Mpendwa katika Yesu Kristo tumetia wimbo huu hapa ili ubarikiwe kama jinsi wengine wamebarikiwa kwenye mkutano wa pasaka ambao umefanyika Dallas Texas. Kwaya Umoja kutoka kanisa la FMC Abilene Texas. Utakapo sikiliza funguwa moyo wako ili Bwana wetu Yesu Kristo apate na fasi ndani yako.
Mubarikiwe watoto wa mungu 🙏
mubarikiwe!🙏🙏
Mungu awabariki sana
"Usiniache leo ewe Mungu wangu, mkono wako niuone leo." Mungu ni mwema kila wakati 🙏
Koko
Mubarikiwe wapendwa katika kristo 🙏🏾
Mbarikiwe sana askari wa yesu🙏🙏🙏😌😌
Amina. Mungu azidi kuwatangulia katika kila jambo na azidi kuzidisha kipaji ❤️
Mpendwa katika Yesu Kristo tumetia wimbo huu hapa ili ubarikiwe kama jinsi wengine wamebarikiwa kwenye mkutano wa pasaka ambao umefanyika Dallas Texas. Kwaya Umoja kutoka kanisa la FMC Abilene Texas. Utakapo sikiliza funguwa moyo wako ili Bwana wetu Yesu Kristo apate na fasi ndani yako.
Amen 🎉🎉
Huuu wimbo jamaani aliye wafundicha ninani lkn wimbo wa secteur ya kwanza huho Daah
Amena
Amen 🙏
Amen ❤❤❤❤❤
Amen
Amina🙏🙏🙏
🙏🙏Amen😭
13
Amen
Amen
Amen