MZOZO WAIBUKA KWENYE KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI, TUTAANDAMANA HADI KWA CHALAMIRA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 289

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 Місяць тому +13

    Wamama wengi muliopo hapo mmeshindikana kwenye ndoa zenu.
    Niwatiifu sana kwa wachungaji zao kuliko kutii waume zao
    Wengi niwabisha sna

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np Місяць тому

      Kwa mafundisho yale huwezi fundishwa na nabii ukakosa kutii mume wako,wacheni wivu

    • @user-sp5vr7uo4w
      @user-sp5vr7uo4w Місяць тому +1

      ​@@charlesomollo-ui1npww na huyo mchungaji mnashirikiana na kuwazulumu watu

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np Місяць тому

      @@user-sp5vr7uo4w wajua waongea na nani???mimi si mtanzania,chunga saaana

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np Місяць тому

      Tafuta hela wacha machungu,ama nikusaidie

  • @saxo-mm4me
    @saxo-mm4me Місяць тому +8

    Daah, wamechoka mbaya waumini, na unyonyaji

  • @MauBonde
    @MauBonde Місяць тому +17

    Nyie machizi hamjielewi,mnataka mfanywe kama kibwetere wa Uganda halafu serikali iangalie Tu upumbavu wenu.

  • @MagdalenaKitoma-md3kp
    @MagdalenaKitoma-md3kp Місяць тому +1

    Mimi natamni mnaowatukana watumishi wa mungu basi mungu awafinye kidogo Kisha mpelekwe kwa hao hao makuhani mnaowatukana alafu wawasaidie ili mbaki na aibu zenu tuacheni kwani tulifuatw nyumbani tukashikwa mikono situlienda wenyewe tuacheni tuende kama kufa tufie huko acheni kutukana bhana likikukuta utaunyamazisha mdomo wako

  • @seifntandala9137
    @seifntandala9137 Місяць тому +13

    Uyo anaehamasisha akifika kituoni tu weka ndani

    • @analisacecy
      @analisacecy Місяць тому +1

      😂😂😂

    • @charlesomollo-ui1np
      @charlesomollo-ui1np Місяць тому

      @@seifntandala9137 unayeandika upuzi hapa ujue kuwa nabii ana wafuasi dunia nzima,na wengine hatusumbuliwi kwa vituo vyenu,katafute pesa,nabii amekuzidi kila kitu

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co Місяць тому +1

    Akatulize vurugu za kongo hawajielewi anawasaidia kiboko ni mungu

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli Місяць тому +2

    Kuhusu laki tano!! Mtu halazimishwi kumuona Baba. Pia sio lazima uwe na laki tano upo utaratibu wa kumuona mtu wa Mungu. Eleweni Usinhiie nyumbani mwa Bwanaikono mitupuuu jamani acheni uchochozi watumishi wadogo wivuuu!! Mwacheni Afanye kazi ya Mungu Tunalaanii kitendo hiki

  • @muhamadmaulid694
    @muhamadmaulid694 Місяць тому

    Daah dunia !! Mungu atuongoze katika imani zetu .hela mafanikio tueke pembeni tuwe waumini wa dini kweli , mungu tusaidie tz.

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co Місяць тому

    Ni kweli alitangaza kumuona lake Tano pia ukiingia ofisin Kuna chuma ulete umetoka kumuno anakwambia ongeza manabii wa mchongp alijiona mungu mtu alitaman

  • @robertmsukwa8466
    @robertmsukwa8466 Місяць тому +5

    Dume kubwa jinga

  • @wilsonchallange4420
    @wilsonchallange4420 Місяць тому +1

    Mambo ya Imani yasibezwe.!
    Mambo ya watanzania wengi YANAKEAMISHWA NA WACHAWI

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 Місяць тому +1

    Tunamtaka kibokoya wachawi nimechoka ss nitakimbilia wapi na yy ndo alikua mutetezi wangu nilipona vidonda vya tumbo kupitia ibada zake mungu itika maombi yetu 😭🤲🙏😭😭😭🙆🙆🙆

  • @FrancoiseNtimpirangeza
    @FrancoiseNtimpirangeza Місяць тому +3

    Poleni Mungu atawasaidia

  • @HawaOman
    @HawaOman 22 дні тому

    Jamani tunaomba sana sisi tukasali wapi

  • @williamssempoli2294
    @williamssempoli2294 Місяць тому +1

    Watu hawa wanahitaji kuchapwa fimbo ili akili zao zikae sawa

  • @EsterMeela-h4w
    @EsterMeela-h4w Місяць тому

    Serikali mnatutesa , mwacheni kiboko atusaidie tunampenda sana nimkombozi wa watanzania hamjui tu

    • @NellyMponi-do1zk
      @NellyMponi-do1zk Місяць тому

      Unampenda wewe peke Ako watanzania atusemewagi wewe acha ushamba

  • @AlexJackson-ig2yd
    @AlexJackson-ig2yd Місяць тому

    Mme gani anaekubali mke wake aandamane katika ujinga kama huo anaeponya ni Mungu siyo kiboko ya wachawi.ushauri wangu kwenu kesheni kwa kuomba msije mkapotea inaonekana ninyi mshapotea
    Maana watu wa Mungu hawaandamani hiv wanaandamana kwakuomba.

  • @ReginapauloSamila
    @ReginapauloSamila Місяць тому

    Mungu awatie nguvu nimesadiwa sana na hhuyo mchungaji hana shida kabisa

    • @godmatruss9831
      @godmatruss9831 11 днів тому

      Umeamini saiz kua wachungaji wengi dar nimatapeli kwa ushauli pambana kivyako muongoze mungu achana na mambo ya wachungaji nawao wanatafuta chakula maana nd habari ya mjini

  • @AlifaHamis
    @AlifaHamis Місяць тому +1

    Dah wapuuzi ni wengi mungu awa sameness sana

  • @seifntandala9137
    @seifntandala9137 Місяць тому +3

    Bola selikali imefanya jambo la maana sana bado kuna manabii wa uwongo wengi wafutiwe vibali na hakuna kufungua kanisa Tanzania

    • @AGM19697
      @AGM19697 Місяць тому

      Wataje tuwajue kama una uhakika huo

    • @stellamsokwa6785
      @stellamsokwa6785 Місяць тому

      Peleka uchawi wako kijijini kwenu,et hakuna kufungua kanisa Tanzania , ovyo tanzania ya kwako 😏

    • @seifntandala9137
      @seifntandala9137 Місяць тому

      @@stellamsokwa6785 unaonekana hata mmeo umemshika masikio wewe wanawake kama wewe niwazinzi alafu wanajificha makanisani

  • @danielsinda
    @danielsinda Місяць тому +3

    Kipofu akimungoza kipofu mwenzie wote watadudumbukia shimon

  • @JUMAABDUMANYWELA
    @JUMAABDUMANYWELA Місяць тому

    Daa mungu akusaidie baba natumia sana

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli Місяць тому

    Wewe Mama ulilazimishwa kwenda kwenye hudumaa!! au unacholalamikia mamilion umetozwa!! acha fiyina zako. ungekaankwako usiwachafue watu wa Mungu!!

  • @jonasmalima9143
    @jonasmalima9143 Місяць тому +7

    Huyu mwehu km nabii wao anaeangalia chupi

  • @HawaOman
    @HawaOman 22 дні тому

    Mam tunakuomba tufungulie ni huduma jamani viongoze wetu wa selekali tunaowamba tupo chini ya minguuu yenu

  • @DRMTAFUNGWA45
    @DRMTAFUNGWA45 Місяць тому

    Aseeee watu wangu wanangamia kwa kukosa maharifa

  • @AfricaQueen
    @AfricaQueen Місяць тому +3

    Natamani nitembeze mikwaju wakina mama wamechoka Na huyu Kaka tapeli mwingine dah! Baada ya kulilia Katiba mpya wanalilia uchawi inasikitisha sana kweli Watanzania tumekufa😭😭😭😭

    • @CastoFighter
      @CastoFighter Місяць тому

      Mshamb ww ach tyulioponywa tyuongee

  • @MeshersHashrun
    @MeshersHashrun Місяць тому

    Mbona tunaombewa kwenye radio tunapona bule na amusemi

  • @JacobMaganga-re9ji
    @JacobMaganga-re9ji Місяць тому +6

    Dah tatizo la afya ya akili liko serious 😢

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 Місяць тому

    Jamaa kapata dili bila shaka kawaliza

  • @user-xr4cd3ki4i
    @user-xr4cd3ki4i Місяць тому

    Arnde
    Ruanda akafanye hayo mautaprli aone kitakachomkuta

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 Місяць тому

    Baba mungu agutie nguvu baba waumin msichoke mpaka kieleweke

  • @eunicekiilu7485
    @eunicekiilu7485 Місяць тому

    Alafu mashonga wengine wanaongea pumba sisi twamtaka kiboko ya wachawi wetu mutetezi wetu 😭😭😭😭 kila sikutangu juzi mimi nalia machozi tunayolia mungu ataitika😭😭😭💃

  • @HawaOman
    @HawaOman 22 дні тому

    Serekali mwaka mtakuja kuomba kura jenasisi tukakata nivinzur tunaomba jaman viongo,ze wetu hote tunawaomba mtufungulie huduma

  • @ReubenMussa-hk5iu
    @ReubenMussa-hk5iu Місяць тому

    Nye wapumbavu pastor wenu ana maadili yakitumishi mpaka anataja chupi kanisani

  • @deogratiusyudatadei5658
    @deogratiusyudatadei5658 Місяць тому

    😂😂😂 kwa huyo mtumishi siaombe mwenyew mpaka serikali fungue mbn Paul na asila waliomba mpaka milango ya gereza ikafunguka😂😂😂😂

  • @user-pr4hb2yc9j
    @user-pr4hb2yc9j Місяць тому +2

    Wengi ni wanawake 😂

    • @priscajames6842
      @priscajames6842 Місяць тому

      Na ndo wanatesekaga wanakesha kanisani alafu wanasahau ndoa zao wanaachika

  • @sissoalfred7259
    @sissoalfred7259 27 днів тому

    Ila mjini panahitaji Akili 😂😂😂

  • @user-sl1ko9me7u
    @user-sl1ko9me7u Місяць тому +2

    KWA NINI VYOMBO VYETU VYA USALAMA VINAWAACHIA HAWA WAPUUZI WANADHARAU SMRI YA MAHAKAMA....WAKAMATWE WOTE WASHITAKIWE!

  • @SandraJackson-b6u
    @SandraJackson-b6u Місяць тому

    aondoke nao ao watu waende nao kongo nendeni nae kongo

  • @lulumpenja459
    @lulumpenja459 Місяць тому

    Kwahiyo kwa mionekajo hiyo mdo mlikuwa mnaingia Ibadani?

  • @AlexJackson-ig2yd
    @AlexJackson-ig2yd Місяць тому

    Acheni ujinga kwani kuandamana ndo suluhisho???? Kwani mungekaa nakuomba Mungu asingewasikiliza kuliko kuandamana ninyi nawaonea mshapotea fungukeni ktk kuomba siyo kuandamana.

  • @rosejoseph2471
    @rosejoseph2471 Місяць тому

    😂😂😂😂 Nashkur mungu nilikataaa tamaaa mapema kwenda mahn kila ukiendaa hue na sh 40 au 30 kwa jili ya maji au mafuta bado ujala na mafut yenywe unapakw tu kwenywe paji la uso himeisha hio mmmh mungu wng 😢

  • @SandraJackson-b6u
    @SandraJackson-b6u Місяць тому

    jamani si muende kongo mkaanzishe kanisa

  • @user-iu4du7ws6s
    @user-iu4du7ws6s Місяць тому

    Ni kuhangaika kwa mpinga Kristo, Mungu yuko upendo wetu

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Місяць тому

    Fungiwe hata mara mia mbonamnajifanya machizi. Lakni kansa Gani Lina machizi hivyoo hakuna hata mmoja mwenye hekima hapo?

  • @meryorotha671
    @meryorotha671 Місяць тому +3

    Yani mmekaa apo kama makondoo mungu awasaidie San kuombewa kwa pesa bila pesa hakuna maombi mungu awasaidie San nyie hamjui mndendalo

  • @Mhode_Official
    @Mhode_Official Місяць тому

    Alowaambieni mshabikie yanga ndio kawahaaribu mnashabikia majini na mnayaogopa majini 😂😂

  • @MsangiBakari-lj5jy
    @MsangiBakari-lj5jy 4 дні тому

    Kama kulogwa nyinyi mumelogwa kweli na kiboko wa wachawi

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co Місяць тому

    Utaratibu gan tamaa mbele na kudhalisha watu na nyie mnakubali za mwiz arubain

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli Місяць тому +1

    Msiwanyanyase watumishi wa Munguu Mnawapenda wachawi sana Tanzaniaa mrudishieni kijana wawatu huduma yake amwinue Krisho

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 Місяць тому

    Hiz ni imani za kichawi

  • @CastoFighter
    @CastoFighter Місяць тому

    Hatukubali m naamin bab atarud na mpk kielewek

  • @georgekyando885
    @georgekyando885 Місяць тому

    Wa Jinga siku zote ndiyo waliwao. Sisi watanzania Mungu atusamehe kwa ujinga huu.

  • @CHARITYKUMBERFIELD-uz9os
    @CHARITYKUMBERFIELD-uz9os Місяць тому

    Mnapingana na Serkali....mnataka kuibia watu

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx Місяць тому

    Munguawenaye

  • @ProsperKilenga
    @ProsperKilenga Місяць тому

    Usilolijua nisawa na usiku wa giza kaeni hapo kama mabegi

  • @rithaurassa
    @rithaurassa Місяць тому

    ETI KANSA LA. MUNGU LINAITWA KIBOKO LA WACHAWI. MNACHEZA NA MUNGU?Lifungiwe kabisaaaaaaaaaa

  • @suleymandachi782
    @suleymandachi782 Місяць тому

    Haya yatakuja kufa kwa wingi yalete majonzi yakitolewa kafara nisisikie serikali inatoa pole kwa wafiwa,bali watiwe viboko vya matako

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co Місяць тому

    Wanataka wafanyiwe kama Kenya pia nenden Kwa mtume mwamposa Hana majigambo

  • @SamYoung-e7c
    @SamYoung-e7c Місяць тому

    Congo hakuna wachawi mpk waje Tanzania hana injiri yyte

  • @chawalive
    @chawalive Місяць тому

    😂😂😂😂 vipi tena ndiyo napelekwa police au eeeeh😅😅😅😅

  • @narohwings
    @narohwings Місяць тому

    Hata office ya mkuu wa mkoa hujui iko wapi broh

  • @fredrickjohnson2692
    @fredrickjohnson2692 Місяць тому

    watuvwenyewe Hawa waongeaji ni walevi na vibaka TU ,yaani hata kusema Wana abudu haipo

  • @calisteremily6740
    @calisteremily6740 Місяць тому

    Jamani kanisani nyie mnamfuata Yesu au kiboko ya wachawi ? Sasa kama nyie amumfuati Yesu mnamfuata kiboko basi nyooote mmepotea Yesu alisema mimi ndimi njia kweli na uzima. Sasa nyie mmemwacha Yesu mnamfuata mwanadamu .rudini mpaka pale mlipoangukia mkatubu na mumrudie Mungu nanyi mtapona,vinginevyo jehanamu ya moto inawasubibiri ushauri wangu kwenu ni huo.

  • @HawaOman
    @HawaOman 22 дні тому

    Ameomba msamaha msameheni ajee atuhudumee sisi tuna magonjwa menge ndungu zetu pia niwagonjwa tunamtaka mtumishe wamungu sitapeli plsee viongoze

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 Місяць тому

    Huyu alikuwa analipwa na kiboko sasa kakosa ulaji lazima ahahe

  • @susanamollelkingu1344
    @susanamollelkingu1344 Місяць тому

    Ni kweli heri afungwe kabisa, siyo tu aende congo huku. Akafunge kanisa huku congo. Alikuwa ni tabeli kweli. Hao waumini wamfute huku congo. Akili ni mali

  • @Mhode_Official
    @Mhode_Official Місяць тому

    Alafu wengi mlioko hapo mashabiki WA yanga.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Місяць тому

    Hili kanisa la machangudoa na wahuni

  • @user-ny7oq2oy8r
    @user-ny7oq2oy8r Місяць тому

    Kweli jini sio kitu cha mchezo😅
    Dah "Kweli watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa kuwa na maarifa"

  • @reastinabenadi-i6k
    @reastinabenadi-i6k Місяць тому

    nikweri ata mom nilienda kuudumiwa AP kabisa lakin nilipo fika niliambiwa nilipie laki Saba elfu ili nionane nae anisaidie nakwelw nikatoa laki...50.0000/..lakini sikuona majibu yoyote labud niliambiwa nisubilie mpka afike alipo fika nikaabiwa siwez kuingia bila kua na. Elfu thelathin elf iyo kabisa inatapeli watu

  • @TzMose
    @TzMose Місяць тому

    Na Mimi Niko tiali na nabii Dominic utaludi Mimi nasema na utatumika ihi ni sauti ya mungu miezi miwili Nimetoa apa tanzania utatumika

  • @ErnestLule-z7t
    @ErnestLule-z7t Місяць тому

    Mtakombwa pesa hadi mpauke, acheni upumbavu

  • @HawaOman
    @HawaOman 22 дні тому

    Waganga mbona wanakula hel zetu alfu hatupone lakina hapa tuna pona bila karama

  • @rosejoseph2471
    @rosejoseph2471 Місяць тому

    😂😂😂daaah kwaio unapenda kutoa sh500000 kila napomuona mtumishi maisha magumu half unakwenda sehem ya hibada unambiwa hutoe sh 500000 mara 100000 mara 200000 sasa kweli huo ndo utumishi jmn

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli Місяць тому

    Huduma yyte lazima iwe na sadaka ndio itaendeshwa hivyo. Jamani kila kitu nichakukodisha, Sadaka nilazima Neno linasema usiende uaiingie nyumbani mwa Bwana mikono mitupuu leo hii mnamchochea Mtu wa Mungu kazi yake kweli Tuna pigana na Mungu lakini!! Wachawi wengiii anapambana nao hamtakii??

  • @HeppyRafaeli
    @HeppyRafaeli Місяць тому

    SalamanAelh Shaloom Tumsigu Yesu Kristo. Wapendwaa wa Mungu?! Mnaosoma sms.hii acheni Wivu na Kazi ua Mungu Tusimchezee Mungu jamani tuaigeuze nchi yetu kama ya vita. Nawaombemi maiwaumize nafsi Watisji wa Mungu waacheni wafanye kazi ya Mungu waomnee watu wanafungua watu tunapokuwa na mayeso tunawaamini . Kwanini Fiyina na wivu. kila mwenye huduma yake asimame na Mungu wake. Kwanini bijembe wivuu!!! Mrudishieni kijana wawatu Huduma uake au mnawapenda wachawi kwenye nchi jiiii!!? haifai kabisa

  • @FettyOriginal
    @FettyOriginal Місяць тому +1

    Wa Congo matapeli cn

  • @user-gr5oj1qk3t
    @user-gr5oj1qk3t Місяць тому

    Kama nikikukuta hapo ndugu yangu nakutoa na mikofi maana amjielewi

  • @sizyathom-qq5cx
    @sizyathom-qq5cx Місяць тому

    Wachawiwapoo sqna kiboko munguakusaidiye

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c Місяць тому

    Mm,mbona Kama sio waklisto ,wanaonyesha watu wadini Fulani ?

  • @Mhode_Official
    @Mhode_Official Місяць тому

    MPAKA MCHANGE JERO JERO HAMJABARIKIWA BADO ?

  • @HawaOman
    @HawaOman 22 дні тому

    Kam mnakataa maombi yetu basi na nyenye msitombe kura zetu

  • @user-el8rp6pd5q
    @user-el8rp6pd5q Місяць тому

    Mungu wa mbinguni angalia machozi ya sisi wanyonge tumemwona Mungu kupitia kiboko . Mungu simama na Mtumishi wako ❤❤

  • @EnikoSanga
    @EnikoSanga Місяць тому

    Mmefungwa kiroho

  • @HappyEquestrianHelmet-iw5co
    @HappyEquestrianHelmet-iw5co Місяць тому

    Wakongo matapeli kama anaweza akafingue kongo

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Місяць тому

    Jaman jini sio mchezo jaman😂😂😂😂😂😂😂 huyo mama duuh

  • @user-jf7vx9nb9m
    @user-jf7vx9nb9m 14 днів тому

    Na ww saiv utakua mchungaji😂

  • @MarryKigina
    @MarryKigina Місяць тому

    Huyo ni chawa wa huyo mchungaji uchwara

  • @immadangote6001
    @immadangote6001 Місяць тому +1

    Tunaishukuru serikali kwa kufunga hili sio kanisa ni bandaaa

    • @AGM19697
      @AGM19697 Місяць тому

      Kwani wewe linakuhusu nn wakati wahisika wanalitaka?

  • @eliamtinda7222
    @eliamtinda7222 Місяць тому

    Wanamtaka kiboko Yao🤣🤣🤣.
    Kwani wao ni wachawi au🤣🤣🤣....
    Yale Yale ya Mackenzie wa Kenya.

  • @matildamkubulo1140
    @matildamkubulo1140 Місяць тому

    Nyie hajatoa hela ikaenda bila kuhudumiwa ndiyo maana mnashangilia. Tena unajaza fomu ya kutoa pesa na hiyo fomu ina muhuri wa advocate

  • @TzMose
    @TzMose Місяць тому

    Na chalamira asipoiludisha kanisa ya nabii Dominic kazi ana mwaka wake ni huu wa mwisho atakuha mkuu wa mkoa wa daresalamu uyo mkuu wa mkoa charamila hii ni sauti ya mungu kwa nabii azina ya baadae ya mungu uyo mkuu wa mkoa amhonye nabii dominic na kazi ya yesu hiendelehe ni sauti ya mtu aliye jangwani azina ya yesu ya baadae

    • @TzMose
      @TzMose Місяць тому

      Asipo mludisha mkuu wa mkoa uyu nabii Dominic mungu anasema mkuu wa mkoa atafukuza na huu mwaka ni wamwisho mkuu wa mkoa charamila yesu atamtoha kwenye kiti chake

    • @bahatimaselo8528
      @bahatimaselo8528 Місяць тому

      Soma BIBILIA vizuri , maana usiwe wa kusomewa , ukawa mzee wa vilaka , TUTAKUITA VILAKA MAKER INTERNATIONAL.

    • @bahatimaselo8528
      @bahatimaselo8528 Місяць тому

      USIFATE MKUMBO NA KUWA NA MASIKIO YA UTAFITI BIBLIA INASEMA.

  • @user-ju4mi1qx5b
    @user-ju4mi1qx5b Місяць тому

    Hivi nani amewaroga jamani mmenunuliwa bule kwa damu yesu vipi mmekuwa hivyo achani mje kwa yesu

  • @spitfiremusicproducer9623
    @spitfiremusicproducer9623 Місяць тому

    Toa wasenge hao

  • @NgoshaNgosha-xf6zf
    @NgoshaNgosha-xf6zf Місяць тому

    bona Niko a mama mpenda mtuwe

  • @napendahuruma3320
    @napendahuruma3320 Місяць тому

    hawa ni wehu kama wehu wengine

  • @CosterMwamasage-ie9lb
    @CosterMwamasage-ie9lb Місяць тому

    Yan apo walio jazana ni wakina mama watupuuu dah mung saidia ndy mana wana kufa awa laia

  • @LilyGily
    @LilyGily Місяць тому

    Dahh hata ofc ya mkuu wa mkoa hmpajui 😅😅😅😅