КОМЕНТАРІ •

  • @matindalaiyza8310
    @matindalaiyza8310 3 роки тому

    Hongera Sana #oloip lemaasinta kwa kutupasha habri mpya na habr nzur ya jamii yetu ya maaa kingine mungu awasaidie na awape Nguvu muendelee na kazi Kama mlivyo kuwa mwanzoni tunawapenda Sana na tunajifunza mambo mengi ndani ya oloip lemaasinta 🙏🙏🙏🤲🤲

  • @isayalolitimolel1798
    @isayalolitimolel1798 3 роки тому +1

    Mungu awe pamoja nanyi wote mliowezesha hili jambo la kimataifa kwa jamii yetu ya kimaasai kuwa na Alaigwanani lee kitaifa👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾hongereni sana na Mungu awabariki .
    LAKINI PAMOJA NA HAYO YOTE👆🏾KUNA HILI HAPA✍🏾✍🏾✍🏾 KALAMU NA KITABU
    Pongezi ya dhati kiwafikie kwake Olop le maasinta, zaidi niseme ni alama kubwa na ya mwisho yatakaye kuwa kumbukumbu kwa BROTHAR WETU, RAFIKI WETU NA NDUGU WETU DAVID OLEMOONKA YA KWAMBA AMEKUWA KISHOSHEZI KIKUBWA KUHAKIKISHA KITAFANIKIWA NA KIMEFANIKA . MUNGU WA REHEMA MWENYE UPENDO KWA KILA MTU ANAEPENDA WEMA WAKE NA KUWASHUKUWA MAPEMA KABLA DUNIA AJAWAHARIBU APEWE SIFA NA AMUKALISHE BROTHAR WANGU DAVID KWA KITI CHAKE CHA ENZI MLELE AMINA. ❤️❤️❤️❤️Isaya@asante.

  • @danielstallon6243
    @danielstallon6243 3 роки тому +1

    👏👏good work 🇰🇪

  • @kaetuaikoitee4142
    @kaetuaikoitee4142 3 роки тому +1

    My fevourite ❣️

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 3 роки тому

    Good 😊🥰

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 3 роки тому

    Good