Part 3_ALIYEKUWA WAKALA WA SHETANI KITENGO CHA DAMU(UFALME WA SHETANI NA VITENGO VYAKE)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • #ShuhudaZaJacktanMsafiri #JacktanMsafiri #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 36

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 4 роки тому +5

    Huyo pastor anafunza vizuri.. Anaongea kwa utarativu Sana.. Part 4 please

  • @danielsamwel157
    @danielsamwel157 4 роки тому +4

    Bwana jacktan msafiri naomba utuendelezee hii simulizi nimeipenda sana imenigusa kiroho sana inamafundisho yamuimu sana tunayo paswa kujua sisi wanaadam

  • @paschalpaul5022
    @paschalpaul5022 4 роки тому +2

    Amina mbaha hawaha yaani mtumami wa Muwaha ukuelezea viswanu sana na chikukutanga kabisa, Yesu ni Bwana.

  • @ntulikasunga3548
    @ntulikasunga3548 3 роки тому +1

    Mungu akutunze tu mtumishi wa Mungu,Mungu alikuwa anakuandaa kwa utumishi uliotukuka barikiwa sana sana

  • @carolineotara9482
    @carolineotara9482 4 роки тому +1

    Thank you for the great testimony I ve learned alot I Will pray and not look back

  • @paschalkimaro4287
    @paschalkimaro4287 3 роки тому +1

    Aisee ni hatua moja Tu yakushika amri kumi za Mungu ukifanya hivyo bilblia yenyewe unaelewa wewe ni po box binguni shetani hawezi kukuchenga wewe shika Amri 10

  • @kmwendemusic5379
    @kmwendemusic5379 4 роки тому +2

    Leo nko namba 1😂,

  • @mwajumashaban9655
    @mwajumashaban9655 4 роки тому +2

    Ok mtumishi

  • @mr.jasonfxsignals4873
    @mr.jasonfxsignals4873 4 роки тому +2

    Kabisa

  • @MaggieG276
    @MaggieG276 4 роки тому +2

    Where is the continuation of this testimony promover tv coz it's very enlightening?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  4 роки тому

      ua-cam.com/play/PLXTmPgeqbJ0mjYhbBrZwf_GUkTBkgt_Jv.html

  • @nizaelluka627
    @nizaelluka627 4 роки тому

    Aise

  • @sarahyvonne4580
    @sarahyvonne4580 4 роки тому +2

    The blood of jesus

  • @qatarmania7598
    @qatarmania7598 4 роки тому

    Asante sana tunaendelea kujifunza

  • @stellamtenga24
    @stellamtenga24 4 роки тому

    Shuhuda nzuri ila anafundisha biblia. Tunaomba tujue kz yake km headline ilivyo sema. Asante

  • @tigerchristmas5491
    @tigerchristmas5491 4 роки тому

    Mungu mwema

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 роки тому

    Kumbe na Manabii wengi nahisi wanamapepo ya Utambuzi

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting3728 4 роки тому +3

    Bado nakufatilia ili nielemike sana

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 4 роки тому

    Ushuhuda mmeufanyia karibu na msikiti duuu

    • @brigithadidas5128
      @brigithadidas5128 4 роки тому +1

      Kwani tatizo liko wapi

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 роки тому

      @@brigithadidas5128 ni kama yuko msikitini anayeshuhudia maana swalaa iko juu

  • @evalunajohannes2382
    @evalunajohannes2382 4 роки тому

    Mtumishi jirani yako amefungua radio kwa sauti ya juu kweli.

  • @henryosoro7696
    @henryosoro7696 4 роки тому +1

    Where is part 4

  • @amaniyakobo8889
    @amaniyakobo8889 4 роки тому

    Watumishi tusonge mbele

  • @bethwaweru519
    @bethwaweru519 4 роки тому

    Too much background noise

  • @neemaasajile9555
    @neemaasajile9555 2 роки тому

    L.

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +1

    Lkn ktk bible amna utatu so sijaelewa apo.

    • @FamousBerry139
      @FamousBerry139 4 роки тому +1

      Mungu Baba,Mungu mwana, Mungu roho mtakatifu

  • @damarismbatia2029
    @damarismbatia2029 4 роки тому

    Hii ndo 2 ama

  • @medadiissa324
    @medadiissa324 4 роки тому

    Mi naona unahubiri zaidi hutoi ushuhuda,maana watu wa dini watadhani unapigia debe ukristo.

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому +2

      Ayo ni maoni yko lkn mimi nimemuelewa lbd ww ulitaka story za shetani

    • @moalawy7001
      @moalawy7001 4 роки тому +2

      @@euniceeunice7680 Mimi Si mkristo Ila nimemuelewa Sana. Na anajieleza vizuri. Ushuhuda mzuri Sana

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 роки тому +1

      @@moalawy7001 barikiwa sana aiseee

    • @جانيتكينيا
      @جانيتكينيا 4 роки тому +1

      Wewe sikiliza kwa makini