MAPYA YAIBUKA; HARMONIZE HAKUTOA MSAADA MATIBABU YA MZEE WA MJEGEJE, H BABA AFUNGUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @nashnene6326
    @nashnene6326 5 місяців тому

    Mzee wa fact hbaba❤ always msema kweli, walikusifu sana ulipokuwa ukitema madini ulipokua kondengang, eti leo wanakushambulia

  • @mussanangumi1734
    @mussanangumi1734 5 місяців тому

    Wewe H.baba acha kumsakama Harmonize kama umefeli maisha tafuta njia zako achana na dogo kuendesha maisha yako huwezi kutrend bila kumzungumzia Harmonize

  • @user-cw7xw9cu6m
    @user-cw7xw9cu6m 5 місяців тому +2

    h mama wemakalio2 kila kitu harmonize wenn boy kwan harmo hakumlipa mzee mbona h mama matako yanakuwasha ww unataka mshedede au kaa kijanja babu kuimba umefeli chokolet ww

  • @user-yb6ok9dl9y
    @user-yb6ok9dl9y 5 місяців тому +9

    Fanya maisha yako kama mziki umekushinda

  • @ZulfaJuma-px2uv
    @ZulfaJuma-px2uv 5 місяців тому +12

    Kwani msanii akifany kazi na mtu ndo anakua jukumu lake jama😢wataogopa jaman hata yule Hawa nitarejea akipata tatz watu mijicho kodo Kwa diamond 🙄 tubadilike jaman walifany kazi na wakalipana wakamalizana huyu h. baba nae c msanii c angetoa Hela

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

      Unayoongaea ni kweli halafu huyu hbaba kila siku yy hana ila wenzie ndio wanazo

  • @rodgerschibindo6907
    @rodgerschibindo6907 5 місяців тому +9

    H baba umezidi kila siku harmonize bro unakosea

    • @syprianamghoimacharo7155
      @syprianamghoimacharo7155 5 місяців тому +1

      Ukweli unauma

    • @FatumaMamlo-st8pj
      @FatumaMamlo-st8pj 5 місяців тому

      Hakuna chaukweli.mtu anapopata matatizo kila mtu nijukumu letu kumsaidia sio lazima waaanii to ebo​@@syprianamghoimacharo7155

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 5 місяців тому

      ​@@syprianamghoimacharo7155kwani harmo ndo mzazi wa mzee mjegeje au alimwajiri kwenye recod lable ya konde?? 😅😅 mfyuu mnaboa sana et ukweli unauma mbona wew hukuchukua hilo jukumu la kujitolea?? 😊😊

  • @bobsalim4285
    @bobsalim4285 5 місяців тому +3

    Diamond pia hamsaidii mzee abdul,mbona hamsemi

  • @happysanga6846
    @happysanga6846 5 місяців тому

    Mbona nasibu hamsaidii abdulu juma husemi pia unaulizwa ya mzee unajizemea ww h mama achana na jeshii

  • @user-xw7il4jd8h
    @user-xw7il4jd8h 5 місяців тому +2

    Mr misifa

  • @user-bu4mp2sc1p
    @user-bu4mp2sc1p 5 місяців тому +3

    Atamsadiaje wakati wale walifanya biashara tu walishamalizana wale

  • @user-xw9wl4gy7x
    @user-xw9wl4gy7x 5 місяців тому +2

    Nanyie Waandishi Habari Hamna Lengine ispo kua Harmo?

  • @user-wi5xl4fs2v
    @user-wi5xl4fs2v 5 місяців тому +4

    We jama acha ushamba mtu kasha fariki unataka kiki kwenye msiba

  • @Kiggy22
    @Kiggy22 5 місяців тому +3

    Huyu H baba hana mpya

  • @LupigiLugosha
    @LupigiLugosha 5 місяців тому

    Waja Hamjambo Karibuni Kwa Kazi Safi Roki Studio

  • @user-ej6jp7my1i
    @user-ej6jp7my1i 5 місяців тому +1

    H mama mpumbavu sana

  • @satarantonio3077
    @satarantonio3077 5 місяців тому +5

    Mbona wewe ujatuma

  • @user-xw9wl4gy7x
    @user-xw9wl4gy7x 5 місяців тому

    Wee Hb Kwani Harmonize alikupanda then akakuacha?

  • @user-tg7vn6pq7u
    @user-tg7vn6pq7u 5 місяців тому

    IRA nanyiye mbengotiv sopowa uyumutu haereweki kwa kutiwamsadarazima ndoukifanyakazinamutu ndooo lazima utowemsadaa😊

  • @khamisidowany6262
    @khamisidowany6262 5 місяців тому

    Wa bongo bhana ss ninyi mnamponda h baba kwa nn

  • @user-cw7xw9cu6m
    @user-cw7xw9cu6m 5 місяців тому

    mungu ndio mpangaji wayote wala sio harmo na hela sichochote endapo mungu akipanga lake

  • @nashommagwe5112
    @nashommagwe5112 5 місяців тому

    Bgp sana mzee h umeongea vizuri

  • @user-uv1dy7ib5l
    @user-uv1dy7ib5l 5 місяців тому +3

    Lazima harmonize ndo atoe msaada kwani wewe pia si msanii

    • @abubakarmpole4000
      @abubakarmpole4000 5 місяців тому

      Yeye si msanii, wewe unakosea, H BABA ni chawa si msanii 😂😂😂

  • @suleimansaid2633
    @suleimansaid2633 5 місяців тому

    Wewe fala shughulika na maisha yako C alilipwa. Inaonesha unachoyo Wewe

  • @why-ir8zl
    @why-ir8zl 5 місяців тому

    Wewe mwenyewe unataka kusaidiwa

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 5 місяців тому

    Konde boi CIO serikali.....alafu pia wew h mama Kwan huna sauti!!? Au yko niyakuongelea upuz wenzio..... badilika bro....cio kila kukicha n harmo Tu......c pia wew n msanii au? You could help....harmo CIO serikali narudia tena.....

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 5 місяців тому +3

    Harmo hana hela ishini na hlo!!!

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 5 місяців тому

      Sawa haina shida Vipi kuhusu Mze Abdul ? Kwa hio Nassib hana hela?

    • @LupigiLugosha
      @LupigiLugosha 5 місяців тому

      Nasoma comment

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому +1

    Kwani umeskia ibra ana njaa tuachie harmo wetu usije ukamtoa roho mbwa wewe tumekuchokaaaaa

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 5 місяців тому

    Waandish hamna kaz ya kufanya kila siku nikuongerea watu2

  • @JoaquimMashalangende-fw7xs
    @JoaquimMashalangende-fw7xs 5 місяців тому

    Kuanini harmonize, hapo tumisikia vamiomba sada kwa vasani kwanini amusemi kwa vasani vangine?

  • @user-nr7zq2rr1r
    @user-nr7zq2rr1r 5 місяців тому

    Mbego nyinyi ni Media kubwa 1M point subscribers bado mnahoji mataira mnajishusha tuliteeni mahojiana na watu wenye akili nzima

  • @Kiggy22
    @Kiggy22 5 місяців тому

    Sababu kubwa Hamisa ni mzuri kuliko Zari, Żari mwenyewe analijuwa hilo

  • @DelightfulFish-ps8ny
    @DelightfulFish-ps8ny 5 місяців тому

    Kwani kuna ulazima ? I don’t understand tz ppl

  • @bakarikisuda4948
    @bakarikisuda4948 5 місяців тому

    Wap ww" kama bosi wako mond kashindwa kumsaidia baba,yake alie mkojoa sembuse harmo kumsaidia mjegej

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

    Jamaa liongo sana hili mfyuuuuu silipendi

  • @JoaquimMashalangende-fw7xs
    @JoaquimMashalangende-fw7xs 5 місяців тому

    Wewe dada unatafuta nini Hamo, kwani ni Kosa kufanya kanzi na mtu

  • @sophiekindem9071
    @sophiekindem9071 5 місяців тому +1

    Kwani lazma? 🤷🏽

  • @user-fe4sr1bn6b
    @user-fe4sr1bn6b 5 місяців тому +1

    Huyu jamaa kunamuda anaongea point naanza kumuelewa sasa

  • @KhatibuMhina
    @KhatibuMhina 5 місяців тому

    Kwan lazima kutowa msaada kama mtu umefanya nae kazi lazima kutowa kumsaidia mtu ni mamuzi ya mtu

    • @newlightmoviesproduction3598
      @newlightmoviesproduction3598 5 місяців тому

      Yani huyo jamaa jinga kweli yani interview yote sio kwa huyo mzee ni harmonize pumbavu wewe na ww unakuja kumpush dimond.

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 5 місяців тому

    Hili choko sigida kubwa kutwa anakalia unafiki tuu fanya life yako

  • @user-op7vm9mr3z
    @user-op7vm9mr3z 5 місяців тому

    Huyu shoga kila siku umezulumiwa. Mbuzu wewe H BWEGE kuingilia maisha ya watu umepata mahali pa kushoboka kwani kufanya kazi na mtu ndiyo mwanzo wa kuwa na majujumu juu yake. Fala weww

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 5 місяців тому

    Weulimsaidia nn??? Kumbwa Zima limbea.

  • @jimmyajmi8501
    @jimmyajmi8501 5 місяців тому

    Huyu choko eti ntasaidia ndo nini sasa..

  • @omarswaleh6082
    @omarswaleh6082 5 місяців тому

    Wewe wacha ujinga vipi atue msaada kwa maiti? Huyo ashakwenda mbele ya haki amali yake swala zake ndio msaada wake huko

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 5 місяців тому

    Kweli hili jamaa choko h choko.

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 5 місяців тому

    Huyu kijizee si achane na Harmonize. Nala lolote alichukia diamond platnumz na matusi bila sababu akitukanana na pia anafanyia vile vile Harmonize 🇬🇧

  • @user-cw7xw9cu6m
    @user-cw7xw9cu6m 5 місяців тому

    mseme baba ako sio harmo msengelety ww

  • @user-nk3gj3sj2t
    @user-nk3gj3sj2t 5 місяців тому

    Haki ya mungu Mimi ningekuwa harmonize ninge deal na wewe personal mana haiwezekan Kila siku unamsakama Yan Kila interview unamsakama bira kosa lolote

  • @user-vc5qt9jl7x
    @user-vc5qt9jl7x 5 місяців тому

    Kwani nilazima awe yeye kwanini insiwe wewe niu ryanja unryanjatu wamaneno

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

    Halafu koma wewe kumwita mposhi kenge blue

  • @hassankibakwa2013
    @hassankibakwa2013 5 місяців тому

    Ww ulitowa wacha upumbavu umekuwa kama demu

  • @fakihassan9021
    @fakihassan9021 5 місяців тому

    Jamani h baba unatatizo gani ww na hamonaze mtu kufanya naye kazi siyo kujampa msaada Ile kazi na nynyi watangazaji muwe naakili wsenge nyingi Kila muda hamohamo heeee

  • @martharugwana2130
    @martharugwana2130 5 місяців тому

    Kwani wewe H mama Harmonize akitoa ushuzi unasikia !? mgonjwa kapost anaumwa hukujua !? Acha chuki binafsi wewe Harmo amekutoa kijijini umerudi mjini unampiga mawe kila siku.

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

    Wewe na anjela wote machizi

  • @Kaweza-mu6hy
    @Kaweza-mu6hy 5 місяців тому

    Kiukweli Hamo alikosea hatakama umemlipa rakini mwenzio kakutegemea wewe umsaidie katika maradhi yaliokua yakimkabili ukamtosa sio vizuri binadamu muhimu akiwa anaumwa umsaidie acheni zalau

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

      Una uhakika na maneno ya kinafik ya huyu mbwa

  • @ListonMushi
    @ListonMushi 5 місяців тому +1

    Kalime pimbi wewe achana na kuchafua sivii ya tembo wewe unamuosha kwanza umchafui
    Kwani wewe uzuri wako uko wapi wewe!

    • @syprianamghoimacharo7155
      @syprianamghoimacharo7155 5 місяців тому

      Achana na h baba kila mtu na akili yake kulima c lazima mradi mkono ufike kinywani

  • @user-cw7xw9cu6m
    @user-cw7xw9cu6m 5 місяців тому

    yaaan ili h mama nishoga kwel harmoniz itakuwa anakukanda ww sio bure

  • @user-ux6vl6nf5r
    @user-ux6vl6nf5r 5 місяців тому

    H baba umeongea point

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

    Halafu ww uongo utaacha lini juzi umesema harmo kamkaba mondi mpk mondi kakasirika kakutinua leo hii unaongopa ya mzee wa mjegejo wewe uliongea nae saa ngapi mzee wa mjegejo akakwambia yote hayo acha uongo mpumbavu wewe na huna mtu unaemdai ungekuwa unamdai ungeenda mahakani kenge wewe huogopi hata.mwezi mtukufu bado unaendelea kuongopa huna lakuongea kila siku ww ni harmo tu mkomeeeee

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

    Wewe nae hebu muache mtoto watu kila harmo tu au msanii anaetakiwa kutoa msada ni harmo tu mbona wako wengi huna haya wewe mbona hujatoa chizi mkubwa wewe kwenda huko na ww kila siku huna hovyooo mfyuuuu

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 5 місяців тому

    Vp yeye katoa msaada gani

  • @user-cw7xw9cu6m
    @user-cw7xw9cu6m 5 місяців тому

    nyadundo baba ako choko ww

  • @user-il5cu6gq5f
    @user-il5cu6gq5f 5 місяців тому

    Acha utoto

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 5 місяців тому

    Nafkiri watu hawajamuelewa h baba!

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 5 місяців тому

    Huyu H siyo shoga Kweli?

  • @pedropedroagira3980
    @pedropedroagira3980 5 місяців тому

    Kwani kutoa nsada ni lazima? Wakati walifanha kazi alinipa?

  • @syprianamghoimacharo7155
    @syprianamghoimacharo7155 5 місяців тому

    We endelea kukoment h baba yy yuko mbele mbele namuamini h baba c muoga ukija na kila silaha yy atasimama na kukuangalia anakuambia niko tayari

  • @satarantonio3077
    @satarantonio3077 5 місяців тому +1

    Hii shoga kwemi kila ciku nimezulomiwa mbona awilo alalami alafu nzee alilipwa milion tano kasema mwenyewe na video ipo ile biashala shoga wewe

    • @syprianamghoimacharo7155
      @syprianamghoimacharo7155 5 місяців тому

      Ogopa jela ama kulipa pesa ya bure anachana na maneno ya kuambiwa H baba c mjinga alirauka kitambo alfajiri

  • @user-vv1te9fu8q
    @user-vv1te9fu8q 5 місяців тому

    Na wewe dada mtangazaji tutakutukana tafuta watu wa kuwahoji sio kuhoji machizi

  • @JulianaMushi-nq3kc
    @JulianaMushi-nq3kc 5 місяців тому

    hili lijinga kweli kwaiyo ukifanya kazi kwa boss mkiachana basa hata ukiumwa boss wako aje kwenye shida zako

  • @user-jq9rj4dm5u
    @user-jq9rj4dm5u 5 місяців тому

    Harmo akotayari ahonge range ila sio kusaidia mgonjwa...

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 5 місяців тому

    Mbona Binadamu Wenzangu Mfano Wa Uyu Anayejiita H.Dada Amjitambui Jamani Kwanza Kabisa Mjue Siku Mtoto Anapomaliza Kuzaliwa Mtoto Analia Na Wakubwa Walio Eneo Latukio Wanacheka Apo Apo Mtoto Uyo Uyo Hata Siku Akikua Na Kuwa Mkubwa Akifa Walio Cheka Wakati Wa Kuzaliwa Kwake Watalia Inamana Kila Nafsi Ya Mtu Itaonja Umauti Akuna Binadamu Mwenye Uwakika Eti Mchango Wa Harmonize Ndio Ingeokoa Loho Ya Marehemu Izo Kauli Za Kuabudu Watu Azifai Kabisa Pesa Ya Harmonize Sio Pesa Kutoka Kwa Mungu Alafu Kama Yuko Mtu Kama Uyu Mwenye Akili Mbovu Kama Uyu Abadilike Kwanza Tumpongeze Harmonize Kitendo Cha Kufanya Kazi Na Uyo Mzee Aliekufa Kwasababu Ni Kumbukumbu Ambayo Mpaka Wajukuu Wake Watakuja Kumuona Na Kitu Kingine Pia Uyo Mzee Ni Mtanzania Wewe H.Dada Ni Mtanzania Alikua Anaugua Akiwa Tanzania Nawewe Taarifa Ulikua Nazo Ungeanza Kusema Matibabu Yake Yalikua Kiasi Kazaa Nawewe Ulitoa Kiasi Kazaa Lakini Madikta Waligoma Kutoa Uduma Mpaka Hela Itimie Tulienda Kwa Harmonize Aongeze Kiasi Kazaa Lakini Alikataa Kutoa Wenda Ungekuwa Sawa Kwa Mbali Japo Kutoa Ni Moyo Wa Mtu Lakini Sasa Wewe Na Ushamba Wako Wa Maisha Unatamka Bila Aibu Kumpa Lawama Harmonize Unatia Aibu Akuna Binadamu Ataungana Na wewe Kumpa Lawama Harmonize Kwasababu Akuna Binadamu Aliyepewa Maono Eti Mchango Wa Harmonize Ndio Uponaji Wa Uyo Mzee Akuna Kitu Kama Icho Napia Kufanya Kazi Na Mtu Na Kazi Yenyewe Nyimbo2 Sio Kigezo Cha Eti Basi Harmonize Awe Meneja Kwake Apana Siku Ya Kuishi Binadamu Anazijua Mungu Na Siku Zikikalibia Hata Upewe Nini Kazi Bule Nakama Homa Za Kawaida2 Basi Mungu Atainua Watu Na Kuwainua Madocta Na Utatibiwa Tatizo Lako Uzidi Kumuabudu Mungu Wewe Acha Kuwaona Wasanii Wenzio Kama Miungu Eti Michango Yao Ndio Tiba Hata Harmonize Angetoa Mamilioni Mangapi Kazi Bule Na Ukiona Mtu Anaumwa Na Watu Kutoa Sapoti Na Mgonjwa Kupona Ni Kazi Ya Mungu Nasio Watu Mtu Azidi Kumuabudu Mungu Acha Kumpa Lawama Feki Izo Mbona Jamaa Mpaka Sauti Yako Inakua Feki Maisha Feki Yule Ni Mwanamume Mwezio Uoni Aibu Kusema Ajatoa Misaada Wewe Ni Mwanaume Halisi Kweli Kwasasa Naamini Ungechelewa Kupata Watoto Sijui Kama Ungekuja Kupata Kweli Mana Dalili Ya Mvua Mawingu Babu Badilika Kuanzia Kauli Mpaka Maisha Acha Kuishi Kwa Maigizo