Well done Mr President Dr. John Pombe Magufuli for your great courage of making our country become a new country. A reliable electricity power supply is an important hub of our economy. Congratulations MR President.
Mheshimiwa Rais, Mungu akutunze uishi miaka mia moja ili uje uone kazi za mikono yako na wajukuu wetu wakifurahia, huu ni wakati wa kujenga nchi siasa pembeni
IVYO IVYO Mh:RAISI MAGUFULI MABADILIKO HUJA KWA HATUA BAADA HATUA.ENDELEA KUTENDA ILA NAOMBA NA ZANZIBAR NAKO UKUJENGE MJI UNGA'RE KIZAZI HADI KIZAZI HAKITAKUSAHAU DAIMA MILELE.
Hongera xna president Magifuly kwa kuendelea kutekeleza matakwa ya nchi yetu! Japokuwa kila mwema huwa hakosi kasoro; huenda kwa xx tunalia pesa hakuna ila naamini faida za haya unayoyafanya kwa xx tutakuja kuyafaidi huko mbeleni!!!! Pambana baba
Rais wangu unewazidi hata wachumi wa maswala ya Cost Benefit Analysis. Unastahili PhD ya heshima kwa maswala ya Uchumi. Hapo bado hujataja madhara ya uchavuzi wa hali ya hewa (CO2) unaotokana na shughuli za uchomaji wa mkaa. Umeme wa maji huzalisha carbon kiasi kidogo sana yaani negligible amount of emission kuliko mkaa na vyanzo vingine vya nishati. Waliofanya tathmini ys kukwamisha huu mradi ni watu ambao hawafai hata kuwepo maofisini.
Ewe mwenyez MUNGU tunakuomba na tunazidi kukuomba enderea kumuongoza kumsimamia kumrinda kumuepushia yote yariomabaya na kuzidi kuimarisha afya yake raisi wetu na kuwenderea kuwaongoza vyema pia viyongoz wote wanaomsaidia raisi wetu kuriongoza taifa retu vyema ewe mwenyez MUNGU enderea kuyapa nguvu kubwa san majeshi yetu yote ewe mwenyez MUNGU mkuu
Long live Mr. President Dr. John Pombe Magufuli
Nakupendaga rais naipenda nchi yangu
acha waTanzania turinge raisi wetu ni genius mzalendo
Haya ni maono ya mbali sana. Mradi ukikamilika tutaacha kutumia kuni na mkaa. Mungu ibariki TZ
Safi rais wangu
Mungu ampe afya na nguvu Rais wetu, amlinde kwa kila baya na wabaya, akbali maombi yetu kua aendelee kutuongoza kwa zaidi ya miaka 20.
Well done Mr President Dr. John Pombe Magufuli for your great courage of making our country become a new country. A reliable electricity power supply is an important hub of our economy. Congratulations MR President.
Genious of a president.
Ewe mwenyez MUNGU ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba na tutazidi kukuomba enderea kuriongoza taifa retu na raisi wetu
Hongera sana awamu ya tano, sisi watanzania tunajivunia Serikali hii ambayo inaandika historia
Mheshimiwa Rais, Mungu akutunze uishi miaka mia moja ili uje uone kazi za mikono yako na wajukuu wetu wakifurahia, huu ni wakati wa kujenga nchi siasa pembeni
saf sana rais wetu
IVYO IVYO Mh:RAISI MAGUFULI MABADILIKO HUJA KWA HATUA BAADA HATUA.ENDELEA KUTENDA ILA NAOMBA NA ZANZIBAR NAKO UKUJENGE MJI UNGA'RE KIZAZI HADI KIZAZI HAKITAKUSAHAU DAIMA MILELE.
Mungu ibariki tanzania mungu ibariki afrika umoja wetu uwe njia ya mafanikio ya kweli ya kesho yetu tusioijua!
Vizuri saana Rais
Mnauhakika kweli wamisri wataweza kujenga lisije likapasuka
Hongera xna president Magifuly kwa kuendelea kutekeleza matakwa ya nchi yetu! Japokuwa kila mwema huwa hakosi kasoro; huenda kwa xx tunalia pesa hakuna ila naamini faida za haya unayoyafanya kwa xx tutakuja kuyafaidi huko mbeleni!!!! Pambana baba
...
Baraka kiukweli haya matunda ni ya badae
hmm
Mungu ibariki nchi yetu Tz, Raisi pamoja na viongozi wetu wafanye kazi kwa weledi...
Sawa
Rais wangu unewazidi hata wachumi wa maswala ya Cost Benefit Analysis. Unastahili PhD ya heshima kwa maswala ya Uchumi. Hapo bado hujataja madhara ya uchavuzi wa hali ya hewa (CO2) unaotokana na shughuli za uchomaji wa mkaa. Umeme wa maji huzalisha carbon kiasi kidogo sana yaani negligible amount of emission kuliko mkaa na vyanzo vingine vya nishati.
Waliofanya tathmini ys kukwamisha huu mradi ni watu ambao hawafai hata kuwepo maofisini.
Ewe mwenyez MUNGU tunakuomba na tunazidi kukuomba enderea kumuongoza kumsimamia kumrinda kumuepushia yote yariomabaya na kuzidi kuimarisha afya yake raisi wetu na kuwenderea kuwaongoza vyema pia viyongoz wote wanaomsaidia raisi wetu kuriongoza taifa retu vyema ewe mwenyez MUNGU enderea kuyapa nguvu kubwa san majeshi yetu yote ewe mwenyez MUNGU mkuu
Ewe mwenyez MUNGU tunakuomba enderea kuwajaria nguvu na afya njema wakandarasi wetu wete wanaotujengea miradi yetu yote ewe mwenyez MUNGU mkuu
Mh Rais Peramid hawajatengeza Arabs. Waliotengeneza ni watu weusi ambao Leo mnawaita Firauni. Wale ni Nubians weusi kabisa