dalili za mtu anaye karibia kufa muda mfupi ujao

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 107

  • @namicktz_official
    @namicktz_official Рік тому +15

    Mungu Tujalie mwisho mwema

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому +5

    Kuna kaka yangu mhonjwa lakin leo amekataa kabisa kula tangu asubuhi kaomba soda tu

  • @awaahassan936
    @awaahassan936 Рік тому +26

    sio urongo huu ni kweli mtu akikaribia kifo uwa rizki inafungwa pili kauli pia inafungwa tatu uwa yuko na aya sana kila ukimtazama hakuangalii vizury yeye anaangalia ukuta tu

    • @husseinnuru7544
      @husseinnuru7544 8 місяців тому +3

      Nikweli ant mm naumwa nasina masiliano nadunia kabisa kiukweli

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 3 місяці тому +1

      Umeongea ukweli nimeshuhudia mimi

    • @bekakasambala7108
      @bekakasambala7108 2 місяці тому +1

      Yes ukiona anaangalia ukutani maana yake anaona mengi sana ambayo ww huyaoni au waliomzunguka hawaoni lakn migonjwa mwenyew ndo anaona...malaika wa umauti anakuwa Yuko pale ilaww huwez kumwona.😢😢

    • @azizakipunde
      @azizakipunde 2 місяці тому +1

      Innalillah wainaillah raj'uun nimeliona hili pia😢

    • @agnessbahamu3931
      @agnessbahamu3931 2 місяці тому

      Hizo dalili zipo niliona shosh wakati akiugua

  • @aash4145
    @aash4145 2 роки тому +3

    Pole sana laamboya kwakitokwa na mama mzaz,,,, mungu amjaalie makaz mema ya pepo inshaalah

  • @AbdullFaidha
    @AbdullFaidha 24 дні тому +6

    Mm xipo kitandani ila mapigo yangu ya moyo hyana muelekeo pumzi ndo km ulivoxema na kuxameh watu ndo kabx 😢😢😢

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 Рік тому +10

    Kati ya dalili hizi ni kweli nimeziona kwa mgojnwa niliyewahi kumuuguza .. MAREHEMU BIBI YNG... MUNGU AMSAMEH NA AMPE MALAZI YENYE FURAHA. AMYN.

  • @deogratiuslwamboya4032
    @deogratiuslwamboya4032 2 роки тому +21

    dalili 8 zote zimetokea Kwa marehemu mama yangu kabla ya kufa tarehe 17.04.2022. Asante kwa ufafanuzi huu

  • @JauZaty
    @JauZaty 12 годин тому

    Allah atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲

  • @KenasiEsube-g6l
    @KenasiEsube-g6l Рік тому +2

    Shida heee mungu tusamee kwa kila kitu tunacho kitenda

  • @WinnixKamau-fz1vw
    @WinnixKamau-fz1vw Рік тому +3

    Niukweli kabisa,dalili zote dadangu alikuwa Nazi hizo

  • @zainahasanizainahasanihash5781
    @zainahasanizainahasanihash5781 2 роки тому +6

    Emwenyezi mungu tupe mwisho mwema

  • @eunicelango608
    @eunicelango608 3 роки тому +23

    Neno la mungu linasema hakuna ajuae siku Wala saa

    • @vicentsalum4884
      @vicentsalum4884 Рік тому

      Siku wala saa ya kuja Mwana wa Adam

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z 2 дні тому

      ​@@vicentsalum4884hawa wamekosa kaziyakufanya kifo nifumbo

  • @SubiraEgnuss
    @SubiraEgnuss День тому +1

    Nikweli kabisa niliziona hizi dalili kipindi tunamuuguza marehem baba 😭😭😭😭😭

  • @zionshedaffa6446
    @zionshedaffa6446 Рік тому +6

    True kitu kingine uona watu waliokufa hapo zaman R.I.P Mama n 24\07\2023🙏🏼 dalilizote hizo tuliziona kumbeeeee😭😭😭😭💞

  • @MamuMamu-u4c
    @MamuMamu-u4c 5 місяців тому +14

    Allh atupe mwisho mwema ila kifo anajua allh pekee

  • @user-Ndashuka001
    @user-Ndashuka001 Місяць тому +3

    AHSANTE Mungu maana sitakufa nitaishi ili nipate kuyathimulia matendo makuu yako MUNGU. AMEN

    • @AbdullFaidha
      @AbdullFaidha 24 дні тому

      😂😂😂😂

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z 2 дні тому

      😂😂😂😂😂 mmh makubwaaya kwamba hutokufa usituchekeshe jmn

    • @MariamuJuma-t8z
      @MariamuJuma-t8z 2 дні тому

      Kwamba umewekwa msimulizi miaka buku wengine tufe aucyo

  • @elizakaroli3254
    @elizakaroli3254 21 годину тому

    Ni kwel kbsa na mm yalinikuta mgonjwa aliniagiza kitu kurud kashafarik so sad 😢😢😢😢😢😢

  • @alleyjuniourtz
    @alleyjuniourtz 18 годин тому

    Dalili zote hizi niliziona kwa Marehemu Mama yangu kabla hajafariki alinitaka nirudi Nyumbani nimsimamie Biashara zake hapo nilikwenda Chuo kufanya Sup na sikupanga kurudi hiyo siku nimeondoka saa 9 jioni usiku mzima alikuwa ananiulizia...nilimkuta anapumulia Mashine kitendo. Cha kumshika mkono huku nikilia haikupita nusu saa naye alifariki 😭😭...R.I.P MY MOM 🤱♥️

  • @PINGUDAMAS
    @PINGUDAMAS День тому

    Mungu nijarilie mwisho mwema amen

  • @Ayshermbotn
    @Ayshermbotn 25 днів тому +2

    Allahuma jialnii husnul khatma yaa rabbi tusamehe kwa yote tuliokosea na utujaalie qauli thabit inshaallah...
    Allahuma ajrnii mina nnar 😢😢 Allahuma inni audhubika min Adhabil kabri

  • @maalimseifk-gumuadui123
    @maalimseifk-gumuadui123 Рік тому +8

    Kuna baadhi ya binadamu akili zao sijui zipoje yan….Et” Hakuna ajuae zaidi Mungu “kwahiyo mnasema hivyo ili muonekane wacha Mungu sana au🤷🏼‍♂️
    Hakuna anayejua siri ya kifo na hakuna aliyebisha kuhusu hilo,lakin likichozungumziwa hapa ni dalili!Hii elimu imekua adimu sana kwa hiki kizazi za sasa.

    • @ajla-v9b
      @ajla-v9b 24 дні тому

      Kukubali ni uongo km ingekuwa mtu anakaribia kufa sasa wale wanaokufa katik matendo sio wangefk pale achrni izo😢

  • @beatricemdoe2850
    @beatricemdoe2850 Рік тому +2

    Naungana nawe kaka
    Ni kweli kabisa

  • @mwanaidimajid8382
    @mwanaidimajid8382 Рік тому +2

    MWENYEZI MUNGU anijalie mwisho mwema

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Рік тому +1

    Babu yang kabla ya kufa alitaka sana kuonana mami kwa bahat mbaya nlikua mbal nl umia kusikia ali nihitaj sana kabla ya kifo chake

  • @GraceNato-u8r
    @GraceNato-u8r 2 дні тому +1

    Hizo zote Ni dalili, Na Ni kweli kabisaa nyie mnao Seema Ni urongo, hamjawai uguza wagonjwa Na kabisa hamuelewi.tuulize Sisi ambao tumeuguza wapendwa wetu Na kuziona hizi dalili zote. Ndugu hongera Sana Kwa utafiti huo.na wanaokupinga, acha tuwasamehe Ni Kwa sababu hatuwaombei wakutane nayo, Ila wakija kutana nayo, watakubaliana nawe ama Na Sisi ama watatoroka coz Ni ukweli mtupu!!!!

  • @KemmyPrince-r4l
    @KemmyPrince-r4l 2 місяці тому +1

    Mm kakaangu alinipigia sm akaniita niende nikasema ntakuja kesho akang'ang'ania sana niende nikasema kesho itapita masaa napigiw sm kafa

  • @cholocaptain1623
    @cholocaptain1623 2 роки тому +3

    Inaniumiza sana iz story

  • @AishaThabit-yr4mn
    @AishaThabit-yr4mn 6 місяців тому +2

    Usitudanganye wew ushawa kufa ukarud hiyo tumuachie mungu mwenyew

    • @Nyotajada
      @Nyotajada 4 місяці тому

      😂😂😂😂

    • @MussaKhatib-x1j
      @MussaKhatib-x1j 3 дні тому

      Sio muongo hata wanazuoni wanaeleza na mashehe

  • @JauZaty
    @JauZaty 12 годин тому

    Haya naona kama yana ukwel 😢

  • @JanethJames-ri5zq
    @JanethJames-ri5zq 2 дні тому

    Dah mungu warehem marehem ote wape kauli dhabiti 😢

  • @ruqia6079
    @ruqia6079 2 роки тому +9

    Hakuna ajuwae zaidi ya mungu

  • @MaterlingMtui-oz8fp
    @MaterlingMtui-oz8fp 5 місяців тому

    Uwoii,,, nawanaoo kufa na ajali, tumuaxhie Mungu bhna

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib Рік тому

    Ndio wanasemaga anakuwa ja aibu au anakutuma kitu ndo anakufa

  • @AgnesSildion
    @AgnesSildion 3 місяці тому

    Oooh Allah naomba utujalie mwisho mwema.. amiin 🙏😢😟

  • @agripinagasper-ts1yx
    @agripinagasper-ts1yx Рік тому +3

    Moyo hautoki roho ndio inatoka kakaake

  • @KhalfanMakota
    @KhalfanMakota 11 годин тому

    Dalil ya kutaka kuonana na mtu anaempenda ni kwel marehem mke wang alinifuata hadi kazin hakuna cha maan alichokuja kuniambia isipokuw furaha tu alipofika nyumban tu umaut ukampata sitosahau hii mwaka 2022

  • @HawaMideko-i3e
    @HawaMideko-i3e 8 місяців тому +1

    Mama Angu Alikuwa Anawaona Waliotangulia mbele za Haki Rip mama😭😭

  • @hamiduahmadi3854
    @hamiduahmadi3854 Рік тому

    Kumbe dalili zenyewe zimebezi kwa wagonjwa tu?

  • @SalumuZomba-xb5bz
    @SalumuZomba-xb5bz 11 місяців тому

    Kaka angu mungu ndio anayejua

  • @KelliaSibomana
    @KelliaSibomana 3 дні тому

    Amen G bless u

  • @michaelmwadete8078
    @michaelmwadete8078 Рік тому +2

    Ww ulijuaje hayo,maana kifo ni siri mungu ameiweka hapo,

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 3 місяці тому

    RipMama kabla hajafaa alinipigia simu nikamuone dah nilikuwa nimefungwa na giza zitosikuweza kwenda kumuona baada ya siku mbili napigiwa simu mama yangu amekufa 😢😢😢😢😢

  • @marrymangaro3613
    @marrymangaro3613 Рік тому +5

    Wacha kudandanya watu, hakuna ajuwaye ni mungu pekee ndiye anayejuwa siku na masaa!

    • @maalimseifk-gumuadui123
      @maalimseifk-gumuadui123 Рік тому +1

      Akili yako bado ni changa ndo maana umeandika hivyo….vyote ni kwel!
      Kwan kwenye hayo maelezo kuna mtu alisema yeye ndo anajua siku na masaa ya mtu kufa?acha ujuaji mwingi

    • @husseinnuru7544
      @husseinnuru7544 8 місяців тому

      Nikweli msikatae mm naumwa najiona kabisa saw amini

    • @KemmyPrince-r4l
      @KemmyPrince-r4l 2 місяці тому

      Binadamu yoyote anajuw akiwa anakalibia kufaaa Kama anakufaa

  • @RahmaAlly-r6x
    @RahmaAlly-r6x 13 днів тому

    Hakuna hajuwae kesho japo zipo 'mungu type mwisho mwema

  • @emmanuelshilagi3302
    @emmanuelshilagi3302 2 місяці тому

    nikuongezee tu kuwa kunakuwa na kiu ya kifo mtu anaanza kuongea kifo mara kwa mara anasikia kiu ya kifo moyo wake huanza kutamka kufa au kikata tamaa ndio maana huanza kuita watu

  • @SaraMkiwa
    @SaraMkiwa 5 місяців тому +1

    Mm najihisijasho kichwani navidole kufaganzi

  • @MamuMamu-u4c
    @MamuMamu-u4c 5 місяців тому +1

    Watu sikuhizi wanakufa wala hawaumwii

  • @dorahmbaga5719
    @dorahmbaga5719 3 місяці тому

    Jamani ningejua baba yangu alinipnyesha hizo falili lakini sikujua

  • @Amissi_abasi1
    @Amissi_abasi1 5 місяців тому

    Kwl kbs mwanzo mwisho

  • @SilajiHamani
    @SilajiHamani 3 місяці тому +2

    Mmm.uwondiomwisho.wakuish.kwakweri

  • @miria659
    @miria659 Рік тому +1

    Na wale hupata anjali kwa gafla

  • @aminamgema8917
    @aminamgema8917 Рік тому +3

    Mmh!!

  • @mybenzii7608
    @mybenzii7608 3 місяці тому +1

    Kweli kabisa nliziona Dalili hizo zote kwa marehemu babayangu😢😢😢. ee wasamehe makosa Yao wazaziwangu n uwagazie nuru y milele n milele 10:21 10:21

  • @jubiercib3074
    @jubiercib3074 Рік тому +4

    Ynwz kutokea yt hyo na mtu asife Allah ndio anajua siri y kifo....

  • @SharifaSherry-er1xz
    @SharifaSherry-er1xz 5 місяців тому +1

    Allah Akbar🙏🙏🙏

  • @izakabdul
    @izakabdul Рік тому +1

    Cuale certeza que você tem?? Esses coisa que você sta falar?

  • @GraceNato-u8r
    @GraceNato-u8r 3 дні тому

    Tunafaa kusikiza Mara nyingine Hadi mwisho, ndio tu comment jameni, amesema dalili Wala hajasema saa ya mtu Ni saa ngapi tafadhali

  • @wamillazotz8248
    @wamillazotz8248 2 роки тому +2

    Wew sio mungu bwahna!

  • @Lexvanny
    @Lexvanny Місяць тому

    Nielezeeni na mimi

  • @Jamalatjumaan
    @Jamalatjumaan Місяць тому

    Hiyo nisiri ya Mungu peke yake

  • @dakihamaluta4159
    @dakihamaluta4159 Рік тому +1

    Alikwambia nan

  • @DenisMawala
    @DenisMawala Рік тому +1

    😢😢😢😢😢

  • @rossaad8795
    @rossaad8795 Рік тому +1

    Hakuna anae Juan cku yke

  • @zulftomy6425
    @zulftomy6425 3 роки тому +4

    Bora umuwmbie

    • @Lexvanny
      @Lexvanny Місяць тому

      Niambie bac eeee🥴

  • @Lexvanny
    @Lexvanny Місяць тому +1

    Nn

  • @dakihamaluta4159
    @dakihamaluta4159 Рік тому +1

    Tafutta story book zingne huko unakoenda utakosa watazamaji wakwanza mm

  • @hamiduahmadi3854
    @hamiduahmadi3854 Рік тому +1

    Kumbe dalili zenyewe zimebezi kwa wagonjwa tu?