Kufuli ya Mapenzi | Wapenzi wafunga kufuli na kutupa funguo baharini

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 147

  • @jamilasalim7165
    @jamilasalim7165 2 роки тому +9

    Duh kazi tunayo Dunia inaenda Kwa kasi sana

  • @mrsanna7820
    @mrsanna7820 2 роки тому +5

    Kama mtaachana nauza mzumeno 😂😂😂😂😂

  • @tngmediake1905
    @tngmediake1905 2 роки тому +6

    Napenzi ni ghasiaa😅 all the best 🤝🤝

  • @mbaruksaid5775
    @mbaruksaid5775 2 роки тому +4

    Waaah..Dunia inamambo kweli

  • @maurichems1119
    @maurichems1119 2 роки тому +28

    It’s very common in Europe but still the divorce rate is high 😅

  • @mudzombamudzomba
    @mudzombamudzomba 2 роки тому +1

    Waaaah noma walai✅👌💯

  • @sammiestravels3277
    @sammiestravels3277 Рік тому

    This is the leader of all the simps in the whole world. Bibi yake anamangwa huko nje mbaya sana.

  • @victoriakesi8128
    @victoriakesi8128 2 роки тому +2

    Waaaaaa hiii ni kali jameni kenya

  • @lawreenmkado8307
    @lawreenmkado8307 2 роки тому +5

    That is very common in Germany more so in Köln….and other European countries.

  • @ebbypendoh8423
    @ebbypendoh8423 2 роки тому +1

    Kazi ya official flexis

  • @doricecyprian7246
    @doricecyprian7246 2 роки тому +12

    Hawa wako kwa dream land ya mapenzi siku watamkaa😂😂😂

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 2 роки тому

    Kali hii mapenzi nayo mahaba kwa wingi kufa kuzikana

  • @Moha374m
    @Moha374m 2 роки тому +6

    siwesi toa pesa kufuli heri nikae pila mapenzi🤣🤣🤣

    • @aminaabdallah4359
      @aminaabdallah4359 2 роки тому

      Weeh acha maneno yako uko wapi twende tukafunge yetu 😂 😂😂

  • @puritykash8928
    @puritykash8928 2 роки тому +3

    😂😂😂😂😂😂hii ujinga aki siwezi

  • @nymmoh1694
    @nymmoh1694 2 роки тому +6

    Still thinking of all the keys thrown into the sea🌊🌊😭😭.........

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 роки тому

    Subiri muanze kuutafuta huo funguo

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 2 роки тому +1

    Kaeni mkijua basi barabara itapanuliwa na hpo natumwa na DOZA D8 R mjipange hilo chuma mtaliokota mbali Sanaa

  • @sirpleasureb
    @sirpleasureb 2 роки тому +1

    This is how alters are raised in a family.and generation in that family will SUFFER on matters concerning marriage and love.COVENAT BTWN U AND DEVIL.OCEAN MUST HOLD THE KEY. HOSEA 4:6

  • @lynnettnabalayo1762
    @lynnettnabalayo1762 2 роки тому +1

    Siwezi aki waaah

  • @hamisikalama1286
    @hamisikalama1286 2 роки тому

    Mulungu huyu anasheria nzuri lakini ngumu Sana pindi mwenzio akifa lazma shida itakuepo

  • @mrbashe.a8509
    @mrbashe.a8509 2 роки тому +6

    This is very Dangerous trust me.

  • @stephenonyango7108
    @stephenonyango7108 2 роки тому

    Hii imenishangaza

  • @maendaamos4590
    @maendaamos4590 2 роки тому +2

    Mapenzi ni mashenzi sana kama ges ya m_gas mimi siwez ng'o la hasha!

  • @pasariswakiserian7531
    @pasariswakiserian7531 2 роки тому +10

    The devil comes in many forms

  • @mejjarsagent227
    @mejjarsagent227 4 місяці тому

    Mtu alipiga kifuli ya go down 😂😂😂

  • @marynjoki3358
    @marynjoki3358 2 роки тому +6

    May we have discernment the enemy comes in all forms i came across some also cut their blood and mix it saying hawataachana very dangerous ties i tell you,,,, May we have discernment

  • @mrbiggietv4370
    @mrbiggietv4370 2 роки тому +1

    If you believe it it's okay for you. Lakini tunajua uganga za hiyo maeneo

  • @johnonyango6069
    @johnonyango6069 2 роки тому +9

    that's marine ocean pollution!!! neema please take action 😂😂

  • @nyanjechengokarisa1540
    @nyanjechengokarisa1540 Рік тому

    Je nyinyi mumefunga kufuli pia

  • @rickymurithi
    @rickymurithi 3 місяці тому

    The powers of the sea waters.

  • @philiptowett457
    @philiptowett457 2 роки тому

    Syil reminds me of marion n his two boy friend after the drama of loyalty taste in kilifi

  • @morineopana8991
    @morineopana8991 2 роки тому

    Siwezi 😅😅😅

  • @carolinenkatha5143
    @carolinenkatha5143 2 роки тому +1

    😂😂😂Tutaona mengi

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 2 роки тому

    Huyo ndio mungu wao

  • @kenartz
    @kenartz 2 роки тому +1

    Nyinyi wawili mlitupa yenu Nairobi river ama?

  • @rashidhabib5202
    @rashidhabib5202 2 роки тому

    Rashid ntaenda kufunga cheni mimi

  • @BritBoundDiaries
    @BritBoundDiaries 2 роки тому +4

    Hawa ni kama ni newcomers 😂

  • @muyaudijunior10
    @muyaudijunior10 2 роки тому +3

    Will be visiting there soon with Arksaw

  • @amepotea
    @amepotea 2 роки тому +3

    Yangu sikufunga kufuli but I love my wife dearly

  • @Nature_corner254
    @Nature_corner254 2 роки тому +1

    Ukidivorce unaendea kufuri Yako .wengine hueka master keys

  • @negevmasmediamax6510
    @negevmasmediamax6510 2 роки тому +1

    Sound interesting culture,thy should maintain and keep it

  • @nyanjechengokarisa1540
    @nyanjechengokarisa1540 Рік тому

    Waeke kufuli hata kwa kuma pia ndio tujue penzi liko safe nahiyo funguo warushe kwa bahari ndio atakaye jisikiya aende kuchukuwa kwa bahari ndio penzi lidumu

  • @evansmumo3921
    @evansmumo3921 2 роки тому

    Scrap metal gang coming up 😂😂😂😂

  • @faithndwiga3618
    @faithndwiga3618 2 роки тому +11

    Comrades Flavor hajafika huku?BMS unatakikana hapa😅...

  • @samgibbs3066
    @samgibbs3066 2 роки тому +1

    Nani ako single twende tufunge yetu na yeye

  • @mercymuranga817
    @mercymuranga817 2 роки тому

    Hii nayo mm siwezani

  • @annevilembwa4950
    @annevilembwa4950 2 роки тому

    Hope wanaelewa athari za kiapo kivunjwapo

  • @ireneafrican
    @ireneafrican 2 роки тому +3

    Aiih kama hii ndo mapenzi wacha nikae😂😂😂😂I can't take any oath like this hata unipee billions of dollars 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dominicdommy9194
    @dominicdommy9194 2 роки тому +2

    Lakini talaka ni nyingi kama hizo kufuli

  • @janaleokesho8374
    @janaleokesho8374 2 роки тому +1

    Cliy bait fo tourism 😂😂😂

  • @MANAGUBOYZ1
    @MANAGUBOYZ1 2 роки тому

    Nitaingia huko ndani nitoe funguo zote nifungue mwachane nyotee

  • @PrincesFairh
    @PrincesFairh 2 роки тому

    I saw this at Finland....

  • @janekanuthu6678
    @janekanuthu6678 2 роки тому

    Hapa nitaenda mm na roho yangu but sio na mtu.

  • @fridawangeci3375
    @fridawangeci3375 2 роки тому

    Mtu mmoja ajitokezee tukafunge yetu😭😭🤣🤣🤣

  • @ironladywamugo5753
    @ironladywamugo5753 2 роки тому

    Wafanyiwe sanitization watajua hawajui😂😂😂😂😂

  • @brenda1083
    @brenda1083 2 роки тому

    Wacha ikae

  • @rahab6161
    @rahab6161 2 роки тому

    Mtaenda kutafuta fungua baharini

  • @Sofia-wx2ht
    @Sofia-wx2ht 2 роки тому

    Mami wata....

  • @lucyanyango1573
    @lucyanyango1573 2 роки тому

    Natafuta wakufunga naye nikitoka gulf😂😂, Niko serious

    • @dubabaxakatv2993
      @dubabaxakatv2993 2 роки тому

      Kuja na padlock ufunguo tupa gulf

    • @lucyanyango1573
      @lucyanyango1573 2 роки тому

      @@dubabaxakatv2993 huku gulf zih 🤣🤣🤣 heri nitupe JKIL

  • @Ann-Strong
    @Ann-Strong 2 роки тому

    Upuuzi

  • @nyabwansufred
    @nyabwansufred 2 роки тому

    WAKENYA haki 🤣🤣🤣

  • @tajiriwahuruma5751
    @tajiriwahuruma5751 2 роки тому

    Ni ya kweli🤔???

  • @lawrenceoloo7538
    @lawrenceoloo7538 2 роки тому +3

    Hizo vifuli vyote ni pesa ukizipeleka kwa scrape dealer hukosi dooh ya Unga na mboga... mapenzi iko ulaya Afrika ni biashara

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 2 роки тому

    Tupa kifuli baharini baki na funguo ukikosa naye zama baharin

  • @rajabessa3675
    @rajabessa3675 2 роки тому

    Hamueki spare key 😂

  • @nancykawira5580
    @nancykawira5580 2 роки тому +2

    Hii nayo hapana

  • @Mariamseify
    @Mariamseify 2 роки тому

    Siwezi mimi

  • @ndayisabaemmanuel8097
    @ndayisabaemmanuel8097 2 роки тому

    Nahapa Europe vipo

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 роки тому

    Those are kufuli are in every bridge in Europe

  • @citykeys3495
    @citykeys3495 2 роки тому

    Magufuli

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 2 роки тому

    Majini= to mapepo

  • @hiquest7273
    @hiquest7273 2 роки тому

    I hope some of them will not buy hacksaws😉😉😉😉

  • @salomekuya4402
    @salomekuya4402 2 роки тому

    Siwezi kufanya upuzi huo

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏾‍♀️

  • @dianahnekesa2822
    @dianahnekesa2822 2 роки тому

    Nko na kufuli bado mtu sasa

  • @elijaonyango8620
    @elijaonyango8620 2 роки тому

    Siwezi jifunga na MTU tutasumbuana bure

  • @koffykenya8361
    @koffykenya8361 2 роки тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 I know one who they divorce 😂

  • @mamaprince757
    @mamaprince757 2 роки тому +5

    This is demonic

  • @stevegeee298
    @stevegeee298 Рік тому

    Laana unatafuta

  • @khadardeek7387
    @khadardeek7387 2 роки тому

    Those ones using solex 😅😅😅

  • @queendemathew6294
    @queendemathew6294 2 роки тому

    Niwapi uko kunaitwaje

  • @waywepet6871
    @waywepet6871 2 роки тому

    Mimi nimedhani wanafunga tundu kumbe wanawekea tu mti uzito

  • @naomiyangao33
    @naomiyangao33 2 роки тому +1

    Pin location nikuje na mpenzi wangu tufunge yetu 🤣🤣

  • @mariamomar1735
    @mariamomar1735 Рік тому

    Nikipiga mbizi na nikose ufunguo nitafanyaje na nataka kuachana na mtoto wa mtu???????

  • @Drsumu
    @Drsumu 2 роки тому +4

    I NEED SOMEONE TO MARRY ME....!

  • @augyking8010
    @augyking8010 2 роки тому

    Hizo funguo tutazipata

  • @hamad-yu4qs
    @hamad-yu4qs 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @waywepet6871
    @waywepet6871 2 роки тому

    Huu ni upuzi mtupu

  • @share-love
    @share-love 2 роки тому

    This is also done in Europe, is not a new thing.

  • @janekamau7169
    @janekamau7169 2 роки тому +1

    😂😂😂

  • @joanmogaka404
    @joanmogaka404 Рік тому

    Why should anyone do that 😂then aftermath divorce happens

  • @aminaabdallah4359
    @aminaabdallah4359 2 роки тому +1

    Kumbe niwengi waliofunga jamani mmoja aje twende tukafunge yetu😂😂😂 inchi ngumu hii

    • @Genchess
      @Genchess 2 роки тому

      😂😂kufuli nishanunua tayari..

    • @djvannokenya
      @djvannokenya 2 роки тому

      😅😅🤣 twende

    • @aminaabdallah4359
      @aminaabdallah4359 2 роки тому

      @@Genchess tukutane wapi hope hutaniacha 😏😏😁

    • @aminaabdallah4359
      @aminaabdallah4359 2 роки тому

      @@djvannokenya ufunguo nitakaa nao

    • @Genchess
      @Genchess 2 роки тому

      @@aminaabdallah4359 wamesema ni kilifi, sio? Nipo Nairobi nawe upo wapi?

  • @kenartz
    @kenartz 2 роки тому

    These are nonsense! Wanatupa Moja na wanaweka spare nyumbani. Nonsense. Kwani hacksaw pia zimetupwa baharini?

  • @bikoflavious2903
    @bikoflavious2903 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 everything in Kenya is a scam

  • @valentinenasike6048
    @valentinenasike6048 2 роки тому

    Lol

  • @abdullahimohamed1704
    @abdullahimohamed1704 2 роки тому +2

    In my point of view few are still together compared to The number of bad locks😂😂

  • @ibrahimbaasal1150
    @ibrahimbaasal1150 2 роки тому

    Si kuna nyundo, what nonsense

  • @sallyeringo33
    @sallyeringo33 2 роки тому +1

    This very dangerous this to do ,what is shut here on Earth shall also in heaven.

  • @monicandanu5642
    @monicandanu5642 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 2 роки тому

    Ujinga ndio sipendangi mm☹️