UPENDO NKONE AOMBA MSAMAHA | NILIKUWA SIJUI KAMA YULE NI FREEMSON

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 644

  • @ThomasSambwe
    @ThomasSambwe 6 місяців тому +41

    Mama Mungu akusamehe.naninakuomba Mama nasikunyingine ukialikwa sehemu.chakwaza pigamagoti uombekibali kwaMungu.akikuruhusu uende kwasababu wakristo tunaongozwa naroho mtakatifu.love from Burundi tutakuombeya na Mungu akusamehe mama yangu🇧🇮

  • @elicanaambweni8666
    @elicanaambweni8666 6 місяців тому +12

    Du!!wewe ni shujaa na mtumishi wa Mungu hakika nimejifunza kitu kwako,umeokoka wewe du,hongera sana

  • @charlottesindayigaya2030
    @charlottesindayigaya2030 6 місяців тому +47

    Mungu akubariki saaaaaana mtumishi wa Mungu dada Upendo Nkone kwa kuthubutu kutoa injili ktk kiti cha Freeman kama nikweli huyo ni Freeman. Kwa sababu Yesu hakuja Duniani kwa watakatifu bali kwa wenye dhambi. Ni kutie moyo ni wewe utakayeokoa roho ya huyo kijana. Muombee kwa mzigo mkubwa saaaaaana arudi kwa Yesu. Usijihukumu kwa kuomba msamaha wewe umefanya kile ambacho Yesu kristo alifanya kwa wamataifa. Wewe ni chombo cha Bwana acha kuomba msamaha kwa kupeleka injili kwa watu waliopotea. Mungu akubariki saaaaaana mtumishi wa Mungu simama songa mbele. I connected from Norway 🙏🙏🙏🙏🙏🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻🇧🇻✈️✈️✈️

    • @stellahwilfred5762
      @stellahwilfred5762 6 місяців тому +6

      Acha bhana kumwambia asiombe msamaha KIBURI cyo Ukristo

    • @hawaelymaricca7602
      @hawaelymaricca7602 6 місяців тому +1

      Pole

    • @Merry-re1pw
      @Merry-re1pw 6 місяців тому

      True

    • @Merry-re1pw
      @Merry-re1pw 6 місяців тому

      ​@@stellahwilfred5762 yupo sahihi atakiwi kuomba msamaha, yy kazi aliotumwa na MUNGU ameifanya, na ninajua kuwa wapo ambao wamepokea kupitia yeye

    • @Keyjop
      @Keyjop 6 місяців тому +2

      Natamani apite asome huu ujumbe .. umemtia moyo saaNa

  • @Esthermordecai
    @Esthermordecai 6 місяців тому +16

    Asante Mwenyezi Mungu Kwa kujibu maombi yangu ya kumwombea upendo nkone,Mungu amekwisha kusamehe mama,tumekwisha kusamehe,usiende na mitindo ya Dunia,enda na neno la Mungu wetu.

  • @atupelemwakatima5126
    @atupelemwakatima5126 6 місяців тому +17

    Ubarikiwe dada yangu mzuri hakika mungu yupo ndani yako na mungu amekupa moyo wa unyenyekevu nakupenda sana

    • @glorymuro5411
      @glorymuro5411 6 місяців тому

      Na ndio maana ndoa yake imedumu mnyenyekevu mnooo safi sana mamy

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 6 місяців тому +34

    UBARIKIWE MAMA YANGU
    HAKIKA UMEONESHA UKOMAVU KWA UNYENYEKEVU WAKO❤❤❤
    GLORY BE TO GOD

  • @bienfaityehova-nissi2842
    @bienfaityehova-nissi2842 5 місяців тому +5

    Upendo Nkone, wewe unatu bariki sana na nyimbo zako. Ila iyo neno yakuwalahani watu kwa sababu wamekusema vibaya nakuwatakiya mabaya, hivyo siyo kahuli ya yule aliye okoka. Yesu anatufunza tuwapende watuchukiao nakuwaombeya. N'a tena, kama kuna pesa huyo jamaa alikupa, umurudishiye, kwa sababu kama kweli haukukuwa huyo jamaa, ina maanisha shetani alikuwa akikutafuta n'a hiyo pesa yake ni mlango mkubwa nakukuaibisha. Kwa hivyo, rudisha pesa Ama kila kitu alichokupa, n'a pia ufanye maombi hata mafungo kujisafisha kwa sababu ulijichafua kuenda kwenye mashabahu machafu, kisha uombi ulinzi wakutosha kwa sababu shetani anakuwinda saaaaana

  • @maryemanuel5263
    @maryemanuel5263 6 місяців тому +7

    Dada Upendo nakukubali sana, na ninakuelewa sana, Na Mungu akusimamie maana una Vita kubwa sana ukiona unapitia Vita ujue kuna ushindi

  • @James-qd2fy
    @James-qd2fy 5 місяців тому +2

    Ubarikiwe mama kiisha msamaha hakuna hukumu tena ila kabla ya kwenda kwenye mwaliko ya huduma ,uchunguze ,kwa sababu kazi unayo ifanya ya nyimbo inabariki watu wengi mama .mwenyezi mungu akubariki .

  • @carolyneyidah.7296
    @carolyneyidah.7296 6 місяців тому +11

    Ni vizuri sana kumuomba mungu unapo itwa kuhuduma mahali popote kisha kusubiri akuelekeze. (Discerning spirit)

    • @frdahkwa5483
      @frdahkwa5483 6 місяців тому +1

      Amen cha muhimu ni Discernment spirit na zaidi ya yote Roho mtakatifu wa mungu ni msaidizi wetu hutuongoza kila mahali

    • @Rm2024-x3d
      @Rm2024-x3d 6 місяців тому

      Mungu na sio mungu

  • @veronicajm
    @veronicajm 6 місяців тому +3

    Amen Mungu ameshakusamehe dada Upendo. Mungu akuinue zaidi kwa unyenyekevu huo. Umebarikiwa!!!

  • @YohanaRichard-e6p
    @YohanaRichard-e6p 6 місяців тому +4

    Mungu akubariki , dada upendo nkone kwa kuwa msikivu fahamu watu wengi wanakupenda hawataki upotee kiroho maana injili ya yesu iliyo ndani yako imeponya mataifa mengi na kuwa baraka kubwa hapa tanzania.

  • @patrickpastory6216
    @patrickpastory6216 6 місяців тому +3

    Mtumishi wa Mungu pole sana kwa yaliyotokea jipe moyo endelee songa mbele kwa kuitenda kazi ya Mungu hubili injili ya Yesu Kristo kwa kila mtu Mwenyezi Mungu alimtuma Yesu kuja kuokoa watu kutoka kwenye dhambi.
    Hujafanya kusudi kwakua haukua na maono juu ya hilo tukio, umearikwa kama unavyoalikwa kwenye matamasha mengine mengi
    kwanza kuna matamasha ya watumishi wanaoonekana kua wa Mungu kumbe ni watumishi wa shetani na wanaalika waimbaji wanawalipa na pesa nyingi ila wanaonekana ni watumishi wa Mungu
    kikubwa jipe moyo fanya maombi kwa Mungu kama ni kosa Mungu akurehemu
    hakuna mkamilifu hapa duniani.
    napenda nyimbo zako nikisikiliza nabarikiwa sana
    kama hutojali sikiliza wimbo wako wa Maombi
    Ila kwa maombi yako mimi nitasimama tena ujuwe kwa maombi yako nitabarikiwa
    ni maombi yangu usimame tena ubariwe zaidi na zaidi.

  • @rabbykioko3415
    @rabbykioko3415 6 місяців тому +1

    Usiogope Nkone wewe ni shujaa maana umeomba msamaha jwa mwili wa kristo, big up, Roho mtakatifu atatujuza yote na kutuongoza katika yote ilimradi tu tumshirikishe ni mwema ataongoza, atatwambia, atuelekeza 🎉🎉.
    Ubarikiwe sana.

  • @bennygwasa4563
    @bennygwasa4563 6 місяців тому +2

    Ubarikiwe dada yangu....Mungu yupo upande wako. Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa

  • @DamarisDuuTausi
    @DamarisDuuTausi Місяць тому

    Dada nyimbo zako zabariki sana sioni kosa lako.za nifariji zanitia moyo.wachana nao wivu huo.hakuna aliyemkamilifu.❤❤❤❤

  • @MaryKilomo
    @MaryKilomo 5 місяців тому +1

    Wewe ni mnyenyekevu Sana Fanya KAZI Dada na mungu akuvushe kila mitego iliyotengwa mbele yako

  • @judytabitha2919
    @judytabitha2919 6 місяців тому +18

    Mamaa Wacha uongozwe Na Roho mtakatifu,Kisha Yesu alikuja kwa wote

  • @rachelpeter87
    @rachelpeter87 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana dada unajua nyakati hizi ni za mwisho na adui anawinda wale waliosimama ktk kweli. Songa mbele dada Mungu anapendezwa sana watu wenye moyo wa unyenyekevu

  • @deboramuhoja1777
    @deboramuhoja1777 6 місяців тому +3

    MUNGU akubariki sana Upendo Nkone, uwe na Amani, ulienda kutumika, wewe ulifanya sehemu Yako ukamuwakilisha Mungu, na wapo waliobarikiwa na ujumbe wa Mungu kupitia wewe uliowafikishia siku hiyo💪 barikiwa sana Kwa unyenyekevu wa moyo wako, Mungu atakupa Ijara yako🙏

  • @obadiambilinyi27
    @obadiambilinyi27 6 місяців тому +60

    Kuomba msamaha ni hekima kubwa sana, ubarikiwe

    • @chillogeorge1383
      @chillogeorge1383 6 місяців тому +1

      Msamaha unakaa hivi???

    • @yesgood3491
      @yesgood3491 6 місяців тому

      Tatizo waimbaji mnafanya utumishi wenu ni utumishi binafsi tena wa maslahi na Si mbele Mungu.

    • @yesgood3491
      @yesgood3491 6 місяців тому +3

      @@chillogeorge1383 sijawahi kuona msamaha wa hivi mbele za Mungu !!

    • @mcmwitatv1951
      @mcmwitatv1951 6 місяців тому

      Anamuomba Msamaha nani?

  • @MoshaRobertKe
    @MoshaRobertKe 6 місяців тому +15

    Yesu hakuja kwa ajili ya wale watu wazuri ,Bali alikuja kutafuta wale waliopotea ,Dada yangu ni heri kumsikiliza Mungu kuliko wanadamu,Yesu anawahitaji hao pia wamwamini kuwa Bwana na Mokozi wa maisha Yao.mtumishi fanya kazi ya Mungu pale atakopokutuma ,silaha yako .ni maombi, Neno la Mungu na Damu ya Yesu

    • @nicodemussteven2068
      @nicodemussteven2068 6 місяців тому +1

      Kabla ya kwenda, anatakiwa amuulize Bwana kwanza.

    • @pkerengy
      @pkerengy 6 місяців тому

      Yesu anawahitaji kanisani sio kwenye magenge yao ya kutoa sacrifice,sio kila msaada wa watu unatoka kwa Mungu.

  • @HelminaMathias
    @HelminaMathias 5 місяців тому

    Hongera dada kwa kukumbuka ulipoanguka na kutubu.Umeamua kurudi kwa Bwana basi achana na walioongea vibaya juu ya lililotokea.Si unajua kindoo wako akikuponyoka unakuwa huna amani, huna furaha Bali hasira. Ukilijua hili basi utasamehe kila aliyekukasirikia. Ubarikiwe sana.

  • @joycemwakilembe-lc9fx
    @joycemwakilembe-lc9fx 5 місяців тому

    Hongera saana kwa ushujaa huo dear Upendo nakupenda saana. Umemshinda shetani ameshindwaaaa. Endelea mbele Mungu yuko pamoja nawe❤

  • @LeonardinaBakuza
    @LeonardinaBakuza 6 місяців тому +1

    Mungu smeisha kusamehe hunakosa ultumwa kwa upendo hukua kuwa kuna mengine tofauti na matarajio yako.kuwa na amani.mungu yuko pamoja nawe,usivunjike moyo fanya kazi yako uliyo tumwa naye,pole sana mpendwa,

  • @nestoryihano
    @nestoryihano 6 місяців тому +4

    Pole Sana dada yangu kwa hili. Cha muhimu kwa Sasa kuwa makini na mialiko, hakikisha tunapata uthibitisho wa Roho MTAKATIFU unapopata mwaliko wowote. Siku hizi mambo ni Mengi,

  • @petermbugi2579
    @petermbugi2579 5 місяців тому +3

    Mungu alimluhusu kwa kusudi maarumu ndiyo maana wengine tumejifuza kitu kupitia kwa huyu mama nampenda kutoka moyo huyu ❤Mungu akuinue 1Yohana 4:20..1Wakorintho 13:1-5,,,,,Ayubu 14:7 Mungu akuinue mama angu songa mbele Mtumishi wa Mungu,,,,,huna ubaya mama.

  • @marykarebeti9410
    @marykarebeti9410 6 місяців тому

    Dada upendo!! Yamkini Mungu aliruhusu uende ili uwajie maadui zako. Wasamehe na usonge mbele.
    Kwangu sijaona kama ni kosa ila ni njia ya kujifunza. Ubarikiwe

  • @mwanawamfalmetz
    @mwanawamfalmetz 6 місяців тому +2

    Pole Mama mi naamini wewe sio mtu wa mitandao raiti ungekuwa nimtu wa mitandao ungekuwa unamfahamu sana huyo mtu❤

  • @AnnaBituro
    @AnnaBituro 6 місяців тому

    Ubarikiwe mtumishi kwa kunyenyekea kwa
    Mungu wako na kuomba msamaha .usifikili wote wanaoitwa ni watumishi wana
    Roho nzuri hapana . Tutakutana mbele yakiti cha enzi tu ubarikiwe

  • @El9a
    @El9a 6 місяців тому

    Pole sana Mtumishi, najua hili kuwa haukujua. Hii ni fundisho kwa waimbaji wote maana wanaalikwa sehemu nyingi hata zisizofaa. MUNGU atuongoze na kutusaidia, msaada wetu uko katika Jina lake...

  • @Bedanolla
    @Bedanolla 5 місяців тому +1

    Ubarikiwe mutumishi wa Mungu
    Ninakupendaaa🇧🇮

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 Місяць тому

    Dadangu nimekupenda bure, Mungu azidi kukubariki

  • @furahaamos1429
    @furahaamos1429 5 місяців тому +2

    Huna kosaaa dada yangu....
    Yesu mwenyewe alifutwa miguu na kahaba.
    Injili huhubiliwa Kwa wenye dhambi!!!!!
    Hata bar nenda kapige injili ifike Kwa watu wote.....

  • @alexandernyambo7739
    @alexandernyambo7739 6 місяців тому +1

    💖Mungu akubariki sana sana dada yetu kwa roho njema ya unyenyekevu huo wa kujishusha
    Wewe una Roho wa Mungu haswaaa....
    Achana na hayo mengine Upendo, hakuna mpango wa adui hapo, hata mimi nilikushangaa, nikajua labda nawe umejiunga freemanson kama akina ............. Maana siku hizi waimbaji wa gospel 🙄🙄🙄 hata hawaeleweki kabiiiiisaaaa..

  • @glorymuro5411
    @glorymuro5411 6 місяців тому

    Hongera kwa unyenyekevu mamiii na ndio mana ndoa yako imedumu,wengine wangefuata nyayo zko ndoa zao zingepona..hongera kwa hilo,Mungu wetu ni wa rehema dear omba toba tu na uwe na aman..wa kukupa aman ni Roho mtakatifu pek yake,wanadam achana nao ukiwafatiliza utamkosea Mungu wako

  • @JustaMartinsEduardo
    @JustaMartinsEduardo Місяць тому

    Minha mãe ❤, Deus já perdoou você 🎉🎉, seja forte cada vez mais 🎉, Nipo Mozambique,Mungu amecha kusame mama yangu🎉

  • @Estherm309
    @Estherm309 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤we salute you Our mum you make us change in all step we take God will bless you with Great things and wisdom and knowledge to understand all

  • @ISRAELOBADIAJACKSON
    @ISRAELOBADIAJACKSON 6 місяців тому

    Ubarikiwe sana mama angu.,.. mungu anauona moyo wako

  • @atupakisyemapuli8637
    @atupakisyemapuli8637 6 місяців тому +3

    Hongera kwa kujitambua na ukiri wako rafiki. Na Mungu aendelee kukutunza na kukuinua

  • @EzromNyamshira
    @EzromNyamshira 5 місяців тому

    Amen, hakika wewe n shujaa wa KRISTO,, pole kwa hiyo changamoto mtumish wa BWANA alie hai

  • @cynthiapwani1383
    @cynthiapwani1383 6 місяців тому +2

    Zaidi toba kwa Mungu mama etu maana ukute walikuwa wanalengo la kukunyonya ulichonacho kipunguze nguvu ya uduma yako au kuiaribu kabisa uduma ndani yako maana unaokoa roho za wengi sana sasa wanaumia wanaona wakualike kinamna sasa kubwa ni Mungu akusamehe sis ni nani tusipo kusamehe kama Mungu atakusamehe we luv u much❤

  • @emmanuelkamenya4004
    @emmanuelkamenya4004 6 місяців тому +3

    Bado unakosea kuomba msamaha na hapo hapo unawaombea mabaya walioona umekosea. Umetumia busara lkn ingekuwa busara zaidi kama ungekaa kimya dhidi ya waliopost tukio lako ili wahukumiwe wenyewe nafsini mwao! Mungu akusaidie ktk huduma yako nzuri.! Zaidi omba Mungu kabla ya kukubali mwaliko wowote.!! Mwisho kama unakiri aliyekualika kwny huduma ni Freemason na kama kuna pesa au zawadi yoyote uliyopewa na huyo mtu baada ya huduma ni vizuri kuzirudisha hao watu tunajua mali zao huwa za maagano. Asante na barikiwa

    • @IsayaSosolo-nx8zk
      @IsayaSosolo-nx8zk 6 місяців тому

      Wewe umeatia mangali ktk yako maisha?

    • @kennomondi5154
      @kennomondi5154 6 місяців тому

      We pia kwenda na uko

    • @amosimussa3360
      @amosimussa3360 6 місяців тому

      Kaka hata kama kuna chochote amepewa na huyo kijana kama zawaidi naamini kwa kuwa anamwamini Mungu aliempa kalama ya kutoa huduma kwa njia uimbaji kufikia mataifa wakamjua mungu naamini hatatikisika daima ila tu asingejilaumu kwenda kutoa huduma mahali pale kwa sababu ya haya ambayo binadamu wanamhukumu nayo yeye alienda kama mialiko mingine kulingana na huduma amabayo ameaminiwa na Mungu akampa ili kutangaza habari njema kwa mataifa na kama yule kijana alimualika kwa nia mbaya anae Mungu atamtetea na hatapatwa na mabaya kwa kuwa anae Mungu anae mwamini🙏

  • @gracyusoy9435
    @gracyusoy9435 6 місяців тому +1

    Safi sana dada Upendo Mungu akutunze na kukupandisha tena, mahali pako pasichukuliwe kwa hila za yule mwovu.Acha hao wengine Mungu atajua la kufanya nao wewe malizana na Mungu unayemtumikia kisha endelea mbele

  • @MabelKaaya-hl2je
    @MabelKaaya-hl2je 6 місяців тому

    Mungu Akusaidie, tengeneza na Mungu halafu uzame kwa Yesu Kristo 100 kwa 100, kabda hujaitika mialiko muulize Mungu sababu sio kila mialiko ni salama, kuna madhabahu za miungu.
    Pia wasamee watumishi wa Mungu walioshtushwa na wewe kwenda kwenye mualiko husika, usitake waadhibiwe na Mungu, wapende na uwaombee rehema. Zama sana kwenye kusoma Neno la Mungu, tobana utakaso wakati wote; mahusiano yako na Mungu yawe kipaumbele. Nyenyekea kwa Bwana. Zaburi 1:1-3

  • @gracesuguta
    @gracesuguta 5 місяців тому

    Acha Mungu apigane na watesi wako! Songa mbele dada mtetezi wako yu hai ❤❤❤

  • @lilliannyangela7227
    @lilliannyangela7227 6 місяців тому +5

    Uache mapambo yote na mawigi, umtumikie Mungu katika utakatifu wote. Wende kwa Robert TV Tanzania

    • @VerahMwamburi5569
      @VerahMwamburi5569 6 місяців тому +1

      We wacha kwani mapambo yanazuia nini

    • @lilliannyangela7227
      @lilliannyangela7227 6 місяців тому +1

      Huwezi ingia mbinguni na hayo mapambo, hivyo ni vitu vya shetani.

    • @AJM24227
      @AJM24227 5 місяців тому +1

      Naomba kujua kigezo cha kuingia mbinguni.

    • @lilliannyangela7227
      @lilliannyangela7227 5 місяців тому

      Ukitaka ingia mbinguni, unabidi kuamini Yesu na kuacha dhambi zote, na hayo mapambo ya mwili ni dhambi pia.

    • @Sara-ne3xl
      @Sara-ne3xl 5 місяців тому

      Hallelujah....barikiwa mtumishi wa Mungu kwa kumshauri jambo la muhimu sana hilo.

  • @VictisBukutsa
    @VictisBukutsa 6 місяців тому +2

    Nimeona Kuna maadui wengi sana wakijiita wahubiri haswa Tanzania,yupo mmoja kuwakashifu wachingaji ,na waimbaji wa injili hata baada ya kushtakiwa na shusho bado hyo familia Haina amani na wengine,liwe liwalo unabaki kusimama Kwa Imani ninakuaminia my favorite ❤️

  • @BakariSalum-j6b
    @BakariSalum-j6b 6 місяців тому

    sawa mama usiwe na shaka mungu anajuwa ukuwa na kosa,kingine kwa hiri tukio za fitina zao naomba utunge nyimbo mungu akubariki kwa ekima yako.

  • @PeterMalema-e3e
    @PeterMalema-e3e 6 місяців тому

    Aisee!! Pole sana Mtumishi wa Mungu, Yesu azidi kukuimarisha

  • @maizakitonka3636
    @maizakitonka3636 5 місяців тому

    Wewe unafanya kazi ya Mungu na jamii inanifunza kitu kutoka kwako, kabla ya kwenda kwenye tukio lolote omba kibali kwa Mungu kwanza na uombe Mungu macho ya roho yafanye kazi.

  • @Proff_khalifa
    @Proff_khalifa Місяць тому

    Wala hakuna Kosa Upendo
    Injili au maneno ya Mungu hupaswa kutufikia sisi watu wabaya ili tuwe wema zaid ya hao wanaojifanya wema na busara uliyoifanya ni kuomba msamaha pale mtu anaposema umemkosea hata kama wewe kwako si kosa..Busara sana

  • @lusilusi8687
    @lusilusi8687 6 місяців тому

    Mungu akupe macho ya roho mum, simama na Mungu na utashinda kwa jina la Yesu

  • @BishibeSabuni-o7h
    @BishibeSabuni-o7h Місяць тому

    Mungu akusaidie mama

  • @salomewilliam9457
    @salomewilliam9457 6 місяців тому

    Hongera kwa kuja kuliongelea sisy Nkone. Ila unaharibu, huna haja ya kuomba Mungu kukulipia kisasi! Km ambavyo umekuja kuomba msamaha ulitakiwa uwasamehe na uwaombee kwa Mungu msamaha. Stephano aliyepigwa mawe bila sababu, hakuwaombea mabaya. Zaidi Yesu ambae hakuwa na hatia aliwaombea msamaha waliomtesa, je wewe ambaye ulitakiwa kumuuliza Roho kabla ya kwenda, ni nani hata uwahukumu watu? Je bila wewe kuja kusema kwamba hukujua aina ya madhabahu, ni nani asingeamini kwamba umefungamana nayo? Umeanza vizuri ila umevuruga kumuomba Mungu alipe kisasi. Baada ya kuomba msamaha wewe pia ulitakiwa kusamehe hata bila ya kuombwa msamaha. Mungu aweke mkono wake uione hii coment

  • @rachelpeter87
    @rachelpeter87 5 місяців тому

    Mungu akubariki sana kwa unyenyekevu

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 6 місяців тому

    Ubarikiwe mama, ni hekima kubwa sana, ila kuna cha kujifunza, kuna umuhimu sana kumuuliza Mungu kuhusu kwenda au kutokwenda kwenye baadhi ya mialiko, haswa kwa watumishi wa Mungu wa kiroho. Ubarikiwe sana mama

  • @CastoBenjamin
    @CastoBenjamin 6 місяців тому

    Ameeen Mungu Akubariki Kwa Unyenyekevu wako Roho wa Mungu akuongoze daima🙏

  • @pastoreliassamson9946
    @pastoreliassamson9946 5 місяців тому

    Kwa kweli Mungu akutunze saana na tumekusamehe endelea kumtumikia Mungu Kwa kweli Mimi binafsi napenda nyimbo zako saana ila pia wasamehe woote waliokupost vibaya

  • @julianamakonda5086
    @julianamakonda5086 6 місяців тому

    Amina. Wewe ni Shujaa, wale waliopost wamesaidia wewe utambue kuwa kuhudumu pale ni kosa. Kama wangenyamaza, wangesengenya, usingejua wapi umekosea. Mungu asimame nawe, usiangalie hizo post tena bali utazame ushindi. Si wengi wanaofanya kushuka kama wewe. Hongera Shuja wa Injili.

  • @AgnesLucas-qw3yi
    @AgnesLucas-qw3yi 6 місяців тому

    Pole dada Pendo. Yesu anakupenda ndio maana umepata neema ya kutubu. Tunakupenda na kukuombea. Usiogope. Dada. Imeisha hiyoooooooo.

  • @SamuelOpingoM
    @SamuelOpingoM 5 місяців тому

    Mungu akutetee

  • @BarakaKamara
    @BarakaKamara Місяць тому

    Huna haja ya kuomba msamaha, YESU alikuja kwa ajili ya kondoo waliopotea. Wewe ulienda kwa kondoo waliopotea.piga kazi ya Mungu.

  • @RozaliaSanka-kv5dy
    @RozaliaSanka-kv5dy Місяць тому

    Mungu anakupenda sana mama

  • @innosentimugarula8625
    @innosentimugarula8625 6 місяців тому

    Pole Sana mtumishi wa Mungu kwa kuraumiwa naamini yesu anawatakia watu wote wake kwake kilichonishangza kwako ni kwamba unaomba msamahaa ukiwa una kisasi na asira moyoni make umekili kosa lakini kwenye maelezo yako ukaanza kuwalaumu watu kwaiyo umeomba msamahaa wanamna gani? Kama unajiona uko sahii ungemuachia Mungu tu

  • @agnesnnko8872
    @agnesnnko8872 6 місяців тому

    Oooh pole sana mtumish wa Mungu jamaniii.Waimbaji wana vitaa n8 huduma inayomgusa sana Mungu na wanadamu....😢😢😢

  • @GiftKayuki
    @GiftKayuki 6 місяців тому +1

    Nilishangaa sana.., afadhari umeiweka sawa
    We love you❤

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 4 місяці тому

    Mungu akusamehe kabisa

  • @deniskilumile612
    @deniskilumile612 5 місяців тому

    Hakika una Mungu ndani ako..usimwache daima .

  • @MaselaOmari-z6n
    @MaselaOmari-z6n 6 місяців тому

    Mungu akusamee mama yetu na mungu akusamee

  • @luganomwaigomole7441
    @luganomwaigomole7441 6 місяців тому +2

    MUNGU AKUTUNZE DADA...UBARIKIWE SANA MTUMISHI...❤

  • @violetmmanyi40
    @violetmmanyi40 6 місяців тому

    Pole sana Dada Upendo! Yesu hatakuacha uangukie kwenye mikono ya adui. Ataendelea kukupigania

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 6 місяців тому

    Toka Zamani Nakukubali mm mwenyewe sikupendezewa Mungu Akurehemu

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 5 місяців тому

    Hata Yesu alisalitiwa jipe moyo dada safari bado.Binadamu wote tumepungukiwa tuna madhaifu inuka endelea❤

  • @MeckyZephaniah
    @MeckyZephaniah 5 місяців тому +1

    Usiombee hivyo watu bali uwaombee rehema kwa mungu sio mungu umwambie alipize kisasi bumbuka mungu si mwepesi wa hasira bali anagahiri mabaya pia mungu anakumbuka rehema

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 5 місяців тому

    ❤❤❤ongera mama kwa kushuka wewe ujawaikuchafua jina lako ushuhuda wako ni mzur bad

  • @obedymwilenga7490
    @obedymwilenga7490 5 місяців тому

    Mungu alibariki sana mama

  • @edrozakfashionstylish5500
    @edrozakfashionstylish5500 6 місяців тому

    Mnaongea sana,
    Binafsi nimelichukulia positive, walau kamtangaza Yesu huko kaweka ushaidi siku ya hukumu hakuna atakaye bisha hakusikia Kuhusu Yesu

  • @abelkidakule8818
    @abelkidakule8818 6 місяців тому

    Mungu akutunze, una roho ya unyenyekevu sana na hekima ya hali ya juu sana, huduma yako inabariki mamilion ya watu, ubarikiwe sana mama

  • @MKRISTOMNENE
    @MKRISTOMNENE 6 місяців тому

    Nakukubar xana mama ang,, ila musamaha anaombwa mungu,, wanadam kama ww wasikubabaishee

  • @mamakayla6697
    @mamakayla6697 6 місяців тому +1

    Hongera sana da UPENDO kwa kuomba msamaha,basi na wewe wasamehe waliosambaza hiyo video.Na wakati mwingine omba sawasawa na
    ,Zaburi 32:8 Roho Mtakatifu atakufundisha na kukuonyesha njia utakayoiendea,atakushauri jicho lake likikutazama.

  • @Pstrichmwamba
    @Pstrichmwamba 6 місяців тому

    Haujakosa...Marko 16:15-16...tutahubiri injili kila mahali...haswa hao freemason..waokoke..n PST Richard nrb Kenya... karibu kanisani Nairobi kwetu uimbe.. barkiwa..Kwa jina la Yesu Kristo

  • @paulmnyanyi7039
    @paulmnyanyi7039 6 місяців тому

    Itoshe kukili na Kumshukuru Mungu kwasababu Kengele ya HATIA NDANI, bado inapiga ndani ya moyo wako. Hayo mengine ni kawaida ya wanadamu kuhukumu kulaumu kalikin Mungu ulienae Anakujua vyema.

  • @Papaahansmo
    @Papaahansmo 5 місяців тому

    Umefanya vizuri sana kujishusha ila hujakosea ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 6 місяців тому +2

    Ubarikiwe kwa moyo wa toba pia nakushauri wakati mwingine umuombe mchungaji wako ruhusa utapata kibali na kwenda kuhudumu mahala sahihi

  • @MaryKilomo
    @MaryKilomo 5 місяців тому

    Haha nami nimejifunza kitu kwako nakupenda Sana kipenzi

  • @rosebaraka8406
    @rosebaraka8406 6 місяців тому

    Ni nyakati za hatari, mwanangu tembea kwa tahadhari. Mungu akuongize Asante kwa kujitambua baba Yako Mungu anakujua anakujua moyo wako.

  • @MoshaRobertKe
    @MoshaRobertKe 6 місяців тому +10

    Mungu azidi kukuinua mtumishi,mimi kwa maoni yangu sioni makosa ,kwa maana wewe ulikuwa na nia ya kuhubiri injili ya Yesu.hata hoo freemasoni wanahitaji kuhubiriwa, na ni nani atawahubiriwa tusopowahubiria sisi ,hata wakati wa Yesu walilalamika Yesu anakula na wenye dhambi ,achana na hao mafarisayo,hao ni watumishi ambao wanazuia watu kuokoka.ulifanya kazi ya Mungu .

    • @meremeta
      @meremeta 6 місяців тому

      Safi sana

    • @PrincessPhina-e1y
      @PrincessPhina-e1y 6 місяців тому +1

      Nimeipenda hiiyo. Safi sana

    • @christenaandria6379
      @christenaandria6379 6 місяців тому

      Nikweli kabisaa kaka hata hao niwanadamu na niwatoto wa Mungu wanatakiwa warudi nyumbani hujafanya kosaa kabisa dada yangu huwezi kujua kama umeokoa roho za watu wengi

    • @sinai7341
      @sinai7341 6 місяців тому

      Shida sio kuhubiri,,shida Ile ni madhabahu nyingine ambayo kama ni mtu wa rohoni hautagain ila Uta looose kitu,,,,

  • @ErnezaKivulenge
    @ErnezaKivulenge 5 місяців тому

    Mungu anakupigania mama

  • @punchmill6273
    @punchmill6273 6 місяців тому

    Pole sana..Mungu akuongoze mtumishi wa Bwana

  • @MathewLazaro
    @MathewLazaro 6 місяців тому +1

    Hizi ni siku za mwisho dada, waimbaji mnatafutwa sana zaidi ya mnachokifahamu. Hivyo jilinde, na kwa kila unacho taka kukifanya, kabla hujafanya muulize kwanza Mungu aliye hai, ye ye ndiye mwenye kazi, anayo malekezo sahihi juu ya kazi aliyokupa(huduma) kazi hiyo siyo yako ni yake. N B waimbaji wengi Leo wanaifanya kazi hiyo kama yao ndiyo maana hawamuulizi Mungu . Mi nikutie moyo songa mbele , hakikisha Mungu kwanza amekusamehe ajuaye moyo wa mwanadamu na usiri wote, usitubu sana kwa wanadamu ukasahau ,anayesamehe ni Mungu kisha wanadamu. Dhamiri yako ina majibu. Ukiwa kazi au huduma hiyo umepewa na Mungu huyo ndiye mwenye dhamana na maisha yako na wa pili ni mchungaji wako atakuombea.

  • @Bedanolla
    @Bedanolla 5 місяців тому +1

    Kazi njema

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 6 місяців тому

    Uko vizur kunyenyekea.Ubarikiwe

  • @MariamMganga-ss9mm
    @MariamMganga-ss9mm 6 місяців тому

    Nakupenda sana mama MUNGU akubariki sana ❤❤❤

  • @yusuphchankwa4759
    @yusuphchankwa4759 6 місяців тому

    Usiwalaumu watumishi wa Mungu japo cjasikia hao watumishi wamesemaje naomba uwasamehe Ila unachotakiwa kujua watanzania walio wengi hawana Imani tena na waimbaji wakike hivyo walipoona na wewe umeenda sehemu Kama hizo ndoo maana wakajua ni walewale Ila Mungu akubariki kwa kujua kosa lako

  • @drelizakilili
    @drelizakilili 6 місяців тому +1

    Kristo mwenyewe aliteseka alipokufa kwa ajili yenu,
    na kwa kifo hicho kimoja alilipa fidia kwa ajili ya dhambi.
    Hakuwa na hatia,
    lakini alikufa kwa ajili ya watu waliokuwa na hatia.
    Alifanya hivyo ili awalete ninyi nyote kwa Mungu.
    Kama mwanadamu, aliuawa,
    lakini uhai wake ulifanywa hai na Roho.
    Na kwa Roho alikwenda akazihubiri roho zilizo kifungoni. Hizo ndizo roho zilizokataa kumtii Mungu hapo zamani wakati wa Nuhu. Mungu alisubiri kwa uvumilivu Nuhu alipokuwa anaunda safina. Na watu wachache tu, yaani wanane kwa jumla ndiyo walioingia katika safina na kuokolewa kwa kuvushwa salama katika gharika hiyo.
    1 Petro 3:18-20

  • @wenseslasdjumasuleymantv8849
    @wenseslasdjumasuleymantv8849 6 місяців тому

    Barikiwa dada kwa unynyekevu

  • @KasimMhando
    @KasimMhando 5 місяців тому

    Ubarikiwe sana,wala usiogope wewe songa mbele

  • @PeterAmasha
    @PeterAmasha 6 місяців тому

    Amina mama maana hakuna kazi ya mungu nyepesi MUNGU Yuko na ww ana kuweka kuwa mkomavu ubarikiwe

  • @jacquelinejebet8869
    @jacquelinejebet8869 5 місяців тому

    Dada yangu mpendwa, nakusihi uwe mwombezi ili kwamba Mungu akupe mwongozo na akufunulie mapenzi yake. Usiende mahali pote bila kusikia sauti ya Mungu.