Jinsi ya kufanya Kilimo cha Parachichi; Utaweza kuvuna Milioni 10 kwa msimu kwa hekta
Вставка
- Опубліковано 16 вер 2024
- Kutana na Mtaalamu wa Kilimo kutoka Taasisi ya Utafiti wa Mbegu, TARI, akikueleza jinsi ya kufanya Kilimo cha Parachichi kama una maswali coment hapo Chini.
Iv naweza nikazipanda kiangazi ichi nikawa na zimwagilia maji zika toboa mpaka masika ,, au inabidi hadi masika
Wengine miche 70,81, nawew 68 tumwele yup kwahiyo wote mnatulisha matango pori
Please help me with correct fertiliser to increase production
Elimu nzuri Ila muonekano wa parachichi hauvutii,Kwan mfano Miche midogo imesinyaa pia mti mkubwa unaonekana Haina chakula Cha kutosha
Namba ya mtaam jaman
Mtaalam habari yako me natamani nilime nipo manyara nitapataje hizo hudhuma za miche
Mbona mna tuchanganya masoko hakuna arafu mnaturetea krip zazamani
soko la wapi ambalo wewe mwenzetu hulipati na unauzia wapi Mbona wenzio tunauza na tuna ekari nyingi tu huku Njombe
Masoko hakuna?
Uwiiii
Kumbe soko hamna?