Dr. Chris Mauki: Mbinu 4 za kumaliza Migogoro Kwenye Mahusiano/Ndoa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 64

  • @happinessmunis4016
    @happinessmunis4016 3 роки тому +7

    Asante Kaka kwa hekima kubwa,hili Tatizo ni kubwa mno kwa watu wengi,nafikiri tunaokufuatilia tutapona.Mungu akupe hekima zaidi na Maisha marefu.

    • @emmanuelhawela6281
      @emmanuelhawela6281 3 місяці тому

      samahani Dr,ninaweza pata mawasiliano yako(namba za simu)

  • @FatmaMbegu
    @FatmaMbegu 12 днів тому

    Ni kwer nimekubaliana kutokukubaliana na mambo yanaenda safi sana asante doctor

  • @jonasmwita9837
    @jonasmwita9837 2 роки тому +2

    Mbinu nne za kumaliza migogoro KWENYE mahusiano
    1.Penda kukubaliana
    2.punguza kujiteteaaa bali kubaliana kuwa umekosea.
    3.tumia sauti yenye staha

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Рік тому

    ❤❤❤❤Asante kwa ishauri izo sifa zote zinanihusu namuomba Mungu nibadirike

  • @estermgonda
    @estermgonda 5 місяців тому

    Ahsante San .Dr. ..kwa ushauli ambao unatupatia kwani migogoro ni mingi ambayo inatokea kwenye mahusiano.Naomba kujua maana inafikia wengine tunakata tamaa kua kwenye mahusiano siingii Kwasababu Unaweza ukashindwa kusuluhisha migogoro sababu ya umbali .kila mmoja yupo mkoa wake . Inauma Sana ikiwa mtu unampenda simu hazipokelewi au apokee halafu anakata asa hapo changamoto unabaki unaumia halafu unampenda vip Kama siku unasafiri halafu unakua nae karibu

  • @lizbethpeter8649
    @lizbethpeter8649 3 роки тому

    Wewe baba unajua kunisaidia mana kila nikisoma napata darasa jipya, nimenyamaza leo imebidi niseme, Asante

  • @davidfrancis8582
    @davidfrancis8582 3 роки тому +2

    Mbinu nne za kumaliza migogoro kwenye mahusiano
    1. Penda kukubaliana siyo kila wakati kupinga , hata kutokubaliana basi mnabidi mkubaliana
    2. Punguza kujitete; usitetee sana jitazame na upande wako , inawezekana nawe una mapungufu yako
    3. Unapozungumza na mwenzako tumia sauti ya stahaaa siyo lazima upaze sauti, sauti ya kushauti inaweza sababisha mgogoro zaidi
    4. Zielewe vyema vita vyako; siyo kila kitu ni vita kwako , vingine unapotezea tu

    • @leoniammasi6634
      @leoniammasi6634 2 роки тому

      Mimi umenisaidia sana kwa hili maana ckuwa mtu wakukubali mambo kirahic ila hiyo tabia iliniharibia sana sahizi nimeelewa. ASANTE dr Mauki

  • @alidube5351
    @alidube5351 3 роки тому +1

    Na nahis naelekea kumpteza mtu wangu na nampenda sana

  • @jumaali5293
    @jumaali5293 3 роки тому +2

    Hongera sana brother yaan kwel maan vijana wengi tu hii shida, ahsante san kwa feedback nzuri uliyonipa shukran

  • @annabalilo7592
    @annabalilo7592 3 роки тому +2

    Mafundisho mazuri. Thank you

  • @hamdaniyussufu3989
    @hamdaniyussufu3989 3 роки тому +1

    Asante baba kwa mafunzo yako mazur

  • @DeboraNestory
    @DeboraNestory 2 місяці тому

    Nakuelewa sana

  • @matildalukumai6520
    @matildalukumai6520 3 роки тому

    Dr mauki asante kwa jumbe nzuri

  • @winfridamwigilwa2107
    @winfridamwigilwa2107 3 роки тому +1

    Dokta kama Dokta aksante

  • @ashamwandu6572
    @ashamwandu6572 3 роки тому +1

    Nimekuekewa kiundani, Asante

  • @AMILIHASSANI
    @AMILIHASSANI 3 місяці тому

    Vzrii sana

  • @ummyghabbash2619
    @ummyghabbash2619 3 роки тому

    Napenda sn mafundisho yk safi sanaa

  • @fatumakale7004
    @fatumakale7004 Рік тому

    Thanks sana

  • @TumainiUrio-k7o
    @TumainiUrio-k7o 5 місяців тому

    Mwanasaikolojia mm changamoto yangu ni kwamba mwenzangu anapenda kunisema sana na vingi ananisingizia mara oh unawasiliana na fulan mara oh unaongea na watu nliokukataza lkn ukicheki sio kweli inaniumiza sana kwa kweli nifanyeje

  • @aishahamis6784
    @aishahamis6784 3 роки тому

    asante kwa ujumbe mimeelewa

  • @petermbulusave8932
    @petermbulusave8932 3 роки тому +1

    Asant baba

  • @MwadawaHamis-sp7pg
    @MwadawaHamis-sp7pg 8 місяців тому +1

    Kaka nimewatafuta sana watu wa saikolojia kama wewe jamani naomba msaada wako maana naona kabisa hata nimeanza kuathirika na ndoa yangu hadi kiafya

  • @rosemaryjustine5170
    @rosemaryjustine5170 3 роки тому

    Dr Asante kwa mafundisho yako bt me mpnz wng huwa hakubali makosa nakutoa sababu nyingi sielewi ni fanyaje juu ya hili anaahidi kubadilika lkn habadiliki hii jambo nifanyaje

  • @renyfridabutitiba3458
    @renyfridabutitiba3458 2 роки тому

    Yani nataman Sana kuhuliza uncle

  • @annethcalvin4377
    @annethcalvin4377 3 роки тому

    thank you kwa mafunzo mazuri

  • @emmanuelhawela6281
    @emmanuelhawela6281 3 місяці тому

    Dr,nimeyapenda mafundisho yako
    Naomba namba yako kwajili ya mawasiliano.

  • @khadijaramadhan1796
    @khadijaramadhan1796 2 роки тому

    Asante

  • @leahjohnsimba4088
    @leahjohnsimba4088 3 роки тому

    Umebarikiwa

  • @husnayussuf1224
    @husnayussuf1224 3 роки тому +1

    Nikwelikabisa maneno yako hakika nimazima sana ,nakupata vizuri Kabila.

  • @happysirili3151
    @happysirili3151 3 роки тому

    Asant sn nimajifunza

  • @azzleelee8083
    @azzleelee8083 3 роки тому +1

    Nakuelewa sana brother najiona wapi naenda sasa hivi

  • @theopistandela7493
    @theopistandela7493 Рік тому

    Mpenzi wangu ataki tumalize mgogoro anataka tuachane 😭😭

  • @matildalukumai6520
    @matildalukumai6520 3 роки тому

    Nisaidie hapa mwezangu kila mkiongea itimisho ni kupiga hivyo nakuwa siwezi kujumuka na yy kimashauri niganyeje hapo!

  • @billtv3342
    @billtv3342 3 роки тому +2

    Asante sana doctor ila me nina jambo girlfriend wangu tulikubaliana kwamba chochote tutakacho fnya tunashirikina na tukakubariana kwamba ata tutapo nunua kitu kitu kipya wote tufanye ivyo ninachoshanga mwezangu nimeonana nae jana kuangalia simu yake kabadilisha na nikamuhuliza inamana ubadilisha simu Ujaniambia ananidanganya uku naona kua nimpya na nitofauti na ile ya mwanzo kiukwel doctor nimejisikia vibaya hamekata na kitu nikwel kinaonekana inamana gani na nimemwambia mara tatu anasema ni sio mpya

    • @lephyspemba3107
      @lephyspemba3107 3 роки тому

      Uyo anakuchiti

    • @jeromeshirima2053
      @jeromeshirima2053 3 роки тому

      Amepewa zawadi na mtu mwingine kuwa makini na uyo dada anatamaaa bro

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 2 роки тому +1

      Daah Pole sn Billy....je ulishawahi kukaa nae Chini kumwambia kuhusu hilo Suala? au

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 2 роки тому +1

      Maana hapo Moja kwa moja itakuwa anakucheat.... atakuwa amenunuliwa Sm na Mwanaume Mwengine

  • @ruthkwamboka9082
    @ruthkwamboka9082 3 роки тому

    Thank

  • @husnayussuf1224
    @husnayussuf1224 3 роки тому +1

    Ninamatatizo ila nikiangalia hizi Ujumbewako data.kamaunaniona unanambia fest to fest a see.

  • @stellanatai6830
    @stellanatai6830 9 місяців тому

    Kama mwenzako halibut au hataki discusions

  • @janenkhwazi2457
    @janenkhwazi2457 3 роки тому

    Nikweli kabisa.....mi na mpenzi wangu tunagombana every month end mda wa mshahara.Anataka kila kitu tusayidiane (nitowe half amount of rent, chakula etc....nami ndonapoanza kumwambia I don't like this life.

    • @fajarfajar7855
      @fajarfajar7855 3 роки тому +1

      Jane nkhwazi afadhali wewe haki kwangu kila kitu ni mimi yani ukimwambia umekosa hata nimechoka sasa

    • @teddymwageni1763
      @teddymwageni1763 3 роки тому

      Msukuma Jane

    • @jenipherjames4396
      @jenipherjames4396 2 роки тому

      Me huyu baba ninamiaka 3 npo nae tumezaa mtoto mmja na kashaniambia nkimalza ixho ninayosomea tuachane na mtt nimuache ila mm roho inaniuma kukaa mbl na mwanangu

    • @yohanakiyumbi4795
      @yohanakiyumbi4795 2 роки тому +1

      Vp Jane kwn Ww umeshaolewa au nyie ni Wachumba tu?

    • @janenkhwazi2457
      @janenkhwazi2457 2 роки тому

      @@yohanakiyumbi4795single mum

  • @josephmoshi150
    @josephmoshi150 3 роки тому

    Mauki niaje

  • @maggietotty9881
    @maggietotty9881 3 роки тому +1

    Haki mm apa nimechoka nataman hadi kulia coz ya. Nina mpenzi wang mm duh mi cjui nisemeje mungu tuu anisaidie na kwakwel kusema la ukwel mm ktk hayo ni mm tuu make me nachukia sana kuongea na mtu kuhusu kitu cpend then anakirudia mm nimefika mwisho na nataka kuachana nae kwel duh..

  • @faithwanjiru6117
    @faithwanjiru6117 3 роки тому

    Mimi nina shida kweli

  • @emmymsika8304
    @emmymsika8304 3 роки тому

    Tanteeeeeeee

  • @missnatal8219
    @missnatal8219 3 роки тому

    Doctor mim niko n mchumba angu na amenivalisha pete tayar lakin mchumba angu hana muda na mim ,hanitumii sms wala kupiga simu mpk mm nimuanze na anaweza fany mambo yake akajaniambia Siku nyingin kabisa ....naumia sana na naogop maan tunakaribia kuingia kwenye ndoa isijekuwa niko kwenye shimo au naingia kwenye mtego naomb ushauri plzzz

  • @alidube5351
    @alidube5351 3 роки тому

    Me nna tatz na mahusian yang

  • @TumainiUrio-k7o
    @TumainiUrio-k7o 5 місяців тому

    Mimi nimezaa na mume wangu mtoto mmoja lkn yule mtoto amekuwa kikwazo kwangu maana mume wangu amekuwa akiniona kama mimi siwezi kumwangalia mtoto na ni yeye tu anajua na kinachonikera mtt ana miezi sita lkn anaongea nae kama mkubwa mwenzie mara ohh njoo mwanangu maana yani huna wa kukusaidia ukicheki nampenda mwanangu na sijampungukia kwa chochote je hiyo haiwezi kusababisha mwanangu anidharau??

  • @safiababyy7536
    @safiababyy7536 3 роки тому

    Yaani haya mahusiano ni mazito yaani sijui ni mimi nakosea au ni yeye mwenzangu anakosea hata sielewi kaka angu naomba msaada wako

  • @hannansultan8816
    @hannansultan8816 2 роки тому

    Mm naomba no yako whatsap

  • @rukiajumaa574
    @rukiajumaa574 3 роки тому

    Hellow dr.watsap unatumia namba ip

  • @irakozeazza7470
    @irakozeazza7470 3 роки тому

    🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️♥️