I see somesheni watoto. Kuna tofauti kubwa kiusemaji kati Ahmed Ally na wale wengine. Hoja inakaa akiamua kufanya mzaha ni mzaha kweli. Hongera kijana endelea kufanya kazi zako kwa ubora ukijua ulimwengu wa soka unakufuatilia na kukusikiliza. Utoto na ushamba waachie MEMKWA
Asalam aleikum.tumsifu yesu kristo kwaniaba ya wanasimba wenzangu wote tuliopo hapa igunga tabora tunaushukuru uwongozi benchi la ufundi na wachezaji kwa ujumla asanteni sana kwa furaha mnazotupatia kwakweli tunafurahi sana. na naomba nichukue fursa hii kuwaomba mashabiki wenzangu wa simba kwapamoja kuombeaduwa timu yetu na viongozi kwa ujumla wazidi kupata ngunvu na morali ili kuendelea kupigania furaha zetu inshallah 🙏🙏. SIMBA SPORTS CLUB NGUVU MOJA.
Mungu ibariki simba. Wanasimba tuendelee kumshukuru Mungu kwa yote mpaka sasa timu iko katika hali nzuri inayotia matumaini ya kufanya vizuri katika msimu huu
SIMBA KIUKWELI MNA TIMU BORA LAKINI NAKUOMBENI MUWE MAKINI NA NYUMA MWIKO , HAO JAMAA NI WASHIRIKINA WAKUBWA (WACHAWI WAKUBWA) UCHAWI KWAO NDIO SILAHA YA USHINDI , KUENI MAKINI NAO SANA KWANI MSIPOANGALIA WATAKUVURUGIENI TIMU YENU NA USHINDI NA UBINGWA MTAVISIKIA REDIONI TU .
UnabayAaaa kaka Ahmed anaonge vzr naaaa anapoint sio kama yule inaonekana alikamwe ajaenda shule jamaaaa ana degrees ya fan aliosomea kumbe ikosori anasoma masters hkuuu anapga kaz hongera san jama apayuki kama weng agomban nam2 ila ana ma2kama weng jma nijeshi la m2mojaaaa ooooh waooooh
Tumekuwa tukishea uwanja ila hivi karibuni utopolo anaumiza wachezaji wa simba kwa ndumba na uchawi na hata hapo wataanza kuwaroga na utaona mabadiliko ya matokeo kwa simba
Jamani huyu ni msemaji wa mpira sio kikundi cha wahuni kama yanga kasemaje kao huyu ahamedy ally tumchangie tumnunulie Gali Ra zawadi ya uvumilivu hakutetereka Bado Yuko imara wazi rangu Mimi Simba nguvu moja

Mungu ibariki timu yangu pendwa Simba, furaha iendelee kutawala milele Amina
Asalam aleikum.tumsifu yesu kristo kwaniaba ya wanasimba wenzangu wote tuliopo hapa igunga tabora tunaushukuru uwongozi benchi la ufundi na wachezaji kwa ujumla asanteni sana kwa furaha mnazotupatia kwakweli tunafurahi sana. na naomba nichukue fursa hii kuwaomba mashabiki wenzangu wa simba kwapamoja kuombeaduwa timu yetu na viongozi kwa ujumla wazidi kupata ngunvu na morali ili kuendelea kupigania furaha zetu inshallah 🙏🙏. SIMBA SPORTS CLUB NGUVU MOJA.
Amina msalimie shilole🙏🙏🙏💪
Ubaya ubwela
❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥
Amina
❤️ Asante Sana Semaji la fifa Semaji lenye Degree ule unaitwa ushamba KMC nao wanafunga camera UBAYAAA UBWELAA 🇹🇿 🇦🇪
Naipenda simba mileele na mwaka huu mungu atujaalie tfk mbali kombe LA shirikisho❤❤❤❤❤❤❤
Mungu ibariki simba. Wanasimba tuendelee kumshukuru Mungu kwa yote mpaka sasa timu iko katika hali nzuri inayotia matumaini ya kufanya vizuri katika msimu huu
Mungu ibariki simba yetu tunaipenda kwa dhati
Uyu ndy semaji sasa siyo yure anaropoka tuuu simba nguvu moja
❤❤❤❤ Simba nakukubali sana semaji sana yani
❤❤❤❤❤Simba❤❤❤❤❤oyeeeeee❤❤❤❤❤
Semaji la caf nakukubali.
You're very charismatic
Utoporo awajaja kmc kwa aman wamekuja kwa vita ivyo nawaomba viongoz wetu wa simba wasiishie maneno tu mdomon tupambane na timu yetu simba nguvu moja
Semaji yetu anaongea kiprofeshino sana mungu akubaliki na afya njema
Wachezaji wote wa Simba 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Naipenda Simba milele❤❤
Naipenda simba ❤❤❤❤
Simba nguvu 1 ❤
Alhamdulillah Rabillah Allah miinnah 🤲
nguvu moja❤
Simba❤
❤ Simba
Simba 💥💥💥👏👏🇲🇿🤝🇹🇿
SIMBA NGUVU MOJA,Ubaya Ubwela🔥🔥🔥
🦁🦁 nguvu💪 moja❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba 🔥🔥🔥🔥
mung ibalik simba mungu ibaliki Tanzania 🇹🇿 ♥️ ❤️ ❤❤❤❤❤❤
Simba sport club ushindi lazima iwe mvua liwe jua mungu ibariki Simba sport club
Habar mashabiki wenzangu wa simba Sports Club... Nakukubali semaji letu kaka etu ndugu yetu... Ombi langu tufanye vitendo tupunguze maneno
Camera 📸 ziwekwe toplooo ulozi waumbuke vizur
Mungu ninakushukuru kwa hapa Simba yangu ilipo ninakuomba uzidi kuwalinda wachezaji wetu wazidi kufanya vizuri
Ameeen 🙏
Amin
Naomba muweke mfumo mzuri ili wanasimba tuchangie kujenga uwanja mpya. Mkiona inafaa tuweke wazi naimani wanasimba hatushindwi na chochote. Ahsante
Kweli
Kweli kabisa @@JasmineMsuya-uw7jb
Kabisa
Umeeleweka SEMAJI letu Bora
OLE WAO WAFUTAO NYAYO ZA SIMBA!!!
Jamani mie naomba kuuliza mie mwanasimba damu kama kuna sehemu ya group la mchango wa kujenga uwanja wetu nataka kutoa mchango
Ahmed mungu akulinde wew na simba yetu. Wew ni taa kwa wengine
Simba nguvu Moja ❤❤❤
Nchi ikosalama mikononi mwamnyama tumeikamata imeturia maua yenukwakazi nzuri 🎉🎉🎉🎉na tukaze mwendo nguvu moja
Very Professional, Semaji la Taifa. Na Caf🦁💪👆
Simba nguvu moja mwaka huu ubaya ubwera ❤❤❤❤❤🎉😢🎉🎉😢 pamoja sana
sana tuh kama itakuwa sk moja wao wata cheza saa 6 mchana
🤣🤣
Hongera semaji letu
Kwanza napenda kuwashukulu viongozi wetu kwakutuletea wachezaji wanzuri wanaipambania simba yetu nakutupa fulaha tunapopita mitaan 🎉🎉🎉 simba nguvu 1❤❤❤
simba juu juu zaidi kileleleni waleeeeeeeeeeeeeeeeee
❤❤❤❤❤ Nguvu moja
Hakili nyingi sana Ahemed ally
Hakika
Kaka wewe unajuwa nacho kiyongeya siyo kama Yule Ali komwe simba🎉🎉🎉🎉🎉 nguvu mojaaaaaaaaaa
Mwenzako kule anaomba maji ya kunywa ,shikilia hapo hapo hadi awekewe dripu kbs 😂😂
Ubaubwela ❤❤❤❤
Simbaaaaaaaaaa
simba ngufu moja❤
Simba moto
Ahmed ally anapenda neno kibaya mnoo
Hongera sana semaji la caf uiwakilisha simba vizuri
Jumamosi mtanqaze vinqilio mapema tarehe 15 iliwatu kununua ticket mapema kuliko kuchelewa kutanqaza vinqilio
Naic ndio maana halisi ya ubaya ubwela❤❤
Simba nguvu moja
Saf sana semaji rafifa msemaji mwenye digrre 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Semaji tunae na tunatamba nae ubaya ubwela❤🎉
Inshaallah mungu atusaidie tuendelee kushinda
Karibuni yanga
Mungu atujalie hapo tarehe 15 tupate magori ya kutosha siku hiyo❤❤❤🎉🎉🎉
Amen jaman mbona mwenzenu sioni sehem ya kucomment 🎉
😂😂😂si apo chini ya sim ako jamani@@WendeMposola
@AnneyAnold Kwangu hakuna kwenye hii video 😂😂😂
@@WendeMposola oooh pole sana kikubwa umereply
@AnneyAnold Asante
SIMBA KIUKWELI MNA TIMU BORA LAKINI NAKUOMBENI MUWE MAKINI NA NYUMA MWIKO , HAO JAMAA NI WASHIRIKINA WAKUBWA (WACHAWI WAKUBWA) UCHAWI KWAO NDIO SILAHA YA USHINDI , KUENI MAKINI NAO SANA KWANI MSIPOANGALIA WATAKUVURUGIENI TIMU YENU NA USHINDI NA UBINGWA MTAVISIKIA REDIONI TU .
Na ndo maana walivozuiliwa azam wameamua kukimbia
Itawatokea puani
Semaji la viwango,simba nguvu mj
🦁💪☝️
Tupo paleee! Hiyo ndiyo nafasi ambayo tulikua tunaitafuta, Simba nguvu Moja ubaya ubwela.
❤❤❤
❤❤❤❤❤
Tutasimama na simba yetu popote
UnabayAaaa kaka Ahmed anaonge vzr naaaa anapoint sio kama yule inaonekana alikamwe ajaenda shule jamaaaa ana degrees ya fan aliosomea kumbe ikosori anasoma masters hkuuu anapga kaz hongera san jama apayuki kama weng agomban nam2 ila ana ma2kama weng jma nijeshi la m2mojaaaa ooooh waooooh
❤
Nakukubali sana kiongozi achana na huyu bwege wa yangs
ila wanasimba sisi ni wakarimu.sana😅😅😅
Tumekuwa tukishea uwanja ila hivi karibuni utopolo anaumiza wachezaji wa simba kwa ndumba na uchawi na hata hapo wataanza kuwaroga na utaona mabadiliko ya matokeo kwa simba
Yaani semaji umeongea point sana,GUNDU la wachezaji WAZEE limeanza kuwaumiza, (ubaya ubwela,,,,,)
Semaji kwani ww kabira gangi
🎉
wao ndo wanavyotak wakae na sis karibu ili wazidi kutuvuruga kwa uchawi wao zindukeni mapema
Sisi tunachezaji wazuri wao wana waganga na wachaei😢😢😮
Acheni simba yetu isonge mbele kwa uwezo wao tu
G.man akili nyingi kichwani
Point ya msingi tushinde mechi zetu na mshinde kweli kweli cyo ka mechi ya costal mie nilitaka kufa na mpaka sasa hiyo mechi inaniuma sana
Yamewanyeraa😂😂😂
Acha kujisifu elekezeni nguvu za kushinda mechi zinazofuata
Ubaya ubwela tutawapokea watakavyo kuja😂😂😂😂
Mnyama
Wamebong'oka katikati ya uwanja semaj atar anajua
Asalam alaykum ina husiana na yesu
Jamani huyu ni msemaji wa mpira sio kikundi cha wahuni kama yanga kasemaje kao huyu ahamedy ally tumchangie tumnunulie Gali Ra zawadi ya uvumilivu hakutetereka Bado Yuko imara wazi rangu Mimi Simba nguvu moja
Hapa wale wa nyuma mwiko wametufuata kikibwa ni kizidisha ubaya kwa mbinu Kali za kivita no kumwamini mtu mpaka wakibali kuwa cc ni baba tz!
Mimi namsubili Elie mpanzu uwanjani
NGUVU MOJA
Ubaya.ubwela..ni.mwendeleso.wa.fraha
Hawa nyumamwiko this around watakubali tu,viongozi wetu wa simba hakuna kulala mbwai mbwai
Tatizo mooo anauwezo mkubwa sana wa kujenga majukwaaaaa palee bunjuuu ilikuondoa hiziii kadhia za kugombeaa wanjaaa yasingee kuwepo
Ghetto amekuja demu la kishua sasa ata pigiwa chini elewa neno atapigiwa chini😅
Nakupata nakupa ila ongeza sauti😂😂😂😂
😂😂😂
Simba msijisahauuu Yanga wanakuja kuroga uwanja wa kmc fanyani kufunga camera na hapo Yanga wachawi Mayele alisema mkampuuza Azam wamewaumbua
Yanga wanawake mmezoea kuchoma sindano za kuzuia mimba
Mpanzu mpanzu mpanzu😅😅🎉🎉
Mshaongea sana sasa tunachotaka utekelezaj bhna maneno yanakuwa mengi adi tutatoa kodi zetu mwshowe