Oh hii nyimbo jamani... Nimeikumbuka mpaka nimefarijika. Hizi ndio nyimbo sahihi zenye ujumbe halisi sawasawa na Neno la Mungu. Shukrani kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo!
Kwa kweli hii nyimbo inanikumbusha mbali sana 2003 nipo kiwalani ezi hizo nilipenda sana wakati wanaimba huu wimbo nikawa nasogelea pale nisikie hakika zilikuwa nyimbo za uponyaji na zilizobadilisha maisha ya watu mno na mpaka leo nyimbo hii ukiipiga 2024 kama imetoka jana Mungu awabariki wote walioshiliki nyimbo bado inaponya kwa kweli pamoja mimi ni mcatholic na ni muimbaji sana wa nyimbo za Injili hii nyimbo inanibariki mno 🎉🎉🙏
Baada kuona TikTok nimekuja apa kuusikiliza umenikumbusha mbali sana Enzi naiishi na wazazi asante Mungu umetutoa mbali na bado safari bodo ila naomba ubaki upande wetu . Thenk you
MWENYE ENZI MUNGU BABA AENDELEE KUMUWASHIA MWANGA WA MILELE MAREHEMU MAMA YANGU, LYDIA MOSES NTUKE. KUTOKANA NA MIHANGAIKO YA MAISHA SIKUSHUHUDIA MAZISHI YA MAMAANGU MZAZI,, NIMESIKILIZA HUU WIMBO NIMEJIKUTA NALIA. LALA PEMA MAMAANGU MPENDWA.
Ahsante Mungu nimekuja kuitafuta hii nyimbo leo baada ya kuota kuwa ninaisikliza kwenye simu yangu... Na pia kipindi hiki kuna changamoto nazipitia ndo nikaota nai play kwenye simu yangu... kweli ulimwengu wa Roho ni Halisi
Wow,God is good.I like the composition of their songs,this one,Mungu yu mwema,Halleluya, vumilia and others,the work was amazingly done n God bless all of them for touching our hearts through the songs.
2024 still receiving blessings!🙏
Siku zote barikiwa sawa
2024 watching
2024 Still listening to this beautiful song Mungu Awabariki ❤
Mwaka 2023❤️ wimbo huu unazidi kunibariki
Whoever watching this marvelous song in 2023 God bless you
Here I am very interesting sing
Be blessed too 🙏
Heard it in someone's video on facebook and came to look for it. Classic😊😅😊
@@victorwanjala7543the gikomba guy branding mtush fleeces😂😂😂😂
Same with me
2024
Oh hii nyimbo jamani... Nimeikumbuka mpaka nimefarijika. Hizi ndio nyimbo sahihi zenye ujumbe halisi sawasawa na Neno la Mungu. Shukrani kwa Mwokozi wetu Yesu Kristo!
Amazing ❤❤
Hakika hui wimbo unaponya
Na sijui walioimba huu Wimborne wanafaid kazi ya matunda yao jaman
😢❤@@allexkweka2971
Leo 3/11/2024 machozi unitoka nikisikia nyimbo za zamani zilikuwa na mguso wa moyo na uku ukitiwa moyo, moja ya kwaya bora tanzania betheri kiwalani
Mwaka 2022 wangapi tupo pamoja kwa huu wimbo
🔥🔥🔥🔥🔥 nyimbo zinazoishi
Living songs 🙏
Amazing song MUNGU azidi kuwabariki. Wimbo unabariki mno
Siyo sisi tulomchagua, alitupenda tungali wenye dhambi. What amazing grace
Wangapi wanawatch 2050 kazi Bora wakati wote.
Mambo mengi ya Maisha yanaweza kufanya ukose uhakika, lakini, jambo moja TU lenye Uhakika usio na shaka ni kwamba Yesu anakupenda.
Kwa kweli hii nyimbo inanikumbusha mbali sana 2003 nipo kiwalani ezi hizo nilipenda sana wakati wanaimba huu wimbo nikawa nasogelea pale nisikie hakika zilikuwa nyimbo za uponyaji na zilizobadilisha maisha ya watu mno na mpaka leo nyimbo hii ukiipiga 2024 kama imetoka jana Mungu awabariki wote walioshiliki nyimbo bado inaponya kwa kweli pamoja mimi ni mcatholic na ni muimbaji sana wa nyimbo za Injili hii nyimbo inanibariki mno 🎉🎉🙏
Interesting
This song came into my mind ,I had to search it ooooh l was really humbled and silenced by the Love of Jesus , thank you jesus
Hiii wimbo imenikumbusha afisa wetu Lt josphine namanda and rodgers namanda mungu wawaonekanie❤❤❤❤❤❤❤❤ pale migori central SA
Baada kuona TikTok nimekuja apa kuusikiliza umenikumbusha mbali sana Enzi naiishi na wazazi asante Mungu umetutoa mbali na bado safari bodo ila naomba ubaki upande wetu . Thenk you
Mwaka 2024 wimbo huu umenifariji sana nashukuru sana 🙏
Am here in 2025🎉❤
Sorry I meant 2024
Yeye atupenda...... I was so young by the time hiinnyimbo itoke ...@20s and i love TBTs
God bless you . Its still fresh each time i listen
Nimekumbuka mbali sana my step mom alikuwa akiupenda sana huu wimbo 🥰
Daah hii nyimb nimesikiliza kitambo sana nikiw mdog Leo nikajikuta naikumbuka na kui search ytube 2023 💥
In 2024 am watching again 🎉
2024 am here❤
This unlock my forgotten Childhood Memories. :(
MWENYE ENZI MUNGU BABA AENDELEE KUMUWASHIA MWANGA WA MILELE MAREHEMU MAMA YANGU, LYDIA MOSES NTUKE. KUTOKANA NA MIHANGAIKO YA MAISHA SIKUSHUHUDIA MAZISHI YA MAMAANGU MZAZI,, NIMESIKILIZA HUU WIMBO NIMEJIKUTA NALIA. LALA PEMA MAMAANGU MPENDWA.
Pole Sana ndugu yangu
Mungu azidi kuwabariki zaidi na zaidi mlio imba hii wimbo umekuwa faraja Sana ndani ya moyo wangu
Ahsante Mungu nimekuja kuitafuta hii nyimbo leo baada ya kuota kuwa ninaisikliza kwenye simu yangu...
Na pia kipindi hiki kuna changamoto nazipitia ndo nikaota nai play kwenye simu yangu... kweli ulimwengu wa Roho ni Halisi
Nyimbo za enzi zetu ❤❤❤❤❤❤
Hii nyimbo nikiisikiliza kama na huzuni nafarijika sana MUNGU AWABARIKI ❤
2024,,still listening and being blessed
Still listening in 2024,,, huu wmbo naupenda tangu niko chekechea 2010's😁😁
Glory ! I love this song very much when I think how dearly God loves me.
Sio Sisi tulomchagua Bali yeye, asante Yesu kwa kunichagua
Nabarikiwa sana na hii nyimbo this is really masterpiece ❤ HAPPY NEW YEAR EVERY ONE 2023 🙌❤
Upendo wake. Yesu ulitutoa katika uthalilisho wake shetani, kwa keeling.
Leo trh 11/12/2024 bado Niko hai😢
Ee mungu wajaze watunzi na waimbaji wa leo kipawa cha uimbaji.hakika Mungu alipaziwa sifa za haki.
Watumishi hii nyimbo kama imeibwa leo ni nzuri sanaaa
Thank you God for the grace 2024 still listening to this prophetic song 🙏🙏🙏
Gospel za zamani zina utukufu sana.
I first the song in2007, 16 years down the line its still blessing me
Kupitia msalaba wake sis tupata neema yake
Wimbo hauchuji kwa kweli dada uliimba vzr kweli sana
2024 💕❤️
Still singing in my heart
Its 2023 na bado nabarikiwa. Waimbaji wa sasaivi wanatakiwa wajifunze kitu hapa
Wow,God is good.I like the composition of their songs,this one,Mungu yu mwema,Halleluya, vumilia and others,the work was amazingly done n God bless all of them for touching our hearts through the songs.
Hakika upendo wa Yesu kwangu hauna kipimo cha kuupima
Aky hii choir ibarikiwe kwa kuimba song yenye huwa naioenda sana huwa yanibariki
Ziliimbwa katika ROHO MTAKATIFU
Naskia kufarijika na huu wimbo...barikiweni sana
Huu mziki ulipigwa aiseee 🔥🔥🔥🔥
I have listened this song hire in Germany for 23 times. Real Gospel music are very touching.
Nimebarikiwa sana na nyimbo
Wako vizuri sana 🙏🙏
2024 and this songs blessing me
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu.
Mk
M here 2024
Wow! So lovely ❤❤❤
Ni kweli kabisa wanangu YESU atupenda.
Thanks so much Jesus for loving me GOD , bless you all it a powerful song
Thank you for your marvelous song.We Shelly vosh church we've chosen your song for it good message.❤️💛💚😊
Nabarikiwa sana nikiskiliza hii nyimbo
2024 hr we Go
Ami sana kizazi hiki imbeni mandiko
Mungu awape maisha malefu nawapenda
Amen Amen Mungu abariki waimbanji wa TZ
Nimetafuta huu wimbo
mwaka 2022nioopo kwa upendo wake yesu
Nyimbo zimenyooka!
Nyimbo nzuri views chache
💃💃💃💃💃💃hallelujah hallelujah
Kwelikabisa nimeipenda
Tumeponaaaaaaaaaaaaaaa 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
TUMEPONA❤❤❤
Jaman hii albam huwa haichuji
Huu wimbo unanibariki sana sana
Utukufu kwa Bwn Yesu nabarikiwa sn wimbo huu
A good praise and worship song. I keep coming back to listen to the great content it carries. It is fresh every year!
Mungu awabariki Sana, ninapenda chorale ile Sana tangu kitoto yangu
2024! Thank Jesus. Unajibu maombi
Singing along while in great pain. Mungu ananipenda jinsi nilivyo
Praise the Lord.
Praise the name of the Lord; praise him, you servants of the Lord.
Mc chipolopolo brought me wow this song is a blessing
2022Christmass ya leo2022 CAG morogoro CCWC nimepatwa kubalikiwa sanaa na huu wimbo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Hallelujah tumeponywa kutokana n magonjwa
Penda sana hi nyimbo
❤❤❤❤🙏🏽🙏🏽🙏🏽
So sweet and powerful
Mwaka 2022 nani yupooooo
Nibarikiwe kupitia hii nyimbo
HALLELUJAH HALLELUJAH AMEN AMEN MY FAVORITE SONG AND LORD BLESS
hi nyimb inanikumbusha mbali kiwalan kipind hiko bad katot kadog sana leo nimekuw mmam
🤣🤣🤣🤣
Mwimbo huu unanibariki sana mpaka machozi yanatiririka daah MUNGU unaupendo wa ajabu mno kwetu libarikiwe jina lako
@@phabianakizito1904 hakika Mimi Hadi kwenye Arus niliomba ningilie ukumbini.
wabarikiwe
2023♥️♥️♥️
2024....i remember my childhood
nabarikiwa sana
Hii wimbo naipenda sana ,,it blesses my heart
My late Brother impacted us to love this songs.... Good singing,,,,To God Be The Glory....
2024🔥🔥🔥
hawa watu waliimba jama
Ni neema yake tu
I love this song jamani