Si vyema mpaka madhara yatokee ndipo linashughulikiwa jambo. Tujifunze kusikiliza tunayoambiwa kuhusu barabara hizi na kutenda kwa wakati ili kuokoa maisha ya wengine.
Shida inakuja unaweza kuwaeleza viongozi maeneo ya barabara korofi yanahohatarisha maisha ya binadamu kuwa ziwekwe baunsi ,cha kushangaza imekuwa utamaduni mpaka agongwe mtoto either wa shule ndo unaona wananchi wana react na kuweka maandamano ndipo unaona viongozi wa serikali wanalishughulikia.
Yuko nyuma kabisa Tanzania kwanini tunashindwa kujijali, why kwanini wenzetu wanao tutengenezea magari wanajijari nakujali usalama wanakua makini kwann sisi inakua hivi, jamani tubadilike, huyo dereva anastahili azabu zito kulingana na Sheria za barabarani, kwenye zebra unafanya hivyo tuna hitaji mabadiliko makubwa
Usalama barabaran ni jukumu letu sote,dereva jali maisha yako na yawengine uwapo barabaran.tii Sheria Bila shuruti
Si vyema mpaka madhara yatokee ndipo linashughulikiwa jambo.
Tujifunze kusikiliza tunayoambiwa kuhusu barabara hizi na kutenda kwa wakati ili kuokoa maisha ya wengine.
Shida inakuja unaweza kuwaeleza viongozi maeneo ya barabara korofi yanahohatarisha maisha ya binadamu kuwa ziwekwe baunsi ,cha kushangaza imekuwa utamaduni mpaka agongwe mtoto either wa shule ndo unaona wananchi wana react na kuweka maandamano ndipo unaona viongozi wa serikali wanalishughulikia.
Madhara yatokee ndo mchukue hatua"trafic mnafeli wapi?
Inakera