Umeibiwa palepale bank ulivyoingia kwenye gari walifungua mlango wa nyuma wakakulamba ndugu pole next time tembea na Hela chini ya siti ya dereva au utakua umeamua kudhulumu wenzio
Kuna watu mnasema ni uzembe ila hamjui, kwenye biashara nyingi siku hizi watu wanataka cash. Hata me nilikuwa natoa 30 mpaka 40M nanunua vitu na kulipia ,, watu wanaamini kwamba wakilipiwa benk ni rahc kuibiwa
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Uzembe wa hali ya juu sana,
Duh kumbe galapo inayo watu wanaomiliki hela ndefu kiasi hicho.... anyway pole bro everything gonna be well
Dah!!! Pole sana ndugu!
Mwambieni aangalie youtube ya msafiree wa kenya atanishukuru
Duuuh milioni 62 sio ndogo aiseeh...
Hapo kuna mchezo umechezeka anko
Pole niliibiwa 10m hivyo hivyo nikivaaa viatu vyako naumia sana sana sema police wakiamua wanawapata
Umeibiwa palepale bank ulivyoingia kwenye gari walifungua mlango wa nyuma wakakulamba ndugu pole next time tembea na Hela chini ya siti ya dereva au utakua umeamua kudhulumu wenzio
Apo watu wa bank wanausika uo ni mchongo amelengeshwa na watu wa bank kwaiyo ao watu walikuwa wanamfuatilia Nyuma
Daah pole sana
😂😂oyaah waambie wazee wafanye mambo heshima iwepo mjini
Kama wamasai wakiingia kazin wamekwisha.wakipasua kile chungu Chao wanateketea mmoja mmoja ,wa..
Pole kaka kwa uzembe,kachunge ng'ombe tu Masai na biashara wapi na wapi?
Mwogope Mungu unaeza usiwe mzembe ila ukapata balaa nyingine
Kuna watu mnasema ni uzembe ila hamjui, kwenye biashara nyingi siku hizi watu wanataka cash. Hata me nilikuwa natoa 30 mpaka 40M nanunua vitu na kulipia ,, watu wanaamini kwamba wakilipiwa benk ni rahc kuibiwa
Ulikua unatoa zaka??
Malaki 39:11
Mtu ambae hatoi zaka imeandikwa zitaliwa tuu hata kama itachukua muda
Mtafute mganga wa kenya utarudishiwa hela zote
Lkn jamani mpaka leo hii mtu unatembeaje na cash money kwenye gari. Alafu Huna hata msaidizi
Mi natamani nione hao wezi wanavyotesekq
Pandisha usambala pesa itarudi hiyo
Kwahiyo wanataka kupiga kurujuani
Mpumbavu huyu,unatoaje hela nyingi kama hizo halafu unaacha begi kwenye gari??we ni Fala
Kwani hii ni move mbona matukio yote yamerekodiwa camera man wake angeona wezi
Hapana una fikira ndogo boss hayo matukio alikuwa anaelezea
Fala wewe,ml.62 unawekaje kwenye gari kifala hivyo??nyie ndio huwa mnapigwa risasi na kuporwa
galapo ya mkoa gani
Drama au