Mmmmmh mnapongezana uimbaji wa style hii? Hakika heli Tenzi kuliko kusikiliza nyimbo zenu za sasa ndo maana nyimbo ina vuma wiki mbili na kupotea uimbaji gani huu mnakimbizana na wamataifa ipo siku .
Tumepiga kambi, Tunataka ushindi, Sisi hatushindwi, Mungu wetu n fundi, Yoyoyoyooooyooo.... I love you mum Rose muhando, Mungu akuzidishie zaidi na zaidi😍😍💥💥💥💥
No one should doubt that Rose Muhando is a legend... She's simply, simply amazing... She never cease amazing me... Straight away from Kenya 🇰🇪🇰🇪, I want to say congrats. This song is on an other level.
Musiki ni mzuri sana👏👏, ila kuna kasoro kwenye vidoe, uchezaji huu ni sio waki Mungu, huu ni waki dunia, sisi ni watoto wa Mungu Baba☝️ lazima tuache vyote vya dunia😢😢 na tufanye Vitakatifu, sii tue nfano kwa wengine hambao hawanjui Yesu
Wooow!!!!!!!!malkia wa Gospel!! mom Rose I love you so much.Naomba mungu anitie nguvu kabisa mpaka nifikie mahali ulipo.Nibariki watu wa mungu na niwaonyeshe jinsi mungu alivyo mtamu💗💗💗
Hello mum Rose muhando am from kitui na nyimbo zako nilisipenda nikiwa mtoto hadi saa Mungu amenibariki na kibali Cha uimbaji naomba siku moja nipate kuiba na wewe juu ni wewe uliniexpire hadi nikakuwa mwimbaji wa nyimbo za ijili Mungu akubariki sana mum.
Navuta picha kama bible inavyosem daud alichez ad nguo zikaanguka itakua alivaa hvi na akacheza hiv kweli kwa yesu kuna raha nakupenda sana rose mungu azidi kukupandisha viwango vingine zaidi
I own the blessings, honey, sunshine and every possible blessings, protection,healing, provision ,peace,joy and praise to my God in Jesus Name.I declare I will fill all my stores by the grace,favour,will and favour of God in Jesus Name.
Sweating profusely from the energetic dance that I was performing 'in my head'. Mziki umeenda shule kama kawaida Mama Rose anazidi kupepea bendera ya injili
This lady of the almighty God is a corner stone the reason why l say never judge the book by his cover.you are the blessings to the world through the work of God 🙏🙏🙏 be blessed ukitoka na kuingia kokote utakakokwenda,but for those who create Mambo machafu Kwa huyu mama mtumishi wa mungu nawaonya hogopeni sanduku la agano isiwamalize.
@@rosemuhandoofficial5676 🙆 waca tuseme ukweri iyi nyimbo niya dunia 💯😈.Tunayitaji "discernment spirit" Amos 5:23"Take thou away from me(God) the noise of thy songs; for I (God) will not hear the melody of thy viols".
The LEGENDARY savant of the most high God, eeiiiisssshhhh who else gets blessed like I do by her song's 💞💞💞 when I was 10 she was my favorite Singer together with Angela chibalonza may God bless her soul🙏 now I am a grown up Lady still she's my favorite,,, I'm wondering where did (Susan Kago) whent .
Froom DRC , i'm so happy. God bless You everry day Mum. Ni tarajiya siku moja ku fanya collabo nawe, ili kongo wa juwe, ame sema nini Mungu wako, na ana mipango gani nawe 🙌🙌🙌
Yesu wangu huyu dada.nimenogewa adi nimekosa komenti kweli ah!
asali tsam.
Yesu asali yetu.
Nimekubali Mama etu wewe unajua hakika Mungu amekuweka katika zamu yako na unaitendea haki
Literally to the 1% who's reading this, God bless you, and may your dreams come true,#TUIPAKUE🔥🔥🔥
AMEN 💯💯💯
AMEEEN. Tuipakue
Amen 🙏
AMEEN 🙏 🙏
𝙰𝚖𝚎𝚗
Real General & Commander of the Kingdom....ride on Maidservant of God
Thanks it is nice so❤😊
This IS congolese rithme...hum ok be blessed 🤣🤣🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mama mamaaaa....We are proud of you mama Rose Mhando. Utukufu wa mwisho ni mkuu kuliko wa mwazo. Mungu akupe Kuinuka na kuangaza zaidi ya Jana na Leo.
Amen AMEN AMEN
Kafanye colabo bro naye
Mmmmmh mnapongezana uimbaji wa style hii? Hakika heli Tenzi kuliko kusikiliza nyimbo zenu za sasa ndo maana nyimbo ina vuma wiki mbili na kupotea uimbaji gani huu mnakimbizana na wamataifa ipo siku .
@@a.j.m9740 the physical cannot understand the spiritual
Ukimuheshimu Mungu naye atakuheshimu,, barikiwa dabo dabo Rose,,,
Tumepiga kambi,
Tunataka ushindi,
Sisi hatushindwi,
Mungu wetu n fundi,
Yoyoyoyooooyooo....
I love you mum Rose muhando, Mungu akuzidishie zaidi na zaidi😍😍💥💥💥💥
🔥🔥🔥🔥🔥
Sanaaaaaa
ua-cam.com/video/56bj9761QP8/v-deo.html
Pakua pakua,ilovethis groly be to sl almighty God
Haki tena ni wimbo tushaawacha na uchawi wao
Dah!! Mnyama Laizer #kajuakalee
No one should doubt that Rose Muhando is a legend... She's simply, simply amazing... She never cease amazing me... Straight away from Kenya 🇰🇪🇰🇪, I want to say congrats. This song is on an other level.
ua-cam.com/video/56bj9761QP8/v-deo.html
💃💃💃💃💃💃💃👌👌👌👌👌👏👏👏👏👏👏👏👏
Mnapenda kusifia nyimbo za kuboa Sana
Q
💪💪💪💃💃💃💃💃💃mom wewe nimwisho kwer nagupenda l love you mom❤❤❤❤💋💋💋💤💤💤
Simba jike rose muhando ubarikiwe sana 🇹🇿🇹🇿🇹🇿💞💞💞💞❤️❤️🌹💖🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Rose muhando never disappoints. Stay blessed mama wa utamu wa yesu. More love from the Republic of Malawi 🇲🇼
Rose hapo ndo nomekukubalizaidi pongezisana ulindwe na Mungu.
Aki Huyu mama walahi....she is making me crazy kwanza Kwa hoofer waaah you guys should try it
The Queen of East Africa , , , , lazima ujipange ndio ubishane na huyu mama🤗🤗🤗🤗🤗
You can say that again 💃💃💃💃
Imana Ishimwe caneeeeee , yoooo halleluya, uririmba neza cane
Rose muhando is simply Female Diamond platinumz she is very creative 🔥🔥🔥🔥
Naomba ikiwezekana usimfananishe Kabisa,
Yuko kaanani tunapakua asali tu,
Pilau la Wamisri limeshawachachia, tuipakue asali yetu😂🙌🙌🙌🔥🔥🔥😇🙏
Haleluya❤ mbona mumevaa mavazi ya FARAO manake ndiyo kupakuwa aiseeeeeee
Mamaaa Sina usemi Mungu akujalie maisha marefu nao wanangu wakupate wakuskize pia wabarikiwe .. I love you mummy
Musiki ni mzuri sana👏👏, ila kuna kasoro kwenye vidoe, uchezaji huu ni sio waki Mungu, huu ni waki dunia, sisi ni watoto wa Mungu Baba☝️ lazima tuache vyote vya dunia😢😢 na tufanye Vitakatifu, sii tue nfano kwa wengine hambao hawanjui Yesu
When you watch a Rose Muhando video you know what to expect ... and we're glad she never disappoints.
🏆🏆🥇🥇
1
Usiwe na ushamba kuwa na Neno la Mungu,don't have Rural minds really on the words of Almighty God Amen.
Nimekuheshimu mara 80 dah tisha sanaa dada
🙏❤😍
Moto umewaka Yesu ni Bwana!!
More than just Gospel.
We celebrate you Legend.
anaitwa malkia yes she is real a queen rose muhando hakika Bwana amembariki kweli kweli
+254 in the house…..Mama Rose on it again….we dance down the rhythm….such a beautiful song. Much love 🇰🇪 🥰
Za can Nnhb
Amina mama lazima tupekuwe from Malawi nakutazama
She's back like she never left, it has been tested and confirmed that NO ONE can take her place
NO ONE
Glory to God
Wow
True
The history should record this .i honourable Madam see e o.... i sign nakuipitisha twende tukaipakue kweli
WakiTutafuta hawatuoni hat kwa uchawI wao tumewaach huko mom nakupenda Mungu akubariki 🔥💫💫🙌🙏
It's your time..hallelujah more grace watajuaje kuna mungu?
There is a way Rose Muhando is just a blessing to many. She is the Gospel machine of Africa in Swahili Music, a queen in that matter.🔥
A big amen to that
nakubali
@@matiaspasulani5353 Ameeen
@@janeminoo1804 hapo sasa
ua-cam.com/video/56bj9761QP8/v-deo.html
Kwa yesu jamani mmmmmmmh mi sisem anasema rose hapa ❤❤❤❤❤
Mama Lao is back👏👏👏very talented en the best gospel artist in East Africa, Safi safiiii💪🙏🙌
We mdada mbunifu sana😎
Good madam rose muhando,Mungu aendelee kuibariki kazi yako ya injili,,,,, legend mwenye upako wake
Tupo site tupo site kata simu💗💗💗
What a song🙌🏽Keep singing for Jesus💪🏽Hii asali ya Canaan tunaipakua kuipakua😋
Nyiiieee Tanzania tumejaaliwa vpaji
Wooow!!!!!!!!malkia wa Gospel!! mom Rose I love you so much.Naomba mungu anitie nguvu kabisa mpaka nifikie mahali ulipo.Nibariki watu wa mungu na niwaonyeshe jinsi mungu alivyo mtamu💗💗💗
Hello mum Rose muhando am from kitui na nyimbo zako nilisipenda nikiwa mtoto hadi saa Mungu amenibariki na kibali Cha uimbaji naomba siku moja nipate kuiba na wewe juu ni wewe uliniexpire hadi nikakuwa mwimbaji wa nyimbo za ijili Mungu akubariki sana mum.
Saivi Una miaka mingapi Tangu unamuona rose muhando?
I sing but when rose sings i listen and learn, The art, the creativity, the energy just another level
sanajuu uko Rozye
Kumekucha na hawatatuona tena....God bless you mamam rosy love you most we are waiting you in Kenya .
Halleluya. Hossana In the HIGHEST.... Tuipakue asali
Uzima tele,furaha tele tusha pakua Asali yote!💃💃💃💃🔥🔥#TRM
Nimependa sehemu ambapo wana mavazi meusi ya kimisri na fimbo... Tuipakue, tuipakue! Pakue! May God bless you Rose Muhando, we love you
Asante Santa mbui
@@rosemuhandoofficial5676 amen 🇰🇪🇰🇪
Tuipakue Rose unatishaaaa sana Mungu aendelee kukutumia.
Ohhhh hallelujah si tuungane hapa tuinue mikono juu tuseme Mungu ametushidia, katuvusha salama ushidi akatupa.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Navuta picha kama bible inavyosem daud alichez ad nguo zikaanguka itakua alivaa hvi na akacheza hiv kweli kwa yesu kuna raha nakupenda sana rose mungu azidi kukupandisha viwango vingine zaidi
Nimeiangalia hii nyimbo zaidi ya mara 10😂😂😂😂 kwakwelii nimotoo
To be honest I like you mum God bless you more and more
this mama never disappoint
she's a legend 100% love from Kenya ❤️💖
Uyu kweli ni Simba sio mchezo mmmmmhhhh
Can't imagine this is Rose.
Glory and honour belongs to God 🙏
Ubarikiwe sana mama muimbaji endelesha karama tako
I love the way Mum puts her vybes i like your message and mummy you are soo blessed
Ooooh...Huyu ndo Rose asali ya Mbingu ilichaguliwa tangu misingi ya ulimwengu.
I own the blessings, honey, sunshine and every possible blessings, protection,healing, provision ,peace,joy and praise to my God in Jesus Name.I declare I will fill all my stores by the grace,favour,will and favour of God in Jesus Name.
Amen
Eeee i cant explain always i see you namwona mungu.... na bado more love to you
Hatari hio🔥🔥🔥...Mwaka huu lazima tuipakue asali😋😋
Yaani we mama Teta zaidi Mungu akuzidishie ubunifu na kuimba nyimbo nyingi na watakimbia sana
Wow! Wapi like za mama yao.. this is 🔥 it should be 10 M vews in a month,,, blessings mama.
Kweli Sasa hivi dini zetu zipo kibishiala mungu atusamehe kwakweli Mana hii haina utafauti na bongo fleva
Music Is Art And This Bongo... This Congolese Beats
Sweating profusely from the energetic dance that I was performing 'in my head'. Mziki umeenda shule kama kawaida Mama Rose anazidi kupepea bendera ya injili
Kweli kwa kidunia Umekwenda shule ila mbele z Aliye Hai umekufa
Rosa muhando this song is rumba yayesuuuu mungunimwema sanaaaa
This lady of the almighty God is a corner stone the reason why l say never judge the book by his cover.you are the blessings to the world through the work of God 🙏🙏🙏 be blessed ukitoka na kuingia kokote utakakokwenda,but for those who create Mambo machafu Kwa huyu mama mtumishi wa mungu nawaonya hogopeni sanduku la agano isiwamalize.
Tell them plz. If there's one thing I fear the Most is talking bad against any servent of God. No one is perfect and Jesus came for sinners.
Am so happy mama ubarikiwee
Imekuaje rose? Umegeukaje? Mbona hukua hivyo? Huyo "laizer" mwishoni anahusikaje? Mbona umebadilika hivyo nn hiki unafanya,,,,Mamaeeeeeh tushakupoteza kwaheriiiii
Kwaheri Na Wewe.
The lives u've changed,may God grant you long life filled by peace happiness and accomplishments of your dreams.i love 💕💕💕💕 you Soo much
Everything is perfect, from make up, dress code, location and everythiiiiiiiiing!!! She is a super germ🌹🌹🌷🌷🌹🌹
ua-cam.com/video/56bj9761QP8/v-deo.html
Rose muhando i wish ungekua at age 20s ndio tukufaidi zaidi ....mamaaa unaweza mungu azidi kua nawe...big up mamaa, wacha tuipakue hii asali
The way she is smiling jamani is so beautiful❤️❤️❤️❤️aaaaauuuuuwwwwwwwwhhh😘
This mama is so blessed to bless others🙏🏽
😍❣
@@rosemuhandoofficial5676 🙆 waca tuseme ukweri iyi nyimbo niya dunia 💯😈.Tunayitaji "discernment spirit"
Amos 5:23"Take thou away from me(God) the noise of thy songs; for I (God) will not hear the melody of thy viols".
You more than ablesing mungu akubariki na anene ukuu juu maisha yako
Heeeh Rose you're higher..... Be blessed
Simba jike amenguruma tenaaaaa. Asali yangu napakua leo.
GONGA LIKE NYINGI HAPA KWA ROSE MUHANDO...🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️💯💯🇹🇿🇹🇿
Mmk the I'm y
He I'm trying 6hnpoooi op
1
Motooo
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Be blessed rose muhando you are so great 👍👍👍👍 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
kuna ile beats nimwzoea kuisikia naisikia hapa. creativity to the top level
The LEGENDARY savant of the most high God, eeiiiisssshhhh who else gets blessed like I do by her song's 💞💞💞 when I was 10 she was my favorite Singer together with Angela chibalonza may God bless her soul🙏 now I am a grown up Lady still she's my favorite,,, I'm wondering where did (Susan Kago) whent .
Mungu akupe maisha marefu marikia
Truly there is abundance of lord's glory on earth right now, people of God let's enjoy the victory. Amorites are defeated.
Deep revelation our legend
Karibu Tena Burundi 🇧🇮
You never disappoint Madam Rose
Kenya loves you 💖💖💖💖
Asante Mama,. Vitelemke vyote ila kajua kale kabaki kulekule maana kakitelemka!!!!!
Nyimbo nzuri sana 🙏
Your gospel songs normally brings joy and strengthen my Faith.
Love from Kenya
Kama wakubaliana na mimi Rose Muhando ni Greatest Of All Time. ( G.O.A.T). Gonga like
Froom DRC , i'm so happy. God bless You everry day Mum. Ni tarajiya siku moja ku fanya collabo nawe, ili kongo wa juwe, ame sema nini Mungu wako, na ana mipango gani nawe 🙌🙌🙌
L
Anje
Vizurri
Helo
I wish Rose you could do the old worship you use to do. They really had God's anointing.
nasikia guitar yangu ndani hapo
Rose's outfit is beautiful
So soon Rose is getting to 1M subscribers. With God you are never late but always on time!
Nakupenda sana mamaangu tangu album yakwanza haniambii mtu kuhusu wew
Lingala🔥🔥🔥🔥🔥🔥.... Madame Rose Talented & Creative...... Karama isiyozimwa na chochote.... Mungu azidi kukupigania Mama Tanzanians we are praying 🙌🏿
Aaaa mama siyui nikuambie nini mungu hakubariki sana
May God bless you mama, you are doing great job, love you from Kenya
I love you songs so much hope one day tutafanya collabo Mungu akipenda
Rosa muhando the super legend God bless you much love to you from mulenge congo .minembwe❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Congrats Mama. Go go go. You never disappoint. May God always be with you.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 We r behind you.
Awesome just. Love the costumes and your dress Rose. My all time favorite 🌹
Waooooooh ni kama Miriam alipoimba baada ya kuvuka bahari ya Shamu 🙌🙌 be blessed mama
The message, the costumes mum ur music is on higher level