OSTAZ JUMA NA MUSOMA:HARMONIZE MAREKANI ANALIPWA HELA NYINGI/AMCHANA DIAMOND ASWALI/HARNDI MSIKITINI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 128

  • @eliasparf4m
    @eliasparf4m 3 роки тому +1

    HARMONIZE de King djechi namupeda san kutoka Congo,,❤❤🐘🐘🐘🐘🔥🔥🔥🔥💪💪💪🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @abdallahirishura245
    @abdallahirishura245 3 роки тому +1

    nampenda sana msani wetu harmonize tunapenda aendeleye ki musiki

  • @byamungunene5341
    @byamungunene5341 3 роки тому +4

    Thanks you so much my 👏👏👏harmonize 👑❤❤❤👏👏🇺🇸

  • @mary5162
    @mary5162 3 роки тому

    Ostadh juma 💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕Wambiye kbsa NA ukweli unauma 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @merlinhope8396
    @merlinhope8396 3 роки тому +5

    Ostaz juma umeongea ukweli baba I like you

  • @brotherbenson7912
    @brotherbenson7912 3 роки тому +8

    Nobody is complete in life ,we have our weakness and strength,but hate is not sign of weakness or strength,the hate you have for diamond will not take you any where

  • @rojanay9671
    @rojanay9671 3 роки тому +2

    Wewe mzee Tafuta hela acha wivu wew halafu nilivokusoma upo team ya upande mmoja

  • @arsenhuruma3785
    @arsenhuruma3785 3 роки тому +1

    Ostaz J. Namusoma MDA wa kazi
    #KITALE WA_AGREY_LIKOMA

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 3 роки тому +3

    Dhooo mzee anaishi Kama malaya kabisa,carima story si n tv ya wasenge tu

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 3 роки тому +2

    Hata ukimchukia humpunguzii rizki yake.Tafuta kazi ufanye bro!

  • @bitangacasafi3279
    @bitangacasafi3279 3 роки тому +6

    Iyo nikeli nakupenda juuu unasemeshaga ukweli

  • @abilahiumande3743
    @abilahiumande3743 3 роки тому +5

    Mzee umetisha

  • @hamadijuma4047
    @hamadijuma4047 3 роки тому +6

    Nakubari mzee baba

  • @bekabakari8355
    @bekabakari8355 3 роки тому +2

    Full mzee babaa 💪😄

  • @swahilifc7614
    @swahilifc7614 3 роки тому +3

    Bro humans are different, if we were all the same, we all thought the same then the world would have been a differrent place, let diamond celebrate his achievements. Diamond plays a big part in tanzanian music. #Jealousy.

  • @jboyzombie8866
    @jboyzombie8866 3 роки тому +3

    Uyu mzee nikimsiaga naona kama akili ana yani anamchukia diamond kwakua akuchukuliwa kuwa meneja kama mwenzake wakna babu tale salaam mkubwa fella sasa ana haha Dah

  • @fasterwalker1464
    @fasterwalker1464 3 роки тому +2

    Hili fala tu Harmonize kavaa Chen ynye pcha ya yesu aoni Hilo ni chuki tu kwa Platnumz Simba Ni fire 🔥🔥

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 3 роки тому +2

    Kwa uelewa wang hapa kuna kitu kat ya Diamond na Ostaz juma,Co kwa chuki hii

  • @estherwaigumo9929
    @estherwaigumo9929 3 роки тому +8

    Kweli kabisa 💯

  • @ayubukedimundi3221
    @ayubukedimundi3221 3 роки тому

    Uyu mzee fala sana.....yeye anasema kuhusu dini ........alafu yeye anatumia ela zake kusaidia mziki amaboa ni dhambi alafu anasmema daimondi ni mzambii......mzee uyu ni fala sana sana

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 3 роки тому +3

    Huyu ni juma tu sio ostadhi

  • @salumDion3175
    @salumDion3175 3 роки тому +3

    We tako2 uyu unamsifia mwenyewe kachora tembo mgongon ko tembo anaingia mcktin

  • @fortunatasilipigni1632
    @fortunatasilipigni1632 3 роки тому +3

    i love this guy

  • @bekaboybj3050
    @bekaboybj3050 3 роки тому +1

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @birorichantal3610
    @birorichantal3610 3 роки тому +7

    Kweli baba

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 3 роки тому +3

    Huyu mzee kuma kweli,sasa hapa Tanzania kuna msanii gani anae Sali, Huyo Harmonize anaemtetea alimuona lini kaenda msikitini kuma huyu?

  • @abuqusay8912
    @abuqusay8912 3 роки тому +2

    king of diamond songs

  • @getrudealamis5682
    @getrudealamis5682 3 роки тому +3

    Nakupenda sana wewe baba ni mkweli

  • @timelessdaddy.2542
    @timelessdaddy.2542 3 роки тому +2

    Umepanick macho yamekutoka km chura alibanwa na mlango...

  • @mishwanwanmish8803
    @mishwanwanmish8803 3 роки тому +1

    Msanii no. Wani

  • @shebbyabisai1350
    @shebbyabisai1350 3 роки тому

    Nampenda Sana huyu mzee Yan anaongeaga point Ila mjinga hawezi mwelewa

  • @issamjuma7871
    @issamjuma7871 3 роки тому +2

    Kumamayo huna ustadh mmoja kuma ww falaaa

    • @milomohmooh9212
      @milomohmooh9212 3 роки тому +1

      Acha matusi yasiyo na faida mkuu haupati chakula humu we angalia au comment mambo kwa kushauri kitu na sio matusi

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 3 роки тому +2

    Akuna ostazi hapo choko limoja tu

  • @salimali7930
    @salimali7930 3 роки тому +1

    Mm naona Mziki ni ushetani Sasa tuseme wasanii wote sio mmoja.. Ndio kuelimisha

  • @kotongomunkupahlombe8169
    @kotongomunkupahlombe8169 3 роки тому

    💥💥🐘🐘💪💪💯🌴

  • @gredoslegend6132
    @gredoslegend6132 3 роки тому +3

    Ostaz nakubali Bana ✌️

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 роки тому +3

    Ustaz sema kwelli 🇲🇿

  • @peterdavid4230
    @peterdavid4230 3 роки тому +3

    mtangazaji kweli we mshamba mbona hujielewi

  • @pouvoircentral6509
    @pouvoircentral6509 3 роки тому +3

    Ila mwandishi ume hoji vizuri tuna penda madini

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 3 роки тому +3

    Ina mahana carry mastory ana follows wengi ?????🤣🤣🤣🤣

  • @fidelekahezi5175
    @fidelekahezi5175 3 роки тому +2

    Ana wivu mzee huyu

  • @makulaikuku6909
    @makulaikuku6909 3 роки тому +2

    Hodari wa mapenzi😂😂😂😂😂😂😂ila ustadhi juma

  • @salomemchewa5187
    @salomemchewa5187 3 роки тому +3

    We, huna dhambi bwana, huo ni mwili utaoza , cheki unavyolopa, eti ustadhi , mjinga wewe. Huna kazi. Ndo mana hata kaei huna

  • @iranangole7007
    @iranangole7007 3 роки тому +1

    Duh hatr ostaz juma na musoma nimekusoama kama jna lako

  • @benedictayuka360
    @benedictayuka360 3 роки тому +2

    msee matako sana

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 3 роки тому

    🐘🐘🐘🙏🐘🐘🙏🇹🇿🇹🇿🤞konde gang

  • @Worldwidetv901
    @Worldwidetv901 3 роки тому +1

    Really talks Mananger

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 3 роки тому +2

    Ostazi unachuki zakojinga kama niutimu umeanza b4 diamond platnumz ajatoka alafu kila mtu na stail yake ya mziki diamond platnumz ndio no. Moko tz🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @felisterjames9770
    @felisterjames9770 3 роки тому

    Ila kweli ostaz mama Dangote hodar wa mapenzi ameyaona wap amewai toka nae hata kama ameimba mtoto wake Ange mkataza

  • @lazzbishar9281
    @lazzbishar9281 3 роки тому +1

    Ostaz Juma msema UKWELI 🔥🔥🔥

  • @mosalah7669
    @mosalah7669 3 роки тому +2

    Duh yan jamaa sasa hivi amekuwa Tahira hivi Duh maisha haya umri umeenda lakin hamna kitu mludishe dogo yule PNC fala wewe

  • @yudambena4416
    @yudambena4416 3 роки тому +2

    Mnazingua munawahoj watu ambao sio wapambanaji...kila mtu lazima amtaje diamond wanategemea atashuka kimzic wakati mashabiki wa diamond katuingia kwenye dam

  • @asmahussein2779
    @asmahussein2779 3 роки тому +3

    Wewe ni nani mpaka una hukumu..?? Ifike mahali upumzishe kijana wa watu kutwa Diamond khaaaa shame on you.

    • @mariammariam6501
      @mariammariam6501 3 роки тому +2

      Lakini akisemwa harmonize mnafurahi

    • @zou7470
      @zou7470 3 роки тому +1

      @@mariammariam6501 weweeee wambie wajinga hao akisemwa hamo wanashangilia ila akisemwa sadala wanacukia🤣🤣🤣🤣

    • @yudambena4416
      @yudambena4416 3 роки тому +1

      Bila diamond awez kupata ugali

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 3 роки тому

      @@mariammariam6501 upo wap nikutumie hela ya soda 🥤

  • @alijuma7401
    @alijuma7401 3 роки тому

    Hii nchi ngumu xn

  • @pouvoircentral6509
    @pouvoircentral6509 3 роки тому +3

    Pumbavu tafuta hela achaa unafiki usha kuwa tayari

    • @getrudealamis5682
      @getrudealamis5682 3 роки тому

      Angemzungumizia diamond mngeshangia nendeni middle simba ndio habari ya diamond na kumchana harmonize

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 3 роки тому

      @@getrudealamis5682 machoko nyie uyo hamo mavi hahahahahhaah hakuna kitu uyo juma ndio choko kabisa stress za kufulia ndio zinamsumbua kushindwa maisha na Simbaaaaa mtoto wa jana tu

  • @VC-oo3cj
    @VC-oo3cj 3 роки тому +1

    Uyu inaonekana wazi anantxukia Simba,ila siokitu wapo wengi

  • @sulleyally5040
    @sulleyally5040 3 роки тому +2

    Sema baba ukweli tupo na ww daimaa

  • @saidally1424
    @saidally1424 3 роки тому

    Ustaz tumechoka na polojo zako hizo chuki juu ya diamond umezidisha

  • @nahimanajo8993
    @nahimanajo8993 3 роки тому +2

    Wambiye ostaz watakubali ndo mwaka waho teacher atahacha kwenye mata kwakweli

    • @niyogushimaoscar9248
      @niyogushimaoscar9248 3 роки тому +1

      Teacher gani bwana atoke mwasafi ndie atajiita teacher teacher mwenyew anatembea kwenye kivuli cha diomond

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 3 роки тому +3

    Posting is a marketing strategy. Any business needs to market its products. The interviewee is displaying hatred.

  • @billalphilip5776
    @billalphilip5776 3 роки тому +2

    Anaongea mashuuziiiii

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @mussamayele3134
    @mussamayele3134 3 роки тому +1

    uyu mkundu uyu vp? we sio mungu pumbavuuuuu pamba na hali yako

    • @daudisambay632
      @daudisambay632 3 роки тому

      Ukikua utaacha kama umeelewa ivo unakaa kmya acha matusi haulazimishwi kucomment

    • @karimujuma6595
      @karimujuma6595 3 роки тому

      Chunga ulimi wako na matus yako hii dunia mdgo wang

    • @milomohmooh9212
      @milomohmooh9212 3 роки тому

      Acheni matusi hii mitandao tu mungu hapendi

    • @milomohmooh9212
      @milomohmooh9212 3 роки тому

      Yan unakasilika kama mtu anakupa chakula

    • @kiehbhzh7044
      @kiehbhzh7044 3 роки тому

      mh hatari

  • @rutihindakiuyajibu2918
    @rutihindakiuyajibu2918 3 роки тому

    Ila chuki ni mzigo mzito sana

  • @odenlwila8390
    @odenlwila8390 3 роки тому +2

    Fala mbwa huyo unamuhoji kibaraka wa harmonize biashara gani unafanya kenge wewe huna lolote unaomba msaada kwa harmonize

  • @aminaabdallah8027
    @aminaabdallah8027 3 роки тому

    Swadakta ukumbusho mxuri

  • @salehsaid7176
    @salehsaid7176 3 роки тому +1

    Yooo nyie watangazaji muna uluza same fuckn questions

  • @chingamjanja7100
    @chingamjanja7100 3 роки тому

    Umeniuliza nn kuhusu namba wani 🤣🤣

  • @lukamajadendegembe1697
    @lukamajadendegembe1697 3 роки тому

    Hata kama Dora mojamoja mara mfuko umejaa sinihera nyingi

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863 3 роки тому +1

    Ustaz wanbiye ukwell wahelewe.hawo

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 3 роки тому

      Alafu ukiona mtu anamsapoti ustazi matako ujue na yeye ana maisha magumu Sana ivyo anafarijika kusikia mtu mwenye hela zake Mondi wakilazimisha aonekane Hana kitu Sasa apo Ni sawa na kufagia bahari

  • @abaanadhiira2017
    @abaanadhiira2017 3 роки тому +1

    Diamond kalaga hera ya huyu jamaa nini

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 3 роки тому +4

    Harmonise kashindikana.

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 роки тому +1

      Tumia akili huyu sialimsema Diamond oooh anatuohesha hela zake zann interview hyohyo anasema Tena oh harmonize ana hela hata km Dolla moja nizakwake na nynyi tuoneshen zenu
      Unajua chuki ikikujaa wew
      Harmonize anamzd diamond sifa ulimbuken ushamba
      Ila kimafanikio na kimziki diamond Ni Moto wakuotea mbali

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 3 роки тому

      @@fasterwalker1464 harmonisekashindikana

    • @albertkadyanji9722
      @albertkadyanji9722 3 роки тому

      @@fasterwalker1464 umeongea ukweli asilimia zoteeeeee uyo ustaz kwanza njaaa na chuki ndio zinamsumbua hakuna jambo baya kwenye maisha kama ulikuwa na hela alafu ukafulia wakatokea watoto wadogo tu wakawa na hela Kama uchafu lazima uwe na chuki na roho mbaya ndio kinachomkuta ustaz matako uyo kwa Diamond kinachomkuta ni chuki tu Diamond ana hela Sana uyo harmo hawezi kumfikia Diamond hata robo ya hela zake uo ndio ukweli

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 роки тому

      @@albertkadyanji9722 na anasema diamond apost wasinii wenzake atuambia Alikiba Harmonize jux Wamempost msanii gan

    • @fasterwalker1464
      @fasterwalker1464 3 роки тому +1

      @@albertkadyanji9722 sio hela tu wamefanya kolabo ngapi harmonize kafunikwa km mtoto vile

  • @samsonaloicy4845
    @samsonaloicy4845 2 роки тому

    Mzee acha wivu Kaa pembeni kama mda wako umeisha

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 3 роки тому +1

    papa ya tz osistaz juma

  • @abdallahmuttaq7306
    @abdallahmuttaq7306 3 роки тому +1

    Ustadh juma simba ni najis kweli

  • @juneydillaziz6074
    @juneydillaziz6074 3 роки тому +1

    Mayungwe,, makolo hahahaha aya bahna

    • @mymunamymuna4807
      @mymunamymuna4807 3 роки тому

      Umeongea kweli ustazi mahaters wcb acheni mapovu yakijinga

  • @asukulubashilwango1907
    @asukulubashilwango1907 3 роки тому

    Anaga akili uyo

  • @frolaedwini9613
    @frolaedwini9613 3 роки тому +2

    Yaani namchukia huyu baba , anaongea mpaka povu linamtoka , chuki tu imemjaa

    • @juxjemc5768
      @juxjemc5768 3 роки тому +1

      Kwa nn na ww unamchukia ust juma kwa kuongea ukwel?

    • @getrudealamis5682
      @getrudealamis5682 3 роки тому

      Kwa sababu anawapa ukweli

    • @milomohmooh9212
      @milomohmooh9212 3 роки тому

      Unampenda humchukii mimi nakataa mbona unasikiliza interview zake

  • @prophetsamawiparapanda1856
    @prophetsamawiparapanda1856 2 роки тому

    Inaonekana wewe unalipiza kisasi ndio maana unamponda unamwandama kama mbalamwezi Inavyo andama , wewe mwenyewe una tafuta Kiki ndio maana unamfuatilia. Alafu ujue wewe ni mtu mzima alafu unajiita ostazi? Leo hakuna maulidi? Nyama vipi msosi je? Alafu amo unaye msifia ametengenezwa na Nani? Maana Kila mti unatambulikana kwa matunda yake, kama amo ni mzuri basi aliye mtengeneza ni mzuri. Alafu sisi wa Tanzania tuna akili. una kosea kwa kusema wa Tanzania hawana akili? Kama wa Tanzania hawana akili maana yake umejumlisha, babu zako, bibi zako, Dada zako, kaka zako, wajomba zako, mashangazi zako, ni hatari!!. Na ikumbukwe unaye mshambulia haja wahi kusema wa Tanzania hawana akili ?. Tafakari wewe ostazi na msanii na nini kachemka inatisha!.

  • @josianerugema3964
    @josianerugema3964 3 роки тому

    Uyunaye tunacoka

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 3 роки тому +3

    Wakristo tupo na wivu lakini dah!! Haijafika kiwango cha wana waisilimu… yani wahuni kama wahuni😬😬😬😬 huyu jamaa ni mpuuzi yaani kama shoes ya punda

  • @Free_Spirit4
    @Free_Spirit4 2 роки тому

    Ostaz tufungulie comment section ya Instagram ndio tufurahie pamoja