Asante sana kwa kazi nzuri,ila naomba mwalimu wa kwaya Golgotha,asiwe anaweka watumaji wawili kutuma kwa sauti moja,labda iwe kwa kukazia kwa sauti ingine.maana hiyo huwa unatoa laza ya wimbo. Au afadhali mmoja utumaji mmoja na mwingine atume mwingine
Amen!
Mungu awabariki sana kabisaaaa❤
Amen Mungu awabariki sana
Mbarikiwe waimbaji mmenibariki kwl
May God bless this amazing family ❤
Praise be to Lord God
Amen
Asante sana kwa kazi nzuri,ila naomba mwalimu wa kwaya Golgotha,asiwe anaweka watumaji wawili kutuma kwa sauti moja,labda iwe kwa kukazia kwa sauti ingine.maana hiyo huwa unatoa laza ya wimbo.
Au afadhali mmoja utumaji mmoja na mwingine atume mwingine
AMEN! ASANTE UBARIKIWE SANA NDUGU KWA MAONI YAKO YOTE NIKWA UTUKUFU WA MUNGU🙏🏽❤
Wow mbarikiwe sana waimbaji🙏🏽
Amina kubwa sifa kwa Bwana
Amen amen ❤
AMEN❤🙏🏽
Tuishi milele ❤️
😭🙏✊Amen kubwa!
@@DeboraAsukulu Ubarikiwe sana daughter🙏🏽
Amen amen amen 🙏 ❤❤❤