Mkaraboko unakosea. Simba kipindi cha kwanza wanacheza vizuri sana tena kuliko hata yanga. Kipindi cha pili ndipo Simba wanakosa umakini mpaka robo ya mwisho wanapoamka tena na kufunga goli dakika za mwisho. Nakushangaa unavyowaponda Simba wakati ndiyo wanaoongoxa ligi na shirikisho wako nafasi nzuri. Nakushangaa pia unapoifagilia yanga kuwa ni bora wakati inaburuza mkia Caf.
Heading ya maada ba unachojadi haviebdabi? Pia kwa nini katika maswali yako mara zote una undermine simba na kuwafanya yanga ndiyo favourite japo mkalaboko anakwambia timu nyingi zinapokutana na simba zinapaki bus wakati zinapocheza na yanga zinacheza open play. Lakini unadahau simba kamfunga Kagera juzi tu bao 5-2 kwa mbili lakini matokeo hayo hautaji unang’ang’ania mechi ambazo simba ameshinda goal chache na bila kuangalia magoli yanayokataliwa upande wa dimba na pia yanayofingwa upande yanga. Waandishi kueni fair ili muwe waandishi bora na siyo bora waandishi
Sawa Simba ni dhaifu lakini tuone hayo mnayotuambiya, ni ushabiki hakuna kitu kibaya kama sifa mnazo mpa yanga yanaweza kuwatokea puani.
Tatizo Hawa wachambuzi hawaeleweki mara hapo hapo unaiponda Simba hapohapo unikubali hatuna wachambuzi kabisa
Kuna nani anacheza mpira mzuri zaidi ya Simba?