Rais William Ruto anatazamiwa kuhutubia taifa leo alasiri kwa mujibu wa katiba ambapo anahitajika kutoa ripoti kila mwaka kwenye kikao cha mabunge yote mawili.
Angelijua angeenda Parliament....angeenda hata uhuru Park goz hiyo Parliament remember the blood of genz..is crying..so bad yaani hta pastor wake wa nyumba hangemwambia hayo ...hiyo Parliament iko damu.....sasa mambo ndio itamchemkia vibaya sana......
Tungoje resignation Wadau😂
Hatun haja wala kuskiz upuzi
Angelijua angeenda Parliament....angeenda hata uhuru Park goz hiyo Parliament remember the blood of genz..is crying..so bad yaani hta pastor wake wa nyumba hangemwambia hayo ...hiyo Parliament iko damu.....sasa mambo ndio itamchemkia vibaya sana......
Afrocinema continues... The King of acting... Drama after drama💔💔💔
WATU WABEBE MAWE YA KUTOSHA...LEO BUNGE INADINYWA TENA.
😂 fire
The good timing will be on lunch time, tuwapate wakipakuliwa , am missing kanyama kama ka cku Ile ingine👊👊
Kama kawaida tumetenga tutatenga mabillion hana jipya ..#Rutomustgo
Please let's pray for our country things are becoming more worse
Nothing to expect from the liar it's lies after lies
Kwa hakuna siku resignation itakua hii Kenya?
Amani Amani Amani, let's corporate the president and give good wisdom.
What are u saying ....shezi sana
@@davidmuli896 wachana na huyo, my guess is that ye ni mtu wa north eastern na hao wote wanakuanga mafala
May God help Our country
How exactly do you want god to help the country?
❤ wakenya muwe mfono mzuri wa afrika Tanzania kwetu ni shamba la ccm Haina uhuru ya vyombo vya habari kama nyinyi
Si pia nyinyi mpiganie haki zenyu
Tumechoka na kuongea yake kila wakati ajenge ata hospitali moja tuone
kuuhutubia amq..kudanganya
He should talk about adani who have been indicted in Newyork 😂
My dream is to meet you 😊
To meet who ? .......I wish you knew
Ajaribu😂
We can't toralate lies every day😂😂😂
He is coming to introduce Billy Gates and tell Kenyans that they should know that he can do what he wants (immunity).
Even if he does that what are you going to do to stop it or change it?
@@itsTheTruthTeller y speak like adani
New lies 😂
To say the usual lies nonsense akwede kabisa ahutubie sugoi people we are tired of him
Very good, ashunge genz wasimfungie parliament, coz Leo kanawaka👊👊
@@Nicholas-yr2sqtuko nchi moja kweli?
King of abduction anaongea leo
Please let's pray for our country things are becoming more worse
How is prayer going to help us?