Bro in all confession za wezi nime watch across all media,,,let me tell you that you're the only person akisema amereform naeza kubali and I have a trust with you😅,like bro hauna sura ya uwizi msee💯.Let me finish watching the story now coz I had to leave a comment before finishing the video😂😂
Pesa iliibwa saa nne mchana langata lakini akifika mbagathi rd ilikuwa jioni watu wa kibera mjengo wakitoka job? Plus hauwezi pata road block langata road mchana saa nne
He is not lying,it depends with the interviewer he couldn't go to details he had to summarize because of time, standard media group is a national media they work with time, notice the interviewer was hurrying him up,at Itugi tv he had over an hour to give a detailed account of his story.
Yaani huyo co acused alikunywa the most expensive alcohol in history ... Yaani wewe unastugger tu minding your own business ukithani ni kubleki unaota uko kamiti, wacha zishuke uone ni ukweli na hata huwezi toa lock ,, hiyo drink cost him too much

❤❤ebu magusy i hope mnajua uyu jamaa hukaa apa ruiru jameni ebu acconfence🎉🎉😢😢
Madam anaye interview anaintercept mpaka story inakatwakatwa badala ya iflow
Interrupt sio intercept
Hajui kupiga interview
Nani alikwambia mtu hawezi shtakiwa na robbery with violence akiwa peke yake
Interesting story but madam anaharakisha stori mpaka inaboh
his story keeps changing though, mara aiwafungia kwa bafu, mara alishanda uyo mzee. nice story though
Uwongo
Pesa iliibwa saa nne mchana langata lakini akifika mbagathi rd ilikuwa jioni watu wa kibera mjengo wakitoka job? Plus hauwezi pata road block langata road mchana saa nne
🤣🤣🤣 kanaflow, noma sana
Wueh wenyewe crime does not pay
Mungu yupo
Eti mtu hawezi fungwa pekee yake kwa robbery🤣🤣🤣 A big liar indeed
Explain further
Jamaa sahii ni dere wa Lopha
This fellow has been my friend two years now, but I didnt know that he has been a criminal
Now u know! Criminals never change.. he said it too.. 😂
The guy is lying. He appeared in a show recently and narrated a different story about that Langata Heist.
He is not lying,it depends with the interviewer he couldn't go to details he had to summarize because of time, standard media group is a national media they work with time, notice the interviewer was hurrying him up,at Itugi tv he had over an hour to give a detailed account of his story.
This is national tv not the internet, you need to be politically correct.... Vitu zingine ongeza knowledge sio kuonesha ignorance mbele ya watu
Kwani wote ni wasapere?
Jael get some concept from obina who is always exhaustive and lives no stone unturned
Story za jaba..uongo tupu
Wewe mama una ujinga, poor interviewing
And we share sir name 😢
Jeri ,mahadu home ground
blackberry back in 2001.?
Jael,acha msee aropokwe ..in due time,just pay back time will beckon..
He is reformed amekuwa prison na akatoka... check his full interview @ITUGI TV
True
Mtu habadilikangi,soo hujabadilika?
😂😂😂😂😂😂yaani uwesi badilika immediately ama kifo cha mwizi iwesi padilisha yule mwingine haraka ivo
Huyu jael awache kuintercept interview coz the guy got more content than her...
He may have been a criminal but i also feel he is a pathological lier
Story ni yako ama yake
@@TheGeneralEntertainment😂😂😂😂😂😂😂😂😂sasa atupigie naye tuskie yake
Utashikwa tu
Ukona mtu anapiga hio smile ogopa😂
Why does this guy looks alot like Rita Waeni's killer cctv shot? Ama niko zangu 😮
😂😂😂 uko zako sweetie 😘
Anamfanana
Jael unakata story katikati acha jama aonnge stop interrupting
Come for me niko single too with 2 boy
Yaani huyo co acused alikunywa the most expensive alcohol in history ... Yaani wewe unastugger tu minding your own business ukithani ni kubleki unaota uko kamiti, wacha zishuke uone ni ukweli na hata huwezi toa lock ,, hiyo drink cost him too much
Unajicontradict wewe jamaa. Ushasema hakuna kujifunza ukiwa death sentence!!!!
The fellow needs to be charged. He seems to be happy with crime and openly lying
No need to give him audience
He spent 18yrs in prison. He dint kill anyone
Huyu jamaa ni mwongo, in the other story on a different channel alipeana story different sana, the my even killed the mzee with a gun
Liar. Danganya toto jinga😅
Huyo jama sio mzuri karibu anigonge pesa huyo
How na ameokoka?
Wacha kuchomea pastor😂😂😂😂😂
Ata wewe unafaa kuawawa doggie
L interviewer