ALLY KAMWE: "AZIZ KI HAWEZI KUCHEZA SIMBA" | AWATUMIA SALAMU AZAM | "KOMBE NI LETU BADO KUPEWA TU".
Вставка
- Опубліковано 18 тра 2024
- Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv - Спорт
Mara nne mfululizo, vs simba, vs coast vs azam na hii vs azam
Congratulation ihefu,mimi ni mwanayanga,ila ihefu wametupa changamoto
Alhamndulilah Tunashukuru kwaneema uliotuneemesha Inshaallah
Aloooo..💪💪💪💪💪💛💛💚💚
Yaan hata mimi nina hasira sana na Azam mnoo sababu wametuumizia wachezaji wetu mechi ya ligi sasa kisasi chao kipo pale pale hatuaachi shubaamiti
Aziz Ally
Semaji mwenye akili ni Ali kamwe pekee 😂😂😂😂 🎉🎉🎉
Kumbe wew na uko wako hamna akili ila alikwamwe ndo anakili🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sada hujambo Yanga Oyeeeeeeeeeeeeeee
@@ramamohamed492 khaa jaman 😂😂😂 namaanisha wasemaji wa mpira
@@saidhemed5168 sijambo yanga oyee sana tupo juu💪💪💪
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
azizi ally
Nakubali semaji
Me pia achukue maua yake!🎉🎉🎉🔥❣️👈🙏💚💛🖤💛💚🖤💛🇹🇿
Huyo msomi bhana,maelezo yamenyooka hakuna blabla,asante kjn wetu Ally S.Kamwe,Wananchi ppt tulipo tunajidai/tunavimba.
Kwa Yanga hii,WATASUBIRI SANA.
Nashkuru kwakunitoa hofu kwa Aziz key kwenda simba duuuh roho ilikuwa inadunda
Kaka mbona taarifa ilitolewa mapema na Tff kuwa Kuna mabadiliko ya ratba ndo mana mechi zimewai kuanza
Sawa nakukubali
Semaji msomi ni Ally shabani kamwee mwamba kweli kweli
Wape vidonge vyao
💛💛💛💚💚💚
We ulituaminisha Feisal haend Azam labda apande boti ya Azam kwenda kwao kusalimia khatma yke saiv ni mfungaji Bora wa ligi anaongoza Sasa na huyu master ki tuaminishe hvhv
ASante mungu yanga walishinda
Daima imara nyuma mwiko
💚💚💚💚💚💚💚💚🙏
Na mtaumia sana makolo
Yanga ikoimara Sana ndio maana ikovizuri
🙏
Na mtasema yani mpakaaa msemeee
Tuna hasirana Azam tukalipe kisasi
hacha ulevi mwana simba
💛💚💚💛💛💛💛💚💚💚💛💚
Yanga ni level nyengine minimum kumi itachukuwa mpk wayachoke
😂😂😂 yaan Ally unajua kunifurahisha
Ulituhaidi Tutasherekea Mwanza Ubingwa sasa Fanya hivyo tunasubiri
Ata mimi nina asila nao😂😂😂
Sababu yangu alisababisha majeruhi walio Kuja kutugarimu kilabu bingwa afirika
Eti sababu elfu 1000 za kumtaka azam
Wanao sema goli la mchongo anaweweseka😂
Hamna kitu hapa 😂😂
Madunduka yanaumia mtabaki kukodoa macho acheni maneno pambanieni nafasi ya pili
Bonge ya semaji, hutamani limalize.
Huyu kijana huongea uharo sana, what a narcissist!
We nenda fainal Bolkon ipo uko utailambat
Wew kimudomo chako kinatuponza
Kilituponza wapi
Hayo mashindano yalianza lini kuchezwa dakika 30 baada ya kuisha dakika 90 mbona munavuruga mambo
Gem ya costo na yanga sopu anafunga magori mawili sijui matatu anamtungua diara ilikua dakika ngapi?
Na ndiomaana mpira umeanza mapema
Huna kumbukumbu wewe
Kaangalie mechi ya Azam na coaster Azam wakafungwa kwa penalt
Tff upuuz mtupu ule uwanja mdogo wa manyara fainal ovyo
vip lkn uwanj n mzur ?
Bora msngeingia fainal kabsa Azam apewe kombe lake
WEWE TULIA,AZAM WALITUKOSHA KOMBE LA AFRICA KWA KUTUHUMIZIA WACHEZAJI SASA ZAO ZIMEFIKA.
Tuliza kikojoleo, ngoma siyo yako unajifunga kibwebwe chanini? tulia da 3.
Kolo kama kolo endelea kuteseka
Walaume mashujaaa
YANGA MMEPATA GOLI LA MBINDE SANA KUTOKA KWA IHEFU. ALI KAMWE UNATAMBA SANA MTAFUNGWA NA AZAM
Ndo football nusu fainali
Anitha we kaongo yaan Azam atufunge na hivyo TUlimtaka😂😂😂
Wewe ongea tu subiri uone
Aone nini mbona huelewek
Utaona wewe yeye ashaona kitaaambo
Manyoya nini wewe simba kafata nini kwenye utopoloni wenu kwendaaaaaaa
Nguruwe fc makasiriko ya nini?
Amemjibu msemaji wenu aliyesema wanamsajili aziz ki.
@@Mary-fs4mc kwendaaaaa
@@CharlesWanyeche-er6rw mateso fc, maumivu yatakuua kijana, nakwataarifa yako siendi popote nipo nipo sanaaaaa tuuuuuuu.
Goli lenyewe mchongo faulo refa kaacha na pia Ni Sheria gan robo dk 90 halafu nusu extra time upuuz mtupu
Upuuzi wa kwako acha makasiliko chiz ww
poleee😂😂😂
kma hujui football ni bora ukanyamaza tu kuliko kuropoka
😂😂😂pole
We ulitakaje kwani😮