Aict Ngulla Vijana Kwaya Mantare- Mwanza Sema Nasi (Official Video HD)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @kennedymuthiani3076
    @kennedymuthiani3076 3 місяці тому

    Kazi safi sana.kongole🔥🔥🔥 Kenya tunawapenda ....kweli Nimerudi kama mwana mpotevu,Baba nisamehe........ Napendaaaaa❤🙏🙏🙏🙏

  • @AminaSikwala
    @AminaSikwala 8 місяців тому

    Kwakwel pongezi kwa mtangulizaji wa wimbo, wew umeifanya kazi ivutie kuangalia na kusikiliza. Mungu azidi kukuinua

  • @jumadotto8732
    @jumadotto8732 3 роки тому

    Naitwa Juma kutoka kwa malungumba busulwa nawasalimia sana kwa kaz mzr xan mngu awatangulie katika kaz nyingine amina

  • @jacklineElasito
    @jacklineElasito 6 місяців тому

    Jamani Kaz yenu siyo bure ktk BWANA mbarikiwe Sana 🙏

  • @franceinternational8944
    @franceinternational8944 2 роки тому

    mwabeja sana bana ngulla aict-kazi nzuri inaonekana

  • @reginajuma7572
    @reginajuma7572 Рік тому

    Mungu awainue Kwa viwango vya juu, mnaimba vzr nimebarikiwa sana🙏🙏🙏

  • @odethaezekia2624
    @odethaezekia2624 2 роки тому

    Mbalikewe sana nimewapenda buleeeeeeeee

  • @innocenthamisonndalahwa9541
    @innocenthamisonndalahwa9541 3 роки тому

    Safi sana kama ngulla imefikia hapa basis yesu atukuzwe good job sana ngukka inara hongereni sana

  • @boniphaceevarist976
    @boniphaceevarist976 3 роки тому

    Mungu azidi kuwatumia wapendwa kazi nzuri sana, hongereni sana .

  • @daudjohn6281
    @daudjohn6281 Рік тому

    Mbarikiwe sana

  • @sarahmotomoto6686
    @sarahmotomoto6686 5 років тому +1

    Kaz nzur Mungu awabariki Asante kwa kutuwakirisha vyema❤❤❤❤❤

  • @vailethmassa1573
    @vailethmassa1573 4 роки тому +1

    Soloist Mungu akubariki

  • @frankeliudi8071
    @frankeliudi8071 3 роки тому

    mbarikiwe sana kwa huduma yenu mzur mungu awabariki sana

  • @davidmasher1907
    @davidmasher1907 4 роки тому

    Safi sana watumishi kazo nzuri sana na sikutengemea kuona mambo makubwa kama haya ndani ya ngulla namuona kaka yangu nguli wa music jj

  • @fredrickmakau8672
    @fredrickmakau8672 Рік тому

    Good intro

  • @zachariamadale2060
    @zachariamadale2060 5 років тому +1

    Asante sana nisamehe Bwana makosa yangu yanaumiza Moyo wangu nimebarikiwa sana asanteni watumishi wa Mungu na Mungu azidi kuwainua sana

  • @silviahjepchirchir8786
    @silviahjepchirchir8786 3 роки тому

    I love the songs and soon will come to Tanzania myself God bless you

  • @vailethmassa1573
    @vailethmassa1573 4 роки тому

    Mungu awabariki kwa huduma njema wapendwa

  • @marconzilankoma7581
    @marconzilankoma7581 5 років тому +1

    Kazi njema saana Fazaa hongera sana

  • @denniskim6224
    @denniskim6224 5 років тому +2

    inlove in the soloist..she is blessed

    • @eunicenthanze1160
      @eunicenthanze1160 4 роки тому

      Kabisa, naipenda kazi yake pia. She's really blessed.

    • @angeljohannes8630
      @angeljohannes8630 3 роки тому

      Ahsante Sana wapendwa wenzangu mbarikiwe Sana watumishi wa Mungu nakazi Njema izidi kuwainua watu nakurudi kwa Bwana Yesu kwa walio potea, Wimbo huu Umenibariki nakunipata Ujasiri kuomba msamaha kilawakati pindi nimkoseapo Maulana wangu, hakika Mungu warehema Awazidishie Nguvu Ujasiri wakuzidi kumtumikoa Mungu wetu nakuitangaza Injili yake kwa Mataifa yote, Amina 🙏🙏💖

  • @michaelkahwa6530
    @michaelkahwa6530 4 роки тому

    Kaz nzur

  • @danielelias7153
    @danielelias7153 4 роки тому

    Nimependa Mungu awatangulie kabsa

  • @richardmasanja320
    @richardmasanja320 5 років тому +1

    Npo mbele zako bwana nxamehe

  • @sadocndayizigiye6905
    @sadocndayizigiye6905 5 років тому +1

    Seama nasi bwana

  • @edsondunduguru2028
    @edsondunduguru2028 5 років тому

    nmewapenda bure mnaimba vizuri

  • @samuelndawa
    @samuelndawa 4 роки тому +2

    Amina