifting

  • @giseleekosila2749
    @giseleekosila2749 6 років тому +9

    Katika magonjwa Uwe wangu daima Yesu. 2019

  • @rukiandunguru9993
    @rukiandunguru9993 4 роки тому +1

    Karibu yesu ukae nami Siku zote maisha mwangu nabarikiwa Sana nyimbo hizi

  • @patrishankya3451
    @patrishankya3451 5 років тому +4

    22/2/2020 wema wko bado uko na mimi 😥😥😥

  • @tanzaniacarschannel6975
    @tanzaniacarschannel6975 Місяць тому

    It is one of the classic and timeless songs for Upendo Nkone.

  • @chelseadiva1072
    @chelseadiva1072 5 років тому +5

    2020 bado tupo pamoja kwa uwezo wa Mungu

  • @immaculatendinda7134
    @immaculatendinda7134 5 років тому +3

    Napenda huu wimbo sana....(from Kenya),..mungu akuinue zaidi..

  • @patriciagodfrey83
    @patriciagodfrey83 6 років тому +2

    karibu Yesu ukae kwangu siku zote za maishani mwangu..uwe wangu daima

  • @annethmalunde144
    @annethmalunde144 5 років тому +3

    Ubarikiwe sana dada Upendo hakika nyimbo yako ni Baraka

  • @haulejastine6298
    @haulejastine6298 2 роки тому

    Nimemwona Yesu akinirudisha kwenye line kupitia wimbo huu,Mungu yupo na anatuhudumia,Nampenda Yesu.

  • @BellaApamo
    @BellaApamo 11 років тому +4

    There is no true loving friend like Jesus
    only If you let Him .

  • @Itsyourgirl_glory
    @Itsyourgirl_glory 2 роки тому +1

    Nimeujua huu wimbo nikiwa darasa la 2 2008 mpaka hivi sasa niko chuo kikuu 2022. Nabarikiwa🔥🔥🔥

  • @qwibisabintibarnabas122
    @qwibisabintibarnabas122 7 років тому +2

    napenda sana pia nyimbo za upendo nikizickia huwa zina nifarij sana ubarikiwe sana na mungu akutangulie kwenye kaz yako

  • @egideiranzij237
    @egideiranzij237 Рік тому

    Yesu karibu kwangu ukaye kwangu siku zote maishani mwangu🙏🙏

  • @HappyMwaigwisya
    @HappyMwaigwisya 8 місяців тому

    Ila upendo nkone una sauti nzuri kwakweli. Huu wimbo huwa naurudiaaaaaa na ule wa Yesu nasogea

  • @lilianfelekeni7771
    @lilianfelekeni7771 4 роки тому +2

    Kwakweli huu wimbo haitaisha hamu kwangu, ninaupendaga sana 2020

  • @mariammapinda6519
    @mariammapinda6519 2 роки тому

    Ubarikiwe sana mama hakika nyimbo zako zinanibariki sana,Amen Amen,Amen,Aminaaaa Yesu nakupenda

  • @giselecubwa4534
    @giselecubwa4534 2 роки тому

    😭😭😭😭 uwe wangu daima Yesu kristo kwa ninayo ya pitia

  • @DavidJohn-k9n
    @DavidJohn-k9n 3 місяці тому

    Nilikuwa Kibasila sekondali 2003 UKWATA,Asante YESU

  • @groliazacharia9854
    @groliazacharia9854 10 років тому

    Nakupenda sana Upendo.wimbo wa Mungu baba huwa kila nikiusikiliza nalia.kisha naanza kuomba.Mungu akutie nguvu mom.

  • @victormwandry100
    @victormwandry100 Рік тому

    2023 bado MUNGU yupo pamoja nasi

  • @sayunimrita7504
    @sayunimrita7504 10 років тому +5

    I like this song very much. Thank you Upendo. God bless you.

  • @jordanasadjah8451
    @jordanasadjah8451 3 роки тому

    After losing mum in 1996 and 2021 January 29th my dad too rested😭😭😭Karibu Yesu ukae kwangu,,,oooh LORD this is too much painful😭😭😭Still crying why💔💔💔And worst part have never been close to them to witness their departure 😭😭😭Why???

  • @patrishankya3451
    @patrishankya3451 5 років тому +1

    Uwe wangu daima hata nikijarubiwaa uwe wanguu daima💕💕

  • @robbsonmosha7557
    @robbsonmosha7557 4 роки тому +1

    Nafill uwepo.. MUNGU Baba takasa njia zangu.

  • @bainagilbert2282
    @bainagilbert2282 4 роки тому +1

    Mama nakupenda Sana Mungu azidi kukutumia amen

  • @upendoemmanuel416
    @upendoemmanuel416 5 років тому +5

    I believe you still with me ;I real like this song😙

  • @elizabethkasembo9231
    @elizabethkasembo9231 3 роки тому +1

    I always felt connected to God listening to this song since my childhood.

  • @subirichalli7525
    @subirichalli7525 10 років тому +11

    naipenda sana hiii nyimbo

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 2 роки тому

    Wimbo huu auludie Tena video naupenda saana

  • @vickyhaule3605
    @vickyhaule3605 4 роки тому +1

    Naupenda Sana huu wimbo

  • @j4class939
    @j4class939 5 років тому

    Nyimbo zako zinanibariki Sana nikipitia jarbu niskilizapo nyimbo zako napata wepesi wakushinda jaribu

  • @pendothimot5030
    @pendothimot5030 8 років тому +1

    hongera upendo nyimbo zako huwa zinaniliza sana ubatikiwe

  • @agnesagnes1128
    @agnesagnes1128 4 роки тому +1

    Penda Sana huu wimbo

  • @evamwagalazi3802
    @evamwagalazi3802 5 років тому +2

    Karb yesu kwangu.

  • @eligiusmuganyizi369
    @eligiusmuganyizi369 8 років тому +1

    Dada mungu akubari uendelee kum2kuza yeye ckuzote maishan mwako AMEN!

  • @ibrahimushoo1468
    @ibrahimushoo1468 5 років тому +2

    mungu akubariki mama

  • @bryangeofrey928
    @bryangeofrey928 4 роки тому

    Mungu amenitendea mambo makuu sanaa,japo nimeteseka tena kwa muda mrefu hadi kufikia kulala njaa na hata kuumwa nilishindwa kwend hospitali au kununua hata dawa...nikaamini ipo siku mungu atanifungulia njia,nililia sana sana na leo hii mungu amenijib maombi yangu....Ahsante mungu

    • @marynoni7055
      @marynoni7055 3 роки тому

      Barikiwa ndo faida ya kumtumikia mungu na uvumilivu mbele zake

  • @eliasdilandasafisananapend9427
    @eliasdilandasafisananapend9427 3 роки тому

    Nyimbo zako nifaraja kwetu hasa mwanafunzi wako wakushona amani center azza

  • @vumiliaedward1631
    @vumiliaedward1631 2 роки тому

    Mama YESU ainuliwe sana kwa ujumbe huu

  • @rahisababes7353
    @rahisababes7353 7 років тому +1

    Ubarikiwe mama yangu saña hii nyimbo nimeisikiliza Mtoto mpk Leo ukubwani naipenda mi Mtoto wa Bahati

  • @kristinajacobonakomolwa590
    @kristinajacobonakomolwa590 5 років тому +1

    Ubarikiwe mtumish

  • @angelashaluwa6474
    @angelashaluwa6474 3 роки тому +1

    Mungu wetu n mkuu n mweny nguvu😭🙏

  • @bahatiboniface3742
    @bahatiboniface3742 10 років тому +11

    I always feel blessed whenever I listen to this song!

  • @brideofchrist9813
    @brideofchrist9813 3 роки тому

    Karibu Yesu ukae kwangu siku zote maishani mwangu, Uwe wangu daima

  • @belinarobert4644
    @belinarobert4644 3 роки тому

    Karibu Yesu maishani mwangu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @josephinentacobemera3525
    @josephinentacobemera3525 10 років тому +5

    May the Lord all mighty bless you with the golden voice u got

  • @rachelrachel7487
    @rachelrachel7487 8 років тому

    mungu nakupenda sasa karibumungu ukae moyoni mwangu hatakama nikijaribiwa ukae kwangu usiniache yesu ( ongera upendo nkone good girl mwimbo wako mzuri kweri)

  • @Editha905
    @Editha905 8 років тому +1

    It's Holy Jolly Christmas and I am right here listening to this song .... too blessed! God is Good

  • @WilbertMalula-vv7ml
    @WilbertMalula-vv7ml Місяць тому

    NAMUONA TIN WHITE.OOH! RUDI UMTUMIKIE MUNGU

  • @ivemiliband7930
    @ivemiliband7930 4 роки тому

    Katika Baraka na Mafanikio uwe wangu 🙏

  • @imelda4jesus
    @imelda4jesus 14 років тому +3

    @Delyp2003 Praaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiise the Lord, she is no longer called a widow as of next month Upendo Nkone is getting married. God is so faithful...He has blessed her with a husband and blessed her children with a father. Halleluyia...God is good, He is the father of fatherless and husband of widows and even restors our lives.... Bwana Asifiwe Milele na Milele Amina.

  • @ennakitindijekela4883
    @ennakitindijekela4883 3 роки тому

    Nabarikiwa sana na nyimbo hii

  • @isaackrp
    @isaackrp 16 років тому +4

    Absolutely! she sings with an uplifting heart
    That's what's very interesting about her songs!
    keep up mum:)

  • @mashakadicksonnyambari3118
    @mashakadicksonnyambari3118 8 років тому +3

    i really like this song... be blessed upendo

  • @euk1074
    @euk1074 3 роки тому

    Uwe wangu daima, niwe wako daima

  • @JustinaSem-r7w
    @JustinaSem-r7w 2 місяці тому

    Amen and Amen
    Such blessing song

  • @grancebeuty2443
    @grancebeuty2443 4 роки тому +1

    Uwe wangu daima

  • @luckylaurent3291
    @luckylaurent3291 4 роки тому +1

    Mungu azidi kutulinda

  • @immaculatendinda3900
    @immaculatendinda3900 5 місяців тому

    Nilalapo na niamkapo**....rekebisha hapo

  • @geordie_tz
    @geordie_tz 6 років тому +1

    I love this song so much, Mungu akubariki mama..

  • @pendokesi3977
    @pendokesi3977 5 років тому +1

    Uwe wangu daima wakati huu wa ujane 😭 eee Yesu wangu🙏

    • @Joseph-u4p2w
      @Joseph-u4p2w 5 років тому

      Naam, Yesu yu pamoja nawe, anakaa kwako

  • @happinesskyungai1686
    @happinesskyungai1686 7 років тому +2

    unaimba kutoka moyoni..nabarikiwa sana na nyimbo yako

  • @joellaniyonkuru8908
    @joellaniyonkuru8908 2 роки тому

    mapenzi yako Baba yatimize juu ya maisha yangu in this sunday morning 🙌🙌🙌😔😔😔23.10.2022

  • @georginahaule5513
    @georginahaule5513 4 роки тому +1

    Nice spiritual song is inspired me God bless you

  • @jamesmtalemwa3339
    @jamesmtalemwa3339 9 років тому +5

    Imana Ikuhezagile

  • @johnleo4716
    @johnleo4716 8 років тому +3

    nice spiritual song it inspired me

  • @neemasamwel8968
    @neemasamwel8968 Рік тому

    Napenda sauti ya huyu mama 🙏

  • @eunicemetah
    @eunicemetah 3 роки тому

    More than 13 years old but still refreshes my heart. God bless you mom.

  • @Traveltoafricasafari
    @Traveltoafricasafari 9 років тому +1

    napenda,sana kuimba

  • @barakakrathimo7373
    @barakakrathimo7373 10 місяців тому

    Nakupenda.......

  • @olephilemon1773
    @olephilemon1773 8 років тому +2

    nice song listening now