Hii ni investment Ingine iko chini ya watumishi housing lakini inafanya kazi kama inavyofanya UTT AMIS . Kwa hivyo ni mfumo mwingine sio ule wa UTT AMIS
Kufungua na kujiunga ni rahisi lakin Sasa kabambe n pale unapotaka kuitoa hio ela .... Hembu mtoe na utaratibu wa mtu akitaka kuuza vipande vyake mseme kabisa na vitu vinavyohitajika Ili uweze kufanya muamala maana😢😢 mmgh
Nilienda upande wa kuuza vipande wanaomba chet Cha kuzaliwa no ya nida I'd no sijajua n I'd gan wanataka na vingine sikumbuki vizur inshort nilishindwa kuuza vipande
Sasa Vipande Ni Ni nini?
Maana Nilitaka Kujua Vipande Ni Kitu gani?
Na Hii pesa naweka au?
Ina uhusiano gani ya UTT AMIS kwenye Account, Au huu ni mfumo mwingine tofauti kabisa...?
Hii ni investment Ingine iko chini ya watumishi housing lakini inafanya kazi kama inavyofanya UTT AMIS . Kwa hivyo ni mfumo mwingine sio ule wa UTT AMIS
Iko poa sana bingo
Yap ni nzuri, ni kuanza kuwekeza sasa
Kufungua na kujiunga ni rahisi lakin Sasa kabambe n pale unapotaka kuitoa hio ela ....
Hembu mtoe na utaratibu wa mtu akitaka kuuza vipande vyake mseme kabisa na vitu vinavyohitajika Ili uweze kufanya muamala maana😢😢 mmgh
Mbona hakuna shida,yoyote mauzo ya vipande ni siku tatu za kazi,ukapata hela yako. Umepata shida gani tafadhali?
Nilienda upande wa kuuza vipande wanaomba chet Cha kuzaliwa no ya nida I'd no sijajua n I'd gan wanataka na vingine sikumbuki vizur inshort nilishindwa kuuza vipande
Ina maana ulikuwa haujakamilisha usajili kwenye mfumo?Pole sana,ulipaswa ukamilishe usajili
@@lulukiyuzi2247 mbona hamtoi hela inapatikana vp