EPISODE 2: MZANZIBAR ALIE HUSISHWA NA AL-SHABAB AKAPATA KIPIGO KIKALI MSUMBIJI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 127

  • @ajtzajtz3313
    @ajtzajtz3313 3 роки тому +20

    Alie kuwa akiisuburi kwaham sehem ya pili like tuende sawa

  • @maalimrajabu1634
    @maalimrajabu1634 3 роки тому +23

    Alie kuwa akiisubiri kwa hamu sehemu ya pili gonga like hapa twende pamoja

  • @williamuphilipo7447
    @williamuphilipo7447 3 роки тому +4

    Wewe ni mzalendo wa kweli kwa kuchagua kifo kuliko kuichafua nchi yako. Mwenyezi Mungu atakulipa juu ya yote uliyopitia ndg yangu.

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma5046 3 роки тому +2

    Good jobs speaking up my.brothe.wata Tanzania wengi tuko safari nduguzetu sisisio.mangaidi tuna tafuta maisha

  • @ZainaB-vt6uv
    @ZainaB-vt6uv 3 роки тому

    Pole sana kaka mitihani umepitia

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 роки тому

    Dah! pole sana

  • @samsonhaule5422
    @samsonhaule5422 3 роки тому +3

    Pole sana, Ndugu yetu MTANZANIA mwenzetu.

  • @ajtzajtz3313
    @ajtzajtz3313 3 роки тому +2

    Ktv tena musiiweke sana kuitowa sehem ya tatu

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 3 роки тому

    Pole sana makame kwa msiba,mungu akuhifadhi na kwengine

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 3 роки тому

    Poleni Sana.

  • @mgeniiddi5308
    @mgeniiddi5308 3 роки тому

    Pole sana mkaskazini mwezangu mungu yupo pamoja nawe

  • @asdxsa1008
    @asdxsa1008 3 роки тому

    Pole sana

  • @rajabmaalim3375
    @rajabmaalim3375 3 роки тому

    Ni mtihani sana, kuna taarifa nyingi za misukosuko ya udhalilishaji wanayokutana nayo ndugu zetu watanzania huko Msumbiji na Mozambique. Poleni sana jamani

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 3 роки тому

    Hatare sana

  • @ebrahimosman5477
    @ebrahimosman5477 3 роки тому

    Tumiisoma baba wabaya sn hawa washenzi nguvu tunazo Allah ametupa tutalilipa hilo baba usijal inshaa Allah

  • @aminasaid5568
    @aminasaid5568 3 роки тому

    Polesana

  • @maxjofrey70
    @maxjofrey70 3 роки тому +1

    Mateso yote mmeyapata sababu ya uchu yani uchu nikitu atali sana dah ila pole sana yote kwa yote mipango ya mungu mwana damu awezi pangua so mshukulu mungu mana ana kusudi na wewe.

  • @joharihessen1143
    @joharihessen1143 3 роки тому +1

    Shukran nilikua naisubili kwa ham

  • @ahyatibenn8319
    @ahyatibenn8319 3 роки тому

    mnachelewesha sana kuitoa

  • @aishanjama2333
    @aishanjama2333 3 роки тому +1

    Wanzanzibar mnapenda kikii

    • @Waytozanzibar
      @Waytozanzibar 3 роки тому +1

      Mama yako je anapenda nini, jiti au ?

    • @khamishamad5758
      @khamishamad5758 3 роки тому

      Sasa wazanzibar na wabongo nan wanapenda kiki...

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 3 роки тому

      Hujui unachokisema lau yangemkuta ndugu yako au jama yako ndo ungejua la kusema hayo mambo ni hatari

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 3 роки тому +3

    Najua ni mtu wa kwanza kuipata hii taarifa episodi ya pili

  • @mamuually5579
    @mamuually5579 3 роки тому

    Sawaaaaaaaaa

  • @omarnzaro31
    @omarnzaro31 3 роки тому +1

    Usidhanie ukishikwa na mwanajeshi utachekewa kisha wa nchi ya nje. Alafu mahali palipotokea uhalifu.

  • @hawahawa7484
    @hawahawa7484 3 роки тому

    Rudini huko ndugu zangu njooni kwenu maisha ni popote

  • @kitekite574
    @kitekite574 3 роки тому +1

    Huyu kaka simuongo mm binafs na mdogo wangu wakuzaliwa nae yalimkuta ukouko msumbiji akikusimulia Utalia.ayo mambo yp kweli

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 3 роки тому +3

    Nimefurahi kumsikia huyu Al akhi nilimsikia maramoja akihadithia kule Mkokotoni

  • @kabyjxjrd9874
    @kabyjxjrd9874 3 роки тому +3

    Toa sehem ya tatu kaka hii imeisha

  • @zalhathasaid2060
    @zalhathasaid2060 3 роки тому

    Nimekuja huku baada ya kusikiliza kisa mkasa spice fm

  • @jackmatataog5450
    @jackmatataog5450 3 роки тому +1

    Duuu.... Mzarendooo ni mzarendo tuuuu.....!!? Storry mwanzon sikuielewa.... Ila nistor kubwa sana inayohusu MZARENDO SHUJAAA

  • @alimussa2655
    @alimussa2655 3 роки тому +2

    Yaani Mozambique wana roho mbaya wale jamaaa mbwa kabisa

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 3 роки тому

    Pole sana kaka 😭

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому

    Huzun kwa kweli

  • @AhmedAli-gh1lm
    @AhmedAli-gh1lm 3 роки тому +3

    Na polisi wa Zanzibar nao wanapiga kama hivyo. Mtazame Jussa na Mazrui

  • @asiaally3947
    @asiaally3947 3 роки тому

    Kumbe wale huwa wanakubali kuwa wamefanya vitendo vya uhalifu sio wote waalifu kweli wengine hulazimishwa ili askari wapate sifa na vyeo🤔🤔

  • @balahau1775
    @balahau1775 3 роки тому +1

    There is no justification kwa yaliyo mkuta he don't deserve it. Lakini pia na yeye mtu mzima kwenda kuowa mtoto wa miaka 17 ndio nini? Hawi kama mwanawe tuu?kumvunjia maisha tuu alitakiwa awe school anasoma sio yeye eti kampenda kumuowa. Kitangi tuu jamaa huyo hana mpango muharibifu tuu.

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 3 роки тому

      Tatizo hujuwi unachokisema ndo mana hivi nikulize umewashawahi kuishi msumbiji kama hujawahi basi bora uulize kabla kumhukumu mtu elewa msumbiji hakuna sheria hiyo ya kusema miaka 17 ni mtoto mazali anabeba mimba sio mdogo na msumbiji miaka 17 huyo ni mkubwa sana

    • @ashrafualidi2893
      @ashrafualidi2893 Рік тому

      Kweli

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 роки тому

    Masumbiji wenyewe kwa wenyewe hawapendani

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 3 роки тому +4

    Ina maana kwa maelezo ya kijana bahari, wetu wamsubiriji wana kisas na watanzani,daah mitihan mikubwa polen sana ndio dunia

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 3 роки тому +1

    Hawa watu wa msumbiji wana ushenzi wahali ya juu nasie watanzania kamata watu wote walioko tz rejesha kwao mie binafsi nawajuwa kama watu sita kutoka msumbiji wako hapa unguja mishenzi miuwaji hawafai

    • @ashrafualidi2893
      @ashrafualidi2893 Рік тому

      🤣🤣🤣🇲🇿nabado mutakufha usisheze na moçambique 🤣🤣 Tanzania muna njaa ndomana munakuja huku

  • @rajutv5952
    @rajutv5952 3 роки тому

    Kumbe alshabab Wana haki kuwapiga Hawa wanajeshi kwa dhulma hii jeshi linatengeneza matatizo.

  • @najmakinya8779
    @najmakinya8779 3 роки тому

    Bora niwe single lakini msumbije siendi

  • @mgeniiddi5308
    @mgeniiddi5308 3 роки тому +2

    Omba tu usikie kwa mwezako usiombe yakakukuta. Kila anaesema kuwa mzee makame muongo anatafuta pesa ujuwe hayajamfika yy laiti yangemfika yy asingemkebehi mwenziwe

  • @neemapeter1153
    @neemapeter1153 3 роки тому

    Muendelezo jamani

  • @abdulmatasi4932
    @abdulmatasi4932 3 роки тому

    Kwa sisi tuno fatilia hizi stori tunge omba msiwe mna zichelewesha sana mpaka tuna sahau muwe mna ziwahisha

  • @omarsheha9929
    @omarsheha9929 3 роки тому +1

    Sauti byego...ulikua unaharaka ya nn ungemuacha aendelee kdg story ilkua ishaninogea

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 3 роки тому

    Haaaaaa, jamaniiii maonezi haya bhuana

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 3 роки тому

    Hii story naiona machoni hasa

  • @africano98.
    @africano98. 3 роки тому

    Sehem ya 3 ilo wapi twaisubiri kwa hamu

  • @kabyjxjrd9874
    @kabyjxjrd9874 3 роки тому +1

    Fanya tena bc hy sehem ya tatu ileteeeeeeeeee

  • @ruahaselectsafaristreks6086
    @ruahaselectsafaristreks6086 3 роки тому

    Hao wasenge,ungekwenda kuwashtaki ubalozi wa msumbiji alafu wangejua Nini tungewafanya Cha kuwalipa hao wamsumbiji nimewachukukia kabisa kiukweli

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 3 роки тому

    aahh mnatubowa sasa

  • @najmakinya8779
    @najmakinya8779 3 роки тому

    Hakuna kitu kizuri kama amani

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 5 місяців тому +1

    wewe ni shujaa ulipitia matezo ya jehanamu,msumbiji,sio,kabisaa

    • @gfydfdf8869
      @gfydfdf8869 5 місяців тому +1

      Poleni sana kaka zetu

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому

    Mbona mnachelewa sana kuileta stori nyie ktv

    • @abuushuraih6716
      @abuushuraih6716 3 роки тому

      Ss uongo uo uko wp ndugu

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 3 роки тому

      @@abuushuraih6716 acha ujinga wewe cc tushaenda Mozambique wana roho mbaya wale jamaaa

    • @abuushuraih6716
      @abuushuraih6716 3 роки тому

      @@alimussa2655 Ss mm au ww nani aache ujinga!?? Maana mm nimemjibu yule jamaa aliesema kwamba huyo azungumzae ni muongo.....mm ndio nikamuuliza uongo wake uko wapi!??alafu ww baada ya kumjibu yy wanijibu mm khaa! ndo vp ss.

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 3 роки тому

      @@abuushuraih6716 wewe hujaona niliemuambia?? Huyo anaesema uongo hanaa akili sijakujibu wewe

  • @hassanabdalla7644
    @hassanabdalla7644 3 роки тому +1

    Tuekeeni sehemu ya tatu inayo fuata

  • @mohdshebe5640
    @mohdshebe5640 3 роки тому +2

    Chakula vipi hamkupewa cku zote hizo au ndio ilikua vipi ?

    • @seifhamad504
      @seifhamad504 3 роки тому +2

      Ww la muhimu umeliona la kula tu Hujuwi mtu kwenye hayo matatizo huwa hatamani kitu

    • @mohdshebe5640
      @mohdshebe5640 3 роки тому

      @@seifhamad504 ndio kula ndio kila kitu na ndio wamekaaa siku kibao wasile ,maan hiyo story hata ukisikiliza utaona kuna mambo yamezidi unga , maan hata kma maji walikua wanapewa bsi alikua aseme umesoma dgo

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому +2

    Uyu jamaa mm simu Amini
    Kila Niki mchizama maneno yak
    Ni Muongo uyu jamaa muongo uyo
    Ana tafuta pesa tu uyoo

    • @maryamabdullah9169
      @maryamabdullah9169 3 роки тому +1

      Sababu hayajakukuta wewe

    • @bamkwekhamis2141
      @bamkwekhamis2141 3 роки тому +2

      mungu akujaalie nawe yakukute ndo upate uamini

    • @bamkwekhamis2141
      @bamkwekhamis2141 3 роки тому +1

      @@maryamabdullah9169 nikweli

    • @kassimally6435
      @kassimally6435 3 роки тому +1

      niukweli ninaishi msumbiji ila hili suala ni wengi wamefanywa ni mateso makubwa

    • @shazilali945
      @shazilali945 3 роки тому

      Ayo mambo yapo broo jama yangu wakaribu pia yamemkuta kama hayo au kuliko hayo huko huko msumbiji

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Рік тому

    Kwanini ukaingia alshabab

  • @nassirmohd2851
    @nassirmohd2851 3 роки тому

    sehemu ya tatu mbona kimya kunanini

  • @khamismohd8616
    @khamismohd8616 3 роки тому +1

    Naaapana mungu wewe nimuongo uyo kijana

  • @aliymalik4723
    @aliymalik4723 3 роки тому

    Sharia duuuu

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 3 роки тому

    Tena ivo Akisema unajua
    Km ni Muongo Ambae Hana
    Akili ndio Ata Amini wallah ww
    Ni Muongo

    • @sharifabdul6085
      @sharifabdul6085 3 роки тому +1

      , kwani amekuomba pesa,mbona unakua kama mwanga

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 3 роки тому +1

      Acha ujinga wewe cc tushaenda Mozambique tunajua hali za kule msenge wewe

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 3 роки тому

      Ikiwa mkweli au muongo we utajijua mana hajakwitwa kumsikiliza

    • @ahamadinachuli6273
      @ahamadinachuli6273 3 роки тому

      We fala kweli , mi niko lindi hapa ndugu zetu waliokuwa msumbiji wanateswa balaa na wanajeshi wa huko wanaobaatika kukimbia tunao hapa na familia zao,

    • @albaharyhaji8231
      @albaharyhaji8231 3 роки тому

      Unasema hayo maneno ukiwa wapi waulize watanzania wanaoishi msumbiji ndo watakuelezea hayo mambo huyo jama anachokielezea ni ukweli mtupu jeshi wa msumbiji wameuwa sana raia wasiokuwa na hatia watanzania wengi wamepotea huyo jama makame ana bahati sana kuwa hai..

  • @glove9345
    @glove9345 3 роки тому

    seem ya tatu pls

  • @calvinjuwenisefuccmnakuhas1132
    @calvinjuwenisefuccmnakuhas1132 3 роки тому

    Nyiemnobsha mtakuwa wamsumbji mumotanzania

  • @salmasalim6055
    @salmasalim6055 3 роки тому

    Niliisubiri kwa hamu oh maskini wee

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 3 роки тому

    Paukwa pakawa

  • @rahmaomar9646
    @rahmaomar9646 3 роки тому

    tulikua tunaisubiri kwa hamu

  • @aishanjama2333
    @aishanjama2333 3 роки тому

    Km jaivi ndio nini

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul6085 3 роки тому +1

    Wengi wenu mnabisha kwasababu hamuijui msumbiji kiundani lakini jamaa wana roho mbaya ajabu na omba wasikushike,na ukiangalia hapa wamezingatia vitu viwili kwanza ni wa tz na pia ni dini zao

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 3 роки тому

      Hawa wajinga wanaongea sana ila Mozambique wana roho mbaya sana wale jamaaa cc tushaenda

    • @emilyibraimo5032
      @emilyibraimo5032 3 роки тому

      Mimi ndo nipo huku nna miaka mitano jamaa wanaroho mbaya na wauwaji kinoma na hawapendi mgeni ufanikiwe kwanzia viongozi hadi raia washezi police wezi Mimi nilikutwa nimevaa kanzu wakanambia huyu alishababi bahati nzuri polikua na majeshi wa Tanzania wakasema huyu hawezi kua alshababi ila walimaindi Mimi kuwachiwa jama hawafai

  • @khamismohd8616
    @khamismohd8616 3 роки тому +2

    Acheni uongoooooo

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 роки тому +1

      Ngoja yakukute wewe utajuwa kama kusingiziwa kupo

    • @hammerQ954
      @hammerQ954 3 роки тому

      @@hajiabdalla5772 hayajui huyu kula kulala

    • @hajiabdalla5772
      @hajiabdalla5772 3 роки тому

      @@hammerQ954 kweli mjomba ndio

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 3 роки тому

      Akhiy Khamis Moh'd
      Nahisi wewe huijui Msumbiji ila hao watu mm nimeishi nao nimelala nao chuoni chumba kimoja tumesoma darasa moja lakini niwatu waajabu sana
      Kaa nawamalawi uwasikie wanavyoporwa mali zao namajeshi mipakani wakitokea South Africa nasio wamalawi tuu hata watanzania wengi wemepita Mozambique (Msumbiji) yamewakuta nazaidi inakuja kama hujui kuwajibu wanapokuuliza kwalugha yao apo ndio utaisoma namba

    • @aishanjama2333
      @aishanjama2333 3 роки тому

      Uwongo mtupu msitutie usingizi

  • @omarsheha9929
    @omarsheha9929 3 роки тому

    Duuh

  • @rajabjr478
    @rajabjr478 3 роки тому

    Nimekukubali ww ni jembe

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 роки тому

    Pole sana

  • @mgeniiddi5308
    @mgeniiddi5308 3 роки тому +1

    Omba tu usikie kwa mwezako usiombe yakakukuta. Kila anaesema kuwa mzee makame muongo anatafuta pesa ujuwe hayajamfika yy laiti yangemfika yy asingemkebehi mwenziwe