INAHUZUNISHA MZEE ALIYEJIKATA NYETI ZAKE ILI AFE "MKE KANIKIMBIA, BUNDUKI INASHTUKA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Namba Tigopesa 0678909792 Ramadhan Shaib

КОМЕНТАРІ • 272

  • @thobiaspaul5691
    @thobiaspaul5691 2 роки тому +5

    Mungu wabarikii wazee wetuu ssi sote tunaelekea hukohuko

  • @allyfaki7862
    @allyfaki7862 2 роки тому +18

    Huyu mzee kweli aliwaza namna ya kujiua ndo mawazo yake yakaishia hapo dah! Kweli ulijitoa muhanga kama magaidi wa alshaabab

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 2 роки тому +3

    Mungu amuonekanie mzee,huyu haitaji korodani kwa sasa, awezeshwe afurahie maisha yake yaliyobakia, huu umaskini ni mwingi mno. Inasikitisha.

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 роки тому +4

    Kila mtu anayesikiliza hii habari hapa na kuona hii habari , angetoa kuchangia hata elfu moja au elfu tano nina uhakika Mzee tungeweza kumjengea nyumba . Pole sana baba

  • @theempressmadam
    @theempressmadam 2 роки тому +12

    Katika budget tunaambiwa kuna budget ya WAZEE 👏🏼👏🏼👏🏼Je huko Songea USTAWI WA JAMII unamsaidiaje huyu mzee? Kwanza haoni vizuri, serikali mliyokuwa mnatuimbia NYIMBO kuwa ni ya wanyonge, inachukua jukumu gani kwa huyu lonely old sweet babu? Kuweni na huruma nyie USTAWI WA JAMII. Mnatakiwa mmfanyie budget ya mlo kwa mwezi, mpelekeni akapimwe macho apewe miwani, na kuwa mnamtembelea. Mnapokea mishahara ya bure😌😌 #waziriwaafya #wizarayaafyamaendeleoyawazeenawatoto fanyeni kazi mliyotumwa

    • @USTAWIWAJAMIITZ
      @USTAWIWAJAMIITZ 2 роки тому

      Ustawii wa jamii inafanyaa Kazi, kubwaaa sana ...lakini Haipewiii Heshima Kama inavo Takiwa ... Imagine ustawiii wa Jamiii ni kitengo na haina budget ya serikari kuuuu sasa hiyo si kitu cha ajabu jamani ..... Serikaliii iangaliee kwa kweliii ....

    • @uwimanacamila2390
      @uwimanacamila2390 2 роки тому +1

      Hivi pembeniyako sikunawatu ambao hawajiwezi unasaidia wangapi kama unasaidia unawapa misaada wote?

    • @rayaalraqady6400
      @rayaalraqady6400 2 роки тому +1

      5

    • @samiraabdimahamed4449
      @samiraabdimahamed4449 2 роки тому

      😒😒

  • @atanasmillinga251
    @atanasmillinga251 2 роки тому +20

    Huyu mzee namfahamu toka nipo Primary ni story ya kweli kabisa.Kweli Millard unajua kuzipata habari aisee.

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 2 роки тому +9

    Hahaha Mzee alifanya mahesabu makali sana nilichukua sturi nikachukua kiwembe cha kunyolea ndevu nikazilengeta korodani mpaka nikazikata na nikazitupa chini

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 роки тому +9

    Dah! Aiseeee mesikiliza mpk mwishooo ila mzeee una tabu Sana, pole

  • @officialminamsouth1923
    @officialminamsouth1923 2 роки тому +4

    🤣🤣🤣🤣🤣 sema mzee muhuni sana eti bunduki ipo

  • @cleartzboy
    @cleartzboy Рік тому

    Vjna tujifunzeee tutafute pesa na tumwombe mungu haya yote ni umaskn pia unachangia mungu tupe mwsho mwema

  • @ivankivinge2987
    @ivankivinge2987 2 роки тому +7

    Uyu mzee yuko very strong. Ni watu wachache sana wanaweza huu mziki

  • @USTAWIWAJAMIITZ
    @USTAWIWAJAMIITZ 2 роки тому +3

    Pascooo hadi unakunjwaaa suraaaa ulivosikiaaa zika dondokaaa 😂

  • @hellenpatrick3041
    @hellenpatrick3041 2 роки тому +3

    Eeh! mzee Jamani pole sana eti kusukutua

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 2 роки тому +1

    First Muombe Mungu msamaha Kwanza maana hata kama umewaza mpaka kufika mwisho ndio ujikate korodani?
    GOD HAVE MERCY ON US.🙏🙏

  • @mrematvbabakoku8336
    @mrematvbabakoku8336 2 роки тому +2

    Babu angetuonyesha tuone kipisi kilichosalia

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 2 роки тому +2

    Nimeumia sana tu juu ya huyo babu mungu amtunze

  • @uwimanacamila2390
    @uwimanacamila2390 2 роки тому +3

    Pole sana hivikweli mzee ulisingiziwa besikeri au ni mke wamtu?maana besikeri na nyeti haviendani kabisa dah🙆‍♂️🙆‍♂️

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 2 роки тому

      😄😄😄

    • @adelinacosmas6232
      @adelinacosmas6232 2 роки тому

      Kweli kabisa ila mimi nimesikia ilikuwa ni kweli na alikuwa natabia ya udokozi amefanya kazi kwa mama mkwe wangu

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 2 роки тому +2

    Babu bhana 😄 eti Wanawake wote Wanajua nipo " open" 😄😄😄

  • @alexanderzeus454
    @alexanderzeus454 2 роки тому +4

    Serikali naomba msaidieni mzee huyu hata kama ni kwakumpa msaidizi wa kazi za ndani au kumpa makazi yaliyo bora

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 роки тому +8

    Jamani wanawake tujitokeze mzee wetu kashasema bunduki ipo

  • @halimakhamis2725
    @halimakhamis2725 2 роки тому +7

    Mie nataka nikae na babu uyo kweli kabisa ila kwake sikujui pia nauli Sina

    • @hadijamagufuli2661
      @hadijamagufuli2661 2 роки тому

      Mhmh

    • @halimakhamis2725
      @halimakhamis2725 2 роки тому +2

      @@hadijamagufuli2661 kweli kabisa mie mwenywe Nisha zeekamiaka 60 nikipata uyo Sawa tuu

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 2 роки тому +4

      Mwenyezi mungu atafanya njia utafika na utaenda ishi nae

  • @josephtambali2874
    @josephtambali2874 2 роки тому +1

    Mkoa wa luvuma niwagumu Sana kusaidia wazee na mama wa Jane viongozi wanapenda lushwa sana

  • @naomisamsoni1040
    @naomisamsoni1040 2 роки тому

    Kwa muonekano wa nyumba hyo kwa enzi hizo lazima uonewe wivu inaonekana ilikua matata sana,Mungu aendelee kukutunza

  • @stellashore3104
    @stellashore3104 2 роки тому +4

    PASCHAL nakuona unavyokunja USO kwa kuyawazia hayo maumivu,duuh.Aliyesema usifanye maamuzi ukiwa na hasira aliwaza vema sana.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 роки тому

    Pole Babu, japo umenichekesha pia

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 2 роки тому +2

    Mtangazaji usoni anaonekana kama ni zake zinakatwa

  • @abelimtega6223
    @abelimtega6223 2 роки тому +1

    Pole mzee mungu ajusaidie

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 2 роки тому

    Yy mwenyewe ndo kayafanya maisha magumu kila mtu ataogpa ujikate korodani jmn jeee uyo mke akifnya kosa si atamuua uyu ss mdiso haupo atampata nan labda apate jini mahaba limsaidie saidie kupungza shahawa

  • @mariamkyando3821
    @mariamkyando3821 2 роки тому +1

    Poole sana babu huruma kwako

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +2

    Jamani mwezenu sipati picha kweli hasira hasara alipo yatoa nazani alikuwa kalewa heeee yataka moyo inijichoma mwiba niasikitika. Yeye kayakata jamani. Kuna watu makatili heee

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 роки тому +2

    😅😅😅😅😅😅😅Pamekaaa filesh bunduki ipoo

  • @yothamnkonyozi1982
    @yothamnkonyozi1982 2 роки тому

    Pole mzee kwa maamz magum uliyo yafanya

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 2 роки тому +2

    Kama umesikia neno Fieta gonga like

  • @walaaabdallah3236
    @walaaabdallah3236 2 роки тому +8

    Duh nikweli anaishi maisha ya shida kwasababu hana mtu wakumsaidia kazi alafu nayeye kashazeheka😢 Sasa mzee wangu kukwambia mwizi ndo ukakate korodani jamanii?

  • @rubensaitoti6839
    @rubensaitoti6839 2 роки тому

    Pole sana

  • @halima7255
    @halima7255 2 роки тому +3

    Yani uyu babu aba kuacha usahau u chungu unacheka😂😂😂😂eti bunduki kama mlenda ulitiwa magadi mm nakuja lakini uni kabizi iyo arithi😂😂😂😂😂

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 2 роки тому +3

    Bunduki lege lege kama mlenda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bunduki haitoi risasi inashtuka shtuka ,bunduki bunduki ipoo 🤣🤣🤣🤣umenichekesha babu ila pole sana.

  • @chalesallen8582
    @chalesallen8582 2 роки тому +1

    Umemkosea sana mungu kuharibu uumbaji wa mungu kwako

  • @frankkomba4747
    @frankkomba4747 2 роки тому +1

    Hahaaaa yupo vzr akazitupa chini

  • @mutahangarwasamwel4643
    @mutahangarwasamwel4643 2 роки тому +1

    Namkubari Babu bahati mbaya ilifanya mahamzi yajaziba kuhusu mke wake alikua mvumilivu sana upendo niakiba

    • @valentinenemes845
      @valentinenemes845 2 роки тому

      🤣🤣🤣🤣 mzee noma sana. Nikalengeta. Hii nchi nomaaaa. Sasa huna korodani mwanamke wa nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 Рік тому

    Mzee ulijihasi mwenyewe aise ingeiacha ata moja

  • @khdigahk4246
    @khdigahk4246 2 роки тому +4

    😅😅😅😅😅Nicheke kwanza Sasa kolodan na baskeli wapi na wapi Samahan jmn Kwan ukizikata zile Hua usimamishi

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      korodani ndoo nn

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      @@heyumi2340 nafikiri itakuwa nizile zinazo ning'inia

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      @@khadijahali4837 kaharibu sukari ya mashangingi

    • @khadijahali4837
      @khadijahali4837 2 роки тому

      @@heyumi2340 ttz ilikuwa haifanyi kz ipasavyo

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 2 роки тому

      @@khadijahali4837 alikuwa na mke vip mm naona sasa hivi ndiooo kaharibu kabisa

  • @jamesjoseph6825
    @jamesjoseph6825 2 роки тому +6

    Hiyo wizara inayoshughulikia wazee, wanachojua Ni kujaza matumbo yao, na wazee wanaowatambua ni wale wachumia tumbo wenzao, haki watu watafika mbinguni wakiwa wamechoka sana

    • @maryrite9053
      @maryrite9053 2 роки тому

      Sana bro Mungu atusimamie

    • @abuibra
      @abuibra 2 роки тому

      Mbinguni gani,unauchezea ujana wako badala ya kujipanga vizuri, na wewe ukifanya mchezo mambo ndio hayo.

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 роки тому +1

    Pole mzee shetani alikuvaa

  • @ashaa497
    @ashaa497 2 роки тому

    Pole sana babu amakweli hasira hasara dunia mapito 2 tuna pita

  • @gaudensiayustini8669
    @gaudensiayustini8669 2 роки тому +1

    No coment

  • @tumainipeter7389
    @tumainipeter7389 2 роки тому

    Jaman😂😂😂😂😂😂😂😂😌😌nimecheka sanaaaaa

  • @mwantimazdombo6049
    @mwantimazdombo6049 2 роки тому

    Nikweli Jmn anaitaji msaada kweli

  • @adelinacosmas6232
    @adelinacosmas6232 2 роки тому +1

    Babu yetu huyo wa mtaani mtoto wangu wa kwanza mimba nilipatia apo kwa uyo babu nikama mtani hivi wa mume wangu

    • @neemaisrael688
      @neemaisrael688 2 роки тому

      Pole sana babu , lakini huyu babu alikuwa mtata.

  • @mlandagodfrey121
    @mlandagodfrey121 2 роки тому +2

    😭😭😭 daa Mungu mjalie mwisho mwema huyu mzee nimelia sana

  • @saraphinajoely7047
    @saraphinajoely7047 2 роки тому

    Dah pole lakn kwann umezikata jmn tusiwe na mamuz magumu namna hii

  • @djnangaxtwo2975
    @djnangaxtwo2975 2 роки тому

    Mh #AMEKATA TONGO ZOTE MBILI kisha kutupa chini alijiona komando 😀😀😁😂😂

  • @udakutv6973
    @udakutv6973 2 роки тому

    Sakata la harmonize na diamond limefika pabaya
    ua-cam.com/video/dEJ1zjYhX0c/v-deo.html
    ua-cam.com/video/dEJ1zjYhX0c/v-deo.html
    ua-cam.com/video/dEJ1zjYhX0c/v-deo.html

  • @munamuna7488
    @munamuna7488 2 роки тому +1

    Duuuu pole hasira hasara

  • @hamiderally9588
    @hamiderally9588 2 роки тому

    Zamani kidogo nikitoa aja ndogo nashika kwa mkono wa kulia au kushoto niikungute kungute asaivi ipo Kama mlenda ulotiwa magadi yani Kama mwanamke tu 🤣🤣atar
    Ilami naisi au alilogwa akapata mshipa ndo akaukata

  • @zulfaabdala7370
    @zulfaabdala7370 2 роки тому

    Hayo maisha ya kukomoana yapo Sana yan hii dunia acha tu

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 2 роки тому

    Dah aiseeeee!

  • @idanysedrc1200
    @idanysedrc1200 2 роки тому +1

    Pombe sio chai

  • @jonathanmundeda4461
    @jonathanmundeda4461 2 роки тому

    Babu anabango la ccm nyumban kwake ila hawamjali mpinga kura wao kweli ccm inawenyewe

  • @innocentjoseph805
    @innocentjoseph805 2 роки тому +10

    Nimeamini msemo usemao ,ata wajinga nao wanazeeka. Mungu anisamehe Kama nimekosea

  • @mwakimedia
    @mwakimedia 2 роки тому

    Bofya kupata internet bure usisahau kusubscribe ua-cam.com/users/NUHUONLINETVp

  • @saeaaa8571
    @saeaaa8571 2 роки тому +1

    😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Babu jmn eti kam mlenda

  • @kasandaomary994
    @kasandaomary994 2 роки тому +1

    Pamekafreshi😂😂😂😂babu uyo eti bunduki bunduki ipo

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 2 роки тому +3

    Kweli haon jmn maana hivyo vyombo mweeee🙌🙌🙌🙌maskin itakuwa hata sabuni hana, kwann mtangazaji asimuulize kuhusu familia yake? Na kwann asiish hata na mtt wa ndugu yake kk au dd yake wakiume aliekuwa na mke na watt ili awe nakafamilia atilist asiwe mpweke hata ikitokea kaumwa nyumban kuna watu maskin.

  • @aminaally9156
    @aminaally9156 2 роки тому +1

    Mtangazaji pole maana navocheka huku huu mzee balaa.🤣🤣🤣

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 2 роки тому

    Duh, mtihani kweli

  • @scholarmbele7139
    @scholarmbele7139 2 роки тому

    Unajua kusukutua bunduki wewe 😀😀😀 poleee Babu yangu

  • @hamidmweusiii35
    @hamidmweusiii35 2 роки тому

    Hyu mzee atakaa na nan unafkri we korodani zake mwenyewe kaamua kuziondoa ndo mtu kwl uyu Iman anayo kwl hyu?

  • @esdracylidodi2849
    @esdracylidodi2849 2 роки тому +3

    Mmmmh kweli kuwa uyaone
    Huyu mzee ni mkatili sana

  • @abdalahmjomba471
    @abdalahmjomba471 2 роки тому

    Hahahahahaha mzee bwana ety bunduki,posho na kusukutua

  • @yothamnkonyozi1982
    @yothamnkonyozi1982 2 роки тому

    Bunduki, kupiga mnyama, maneno ya mzee

  • @tatukachingwe7451
    @tatukachingwe7451 2 роки тому +1

    Sipati picha uyu mzee alipokuwa kijana🙊🙊🙊

  • @asha.mwambamwamba1774
    @asha.mwambamwamba1774 2 роки тому +1

    Waanchangie nyumba mbovu

  • @godchoosen4830
    @godchoosen4830 2 роки тому

    Uyu MZEE bana 😀😁😁😁😁😁

  • @mariamabdullah489
    @mariamabdullah489 2 роки тому +2

    Mzee jiwe bunduki yako ikitaka kupiga mnyama hatari,,, sasahivi kama mlenda wa magadi duuuuu

  • @shabbyofficial_
    @shabbyofficial_ 2 роки тому

    Korodani ni nini.. Makende au mboo?

  • @neemamrema7590
    @neemamrema7590 2 роки тому +1

    Mmmmh makubwa! Dunia ina mamboo

  • @jhfgbn87hshswj17
    @jhfgbn87hshswj17 2 роки тому

    Jamani babu is 😂😂😂😂😂,nimecheka kweri

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому

    Tena mtihani yaani huo ugali uji haujawi va unga kidogo uji mwingi pole mze ndio duniya

  • @zawadjose5440
    @zawadjose5440 2 роки тому

    Pole babu

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 2 роки тому +1

    Karibu kw Chanel yngu pia 🥰

  • @jimmylema8830
    @jimmylema8830 2 роки тому +6

    Maamuzi ya ulevi mzee . Kwa mimi bora nionekane mwizi kuliko kukata mali

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 2 роки тому

    Sijui kwanini alifanya hivyo

  • @salmaabduli700
    @salmaabduli700 2 роки тому +1

    Unaikung, uta 🤣🤣

  • @angelsylvester4795
    @angelsylvester4795 2 роки тому +4

    Yani wewe maswali gani hayo mzee wa miaka 87 unamwambia akipata msaada wa koridani duh wewe kweli mtata mzee asaidiwe macho aone vizuri na cjakula khaaaaa🙄🙄🙄

    • @ibrahdimpoz5820
      @ibrahdimpoz5820 2 роки тому

      Mbona kauliza powa tu kauliza ki utu uZima na swali zakutuelimisha maybe pako korodani bandia unajuwaje HUJUWI!! Kwahiyo wangine tumeelewa

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 2 роки тому +2

      Nacheka kwa sauti 😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @fetychina3273
    @fetychina3273 2 роки тому +1

    🤣🤣🤣bunduki imelalayoo🥳

    • @mwanakhatib5825
      @mwanakhatib5825 2 роки тому

      Bala ulivo ikata imepunguza kupata malaxo ya ngono

  • @TajiriKessy7415
    @TajiriKessy7415 2 роки тому

    Kumbe inamajina MENGI hivi 🙏

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 2 роки тому +3

    Sasa kama ulikuwa unataka Kujiua kwa nini hukukata SHINGO....Ukajikata KORODANI.!!??

  • @josephinajosephu6859
    @josephinajosephu6859 2 роки тому +1

    Aiiii🤣🤣kumekucha🏃🏃

  • @nguvumhuji7958
    @nguvumhuji7958 2 роки тому +1

    Apo ndo mtaamin uchawi upo 😏

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 роки тому

    Mmmm kua uyaonee c magorofa mambo kama haya

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 2 роки тому

    Jamen daah

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 2 роки тому

    Maswali mengine?

  • @kimsamespa8490
    @kimsamespa8490 2 роки тому

    Mmm😭😭😭

  • @safinamalero3971
    @safinamalero3971 2 роки тому

    Ukorofii Y ukate Kolo ..?

  • @Chekibob
    @Chekibob 2 роки тому

    Duh una roho ngumu kuliko ya Yuda

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 2 роки тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ukorofi huo ulioufanya mzeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @elizabethbusigara4568
    @elizabethbusigara4568 2 роки тому +1

    Eti bunduki inastuka stuka,,

  • @wolterdavid8979
    @wolterdavid8979 2 роки тому

    Tazama wimbo huu mpaka mwisho, utagundua kitu. Bonyeza hapa>>>ua-cam.com/video/lDXPefFzIdU/v-deo.html

  • @patricialpatrick9927
    @patricialpatrick9927 2 роки тому

    mbayasana