Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Mwenyezi Mungu. AJalie khery lnshaaAllah
Mmekuwa washindi daima mmeonesha upendo pasipo kujari mipaka hii ni sababu tosha kuipenda timu yangu daima.
Maashallah daima mbele nyuma mwiko 🎉🎉💛💛💚💚
Mashallah Allah ibariki Young Africans
Jaman mbarikiwe sana Mungu akumbuke sadaka zenu mnazozitoa akawape ushindi
Young African Daima Mbele Nyuma Mwiko 😊😊🙏🏾🙏🏾🙏🏾👏👏👏
Uwape kitu WATAKULOMBA JIONI YA LEO (Haya KAZI kwetu WANANCHI TUOMBE USHINDI SASA)....💚💛🙏🙏
AMEN mpaka uchungu mungu awabariki kila mnapo toa asnt nashukuru sana mungu
Kwa sadaka hii hata tusiposhinda hiki ni kikubwa sana kuliko hata point tatu
Mpakaa machozii yananitokaa daaaah munguu awajaliee ushiiind mkubwaaa sanaa amenii
Jambo jema Mungu atawabaliki sio wote wenye nacho. ukiwa nacho unamgawia na wenzio
Ushindi tayari
Kila la kheri jeshi letu mpambane tutashinda inshallah kwauwezo ya Allah ilove u yanga yetu daima mbele wananchi wote dua zetu muhimu ❤❤❤❤💚🙏🙏💚💚
Daima mbele nyuma mwiko
Daima mbele nyuma mwiko hakuna cha Mungu akipemda ispokuwa ni ubora wa timu. Best of luck Wananchi.
Msiseme Eng. Hersi....semeni Yanga wakuu.Yeye mwenyewe anasisitiza "...sisi kama Yanga..."
Daima mbele 🎉🎉
Na yeye kaona aongee kiswahili Cha kicongo kdg 😊😊😊
Nakuubali injinia
Amen 🙏🏾
Nadhani muliacha adayenu yakusaidia wanyonge ndio maana mukafungwa sasa mumeirejea ada yenu yakusaidia inshaallah mutashinda
Kifo kipo pale pale
Musonda auzwe mutatuuwa na pressure mbona munamng'ang'ania jamani masteker wako wengi munakwama wapi jamani
Second comment
Mashallah
Wachezaji waache ubinafsi Leo umetocost sana kama pacome Kuna sehemu alitakiwa atoke pasi kalazimisha kufungawenyewe wacheze kitimu
Na bado mnapigwa 😏
Allaah Akbar
Amen❤
Ameeeen
Pacome anaihujumu team
Huyu hersi nyambafu sana nahisi ni simba tunafungwa mrudishe manara ali kamwe domo tu

Msiseme Eng. Hersi....semeni Yanga wakuu.
Yeye mwenyewe anasisitiza "...sisi kama Yanga..."