Ibraah - Amani (Official Lyrcs Audio)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 291

  • @noelymanyika4498
    @noelymanyika4498 6 днів тому +104

    Hii ndo ngoma kali kuliko zote ipeni mda kidogo itasumbua sana ni 🔥 nipeni like zangu kama mnaikubali hii ngoma

    • @abdulirashidi772
      @abdulirashidi772 6 днів тому +4

      Sure mzee mwenyewe ndo nimeielewa kuliko zote

    • @toddietk001
      @toddietk001 6 днів тому +4

      Hivyo ndio nimeona pia, hizo zingine zimefanana sana inakaa nyimbo moja hadi nlikuwa nashindwa kuzimaliza

    • @Mrishowalengamina-bx2to
      @Mrishowalengamina-bx2to 6 днів тому

      ℍ𝕚𝕚𝕚𝕙 𝕟𝕕𝕠 𝕟𝕘𝕠𝕞𝕒 𝕜𝕒𝕝𝕚 𝕜𝕨𝕖𝕝 𝕜𝕨𝕖𝕝 𝕜𝕦𝕝𝕚𝕜𝕠 𝕫𝕠𝕥𝕖​@@toddietk001

    • @AnassiAmissi
      @AnassiAmissi 6 днів тому +1

      Kweli kaka 🎉

    • @AnassiAmissi
      @AnassiAmissi 6 днів тому +1

      @@toddietk001 lakini jamaa anajua sana tumsapot

  • @salimbazmul5806
    @salimbazmul5806 7 годин тому +2

    Daaaaaah Hilii Gomaaa Bonge Mwishooo Wa Mawazoooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌Igweeeeeee

  • @VianneyHamuli
    @VianneyHamuli 6 днів тому +31

    Wa kwanza kutoka goma 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @chrispinuse.mmavelle9872
    @chrispinuse.mmavelle9872 6 днів тому +24

    Hii ngoma Kali

  • @mathiasbosire7927
    @mathiasbosire7927 6 днів тому +23

    Chiziii tunakupenda kutoka 🇰🇪 kenya

  • @Zorobwoy
    @Zorobwoy 6 днів тому +20

    Nakupenda sana chinga all the way from kericho kenya ❤

  • @JustinKjs-z5x
    @JustinKjs-z5x 6 днів тому +15

    Wa kwanza from #DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @RachelMingieshi
    @RachelMingieshi 6 днів тому +10

    Niko pamoja na wewe njo ngoma kali sana kwa chinga

  • @NicoDaudi-r6m
    @NicoDaudi-r6m 6 днів тому +9

    Chiziii kashafunga mwaka tiyali tukutane mwakani 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @ztvonline2523
    @ztvonline2523 6 днів тому +25

    hii ndio ngoma kali kulilo zote, nipeni likes zangu hapa

  • @HassanRaichand
    @HassanRaichand 6 днів тому +7

    Kaka wallah Auna mpinzani Léo ndo nimeamin wewe ni king of New Génération 🔥💯❣️❤️💖🥰🫀😘🌹😍👑👑👑👑

  • @RiderBoy-w6c
    @RiderBoy-w6c 2 дні тому +3

    Wimbo wangu pendwa kwenye ipi ya chinga wetu

  • @MidungoFamilia
    @MidungoFamilia 6 днів тому +21

    Ambao Atuja lala tukisubili madude ya
    CHINGA🎉🎉🎉🎉☠️💔

  • @khalifntwari
    @khalifntwari 6 днів тому +10

    Suwacane napiano mbona unaimba wewewewe
    Wanakundanganya for sure

  • @michaelgithinji
    @michaelgithinji 6 днів тому +6

    My favourite ❤

  • @Mrpittyofficial
    @Mrpittyofficial 6 днів тому +7

    King of new school is ending 2024 in style ❤ gonga like tukisonga

  • @AntonyOdhiambo-sd3gv
    @AntonyOdhiambo-sd3gv 6 днів тому +7

    Ibraah uko juu 2 Sana 4real am your fann Sana 💯❤️

  • @JacksonMtyani
    @JacksonMtyani 6 днів тому +11

    Zina tosha hizi nyingi sana 😂😂 chizi tuko pamoja tukutane mwakan panapo uzima ❤❤ kama shabiki wa konde music word wide gonga like ❤❤

  • @chenboy6660
    @chenboy6660 4 дні тому +3

    Huyu ndo ibrah achana gang gang chizi 🙌🙌🔥

  • @chenge3223
    @chenge3223 6 днів тому +13

    Wa kwanzaaa

    • @OfficialmunchuTz
      @OfficialmunchuTz 6 днів тому

      ua-cam.com/video/vkZIs1e9iaE/v-deo.htmlsi=TaGrctxWeov2cqTB

  • @AgustinoMarco
    @AgustinoMarco 6 днів тому +6

    Hii Ngoma imenibamba nakusikilizia Sana kuna mistari inakoshaa Sana one love bro from another mother 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nuhuezra
    @nuhuezra 4 дні тому +1

    Oyaaaa we oya wee kama nimerogwa tena, kama nimetoroka milembeee❤

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 6 днів тому +6

    Chinga Ajawahi Kufelisha Kam Unakubal Kondegang Tupite Hapa❤🎉🔥🔥🔥✅

  • @Mrishowalengamina-bx2to
    @Mrishowalengamina-bx2to 6 днів тому +14

    Jaman nime waiih leo naomba like wanangu nyimbo kali sana ili🎉🎉🎉

  • @Craze03-p7a
    @Craze03-p7a 6 днів тому +4

    Nyimbo YANGU jamani duu😢😢 ibrah umejua kuniliza 😢

  • @blesmedia689
    @blesmedia689 6 днів тому +4

    Haki nashangaaa sana na Ibra kumbe ni msanii Kwanzaa tz kua na Vibes lakibabe sana aseee namkubali sanatu eeeeee🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Uchukhan_
    @Uchukhan_ 6 днів тому +7

    2024 Chiziii Ni Yako❤❤❤❤❤❤

  • @KwaremaTV254
    @KwaremaTV254 6 днів тому +4

    Napenda huu muziki waaa

  • @SepamaybeMsafii
    @SepamaybeMsafii 6 днів тому +4

    Love from Burundi 🇧🇮 ❤❤❤

  • @DIEUDONNE-PRAY
    @DIEUDONNE-PRAY 6 днів тому +6

    Wa kwanza leo From DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu piya support yenu

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador954 6 днів тому +4

    Binafsi hii ngoma ndio nimeipenda kutokana na ubunifu wa producer bit iko tofauti na hizo nyingine pia uandishi jamaa kauwa sana

  • @MudyChande
    @MudyChande 6 днів тому +6

    Nakubali

  • @DanielAthuman
    @DanielAthuman 5 днів тому +2

    hii ndo Ngoma iliyofunga mwaka chinga hili chupa umeua🤴🤴🤴CHIZIIIIIIIII KAMA UMETOROKA MILEMBEEE

  • @DanielDamusavuli
    @DanielDamusavuli 6 днів тому +5

    Wa Congo tuko huku yani kama tume toroka milembe 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @meshackbmartine2049
    @meshackbmartine2049 6 днів тому +6

    Miondoko ya @miss energy acheni nilale

  • @naerrahboy
    @naerrahboy 5 днів тому +2

    Woow amazing 😻🤩🤩 song hii nakupa
    100% congratulations 🎉👏🎉 brother ❤️

  • @giddyyunky7025
    @giddyyunky7025 6 днів тому +2

    My favourite kaliiiii to the world wide 🌐

  • @mtwaraboy_23
    @mtwaraboy_23 6 днів тому +7

    Amani ngoma kar

  • @katambomangale2185
    @katambomangale2185 4 дні тому +1

    Mwanangu humu umewaka sana ❤❤

  • @y.u.s.q.u.e
    @y.u.s.q.u.e 6 днів тому +4

    Top top🔥🔥🔥

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa 5 днів тому +1

    Kwakweli sijazaliwa na wewe🙌🙌🙌
    Bonge la Ngoma Ibra ❤❤❤

  • @watambulaioci
    @watambulaioci 6 днів тому +4

    Akuna kijana aho binti atakae chukia ngoma hihi. Kiukweli ibraah umeuwa, wengi wanapo chokana hubaki kukerana, ila bora kuachana kwa amani kuliko kusumbuana akili! Wangapi tumependa ? ❤

  • @LemVoiceTz
    @LemVoiceTz 6 днів тому +4

    Ibraah umetoka milembe 🎉🎉

  • @KasIbraah
    @KasIbraah 6 днів тому +5

    Wakwanja kutoka butembo 👈 Amani❤❤❤❤❤

  • @EmmanuelMurhula-jb8cb
    @EmmanuelMurhula-jb8cb 6 днів тому +1

    Amani na idumu 🙌🙌🙌🙌 hii ndo ngoma kali sana

  • @NamikupaNdohome
    @NamikupaNdohome 6 днів тому +2

    Chinga unajua sana 🙌🙌

  • @FrancisWasingle
    @FrancisWasingle 5 днів тому +1

    Kaka unajua san hii ngoma kali japo sijasikikiza nyingine umeandika mno GOD BLESS 🙌 Ibrah

  • @RamtaMpingo
    @RamtaMpingo 6 днів тому +5

    Oyaaaa weeeh

  • @fight-boy
    @fight-boy 6 днів тому +2

    Sema chinga unauwa sanaaaaaah kama tumetoloka milembe🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @GenerousAzard-fq1ym
    @GenerousAzard-fq1ym 3 дні тому +3

    Nachoka ku like zawenzangu basi nipeni Makopa zangu😂😂

  • @P2genR_Tz
    @P2genR_Tz 6 днів тому +3

    kama unaamini ngoma kali gonga like 🎉🎉🎉🎉

  • @rumamuzik
    @rumamuzik 2 дні тому +1

    Nipeni likes zangu Mimi kutika Malawi, Lilongwe we love you Ibrah,🇲🇼
    Ndani ya camp Malawi Refugees love you Chinga🔥

  • @IssaMkali-k6y
    @IssaMkali-k6y 3 дні тому

    Moyo unataka sana amanii,siyo kila siku magomvi,💯💯💯

  • @AluchoNalinga
    @AluchoNalinga 6 днів тому +2

    Give him his flowers 🎉

  • @AkonJacquesAkonkwa
    @AkonJacquesAkonkwa 6 днів тому +2

    Hii kama hit naona❤❤❤❤

  • @KingDirector2
    @KingDirector2 6 днів тому +2

    Iyi naipenda sana 🎉😊

  • @ByamunguGentil-su8ox
    @ByamunguGentil-su8ox 6 днів тому +3

    Song of the Year 🎉🎉🎉🎉❤🎉 0:54 🎉❤🎉❤

  • @CarlosAmergo
    @CarlosAmergo 6 днів тому +2

    Big up my brother ibraah ❤❤❤

  • @mswalehmswazi2507
    @mswalehmswazi2507 6 днів тому +2

    Noma sana 🔥🔥🔥🔥🔥💪👌🙌🎶🎶💯👍🇰🇪

  • @KmbalphaniMoradj
    @KmbalphaniMoradj 6 днів тому +2

    Oya oya natoka Congo❤❤😢😢🎉🎉🎉

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 6 днів тому +3

    Chinga on this one

  • @davashindradev1704
    @davashindradev1704 6 днів тому +1

    Waaachatu ❤ favorite ❤

  • @MukizoWizo
    @MukizoWizo 6 днів тому +3

    Chingaaa 💪💯

  • @kirintonnymnyama7701
    @kirintonnymnyama7701 6 днів тому +1

    Oya oya wanangu wa gang kijanaa tunayeee anatupa moyo sanaa harmonize unaona mbari sanaa

  • @aleixoboyOficialMusic
    @aleixoboyOficialMusic 6 днів тому +2

    ILI NDIO GOMALANGU PENDWA AIRPIANO🎉🤞🏾❤

  • @MozeNation
    @MozeNation 6 днів тому +1

    GANG GANG ❤❤❤

  • @mmsontherexboy3248
    @mmsontherexboy3248 6 днів тому +2

    Congo 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 félicitation vraiment 🎉🎉🎉🎉

  • @nash6140
    @nash6140 4 дні тому +1

    Hii ndio noma uku 254

  • @MusaTumba
    @MusaTumba 6 днів тому +2

    Gumzo Désigner 💪✂️💪

  • @Brianmwanocee-t6e
    @Brianmwanocee-t6e 6 днів тому +2

    Hit song hii hapa wanangu tunaosumbuwana na wapenz wetu

  • @Aliesonmayicco-rz9gg
    @Aliesonmayicco-rz9gg 6 днів тому +1

    Oyaaa ibraah umeua sana

  • @jacoblitto-k4x
    @jacoblitto-k4x 6 днів тому +1

    aki ibraa😢😢😢wewee kamaliza mwaka kweli

  • @melchiorkarabagega6741
    @melchiorkarabagega6741 6 днів тому +1

    BOMBOCLAAAT 🌍❤❤😢

  • @Isaac-y5o3w
    @Isaac-y5o3w 6 днів тому +1

    From Kenya 🇰🇪

  • @ludotz3413
    @ludotz3413 6 днів тому +2

    Amaaanii🎉❤❤

  • @frankhokororo4052
    @frankhokororo4052 6 днів тому +1

    Hii ndo nyimbo ss👍👍👍

  • @Busagotz
    @Busagotz 6 днів тому +2

    Noma kama nimetoroka milembe

  • @DaudiTalika-q1l
    @DaudiTalika-q1l 6 днів тому +2

    Hii nomaaaa

  • @AbasiHassan-w4s
    @AbasiHassan-w4s 6 днів тому +1

    Nakubali bro chinga 🎉🎉

  • @jpsonofficiel4750
    @jpsonofficiel4750 6 днів тому +1

    Vraiment j'adore ça big up ibrah

  • @MussaRamadhani-q7v
    @MussaRamadhani-q7v 6 днів тому +4

    rudisheni hii chizi milembe litazua balaa kwenye jalala la UA-cam 😄😄😄

  • @Katetejr
    @Katetejr 6 днів тому +4

    Kijana naona unaleta fujo mtaani tutakufunga kamba urudi milembe😂😂😂😂😂

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 6 днів тому +2

    Chiziiiiii⭐💯

  • @Yusuph-vv7cn
    @Yusuph-vv7cn 6 днів тому +1

    Wew ndo umefunga mwaka sasa🔥🔥🔥

  • @Eangle666
    @Eangle666 6 днів тому +1

    Chingo on this one yule mjinga mwenye mapua ka mbwa wa kizungu Anae taka kuzuia liziki zabwenzie hii ngoma kaisikia akiwa wapi??(BABA LEVO)

  • @zakariamkilima138
    @zakariamkilima138 6 днів тому +1

    oyaaa weeee kama limetokaaaa milembeeeee

  • @HajiSelemani-n2r
    @HajiSelemani-n2r 6 днів тому +1

    Kauwa sana humu aiseee

  • @ATGMusic-x2h
    @ATGMusic-x2h 6 днів тому +1

    Best of all in the track list ❤

  • @BarryPaulo-w8n
    @BarryPaulo-w8n 6 днів тому +1

    Chnga hujawai kuniboa umetisha sema unajua nn wale machoko wa tatu hakuna kitu pare noma sana

  • @nilomastory
    @nilomastory 6 днів тому +1

    Fundi wangu ❤️🔐

  • @PaskudaPsd
    @PaskudaPsd 5 днів тому +1

    Kitu kali kweli

  • @FrombugendanaTiger
    @FrombugendanaTiger 6 днів тому +1

    Mwanangu umeua sana

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 6 днів тому +1

    🎉🎉🎉❤❤❤

  • @legawayz6093
    @legawayz6093 5 днів тому

    Nimesikiliza ngoma zote saba Kwanza album nikari kakaza ibraah. ila hii ngoma Amani beat kari🔥 big up macochali, verse kari🔥 melody kari🔥
    take 👊 chinga

  • @elmianhossk
    @elmianhossk 6 днів тому +1

    Kama ametoloka 🚶🚶🚶milembe👌👌👌🔥🔥🔥

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 6 днів тому +2

    Kama unapenda amani like hapo kama haupandi amani usilike❤❤❤🎉🎉

  • @Mtubaki777
    @Mtubaki777 6 днів тому +1

    Konde Gang on 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dullah153
    @dullah153 6 днів тому +2

    Leo mm wa kwanzaaaaa nipewe like🎉🎉🎉

  • @Xonicboy0
    @Xonicboy0 5 днів тому +1

    Kali kuliko zote😅😅😅😊😊

  • @ztvonline2523
    @ztvonline2523 6 днів тому +1

    Siku zote nyimbo ni beat na melody 🔥🔥