Boutross - Again ( Official Video ) Prod. By Kmush
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- “Again” is a reflective and raw exploration of the paradoxes of New Year’s resolutions. The track delves into the universal struggle of setting intentions for self-improvement while grappling with habits that resist change. With poignant lyrics and an evocative beat, the song captures the cycle of determination, relapse, and self-awareness.
Themes:
Resolutions vs. Reality: The desire to quit smoking and leave the party lifestyle behind, contrasted with the reality of falling back into old patterns.
Honesty and Vulnerability: The track highlights the internal dialogue of trying, failing, and trying again-a story many can relate to.
New Beginnings: Despite the setbacks, “Again” carries an undercurrent of hope and resilience, reflecting the perpetual human effort to grow.
Artistic Perspective:
The single showcases a blend of introspective storytelling with an upbeat rhythm, offering both a personal confession and an anthem for those navigating the complexities of self-improvement. It balances vulnerability with relatability, making it a standout track from 2022.
LYRICS
Intro
Said a lot of things hii mwaka but you know ,again and again yeah .
Chorus
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
Verse 1
So one day niko zabe im chilling,mangwelo makali mangeos is pimping , panya akakam around akitry kubonga tukampiga beating,
Is this again nimeingiaje the shimo the same mara mbili
Watu watakuwa insecure utamalizwa na watu without even blinking ,
Gova imesunda maganji again , Kile Are you kidding ,
Wanjama Sarova nasikia 4 weeks alichafua big ting , Either ujitume au utulie home me gimme the ting im flipping
Chorus
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
Verse 2
-Ushaingia keja ya msela , ukajipata umelost for days me mzae hakuniwachia ganji , siwezi repeat the same
Ndio maana na rap na trap nafanya the wrist idrip ka tap, Plan ni kujaza the bank nisiwahy jipata kwa street again
Mnadai nikuje but price ni nzuri, Promoter ananipima ufala i cant do this again
Shawty anafikiria sana kichwa inapata misuli , Kelele kelele kelele I cannot do this again
Chorus
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
I said hii mwaka nitachange nitawacha mafegi im smoking again , nilisema nitapunguza anasa but cheki nahappen again
Mboka napiga hii mwaka kuna ma fellas lazima nisnake - Ngazi nimeanza kupanda , sidai kushuka again
Boutross back to his old prime style of rap is insane❤
na hatukuthani ingehappen again
@@chrisbasweti87 yeah man yea yea
Blessup
That intro gave me 'Lean wit me' nostalgia. LLJW 💜🕊
Yeah juice world fam❤
"mi mzae akuniachia ganji
siwezi repeat the same"🔥🔥boutross you are who you think you are
Am smoking again
Najua tuko wengi G
He is him💯
I said hii mwaka nitachange, nitaacha mafegi I'm smokin again, nilisema nitapunguza anasa, but cheki inahappen again.....Boutross ni mnoma tu sana....wacha tuiseme again....Wapi like za the Shrapgod #again #ifyouknowyouknow
Blessup G
Hapo kwa fegi me af
That Shrap Boutross Back Again! 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ngazi nimeanza kupanda sidai kushuka AGAIN! 💯💯💯
Skrrrrttttt 🔥🔥🔥 ''ngazi nimeanza kupanda ,sidai kushuka again''
Naingia aje kwa shimo mara mbili 🔥🔥🔥
I swear niliwacha mafegi saa hii na ifanya again
Unoh ready🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪# shrapgod#backtoback#again
Boutross hajuagi kubembeleza beat 💥💥💥
Ngazi Nmeanza kupanda sidai kushuka AGAIN!🔥🔥🔥
ngazi nimeanzaa ku what 👍👍👍🔥
Story iliianza like this vibes, love it!
Intro ki juicy wrld baddest shrap God🔥✈️
Yeah, y3ah, y3ah, yegh.
God, grant us the serenity to accept the things that we cannot change,
the courage to change the things that we can,
and the wisdom to know the difference.
Yeah yeah yeah🔥🔥
Mapema ndo..... 🎉Joh nlikuwa na resolution mob hii mwaka😩🥹inakaa zitaanza feb😅
Tuanze pamoja
Again ⬆️⬆️⬆️⬆️🇰🇪
Munene amewwza 🔥🔥🔥
Goat ikifika kwa shrap 🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sijui ni nini Kenyans wanasumbuananayo na Tanzanians, you have more than enough to listen to in 254.
Aje sasa 😂
Boutros to the world 🌎💯
Ngazi nimeanza kupanda na sidai kushuka again
On repeat broo 💯🔥
Boutross tell us more about yourself "yea yea yoh yea yea yea aiii whoa whoa whoa 🔥🔥😁......
😂😂😂
Yaani Boutross alisema hatatoa ngoma mbaya
NI Banger after Banger
I stan! 🫡
alisema ngoma mbaya atarudia again.....
@kevinblac2203 correct 😂😂😂
Lazima bro 🔥🔥🔥
Nomaa
Leo amefanya kazii venye nilikua nataka💯🥰
Waiting a crazy banger
Booout rsoss🎉kali mzee likes ziflow
Daamn always 💫🌼 again ❤🎉🎉❤
I love the fact that Boutross put soo much to show us his story telling talent
Spoken from the heart 🔥💯 legendary
Ushaii ingiaa kwa keja ya msela ukapotea for days🔥🔥🔥@BOUTROSS🤎
"Mzae hakuniachia ganji, siwezi repeat the same" 🔥🔥
Real shiii 🔥✌️
Story ilianza like this!!…😝😝🔥🔥noma!!
Nice broski ,big upp
SHRAP GOD🇰🇪🔥🔥🦅
Mtoe moja moto pia trapGod🙌🙌
Ushasema 🔥🔥🔥
Waleee wamoto 🔥🔥🔥🔥💯 likes hapa
Nilisema siweki replay but cheki nishaplay again. Eii bouty sina extinguisher
Again and again
bout .....Ross TO THE WORLD....
Buh Cheki ina happen again 🤤
Waiting..
Bouty the shrap God apewe flowers zake bigup
Big up g
Butross ata aende miaka kumi sound yake 🔥🔥🔥akirudii
Si unajua tu
Boutross tell us more about yourself
Boutross:Yeah yeayeah yeayeayeah yea aaii wowoowoo yeayeayeaa
😂😂😂
😆
Nkt😂😂
😂😂😂
Hhahahah yeah yeh yeah
Bouty to the world
shrap Szn ❤🎉
FullyBad 💪
Mapema!!!🔥
Waiting a hot banger
Noma ❤
Mazaaaa
Dropping truth bombs....*real shii🔥
SHRAP TO THE WORLD 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Kidogo inipite....boutross on the track❤
OG shrap is backkk
Karwana si tujuane tu .....forehead zetu zinafanana❤
Huyu boy nmkali sana big up bountross🎉🔥💯
Hii ni moto wuehhh🔥🔥🔥
And that's why you were ongoing my top artist kwa hio UA-cam wrapped......"cheki inahappen again" 🎶 is about to be stuck in my head
yeah yeah!!!
Naingia shimo nilingia mara mbili hii mwaka na change
This is Music... Mad!!!!!
Boutross on that beat is💣💥💯
Kmush killed it
yaani boutross unakula makucha mr.G ,Ayway ngoma imeweza
🤣,big up
Walai tena 😂
Yoooh video director Ako top🔥🔥plus boutross never falls off
Old Boutii Going offf🥳🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥INSANE
Boutross 🎉🥶
Shrap all day ❤️🔥
Amazing Record and Video Concept is top tier. Its your time Bro
Shukran 🙏bless up
Tuli shanga kwani ulikua umewacha trap🇰🇪❤🔥❤🔥❤🔥
MUSAU ❤ 🇰🇪✅💯 💪 big Name 📛
Biggest in the Game 🇰🇪
Ngai ni Munene
Big up ngoma ni kali
Vida mambo mbaaayaaaaaaa🎉🎉
Shukran
Again 🔥🔥
Boutross at this again🔥🔥🔥
Track iko on 🔥
Fan since day 1️⃣💯🔥
we need the old boutross back 😭😭
Ndio huyu sasa
Nimekuwa tu mimi always
@@boutrossmunene the Boutross who released 6lxviewsii8k😭
one of your best albums ngl🔥🔥
@@boutrossmunene Big up the" shrap god" Mr Angie
Noiiiiiccee🔥🔥
No need to change bruvv accept ur self u dope n you know it💯🤙
Again being the title has so many hidden plans of the year,big up rapper ❤
BOUTROSS SIKU ZOTE ⚡️⚡️⚡️🔥🔥🔥💯
SHRAP GOD
Munene literally GREAT❤❤..
Asante
bouty wa shrap ni ya day ones pekee🔥🔥
TUMEMHATA BANA👌
Mapema ndio best
Bout unipea energy ingine ngeje nakam tu
Hapo sawa broo
🔥🔥🔥🔥🔥🔥we locked in live
hii ngoma ni motooo
Dope 👌🏿
🔥🔥✅
I LOVE THIS BOUTROSS SOUND
Story ilianza like this😂😂❤❤
noma sana🔥🔥🔥
Ngoma ni kali lazima utai play again