YAJUE MAMBO YANAYOMUHARIBIA RAMOVIC NDANI YA YANGA: Wachezaji kuna SIRI wanaificha kuhusu kufungwa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 День тому +1

    Salamba waambie viongozi wampe timu huyo kocha alikua KMC atuvushe ana mbinu zinaeleweka

  • @andrewmagelewanya5124
    @andrewmagelewanya5124 День тому

    Uko vizuri sana Dominic Salamba

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 День тому +1

    Chama amekuja kuanzisha migomo pia fukuza baadhi ya wachezaji

  • @musamshema7838
    @musamshema7838 День тому +1

    Yaani tumepoteza kilakitu kwasasa tunaweza kufungwa nitim yoyote kwenyekigi sijui wachezajiwetu wamekuwaje

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 День тому +1

    Fukuza wachezaji wote

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op День тому

    Kuna vipandikizi ndani na wanavuta. Hakuna kujitoa kama awali. Ving'olewe vyote!

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 День тому

    Tujitafakari kocha asije kutushusha daraja au nafasi ya tatu

  • @JumaMusa-z9t
    @JumaMusa-z9t День тому

    Hakuna kocha pale ni scammer