Duuuuh, Shadow una maamuzi Magumu sana. Pamoja na yote bado ukakomaa nae. Ila cha kujifunza ni kwamba kuna wakati tunaoupitia kwenye Maisha unakuwa na changamoto ambayo mtu unaweza chagua jambo fulani ukadhani ni suluhisho. Linapogeuka unajuta na kusema ningejua bora ningebaki hivi au vile. Lakini yote KWa yote Tupambane kivyovyote halali kimaisha maana kesho yetu ni kubwa kuliko leo na siku Mungu akiamua ameamua Lili jema KWa mtu na kwa ukubwa anaoona unaweza kuubeba. Amina. Big up Shadow Kazi zako yunazipokea Wadau wako. Comarade Millinga - DSm - Kimara
sijali mimi ni wangapi kutazama filamu hii lakini ninapo fungulia account yangu kitu cha kwanza ni kuangalia notification zangu kama shadow ashaposti,napenda filamu zake,most love from kenya🤎🤎
Kaka uko vizur sana Ila punguza maelezo mengi , na action ziwe nyingi , sio watu wanakuwa wanaongea mda mrefuuu inaboa Mzee , watazamaji wengi ni wale wanaorudia Rudia , mtu akiona haisisimui hata harudii kuchek tena, vitisho vitisho ndo watu tunapenda , mapenz mapenz sio kivile
Ulifanya jambo lamaana kwa sa7bu hat mkeo kufanya kitendo hik alifanya kwa ajil ya kuweka maisha Yako na yey Salam mwanamke anaonekan mjasili xan ingawa alifanya mistek unaweza ukamsameh bule kwa xa7bu alifanya kwa ajil bolesha maixha Yako na yey kutka na ulemav wak au. Nimekoxea
KALI SANA 🙌🏽🙌🏽🙌🏽
ASANTE SANA NDUGU YANGU
Nakukubali sana cram vs shado
Hi...Shadow upo juu....Umeni fanya nilie mm😢...We love u Shadow ...Am yusra from KENYA❤
Me too
From Kisii KENYA 🇰🇪 Niko Ndani
Kazi nzuri, hongera sana.
Kazi nzuli shadow❤❤❤❤
Love from chadia irankunda🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Nzur san big up shadow
Duuuuh, Shadow una maamuzi Magumu sana. Pamoja na yote bado ukakomaa nae. Ila cha kujifunza ni kwamba kuna wakati tunaoupitia kwenye Maisha unakuwa na changamoto ambayo mtu unaweza chagua jambo fulani ukadhani ni suluhisho. Linapogeuka unajuta na kusema ningejua bora ningebaki hivi au vile. Lakini yote KWa yote Tupambane kivyovyote halali kimaisha maana kesho yetu ni kubwa kuliko leo na siku Mungu akiamua ameamua Lili jema KWa mtu na kwa ukubwa anaoona unaweza kuubeba. Amina. Big up Shadow Kazi zako yunazipokea Wadau wako. Comarade Millinga - DSm - Kimara
Napendaga sana kazi zako uwaunanifurahishaga atanikiwa nauzuni nikihona komedi zako uwanajisikia furaha
Daa kazi nzuri sana Shadow big up namkubali sana huyo mke from kenya
Nice shoot bro shadow..
Good job my brother showd god blessed you bro here from Mozambique 🇲🇿 boy from Tanzania 🇹🇿
Kwahyo sasa hyo million thelathin imeenda wapii na maisha hayajabadilika kaka
Nice mv ...wid lov story...it's prt of lyf....love u All❤
Great job bro Shadow 👏
sijali mimi ni wangapi kutazama filamu hii lakini ninapo fungulia account yangu kitu cha kwanza ni kuangalia notification zangu kama shadow ashaposti,napenda filamu zake,most love from kenya🤎🤎
Dah kaka nakubalii move karii sannaa
Kazi nzuri. Tunaoenda hivi mnavyobadilika badilika. Mtafika mbali.
Good 👍 job guys
Nipo like zangu nafungua shadow 😁😁😁 wa kwanza nikiwa Qatar
Kazi nzuri 😢😢😢
Kaz nzur kaka xhadow
Like job respect 👌✊👍👍
Kali saaana brother watching from kenya
Kaka uko vizur sana Ila punguza maelezo mengi , na action ziwe nyingi , sio watu wanakuwa wanaongea mda mrefuuu inaboa Mzee , watazamaji wengi ni wale wanaorudia Rudia , mtu akiona haisisimui hata harudii kuchek tena, vitisho vitisho ndo watu tunapenda , mapenz mapenz sio kivile
@moazor we ndo mhusika au kiherehere
@moazor niliyemshauri kafata ushauri , nyie matutusa msio na mbele wala nyuma bakini hvyo hvyo wasenge nyie
@@Malik12kingJamani msitukanane. Please muelekezane tu KWA ukarimu na upole. SAWA ndugu zangu.
@@charlesmillinga992 sawa bro nimekuelewa
Kal sana hongeraa shadow boy
KAZI nzuri big brother shadow
SHADOW naomba hi film muzuri
Riski sio popote ila nikujituma kimaisha wenda mungu atmkafungua milango ya mafanikio yako pambana kiume ili upate siri ya mafanikio
Ulifanya jambo lamaana kwa sa7bu hat mkeo kufanya kitendo hik alifanya kwa ajil ya kuweka maisha Yako na yey Salam mwanamke anaonekan mjasili xan ingawa alifanya mistek unaweza ukamsameh bule kwa xa7bu alifanya kwa ajil bolesha maixha Yako na yey kutka na ulemav wak au. Nimekoxea
Mimba juu 😢😂😂
Vous êtes les meilleurs
Shodow is the best
Shadow skupingi. Sijui unapata wapi idea
😢dah nimejifunza kitu🤞🏾💕😫
Ahsante muvie zuri sana
Aswan Elphas from Kenya you done a work my brother we'll done u have been teach me alot in this video 👍
Ontop shadowmazing
Kwasababu weweni kipofu ndomana uliendelea naye. Ungikuwa unajaliwa mboni upate kuona... Inawezekana usinge endelea naye.
Après avoir interrogé la conscience inawezekana kuendelea naye
Yoooh washkaji mnaUmizaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
Shado unaweza
Lvly❤
Nimechelewa kidogo nahomba ata like mbili
Kwendaaaa we kama nani tusitoe like kwa mchezaji upewe wewe nani kwa mfano umecheza sehemu gani ktk muvi kenge mmoja
Matako yako
Kajifunze kwanza kuandka
Unahomba😮😮😅😅😅puuz
Don't worry
Kazi nzuri
Kaz poa🎉🎉🎉
Mmmh hii noma
Ninaumiasana kwakwel dunia inabadilikasana 😭😭kunyanyasa kipofu kamavile kweli huyukijana hainahuruma Kbis 🤦🤦 nimilia namacozi kanitoka Kbis 😭😭🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yan vibaka hd vipofu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nice work
Bom trabalho
Oyah... Shadow ishi umooo to utatoboa ila comedy saiv wachawi kibao kak
Kazi zuri ❤❤❤
Watu hawana huruma jameni😭
Good lesson i hope kuna sehemu ya pil
Kwanini asingepewa hata advance ya 15M baada ya mimba kuwa kubwa kidgo
mwachilie mbali
Kipofu anashindwa kutambua mke wake kua na ujauzito hpa mmetupiga n kitu kizito
Inauma sana angaria duniya ilivo sasa
Pia mm nimechelewa naombeni atah mbili
❤❤❤❤ni mzuri sana😢
Je suis Le premier à regarder la vidéo😊
Nice
Namuacha tu viendavyo na maji ni vingi
wonderful
Much love from kenya
Nami pia ningendelea nae kwasababu haukukua kupenda kwake
Wakwanza Leo naombeni like zangu 😂😂😂
Kma ni kiuhalisia huyu dada ilibidi ausishwe kweny miradhi ya big boss baada ya kujifungua huyo mtoto nategemea hilo mbeleni shadow
Big up shadow
Hiyo n kitu mpya poa
Nzuri ❤
Hhhhh shadow weninom2
Hii ikue episode bana shadow
Pesa ikikosekana upendo huisha kabisa siyo kupungua tu
Courage shadow
Kipaji
😂😂😂 amigos 😎✌️💥
Wa saba😁😁😁
Shadow tupatiye party2
Worderful
Mbona maisha hya kubadilika au ndo mtoto hakuzaliwa
Mozambique🇲🇿
shadow nice
❤❤😂
Hagar😎😎😎😎
Shadow we love you 😍
Mashallah funzo tosha😢
Iyo ni funzo kubwa😢😢😢
Narudia tena likes ni kwa waigizaji tuu na sio waliotangulia kiwatcha Kama unataka likes igiza zako tutakupa by utawala
Kabisa wanaudhi sana 😏😏😏eti wa kwanza nipeni likes nikama walitupea tukawawekea 😏😏😏
Wanaboa sana sijui tuwape like kwa kipi
aki mungu wangu sipoa
Jamani , mbona kama ina muendelezo ??? Na kama haina muendelezo , itakuwa kama mtu ana njaa halafu una mpa tu tonge moja la ugali
Wa kwanz likes zang jyaman❤
Hatamm ningendeleyanae
Sasa Rey kila kazi ina advac umebeba mimba akupe milion 15 ukijifungua akumalizie iliyo bak au mnaxemaje watazamaji sasa kafa duu
Kupandikiza ni surrogacy ama? Sijarada iyo kiswahili
FIRST VIEWER ILA STAKI LIKES😅
Yani vibaka havina huruma
Amazing
Love you shadow❤😢
N haatareeeeeeeeee