Umoja wa mataifa the U.N haitaweza kubali,kuna sababu zaake, mfano Kataloniya wanataka kujitenga,Scotland wa tapata sababu za kujitenga, Pwani kenya wanataka kujitenga piya Taksas jimbo la Amerika wana tama'a ya kujitenga na sehemu zingine nyingi, kwa hivyo haita ruhusiwa Somali-land kujitenga na Somalia.
Jumuiya ya kimataifa waache kuignoa somaliland kwani zitafaidika zaidi