KIFO Cha MTOTO wa BAKHRESA / RAIS MWINYI Afika Kwenye DUA / FAMILIA Yaongea MAZITO!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Familia ya Ukoo wa Bakhresa imemuomba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi kupitia vyombo vyake vya ulinzi kumtafuta na kumkamata mtuhumiwa anaedaiwa kuhusika na tukio la kumchoma kitu kinachosadikiwa kuwa ni kisu Bwana Salum Ahmed Salum Bakhresa na kusabibisha umauti wake wakati akipatiwa matibabu Afrika Kusini
    Ombi hilo limetolewa na mmoja ya wanafamilia wa ukoo wa Bakhresa Shekh Mohammed Omar katika kisomo maalum cha dua kilichoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi katika Msikiti wa Mchangani uliopo Mjini Unguja
    Shekh Omar amesema wanaamini kuwa vyombo vya ulinzi vitalisamimia vyema jambo hilo la kuhakikisha wanamkamata muhusika wa tukio hilo
    KIFO Cha MTOTO wa BAKHRESA / RAIS MWINYI Afika Kwenye DUA / FAMILIA Yaongea MAZITO!
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 55

  • @machanohajimachano666
    @machanohajimachano666 Рік тому +5

    Innalillah Wainna ilayh Rajiun. Allah amsamehe Madhambi yake Nasi Atujaalie Mwisho mwema

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 Рік тому +4

    Inalilah wainnalilay Rajuun!!li
    Kila nafsi itaonja mauti..
    Ya Allah!!.. msamehe yote
    Aliyekulosea...mfikishe
    Jannah. Ameen...
    Pole kubwa kwa Familia
    Na ndugu.....

  • @muddymuzungu4357
    @muddymuzungu4357 Рік тому +4

    Inna lillahi wainna ilayhi Raajioun
    Allah ampe Kauli Thaabit!
    Pole mzee Bakhresa naiona sura yako imejaa maumivu sana 😢

  • @fatmataufiq2373
    @fatmataufiq2373 Рік тому +4

    Allah amsamehe makosa yke na amuweke katika waja woman inshallah,na alomdhulumu nafsi yke nae allah atamlipa hapa hapa duniani

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Рік тому +3

    Duuu jaman pole sana mzeee bakharesa kwa msiba huuu najua maumivi nilisahau wahi kuondokewa na mtt wangu wa kiume wa pekeee ila yote kwa yote Allhamdullilah mungu akupe subra

  • @fatmamansour2764
    @fatmamansour2764 Рік тому

    Pole sana wana familia Allah atawapa subra in shaa Allah na hao waliofanya M mungu atawalipa dunian akhera kwenda hisabu

  • @yassirsuleiman7804
    @yassirsuleiman7804 Рік тому

    إِنَّا لِلّهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعونَ

  • @halimaallyazizi4443
    @halimaallyazizi4443 Рік тому

    Poleni.sana

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Рік тому

    Inna lillah wainna ilayhi. Tunamuomba ALLAH ampe qauli thaabit na amghafirie madhambi yake in Sha Allah. 🤲

  • @zayradabdulrazak1553
    @zayradabdulrazak1553 Рік тому +1

    Innalillah wainnailah rajiun. Hakika c n wa Allah na kwake tutarejea.

  • @abuuissa1642
    @abuuissa1642 Рік тому +2

    Allah ampe kauli thabiti
    Sisi sote ni wa Allah na kwake tutarejea

  • @azizaali8506
    @azizaali8506 Рік тому +1

    Innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun tupoeni kwa msiba Allah atupe subra in shaa Allah awafanyie wepesi waislam wenzetu ndugu zetu wazee wetu watoto wetu na majirani zetu waliotangulia kwakee na sisi tuliobakia atupe husnilkhaattima yaarrabb ndugu zangu lini huu msiba umetokeaa mimi sijasikiaa ndio kwanza nasikia humuu innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun

  • @Halima-zx4pg
    @Halima-zx4pg Рік тому +1

    Jamani hii kadari llakini inauma usiombe yakukute mimi yalinikuta donda lake linauma sana lakinikilanikikumbu nashukuru mungu

  • @kondomrisho8776
    @kondomrisho8776 Рік тому +2

    Innallillah wainna illahi rajiuun mwenyenzimungu amsamehe madhambi yake hapa duniani na kesho akhera hakika umauti huja ghafla na hakika uchungu wa mauti mimi na wewe unayesoma sms hii tutakufa mwenyezi Mungu atujaalie mwisho mwema

  • @suleimanbinshubei4790
    @suleimanbinshubei4790 Рік тому +1

    Polen wafiwa ila inaskitisha sana kuona watu wanapigwa mapanga ovyo Zanzibar ,askari na viongozi wamo katika siasa tuu na siyo mengine hii ndo hatma yake

  • @iddiali8057
    @iddiali8057 Рік тому +1

    Poleni sana familia

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 Рік тому +2

    Inna lillah wa inna ylayhi rajiun

  • @zizuzidu9803
    @zizuzidu9803 Рік тому +1

    Inalilah waina llaha raajiun

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 Рік тому

    Mauti ni mawaidha kwa kila kiumbe nasisi tumuombe mungu atujaalie mwisho mwema nahuyo mwenzetu yalomkuta inatakiwa nasisi iwe mawaidha kwetu

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np Рік тому +2

    Poleni wana familia 😢

  • @suhailaomi9440
    @suhailaomi9440 Рік тому +1

    Innalillah wainna ilayhi rajiuun

  • @shakilaramadhani9866
    @shakilaramadhani9866 Рік тому +1

    Innalillah wainnailah rajiun

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Рік тому +2

    Inalilahi wainalilahi rajuum

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 Рік тому +1

    Mayusib illah makataba llana huwa hili ndio ALLAH alilomkadiria inataka subra na kumkabidhi Allah haihitaji mapizo ALLAH AKUPENI SUBRA.. UNAWEZA UKAKICHUKIA KITU NA IKIWA KHERI YAKO NA UKAKIPENDA KITU KIKAWA KHERI YAKO ...ALLAH AKUPE SURA NA ampe kaullithabit

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 Рік тому

    Innalillah wainnaillaih raajeoooun!!

  • @azizaali8506
    @azizaali8506 Рік тому

    Innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun Allah ampe qauli thaabbit amsameh makosa yake ampe kitabu chake kwa mkono wakuliaa amuepushe na adhabu za qabri amtilie nuru ndani ya qabri yake ampe makaazi mema jannat firdausil Aalaa iwe ndio makaazi yake yaarrabb na waislam wenzetu waliotangulia kwakee na sisi tuliobakia atupe husnilkhaattima yaarrabb husnilkhaattima yaarrabb 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 Рік тому +3

    Tunaomba tumjue huyo aliyefanya jambo hilo na lengo nn

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Рік тому +1

    Si nimesikia kachomwa na mchepuko wake au si kwelii

    • @AliAli-rx6wu
      @AliAli-rx6wu Рік тому

      Mchepuko tena??? Ilikuwaje hebu niambie Sabiha!!!

  • @jumahory859
    @jumahory859 Рік тому +3

    انا لله وان اليه راجعون اللهم غفر له ورحمه وعفي وعفى عنه ووسع مدخله وغسل بماء ثلج والبرد امين

  • @abubakarmuhammadsaid3244
    @abubakarmuhammadsaid3244 Рік тому

    Dhwalimu mkuu ni Hussein Mwinyi ndie kiongozi wa madhwalimu.
    Hapana kinachopatikana kwa dhwalimu isipokuwa ni hasara tu.
    Kauli zake na vitendo vyake ni vitu viwili tofauti.

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 Рік тому

    Ok

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 Рік тому

    Maskini dah rip

  • @yasirsaid8464
    @yasirsaid8464 Рік тому

    Hakika Ss sote ni Wa ALLAH Na kwake ndio marejeo yetu (kwake tutarejea) poleni wafiwa

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Рік тому

      Kweli sote tutarejea kwa Mola wetu... lakini siyo kwa kufanyiwa uhuni, unyama na ujambazi na watoto wa watu...kwenye Nchi...

  • @jovithmuhandiki6938
    @jovithmuhandiki6938 Рік тому

    Sentensi ya kwanza ni ndefu sana, haieleweki....imekuwa tungo tata.... Alichomwa kisu nchini Afrika kusini,, akafariki wakati anapatiwa matibabu kuokoa maisha yaje, au alikuwa akitibiwa kwa ugonjwa mwingine ndipo akachomwa kisu huko Afrika kusini?.... Au alichomwa kisu Zanzibar akapelekwa Afrka kusini kwa matibabu??..........

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 Рік тому

      Nilisikia hapa Zanzibar akasafirishwaa

    • @AliAli-rx6wu
      @AliAli-rx6wu Рік тому

      ​@sabihaibrahim143 yeah hapo zanzibar alikua akinanihiiiii!!! Na kuwananiiiihiiii!!!

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 Рік тому

    Ila Bakhressa huwa haendagi kwenye misiba

    • @AliAli-rx6wu
      @AliAli-rx6wu Рік тому

      Amended kwenye misiba akafanye nini??? Yeye anazalisha pesa na kujenga mahoteli makubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

  • @johnwilfred3920
    @johnwilfred3920 Рік тому

    Bakhresa mwenyewe ni yupi katika hiyo video?

  • @msomalimsomali7214
    @msomalimsomali7214 Рік тому

    Huyo aliefunga mikono mwenye saa