Hongereni sana Mchg. Mwambola, nimependa huo mwelekeo wa kua na watumishi wachache na sadaka isadie kazi ya kulea wana wa Mungu, wajane na yatima. Kazi hiyo imeachwa na makanisa mengi kwa muda mrefu. Mwenyezi Mungu awabariki sana na muendelee na mtazamo huo,
Hata nimehamasika kufungua tawi la KKAM. Tupo kama 10,tumejipanga 1/10 tutoe KKAM kuanzia July 2022. Pia sehemu ya mali zetu kama ardhi,mifugo na mazao tujitolee ili kuanzisha KKAM.
Ikiwa Mnayo ongea Ni ya kweli, Mungu Akubariki Sana. Lakini Kama mlikua mnang'ang'ania kwa ajili ya madaraka na sadaka bas Mungu atende kazi yake, ikiwa mna uhakika kwamba mliyokua mnayafanya KKKT ni busara Mungu awabarki Sana, lkn Kama ilikua Ni kwa ajili ya maslah yenu. Mungu afanye kaz take🙏🙏
Kuna watu wa kuwaelezwa sio jivava balaa lake si unalijua lkn utaonaa kaziiii itavo pigaa kelele😆😆ww hata sio wa kubishana na ww mana unaelewaaaa kindaki ndakiii yani kimoyo moyooo unajiaaaaa kaziiii itayo kuja apooo 😆😆😆yaniii unaelewaaaaaa sanaaaaa kwahio tuliaaa baba 😆
Manacho shindwa kujifinza ni hiki martin luther alipoondoka jiondoa kutoka katoloki mpaka leo haijafa kwa hiyo nanyi kkkt haitakufa ila ninyi ndio mtapoteana mda si mrefu
Nafuu ya Mwambola unayemwita Mwongo kuliko hao waliotumia hati ya Chuo Cha Uyole kukopa hela Crdb Bilioni Mbili na kuweka mfukoni ngojeni michango ya kulipa deni au kuuzwa Mali za Kanisa ndio hao mnawaita maaskofu
Hakuna kanisa la kkam ila lipo kanisa la KKKT jaman Mwaikali MUNGU anakuona mrudien MUNGU nyie Mwaikali umelitenganisha kanisa mbona haijawah kutokea KKKT kuvunjika?
Saizi wanadaiwa milioni mia walizokopa kumsimika askofu wa mchongo bado zile billion 4.7 za kujengea chuo nyieee nyieeeeee hahahah Mwaikali namshukuru kwa msimamo hakutaka kusaini upuuzi ..... ukweli wako ndio ulifanya baadhi ya wanufaika wakuone mbaya kumbe ulikuwa unataka haki ... ndio maana walikataa kusuluhisha walijua utawaumbua hahhahaha

Hilo tatizo ,ila msichanganye siasa na Imani!! Ikiwa ni kazi ya Mungu mtaendelea.
Baba mwambola fanya kaziyako uliyo itiwa baba mungu akusaidie
Ndg yangu Mwambora pole sana umenikumbusha mbali sana
Mbona sisi wakristo tulala je mungu ameweka roho mbili au
Mtafuteni MUNGU NYINYI NA WAUMINI WENU MAANA YESU mhukumu was YOTE anakuja
Hata nimehamasika kufungua tawi la KKAM. Tupo kama 10,tumejipanga 1/10 tutoe KKAM kuanzia July 2022. Pia sehemu ya mali zetu kama ardhi,mifugo na mazao tujitolee ili kuanzisha KKAM.
Ikiwa Mnayo ongea Ni ya kweli, Mungu Akubariki Sana. Lakini Kama mlikua mnang'ang'ania kwa ajili ya madaraka na sadaka bas Mungu atende kazi yake, ikiwa mna uhakika kwamba mliyokua mnayafanya KKKT ni busara Mungu awabarki Sana, lkn Kama ilikua Ni kwa ajili ya maslah yenu. Mungu afanye kaz take🙏🙏
Cha msingi msisahau Mungu ni mkali!
Kikubwa mjitahidi kutoshikamana na vitu kuliko Mungu
Injili hii itahubiliwa kwa namna yoyoteile, mpaka Yesu kiristo atakapo rudi
Mungu awabariki Sana
Watu wa mungu wanaangamia kwa kukosa maarifa
Jamani kkkt naona linaelekea kualibika maana wamejikita sana kwenye siasa
Uko vizuri sana Mchungaji ... wao waendelee kusali na Askari na Askofu wao wa mchongo hahahhaha
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....yote hii ni kujitafutia ulaji..."mkiyaona haya tambueni mwana wa adam yu karibu kuja"
Utakufa na kijiba cha roho, mungu ameamua nani apinge
Ulichokuwa unakitaka umekipata acha maneno!
MUNGU awabariki sana
VYOVYOTE IWAVYO, INJILI IENDELEE MBELE..
Sizitaki Mbichi hizi mwee😄
Kuna watu wa kuwaelezwa sio jivava balaa lake si unalijua lkn utaonaa kaziiii itavo pigaa kelele😆😆ww hata sio wa kubishana na ww mana unaelewaaaa kindaki ndakiii yani kimoyo moyooo unajiaaaaa kaziiii itayo kuja apooo 😆😆😆yaniii unaelewaaaaaa sanaaaaa kwahio tuliaaa baba 😆
Sasa si umhubiri Yesu lazima uguse upande wa pili ili story yako ikamilike? Hubiri injili acha kushindana
Mnaumia na huku kweli mmelaaniwa nyie, mlifikiri wako peke yao
@@leahestony2723 walijua tutawaacha kumbe mategemeo yao yamegonga mwamba
Usipo mjua utadhani anasema ukweli 😂😂😂🤣
#yaaan_acha_tu😄😂😂
Tuambie wewe unayemjua. Hapa nilipo nimeanza mchakato kuanzisha hilo Kanisa la K.K.A.M.
kazana
Usiangalie video zake uyu atakukeraaa sanaaa😅😅
@@eliezermwaisango2340 afu mwakalasi unapenda mitandao kama mtotooo 🤣
Hapo anataka kusema alikopa basi la Kesha nami
Maneno ya mkosaji hayo.
Acheni janjajanja
Manacho shindwa kujifinza ni hiki martin luther alipoondoka jiondoa kutoka katoloki mpaka leo haijafa kwa hiyo nanyi kkkt haitakufa ila ninyi ndio mtapoteana mda si mrefu
Haaaaa
Safi
Kumwanya kutali mujomba!! ikisyesye Kya kyalindile Jutta
Huyo jamaa kwa uongo kiboko.
Nafuu ya Mwambola unayemwita Mwongo kuliko hao waliotumia hati ya Chuo Cha Uyole kukopa hela Crdb Bilioni Mbili na kuweka mfukoni ngojeni michango ya kulipa deni au kuuzwa Mali za Kanisa ndio hao mnawaita maaskofu
🤣🤣🤣🤣🤣
Hamna kitu hapo
Wapendwa sijui kama kweli mnakuja na mapanga halafu mnatangaza aman jaman wachungaji kumbuken siku yamwisho mtatoa majibu
Maneno yamkosaji
Sasa kwann usingeanzisha la jina lako wkt mwenzio Martin Luther alianzisha la iman kutoka kwa MUNGU c kuchafua KKKT ww Mwaikali shida n nn
Nenda kafungue kanisa Hadi mbinguni wewe nenda tu
Kwa hiyo ulikuwa kwenye kampuni.
Amani ndio Kila kitu hapa dunia hii...muwe na Amani
Hakuna kanisa la kkam ila lipo kanisa la KKKT jaman Mwaikali MUNGU anakuona mrudien MUNGU nyie Mwaikali umelitenganisha kanisa mbona haijawah kutokea KKKT kuvunjika?
Maneno ya kushindwa hayo majungu hayo sema neno usihusishe wengine unapokuwa madhabahuni
bora da maaana
Kimeumana mwacheni aseme mmemtesa hadi kumlaza ndani
Sema baba upone nafsi walikulaza ndani bila sababu sema tu hata wakichukia haupo kwao wewe sema tuu
Majunguu masufuria😃😃
Mungu awabariki Sana watumishi wa mungu
Hahahaaaaaa pooooole sana ila saizi unaijua kweli eeee pale mwanzo ulikuwa huelewi weeejamaa
Saizi wanadaiwa milioni mia walizokopa kumsimika askofu wa mchongo bado zile billion 4.7 za kujengea chuo nyieee nyieeeeee hahahah Mwaikali namshukuru kwa msimamo hakutaka kusaini upuuzi ..... ukweli wako ndio ulifanya baadhi ya wanufaika wakuone mbaya kumbe ulikuwa unataka haki ... ndio maana walikataa kusuluhisha walijua utawaumbua hahhahaha
Hamna kitu hapo
Tangaza neno la mungu acha story