Tajiri anayesemwa hapo ni yeyote mwenye kuitegemea mali kuliko kumtegemea Mungu , utajiri pamoja na uchaji hiyo ni sawa na kubarikiwa na mbinguni anakwenda.
sorry to be so off topic but does anyone know of a tool to log back into an instagram account?? I somehow lost the password. I love any assistance you can offer me
@Samuel Jack i really appreciate your reply. I got to the site on google and im trying it out atm. Looks like it's gonna take quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
wenye wamefuata hii LUKE 18 /25 someni hapo 18 kuenda hiyo 25 mtaelewa zaidi kuliko kusoma 25 kutelemka kuna matajiri wanataka kuomba ufalme wa mbingu but wachoyo na wasumbua wajane yatima ni matajiri na wawezi saidia
Jalas ulisema autoangi tithes umesikia Bishop wako amesema aje, pea Mungu yake, saidia mayatima, etc so wewe jalas unaangusha Bishop wako sana🤣🤣🤣 heri ulale tu ukiongejea ufalume was mbinguni
Jalas, Luke 1:37 (KJV)
For with God nothing shall be impossible.
So even the rich will enter Heaven if they live according to the Word
Team 974 mpoo? Jalas na mwakideu Mungu awabariki sana, siwezi boeka big ups
We need more of thz kuliko ya kusoma katiba🙏🤝👌
True i support you
People really needs to get close To God,jalas na mkweu
Tajiri anayesemwa hapo ni yeyote mwenye kuitegemea mali kuliko kumtegemea Mungu , utajiri pamoja na uchaji hiyo ni sawa na kubarikiwa na mbinguni anakwenda.
Jalas that's my pastor as well helicopter told me one day nitapanda ndege kuenda ngambo, na sai niko England, pastor wahome God bless you
I love Jalas for furiiii vile ameleta hiyo kulala n.a. mali na mbinguni
Uyo bishop hamna kitu.
Jalas ill die of laughter😂😂😂
Watu walale😂😂
Matajiri kitawanukia
😀😀😀😁
"Niko na number ya pili ya Wahome" 😅😅😅😅
Matajiri wa mali mambo imefikia hapo 😂😂😂
The rich are exposed to more temptations than the poor Jalas, that's why
Jalas you have been trying to help congratulations
sorry to be so off topic but does anyone know of a tool to log back into an instagram account??
I somehow lost the password. I love any assistance you can offer me
@Malik Wesson Instablaster :)
@Samuel Jack i really appreciate your reply. I got to the site on google and im trying it out atm.
Looks like it's gonna take quite some time so I will get back to you later when my account password hopefully is recovered.
@Samuel Jack It worked and I finally got access to my account again. Im so happy!
Thanks so much, you saved my account :D
@Malik Wesson no problem =)
I like vile jalas anapeana warning...usikashifu baba yangu
nimecheka vile jalas anashtuka😂😂😂😂😂😂😂😂wah hiyo ni Noma matajiri maisha hahaaaaaaaa
Hapa mbele watajua yote ni ubatili
@@edwardsamilee2330 yenyewe ukweli
@@nzisakasau8234 Exactly.Mostly The rich are the stingy ones
@@edwardsamilee2330 but not all of them
@@nzisakasau8234 Yea.Most of them
Wanasiasa wameskia,,,
Nipigieni mimi niwaambie 😅😅
😂😂😂 swee haloooo
Simpigie Ng'naga 😅😂😅😂😅😂
Sweet Mum wake chief commander wacha akae😂😂
@@mosesgaryto5902 Nakwambia uyo anaweza vituko😅😁😂😁
Leo so nimechoka hata pastor hawashiki simu😂😂😂
😂😂😂 jalas you will kill me one day
Ndi Adamba?
@@michaelimbiru6739 mbeho garaha
@@victoradamba7403 Vurahi, ng'ani umaa uhuliza ku avararu yava? 😁😁😁
@@michaelimbiru6739 kabisaa vamavanombera ridiku niziseko 😀😀😀
@@victoradamba7403 Kari inze😀😀😀😀
Eti baba ya jalasi Ni pastor na hampigii cmu.😂😂
Hapa mbele watajua hawajui. Hahahahah
Pigieni pastor ng'ang'a
Hapo kwa Tajiri jalas anauliza kama hajasikia cz anajua yeye ni Tajiri
Mmh
😂😂😂😂😂jilas unakunga na mchezo sana ati ata porsta wako umuamini
😅😅😅😅😅😅😅woiiii am dead why lie
Kwa ufupi Tajiri ni mtu yeyote mwenye uwezo wa kusaidia na hasaidii. Mbiguni ni viusasa
Exactly
Utajri wa dunia iwe ni ya kujali maskini, walemavu ,wajane na wasiojiweza ndipo uweze kupewa zaidi
😂😂😂😂😂 jalaaaaas
Wah acha nifunge virango vyangu bac nirundi 254...akuna aja ya kwendelea na kuchafuta mali
🖐️
Iyo mambo imeishia hapo na isiwe vita.Mbinguni mtaionea viu....
Leo m umeweza injili isonge mbele
Haha i check comments to see.... kasau
@@danielfundi9671 nipo sana 😂
Confirm words hhhhhhhhh 😂😄😃
Jalas wewe 😂😂😂😂
wenye wamefuata hii LUKE 18 /25
someni hapo 18 kuenda hiyo 25 mtaelewa zaidi kuliko kusoma 25 kutelemka kuna matajiri wanataka kuomba ufalme wa mbingu but wachoyo na wasumbua wajane yatima ni matajiri na wawezi saidia
Pigia Nga'nga
They also say give to God....which is the church and they b driving big cars when the poor walk to give them Petro shm
For what is a man profited, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? or what shall a man give in exchange for his soul? Matthew 16:26
Wololo 😂 😂😂 😂
hahahaha kumenuka
Ha ha....Jalas amewezwa
😂😂😂😂awashika
HAHAHAHHAAH JALAS SASA MTU ANAOWA KWANINI
jalas your bishop is also my bishop am a member of CCA
Jalas Aki wewe Utalala tukule nn?
The bishop had no idea.. But anyway whom am i....
Sasa Jalas ww una utajiri gani ? wewe unauwezo wa kununua hata elcopta ?
Pastor Nga'sh ako online...
na siku hizi mapastor wanabuy magari kama "fiatu"
Kwani jalas helicopter hamsomi biblia or hamjafika hiyo page
Mbona mmtamtafti ksnyare wa 310
CCA my church
Jalas ulisema autoangi tithes umesikia Bishop wako amesema aje, pea Mungu yake, saidia mayatima, etc so wewe jalas unaangusha Bishop wako sana🤣🤣🤣 heri ulale tu ukiongejea ufalume was mbinguni
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Jalas haki wewe.. you make this thing sound so bad
😂😂😂😂😂😂
😂🤣😅😅😅😅🤣🤣😅
Niko Tz ngamia ni kamba ile inafungia meli ( ship) kama imepaki
camel is the thing we are talking about
Hapa tunaongelelea ngamia mnyama