OCTOPIZZO - Noma Ni [ItsNambaNaneTV]
Вставка
- Опубліковано 6 лют 2025
- #Octopizzo Performing #NomaNi from his 4th Album "NEXT YEAR" that just dropped
Download on iTunes bit.ly/NextYear8
Amazon bit.ly/NextYear...
Spotify bit.ly/NextYear...
Tidal bit.ly/NextYear...
Instagram: / octopizzo
Facebook: / octopizzo
Twitter: / octopizzo
Directed by Russ Fraser
Mixed by Jon Rock
www.octopizzo.com
WATCH SHARE & DROP ME A COMMENT
FULL ALBUM ON ITUNES ✊🏾☔️
nugu wewe... J Cole anatuambia tuwachane na bangi na wewe unapromote apa ati "daro niko mabangi ita matiang'i" jinga hii....fwaking bullshit
Achana na story ya mumble rap bana.,kaa creativity imeisha retire kaa legend
Rudini kwa msee amewatuma msho octo is absent
+Brian Mwakirani fackk offfff #pizzoo the king and you know it
+David ochieng kabisaaa
Watu wa Mwihoko tumesema imeweza😊🔥🔥🔥
Henry DeSagu desagu representing mwihoko😂
nilikuona kwa base ya vela uko mwihoko
desagu brathe uko hapa
umeingilia mtaa yangu sana🙄...tulikukosea wapi
Henry DeSagu Watu wa Githurai Kimbo tumekuback up pia 👊🙌🇰🇪
2024 here we are approaching valentines octopizzo Dem yangu anataka nimuimbie hii😂😂😂😂
Noma ni humbambi
nomaree hehe
Noma Ni
Daro Nko Mabangi
Ita Mr. Matiangi
😂😂😂😂😂😍
Noma ni ati ni 2024 na still hii ndio the dopest diss track ever😂😂
mbayaaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
NOMANI HI NI DEAAAAAADLY!!! "AFANDE HAWA NI WEZI "
@Naiboi noma ni wewe haunibambi Hehehe..
nyote wakali.. big up ma kenyan artists..
Big up Naiboi the nairobian artist with a continental touch.Noma ni hatutambui ma haters...
Toeni collabo manze !
Ai,wewe octo itabidi tuchunguze hiyo I.d yako....Noma ni tupate ulideportiwa toka Usa Akina Migos wakiogopa compe...this is another level meen
Octopizzo Music Gang Gang
charles Ndungu actually huyu si wa hii dunia. He is an alien 👽. Noma ni hakuna msee wa kumhundle 😂
Oganga Khadudu haha noma ni mistari zenye zimerushwa huku..... Aki yanani Leo O.g amepewa kichapo
Octopizzo Music haha Octo ata wewe ni noma na unaquote...'Wanajua ni Mazishii'. Haha khadudu Sanaa imezaliwa upya
charles Ndungu 😂. Leo nimekubali. OG ameoneshwa vumbi
Noma ni niko lockdown ya COVID but hii ngoma inafanya nasahau noma zote.
Noma ni 2024 na Bado Iko lit
afande hawa ni wezi(afande hawaniwezi)🔥...Ohanga the chef👨🍳
Niache rap nianze kuimba bado hamniwezi
Muache rap muanze kuiba afande hawa ni wezi
Nomaa ni...
Another level
Safi sana
DOPE
Damn
I'm Nigerian but this is fire...🔥🔥😭😭💯💯🔥🔥😭😭😭😭💯🔥🔥🔥😭😭
Doppest
🔥
He is the only we have in kenya
Its fire I can testify
@@mashabikiwaharmonizeweuweeee
Love from India🇮🇳
2020 bado tuko na hii ngoma,,oya wangapi bado tunaiskiza,,🔥🔥king himself🔥
🤙
I love the way octo never does mediocre videos
I know his videos are liiit💯
Kama unakubali Octopizzo ni the best Rapper... In Africa Nioneshe na like yako
2024 na bado hatutambui mambleina .....
badooo😂!!!
If ever there comes a time rap will be studied in +254, This song must have a unit on it's own🔥🔥🔥🔥💯💯💯
This will be Octo's legacy...Hii ngoma btw in 2043 tutakua bumpin tu...Some legendary shit
Ww utakua umezeeka😂😂😂
Ukweli
Kabisa
Very soulful.....
DJ Joe Mfalme....
hii ngoma ikuwe kwa next mixtape yako..big fan
Qriss k. yeah man
Wow, what a fruitful thought
Haha just kidding
It's sucks
I'm a Ghanaian liVing in Kenya..octo is my favorite..254
I dont understand swahili..but enyewe octo umewezaa😁😁😁
hahahahah
Uko high mjamaa
@@faithjerop2895 noma ni ako mogoka na hatoboi... 😂🤣
neal ndegwa
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH U DONT WAT
Mwache rap mwanze kuiba afande hawa ni wezi...💯🔥🔥
every line kwa hii ngoma ni instagram caption🔥🔥
Noma ni hii ngoma ,noma ni octo kuimba bila ku koma ,noma ni kutoa mahits na bado haija wahit , noma ni wao kusema umebeat na hawaja skia hi beat 🎼, noma ni kufikisha miaka kumi na nane , noma ni number 8 ,noma ni octopizzo , noma ni nyinyi muache hizo support talent coz noma ni nyinyi kukosa kufanya hivyo . @254 octo King of rap👊#8
@natasha_nduta
Ngoma noma keep up octo
Nimetii 🙌🏾🙌🏾🔥🔥
2022 but this shit is the first one on the playlist 🙏🙏 GOD BLESS OCTO 🙌
best Kenyan rap song ever?
This song will always be legendary
This was a masterpiece, five years down the line. Octopizzo we need more of this
Noma ni narudia rudia hii video.
😄😄tuko wengi.
Noma octo noma
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Still bumping to this hit one year later.
Kujeni na X wangu bado hamskii hamwezi ni Y.
Octo, maximum respect to you bro.
😂😂😂
Heavy On Rotation 2024🔥🔥 "Niache rap nianze kuimba bado hamniwezi,Muache rap muanze kuiba afande hawa ni wezi"🔥🔥
Personally ,I have always believed Noma Ni is Octopizzo's most fire song
Real
It feels good seeing out Kenyan music zikihit 1M views and more.... Cograts Bro
charles Ndungu ...si kupenda kwake. Ni vile ngoma ni noma. 'Visionary isht'
#Pizzodeking_&_you_know_it
COGRATS COGRATS COGRATS COGRATS
THEGE U BROTHER
#charles Ndungu 😛😜😄
Yeah its great
Cheque mates sign here🤟❤
Yessir
Tuko 🔥🔥
Nimekuja kuiskiza tena😅😅
@@Manilexthebrandsame😂😂😂😂. Had to pause the podcast
Alisema ule octo wa young puffy ako UA-cam so tumekuja huku😂😂
Octopepper nimetii🔥🔥
You never understand the king how does this song still slaps today mehhhhhn🎉❤❤
This one has passed the test of time... certified classic. Pizzo De!
Noma ni ati this song was ahead of its time 🔥🔥
Walenje doo zimecolorclash
Uliza Peter Marangi
#Mr.International
This guy is dope man, he's so authentic , he doesn't front to be kenyan eminem
Cause he is not 😅
Yeha
@@nehxmiah470 and that's why he doesn't front to be
Pizzo the king & you know..
I'm still here in 2024🔥🔥🔥
Top 3 to Top 5 Octo song
OCTOOOOOO!
Eh baba😂😂😂😂
Brathe si unafaa kuwa Gospel
Lakini ikiweza inaweza tu
Ni kama alkuwa anapita tu
One of the Greatest songs from Africa by Octopizzo . It's a classic.
Competition ni watu watatu me myself and i ✔
💥💥🖐
Kujeni na X wangu bado hamskii hamwezi ni Y🔥😂, , Pizzo the king n you know it💪
Noma n after 6yrs bado ngoma n kali.big up🎉
This track is LIT, jam of the week.....Big Ups Octo!!!!
The person working on your beats is on another level.Big up yourself Beo
This song should be sent to Colors show💥💯 saluté Octo💯
2024 bado ni Noma...🔥🔥🔥weuweeeee
Noma ni eti ni 2024 na hii ngoma ni ❤🔥❤🔥
,,,,,"nikispit, ebola...kwenye streets mi baller...' fire!
Jimmy pia wewe uko hapa ?
Everytime I pass by Jogoo Rd, Hamza, this songs hums in my mind. It's become some soundtrack in my life ...
Big up joh!
We octo ulisema hau drop ingine tuskize hii on repeat tuu.🔥🔥🔥
Octo must drop another song just like this dope song
Octo's f most finest song
Vibing late night to this while high🍃🔥
NIACHE RAP NIANZE KUIMBA BADO HAWANIWEZI MUACHE RAP MUANZE KUIBA AFANDE HAWA WEZI✴✴
You know Khali got into his skin with that "acha kurap fasta buda come slowly "😂😂😂😂😂😂😂
Hebu wasee wengine wakuje huku waskie our very own kenyan sijataja mtu juu noma ni....kuja na x wangu still hamuezi ni y
Noma ni 2024 macs wote wamefutwa kazi😅
noma ni nimeona hii comment 8 days later. Gang gang
Noma ni tuko Quarantine na lockdown nchi nzima.
Pizzo the King and you know it
Pizzo to the world...2024 still
Octo is just a G......nani anaruka 2022 na hii ngoma!!!!!????
Oya wasee Niko hapa kusupport our very own OCTOPIZZO
kama ukonamimi subscribe kwa channel ya Octo alafu like hii comment
Dj Afro Amigos weuweee saidonyi😂😂😂
Weuwee kimoda
Dj Afro Amigos ma.... makosaaaaaaaaaaa
hahahaha
Noma ni DJ AFRO anatambua Noma ni
If you love art , you love Octo
great music Octo!..the swag in this song is on another level!
naTena ha,waTulishi
hawakuwezi OCHIL🤘🇰🇪🇷🇼
Noma niko maMoshi na bado nabrek recordi!
Mayweather wa kibera ame land....
Noma ni kusema hii ngoma ni noma
Sawa choppie, endelea tu hivo🙇♂️
Genius stuff
James Kinuthia Munene you damn right
Noma Ni Octopizzo kulike hii comment!!
POETIC LINES MIXED LIKE SMOKE IN THE MIDST OF RAIN .
LEGEND OF 8 SIDE
Nimeskia ikiimbia kwa jirani I had to look for it again 😅💯Namare, three commas kwa salaree💯💯💯
Very Different From Every Song And That's Why You Stand Out From Others 🔥🔥👏🏼👏🏼.... For Them We've Predicted Their Songs.... Till 2022 ... They just Rap Fast ... Then Search For Collabos For Change Especially From Bongo ...This is Called Timeless Music 💯💯
can we just support without comparison
@@yangstasports7635c6cc6vuyvvu the 3 to c😢 can CCG çy you 😢y HV v vxg😂tcfyyggyt5 you 5
Best hiphop song Kenya has produced.... Real hiphop heads agree to this
pizzoo the King and you know it ❤@octopizzo
Noma Ni
Very soon kikoroboi
Natoa Kitambi
#Ei8ht
buda... hiyo verse I would like to know the meaning.... "Very soon Kikoroboi natoa kitambi".... Koroboi is lantern and tambi is dipped into the parafin of the koroboi then ikiwashwa inatoa light.... sasa hapa tukichambua inamaana kwamba when you remove the tambi, hicho koroboi is useless.... buda nyinyi ndo mling'aa kwa fasihi
Kutokana Tanzania noma ni Hatari
Wuod Nyaboro🔝
A town
Next year visionary shit
Pizzo de wat
Pizzo de wat
The king and you know it
Noma ni mi' kwa maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Noma ni hamnibambi
Noma ni nyi' wote ni ma-barbie
Chorea Ochi UGK wanani-compare na Bun B
Noma ni mi' kwa maganji, nigga
Noma ni huna kipaji
Wollenje dough zina colour clash ita Peter Marangi
Daro niko mabangi ita Mr. Matiangi
Noma ni kwa mangiayi wewe kuku mayai
Jogoo road pale? hapo ndio utaniwahi
Kujeni na ex wangu bado hamskii hamwezi niwahi
Noma ni mi' baba Tracy
Noma ni mi' baba Zara
Noma ni mi' baba Fredi Flacko wakiniona wana-holler
Noma ni baba Malcom X madame wananidara
Noma ni uliokoka
Noma ni niko mogoka
Noma ni mi' kwa maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Noma ni mi' kwa maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Pizzo the king and you know it (you know it)
Pizzo the king and you know it (you know it)
Everything I rap about better believe I own it (own it)
Kila nguo mi' hudunga bana better believe I bought it (bought it)
Muziki ni ndondi boxing
After chrisi ni boxing
Mayweather nikiingia kwa ring ma-punch line hazikosi
Walianza mwaka na pupa
Mi' kwa hosi nime-chill tu 'cause
I'm sick and you know it (you know it)
I'm a dick come blow it (blow it)
Superstar I'm blowing (get it get it get it)
Neck freeze I'm snowing
Hizo chocha za ku-rap faster buda joh come slowly (slowly)
Niki-spit ebola (ebola)
Kwenye street mi' baller (baller)
Nawaacha na mixed feelings bana wamekuwa bipolar (polar)
We shillingi mi' dollars (dollars)
We shati mi' collars
Wali-try kuni-call lakini sipatikani truecaller
A A A A A A kila subject ni A
E E E E E E kila ndai ni E-class
Mwaga tei kwa hii glass
Funga bao na hii pass
Noma ni mi' kwa maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Noma ni mi' kwa maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' si refugee lakini saa hii bana siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Nomare three comas kwa salare
Nomare watu wa hii shule bila basare
Nomare relationship niliachia?
Nomare New York ndio mi' hupeleka mahare (hey)
'Na cook up mi' mpishi
Wana look up nikidishi
Ki E-sir hamnitishi
Na tena hamnilishi
Niliwapeleka kaburini so wanajua ni mazishi
Na kwa hio matanga yenu bana huskii bado tutadishi
King swing
Bling clean
Swagg mean
Game Will
Na hawa ndio wata ni-copy 'cause boss mi' ndio chopi
Niache rap nianze kuimba bado hamniwezi
Muache rap muanze kuiba afande hawa ni wezi
Kwa street niko na choppa
Kwa sky niko na chopper
Competition ni ya watu watatu - me, myself and I
We' ka' bado una-hate on Octopizzo kill yourself and die
Noma ni mi' kwa maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kitambi
Noma ni mi' kwa maganji
Noma ni we' ni mtiaji
Noma ni niko Magadi
Noma ni niko Bacardi
Noma ni mi' ni refugee lakini saa hii joh siko kwa kambi
Noma ni very soon kikoroboi natoa kita... mbi
It's A town, King Nigga
Translate to English
*Fillers
Jogoo road pale hamsa
Nomare relationship niliachia bandare
Whats Bandare?😀
Sio A town ni 8 town
Thanks for this 🤝💯🔥
It's 8 town
This is on a another level🔥.Kibera to the world🙏
"kikoroboi natoa kitambi"i have no words🙌
Niache rap nianze kuimba hamniweziii... mwache rap muanze kuiba afande hawa ni wezii...
2024 CLASSIC!!!!
Hip hop flavour inaendelea kuongezeka Kenya,Noma ni vile hii ngoma ni noma,....he he
Noma ni ....acha izo Octopizzo 💪💪
Nmewapeleka kaburini so wanajua ni maziishiii.. Kwa hio matanga yenu bana uskii bado tutadishiiii😂😂😂😂😂😂real OT
The true meaning of sampling and taking the song on another level
Am not making no one Happy but since yesterday 5pm to now I have listened to this track over 70 times. Killer track
Noma ni 2024 still big tune🎉
5 years and still the jyuuice is still fresh
" trouble is a am a refugee although am not currently into a refugee camp !" DEEP
Yo Octo alidai
"Noma ni wananicopy juu mi ni chopi "
🔥 🔥 🔥
I'm not really a fan of the local music but this one is on another level. Beat, rhyme, vida top notch.
Nani anasikiza mpaka 2023 ..hii goma ni mpya kila siku
Noma ni hii ngoma haizeeki.
Niache rap nianze kuimba bado hamniwezi
Muache rap muanze kuiba afande hawa ni wezi
2019!!!!!!!
Octo walai like hii comment juu we ni mnoma na mi ni fan
Uliwapeleka karibuni ndo wajue mazishi na bado kwa matanga yao tutadishi