Muhararam 1446H | 2024M | Utangulizi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 6 лип 2024
  • Sayyid Aidarus Shariff Alwy
    Mada: Utangulizi
    - Nini maana ya kauli mbiu?
    - Uhusiano wa kauli mbiu na mapinduzi.
    - Dori na wadhifa wa kauli mbiu.
    - Athari ya Kauli mbiu za Karbala duniani.
    - Sifa maizi za mapinduzi ya Imam Husseini a.s.
    - Kauli mbiu muhimu za Karbala.
    - Mpangilio wa maelezo katika kila Kauli mbiu teule.

КОМЕНТАРІ • 7

  • @abdallasheikh4454
    @abdallasheikh4454 19 днів тому +2

    Shukraan Seyyid

  • @user-eq7nf2oh1s
    @user-eq7nf2oh1s 19 днів тому +2

    Labaik Ya Hussein!

  • @abdallasalim4104
    @abdallasalim4104 19 днів тому +2

    MashaAllah ❤

  • @user-it8jb2np6x
    @user-it8jb2np6x 19 днів тому +2

    Shukran

  • @user-tw4nf6bv8b
    @user-tw4nf6bv8b 19 днів тому +2

    Hussein Bin Ali ni mjukuu wa Mtume rehma na amani ambaye ametuamrisha kuwapenda Ahlul Bait nasio vinginevyo kwani Mtume ndio mwalimu ambaye sote twachukua kutoka kwake
    Twasikitika kuuwawa Hussin Ibn Ali na Maswahaba wengine km akina Hamza Ali na wengine waliouwawa kwa dhulma lkn waislam letu ni kusema sote ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ndio marejeo yetu

  • @AbdulhalimZubeir
    @AbdulhalimZubeir 19 днів тому +2

    Mashallah

  • @ibrahimkarume2401
    @ibrahimkarume2401 20 днів тому +1

    Shukran sayyid