KAMWE " AL HILAL YA IBENGE WANA ROHO MBAYA SANA | MIMI NA HERSI ALIPOUMIA AUCHO TULISHIKA MOYO "..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 51

  • @jumaibrahim476
    @jumaibrahim476 12 днів тому +7

    Ali kamwe wewe ni manager wa habar African Allah akupe umri mrefu masha'Allha

  • @LucaiyaKyaka
    @LucaiyaKyaka 12 днів тому +7

    Ee Mola Tujaalie Kheir Na Mafanikio kwenye Timu yetu naAfya ya wachezaji wetu Inshaallah

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 12 днів тому +3

    Uzuri Ally kamwe umesomea mpira safi sana ❤❤❤

  • @BoscoSiria
    @BoscoSiria 12 днів тому +4

    Mchezo ule ulikuwa mgumu sana, alhamdudullah Mungu akatusikia maombi yetu

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 12 днів тому

      Kuna kipindi walishambulia wale mafara usifanye masiala kk

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 12 днів тому +8

    Lakini Mungu mwema tulishinda 🎉🎉🎉

  • @LucasHaile-dy9kd
    @LucasHaile-dy9kd 12 днів тому +4

    Kaka Kamwe nimekuelewa sana kwenye ishu ya Mzize mechi mbili za mwanzo makundi tulimmc sana, lakini pia umefanya vzuri sana katika interview ulizowahi kufanya hii pia ni moja ya interview bora sana kwahiyo hongera sana, msalimie ndugu Nazereti Upete hapo na wengine wote tunawapenda sana

  • @Carolina-sm5zt
    @Carolina-sm5zt 12 днів тому +16

    Halafu anatoka mtu anasema wamenunua mechi jamani Binadamu kazi kweli 😂😂

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 12 днів тому

      Wasenge sana mashabiki wa Simba

  • @AmaniChalale
    @AmaniChalale 12 днів тому +18

    Kweli Ali kamwe amesema kweli, hata Mimi niliona pale mbele,wale watu watatu pale mbele walikuwa habari sana, walikuwa wakipata mpira wanajua kutembea na mpira sana,kupiga chenga sana na Kasi sana.kweli ibenge ni hatari sana,

  • @AugustinoKanga
    @AugustinoKanga 12 днів тому +5

    Kweli ally kamwe umesema ukweli wale wanaume walinifanya niangalie mech nmeshika moyo

  • @DenisHassan-b5x
    @DenisHassan-b5x 12 днів тому +1

    Nakukubali sana Afisa habari wangu

  • @HamzaMsalilwa
    @HamzaMsalilwa 12 днів тому +1

    Mungu ametulinda sana yanga ❤

  • @MnyamaWilliam
    @MnyamaWilliam 11 днів тому

    Yanga bingwaaaaa

  • @AndasonWilisoni
    @AndasonWilisoni 12 днів тому +1

    Naipenda yanga

  • @IddyYoung-tz
    @IddyYoung-tz 12 днів тому +3

    yanga imebadilika sana

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 11 днів тому

    alii kamwe mungu yuko pamoja na sisi tutashinda ila kuna dunduka 1 jana alisema watanunua tiket waingie uwanjani wakaungane na waarabu wasije wakavunja viti maana akili zao sio nzuri

  • @Allyhadiya
    @Allyhadiya 12 днів тому

    Allah awatangulie Amiin

  • @ShabaniNuludin
    @ShabaniNuludin 12 днів тому

    Yanga sasa iv tunatisha kaka✌️

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale 11 днів тому

    Half katika wachambuz wooooote hakuna mchambuz aliegundua hicho 😂😂😂😂 wao wanachambua wanavovijua

  • @BarakaBoasi
    @BarakaBoasi 12 днів тому

    Ally unajua mpira sana kaka we nimchambuzi bora

  • @naimasbuguza2395
    @naimasbuguza2395 12 днів тому +4

    Ile left footer inahatari sannnah...!
    Inatembea na Mali alafu huchukui

  • @JoshuaNgungu-i2v
    @JoshuaNgungu-i2v 12 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂nimekuelewa 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @pacomezouzoua9175
    @pacomezouzoua9175 12 днів тому +5

    Al hilal wale jamaq wanaroho mbaya sana na wanauwezo mkubwa sana sitamani hata kukutana nao tena😆😆😆

  • @swamadujumanne795
    @swamadujumanne795 12 днів тому

    Semaji la wanaume wakazi club bingwa anaejua mpira na kuuchambua sio wale wasemaji wa mchongo wasio jua chochote kuhusu mpira wanachokijua wao nikomed na makelele

  • @AmonBukene-t2x
    @AmonBukene-t2x 12 днів тому +1

    Kutoka mwanza tunaiombea yanga ya watanzania

  • @neemaJulius-g2y
    @neemaJulius-g2y 12 днів тому +5

    Tulipumulia choki

  • @JabeliMusa
    @JabeliMusa 12 днів тому

    Nawapata vilivyo nikiwa pande za South Africa nawapata Barabara haw anasema mech haikua tuacheni maana nikawaida Yao kuongea

  • @Jombii-w8n
    @Jombii-w8n 12 днів тому

    Kamwe wakati mwingine unatoa Siri za klabu yakhee, punguza uchambuzi wa ndanii, tunamaadui ati...

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 12 днів тому

    Nzuri sana haya mauchambuzi shida msemaji anaongea sana peke yake,mfano kuna kitu nazareti alitaka kutujuza Ally akamkatiza, nazareti alipopata nafasi, akawa hakuongea tena kile alichotaka kuongea.

  • @ChristopherPanga-z2c
    @ChristopherPanga-z2c 12 днів тому +2

    Ali tuambie mzize anacheza namba ngapi uwanjani

    • @machacolman6200
      @machacolman6200 12 днів тому +1

      mabeki ndio walifanya kazi za kujitowa

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 12 днів тому

      Mzize cku za karibuni anapangwa winga ya kushoto,, japo anaweza kucheza kulia pia pamoja na namba 9

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 12 днів тому

      Wing

  • @marymoshi572
    @marymoshi572 12 днів тому

    المس دعنا نذهب إليهم

  • @MhabeshiMaluja
    @MhabeshiMaluja 12 днів тому +1

    يا شباب ينغ افركنز انا اقول لكم تعالو إلى المعرق يوم السبت انشاء الله

    • @User255tv
      @User255tv 12 днів тому +1

      Subiri kipigo, hakuna namna, mtatusamehe sana.

    • @marthastephen6600
      @marthastephen6600 12 днів тому

      ​@@User255tv😂😂😂

  • @JaphetEvod
    @JaphetEvod 12 днів тому +1

    Wanaosema Ibenge aliuza hawajui mpira makolo hao ilemechi ilikua dume

  • @herifransis
    @herifransis 12 днів тому

    Hivi max nzengeli yupo wapi yule jamaa

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 12 днів тому

      Injury

    • @MsafiriJabu
      @MsafiriJabu 12 днів тому

      Majeruhi

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 12 днів тому

      ​@@MsafiriJabukaaharudi kwenye kikosi,, sasa hivi imebaki mechi fitness tu,,, kocha akiona yupo fresh anaweza kumpa dakika kazaa jumamosi

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 12 днів тому +1

    Kwa nn msimsajili kiungo mkabaji?

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 12 днів тому +2

    WACHEZAJI WAJIANDAE NA MASHUTI YA MBALI:
    1. AZIZI KI
    2. MZIZE
    3. MUDSTHIR
    4. MC ALGER WATAJIANDAA KUZUIA

  • @indebirahariadiel9882
    @indebirahariadiel9882 12 днів тому

    Nawawombeya mkutane tena