"Tokeni ama nipige nduru 🤣🤣🤣 na ile ya foreman meets the owner.."hiyo pesa mpaka monday......austin bana keep up the good work.. comedy on another level sijui hii channel mbona haifiki over 100k
Honestly... This one has made me subscribe to his channel.... I just like your transition how you turn from normal to cry immotionally... Big up bro.. You've my subscription
Aki umbwa hizi😂😂😂nilichezwa hivi yr2020 apo Luthuli nkabuy Samsung S8 (but kama hii ya Austin🤣🤣)na kinampatia kaDuos kangu for ksh.2500...hadi nlikua nakimbia ati wasinifwate
Its the the 'Yaanimenunua ugali 18000' part for me😂😂😂😂
me too am done
18k ya kununua piano ya kanisa😂😂😂
Austin ni fala sana
That smile at the beginning of the skit tells you the disappointment is going to be massive
I can't wait for the 'kulia' part always cracks me up😂
😂😂😂.... hello bishop
😂😂😂😂alinunua ugali 18k🤣🤣🤣pesa za piano ya kanisa🤣🙌🙌this guy deserves more subscribers 😂
"Tokeni ama nipige nduru 🤣🤣🤣 na ile ya foreman meets the owner.."hiyo pesa mpaka monday......austin bana keep up the good work.. comedy on another level sijui hii channel mbona haifiki over 100k
😂😂😂😂😂😂😂 umewekewa ugariii 😂😂😂
Pesa ya piano ya kanisa🤣🤣🤣
We need a name for Austin's skits
My laughing started at " yani nimenunua ugali ya 18 thousand
I come to youtube looking for online jobs then i find Austins videos recommended and now I have to watch
Most expensive ugali on the planet🤣🤣🤣
when the sad tone comes on you know its about to go down
Honestly... This one has made me subscribe to his channel.... I just like your transition how you turn from normal to cry immotionally... Big up bro.. You've my subscription
Ndani Nilishikanisha na ugali moto😂
Aah you guy Muigai utaniua siku Moja😂😂Happy birthday broo 😂😂🎉🎉
🤣🤣shukran sana kaka
oh men the emotion apo ikiisha iko on point mbaya mi nlikaribishwa nairobi na mem
Wacheni tuh nilie nimeshindwa kucheka😂😂🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭💔💔💯✌️❤️
Austin is best at his content yaani simu 18000
Ungemuambia tokaaaaaa
I was conned like this back in 2012.
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣sorry
U must be conned for u to fit in Nairobi
Ugali pia🤣🤣🤣😂?
When i noticed the guy passing hapo emotional i was like shouting ndo huyoooooo 🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂 This man cracks my ribs all the time. kudos bro.
When the sad tone beginns,,najua it's about to go down 😇😞..keep up bro✅✅
This guy 🔥🔥🔥
Austin is too good at this characterisation💯👑🇰🇪😂😂
nah hivo ndoh mjini kunachezangwa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aki umbwa hizi😂😂😂nilichezwa hivi yr2020 apo Luthuli nkabuy Samsung S8 (but kama hii ya Austin🤣🤣)na kinampatia kaDuos kangu for ksh.2500...hadi nlikua nakimbia ati wasinifwate
🤣🤣🤣aaaah izah mehn
Muigai Content always on the next level... Always happy, emotional and mostly motivated... 🙏🙏🙏... Utajua chenye utaambia Bishop 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾 brother man, I pray you live long man!
Vile aliumaa! Iyo sembe msee😢😥😅😅😅
We eeeeh hapa nimekubali💯nimeamini
Nmekwama hapo kwa nmefika salama😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂istg Austin got talent
New Fan bro, I love and admire your work. Hapo kwa pesa za piano ya kanisa🤣
Austoo you always nail it
Emoshonoo damage😂😂🤣
🤣🤣🤣
Undermighty ameverify🥳🥳
I need the title of that instrumental
Fwaaaaaaaaaaayaaa🔥🔥
Your content is always lit🔥🔥😂😂😂
Naona numbers za subscribers zinasonga,, thanks for showing love to mr Austin.
👊👊👊
😂😂 emoshonoooo. That's always my favorite part. Where were you buaana.
Aki you guys are super creative
Nmefika #yuzzy comedian
Bro you should be acting on bigger platforms... your a star
😂😂😂😂...tricky sanaaaa
Obienji...we apana
Great job
Aki wewe🤣🤣🤣🤣😭🤣🤣
Ugali 18000😂😂😂😂😂😭
You always remind me of our deputy principal Mr Ndung’u wa karima boys
Again the soundtrack🤣🤣🤣🤣
ever since I subscribed, I have been doing a marathon of the videos 😂😂😂💯
waaah🤣🤣🤣🤣 niokotwe
wasee you always make my day ....hello bishop😅😅🤣
😂😂😂😂I like this😂😂aki obweji wee ni konii
,nice...utakua careful bro
Woh, reckon someone buying one that he later discovered was filled with clay. Labda upige nduru, mbese? Noma sana
Itabidi umeenda tu na io sembe kwa bishop😂😂😂😂budaaa
Saka tu omena uiteremshe nayo😂😂😂
Kuja nikupe yangu 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Manze this guy..too creative🤣😂😅😂
"praise God" got me cracking 😂😂😂
Nice one Austine
Pesa nilikuwa nimepewa ninunue piano na kanisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Obienji your are gangster🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
aaaaah.....KARIBU kanairo na pesa ya kanisa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Gima ya ngiri twedi faef! First offer
You literally tasted the ugali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣umekula simu 🤣
Hapo kwa pesa ya piano ya kanisa ndio imenimaliza, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣pesa ya piano🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aii boss adi nkasubscribe
Imebidi ameikula 😂😂
😂😂🤣 ati piano ya kanisa ...
😂😂😂alafu akakula iyo ugali😂💔
Nimenunua ugali ya 18 thousand 🤣🤣🤣🤣 praise God lakini!
Nimenunua ugali 18,000😂😂😂😂👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥
Huyu boyz anakaa tu mwizi😂😂😂😂😂
Ati hadi game ya Ps4 😂😂😂😂
😹😹😹😹nimenunua ugali 18000🤣🤣🤣
This is hilarious😂😂😂😂 anakula adi ugali
Can't stop laughing 😂😂😂..pesa ya kanisa ya piano imenubua ugali ya 18000😂😂😂😂
Skuizi form nikulia😂,,,commedy next usilie tenaa cheka sasa😂😂
Aty praise God 😂😂😂😂😂😂
happy birthday Austin!
Thanks🙏🙏
hadi ukaonja uconfirm kweli ni ugali 🤣🤣🤣🤣
These videos are killing me😂😂
shamba la mawe 😂😂.
Kali💯😅
My emotional guy😂😂😂😂💔
Amazing commedy bro
I am a huge fan
na anakula io ugali
Karibu kanairo Karibu kenya😆😆😆😆😆💔
nilianza kucheka ata kabla ya Austin kufungua box😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌brooo hii imeniundia siku...ugali ya 18000
Hii nayo nmesurvive kimiujiza 😅😅😅😅😅ugali ya 18k .Thanks Austin
Aki mimi Stinaoz utaniua🤣🤣
😂😂😂malipo ya kukula pesa ya kanisa
nimenunua ugali eitin thousand 😂😂😂
Hahahaha...Huyu Pedi ni mnoma.
😂😂😂😂Austun Am your Top fan