HOW KENYANS ARE ENJOYING IN QATAR I MISS MY MUM, MY WIFE AND KIDS. GENUINE AGENTS IN KENYA FOR QATAR
Вставка
- Опубліковано 10 чер 2024
- Daring Kenyan start a business in Doha which serves Kenyan local meals.
It is no brainer that stories coming out of the Middle East have been that of doom and gloom.
Good job
Thanks.
NIce one Just Zeki. Kali sana.
Keep pushing my G
Amazing bro back with a bang
Tunasong Nayo Nayo.
Keep up the good work. hii Fish n fresh iko wapo?🎉
Watu wakuje hustle bana,great content bro
Kabisa msee
Hapo poa nice joint will be on the way soon
Na wasee pls nitembelee pia Mulike na share
Sawa tunakimbia huko ndani. @blessing JTV Nice i see you can Cook.
Nimefrai kuskia mko salama gulf
Waaa poleni bro
Haha tumepoa
@@JUSTZEKI fiti. Huko nayo zii, ata na dawa ziwezi fika huko na siwezi fanyia hao wasee kazi mazeh. All the best lakini I hope mkue safe hadi ile siku mtakuwa freed. Aluta joh 🤜🏿
Where is this restaurant good job bro will visit also
Shukran iko Grandmall
Jambo mkuu,,Doha ulirudi huko when
I never left, took short break.
First choice ni wakora
Thanks for your feedback you wanna share your experience.?
Hiyo fish and fresh iko na wapi?
Come grnadmall area.
Location ni kitu ya muhimu
Sure bro. Grandmall
Anapika ugali mrenda omena na maziwa mala ,na asisahau Githeri pia
Kuja ujionee bro.
Is this mama Quality restaurant
Zii1 hii iko Grandmall
Can someone today be my destiny connect
I need connection to work abroad
You can visit available agents hapo Nairobi.
@@JUSTZEKINext time advice watu kuhusu legit agents,.wasee wanaibiwa coz hawajui nani wa kutrust. Pia inakuaje ku adjust life ya uko.
Sure brother for sure will do that.🎉
Acha uongo chapo ni 1 riyal nimebuy jana
Kabisa bro. thanks for correction chapo ni 1riyals.
Hapo maskani ni wapi Doha
Kwani ukirudi uko
Huko wapi bro.😁
First choice Hiyo agent ilikulia watu pesa mob saana
Pole sana bro. hope ulisaidika.
@@JUSTZEKIme nilikuwa huku already Hiyo wakati
Pesa hatukurudishiwa...tuliachia God