Nikilia Yahweh (LIVE) A worship song by Tafes Ardhi P/W Team

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 тра 2020
  • #NikiliaYahwhe #wanisaidia ni wimbo wa kumwabudu Mungu ulioimbwa Live na kikundi cha kusifu na kuabudu kutoka TAFES Chuo kikuu Ardhi, #tafesaru Mungu akubariki wakati ukiangalia na kusambaza ujumbe wake kupitia uimbaji.
    #Ibada #Worship #LPUO6
    Genre: Gospel
    Song: Nikilia Yahweh by Tafes Ardhi
    Video: Kababah creative Studios (+255752213012)
    Audio: Ezek Music (+255765249322)

КОМЕНТАРІ • 292

  • @abigaelybasil8319
    @abigaelybasil8319 3 роки тому +3

    Mungu awabariki Sana na kuwapandisha juu zaidi

  • @user-rs9pd5vd4o
    @user-rs9pd5vd4o День тому

    N miaka sasa imepita ila huu wimbo haujawahi kutoka ndan yangu. Nawapenda sana

  • @payietaz
    @payietaz 4 роки тому +3

    Nikilia Yahweh wanisaidia Bwana
    Nikilia Yahweh wanisaidia
    Msaada wangu huwezi kushindwa
    Msaada wangu huwezi kushindwa

  • @emmanuelenock6310
    @emmanuelenock6310 4 роки тому +9

    aiseee,dada ulielead huu wimbo MUNGU akutunze na akuinue mno,ulivyoanza wimbo its absolute awesome,flow its awesome and most of all,the annointing its out of this world,am moved kwakweli by this

  • @reubenmayaya8662
    @reubenmayaya8662 3 роки тому +2

    Powerful

  • @oderingsomela5967
    @oderingsomela5967 Рік тому +2

    Anointed song anointed ministers anointed listeners, I glorify Holy Spirit

  • @michaeldendelege9924
    @michaeldendelege9924 2 роки тому +2

    Mungu awaguse na kuwazidisha..awafanye wa baraka kwa wote,awaondolee udhia Ili mpate kuendelea kutumika...mbarikiwe kwa kazi yenu

  • @user-qi4yn1wb6d
    @user-qi4yn1wb6d 5 днів тому

    Wimbo wa kubariki mouo sana,muzidi kuzidishiwa na uwepo wa Mungu.

  • @nditchienditchie5533
    @nditchienditchie5533 3 роки тому +5

    Amesema Niite nami Nitaitika . YEYE HABADILIKI , AKISEMA AMESEMA . NI mshika maagano. Siri zote za Maisha Yetu zinapatikana kwenye Neno lake

  • @evansbaraka3255
    @evansbaraka3255 3 роки тому +2

    Nikilia Yahweh. . wimbo mzito sana

  • @lilianberthesa8070
    @lilianberthesa8070 4 роки тому +3

    Hakika msaada wangu yesu huwezi kuushindwa

  • @helinadisesi9690
    @helinadisesi9690 4 роки тому +2

    Hakika wew nimungu nikilia huwezi kuniacha kamwee thank you juss

  • @lydiagerald8584
    @lydiagerald8584 4 роки тому +26

    Wimbo unatia nguvu mioyo iliyochoka, unatia tumaini jipya la kusonga mbele😪@Tafesaru Mungu aendelee kuwatumia msichoke kumtumikia

  • @kevinmuchai1830
    @kevinmuchai1830 4 роки тому +34

    Jina lako linapita majina yote
    Tukikuita Baba wewe waitika
    Sikio lako sio nzito usisikie Baba
    Tukiatapo waitika waitika
    Ni wewe pekee yako
    Nguvu zako zimezidi nguvu za wafalme wa dunia
    Oh bless the name oh oooh eeeh ooh
    Nikilia Yahweh wanisaidia Bwana
    Nikilia Yahweh wanisaidia
    Msaada wangu huwezi kushindwa
    Msaada wangu huwezi kushindwa
    [2x]
    Song by Tafes Aru

  • @anastazianturu982
    @anastazianturu982 3 роки тому +2

    Amen bwana huwa anatenda kila Mara jina lake likiitwa kwa kuwa yeye ni Muweza wala sikio lake sio ziti lisiweze kisikia🙏🙏🙏

  • @emmanuelmsina2280
    @emmanuelmsina2280 4 роки тому +18

    Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo ambapo waabuduo halisi watamuabudu BWANA katika roho na kweli. Kwa maana BABA awatafuta watu kama hawa wamuabudu. MUNGU ni roho, nao wamuabuduo imewapasa kumuabudu katika roho na kweli.. Yohana 4:23-24
    Powerful. Probably the best worship song of the year. Mbarikiwe sana

  • @endlessloveofchristlovewor9991
    @endlessloveofchristlovewor9991 2 роки тому +1

    Yesu Kristo ni msaada wa karibu zaburi 46:1

  • @getrudamwampashe5667
    @getrudamwampashe5667 2 роки тому +1

    Hakika nimebarikiwa Sana na huu wimbo Mungu azidi kukutia nguvu na kukutumia coz uponyaji unatokea kupitia nyimbo kama hizi I it God bless you your 🙏🙏🙏

  • @wendetwinomujuni9070
    @wendetwinomujuni9070 4 роки тому +3

    Tukumbushane hiki kitufe cha kidole kuangalia chini ni "dislike" ukibonyeza means hujapenda video..tunakumbushana tu wapendwa wangu... thanks tafes ardhi unuversity this worship is super annointing...barikiwa sana popote mlipo..MUNGU awakumbuke kwenye Masomo yenu

  • @priscamwanga9951
    @priscamwanga9951 3 роки тому +2

    Msaada wangu huwezi kushindwa. I love the song

  • @immanuelsylverymsoma463
    @immanuelsylverymsoma463 3 роки тому +3

    Msaaada wangu huwezi kushindwa!! Nakili ivyo.....🙏 Lord Jesus

  • @faithm7123
    @faithm7123 4 роки тому +21

    Nikilia Yahweh (when I cry Yahweh)
    Wanisaidia ( you help me)
    Msaada wangu (my help)
    Huwezi kushindwa ( you can’t fail )

    • @nuwasiimashilaton7138
      @nuwasiimashilaton7138 8 місяців тому

      God bless you I love this song so much I keep watching it though I have not been knowing the meaning but blessed now I have got the meaning 🙏🙏🙏🙏 am blessed

  • @samsonrais8599
    @samsonrais8599 4 роки тому +3

    Inapendeza kuwepo uweponi pa Mungu# baraka tele tele ndugu zangu.

  • @estherkahanya5491
    @estherkahanya5491 3 роки тому +3

    Nikilia Yaweh,
    Wanisaidia
    Nikilia yaweh,wanisaidia msaada wangu,huwezi kushindwa,
    msaada wangu huwezi kushindwa.
    Great Worship

  • @josephlyela875
    @josephlyela875 3 роки тому +1

    Mbarikiwe Saaaana wadogo zangu! Kati ya Vitu napenda Ni Worship jmn

  • @offcialbonnie4179
    @offcialbonnie4179 3 роки тому +1

    Kwako Mungu ndipoo salama yetu, Mungu ninalia sana niponyee Kwa kua hakuna msaada, ninakuangalia wewe maana Mungu ni mponyaji

  • @hekimaupendo2845
    @hekimaupendo2845 3 роки тому +1

    MUNGU awabariki kwa huduma nzr na ya baraka napockiza huu wimbo nabarikiwa mno MUNGU awainue

  • @lovenessmboya650
    @lovenessmboya650 3 роки тому +4

    Halleluyah...msaada wangu Yesu huwezi kushindwa;Amen

  • @stylovylo
    @stylovylo 3 роки тому +1

    Msaada wangu wa karibu haushindwi na chochote YESU

  • @jacklinegodifrey8607
    @jacklinegodifrey8607 Рік тому +1

    Sauti ya dada hakika imebarikiwa

  • @rizmarkabraham8705
    @rizmarkabraham8705 3 роки тому +1

    Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo awe pamoja nanyi. Nabarikiwa na kazi yenu katika ufalme wa Mungu

  • @mariannendunge8049
    @mariannendunge8049 4 роки тому +15

    I love to worship God but this worship has taken me to the holy of hollies deeper with God.....
    Barikiweni sana vijana wenzangu
    #hawezi shindwa

  • @joykarira9406
    @joykarira9406 Рік тому +2

    One of my favorite worship song

  • @stellashedrack4879
    @stellashedrack4879 3 роки тому +1

    😭uwezi shindwa msaada wangu maana aujawai shindwa baba

  • @praiseshadrack1266
    @praiseshadrack1266 4 роки тому +5

    This is very very powerful.. and very touching

  • @rosemachui8949
    @rosemachui8949 2 роки тому

    Bwana anamashine zake za kujivunia wakiwa hawa vijana wa yesu.....

  • @rachellukiko1560
    @rachellukiko1560 Рік тому +2

    Wimbo mzuri

  • @safinakiungo1376
    @safinakiungo1376 3 роки тому +6

    please put this song on apple music its really powerful 🙇‍♀️

  • @getrudeesarode397
    @getrudeesarode397 4 роки тому +6

    Powerful worship tafes team may u guys be blessed a lot our Holy Lord never fail.

  • @emmanuelenock6310
    @emmanuelenock6310 3 роки тому

    worship leader anajua anachokiimba,nakosa hata maneno ya kumuelezeaa,she is too good

  • @blandinasamwely6288
    @blandinasamwely6288 3 роки тому +2

    Nitengeze Jehova ninatamani kufanana na Wewe Ahsanteni Kwa wimbo mzuri

    • @tafesaru
      @tafesaru  2 роки тому

      Asante pia kwa kuwa pamoja nasi

  • @user-vu6vd7re9r
    @user-vu6vd7re9r 2 місяці тому

    Msaada wangu wa kàribu huwez kushindwa😭🙌

  • @mariethamtawa314
    @mariethamtawa314 4 роки тому +34

    Powerful song, worship leader anajua anachokifanya 💜

    • @annabel5311
      @annabel5311 3 роки тому

      Sanaaaaa and the musician wanajielewaa

  • @chrisberynyankaira4524
    @chrisberynyankaira4524 4 роки тому +10

    "Msaada wangu ni wewe kamwe hujawah kushindwa "🙏

  • @nikundiwemcharo8129
    @nikundiwemcharo8129 4 роки тому +34

    This song, it takes you to the Holy of Holies. The dimension of worship is of the uttermost deepest parts of Man's spirit. 🙌🙌🙌

  • @PatienceWarengaOkoth.
    @PatienceWarengaOkoth. 2 роки тому +5

    I've listened to this song since it was released...and every single time I listen to it or sing it ...it blesses my heart ... I'm inspired by this team...the lead worship minister may God increase you and take you to greater levels❤️🇰🇪..indeed there are remnants in our generation there is hope for the future ...baraka ❤️

    • @precioussilungwe7365
      @precioussilungwe7365 Рік тому

      It's been translated in swahili version the owner is a Zambian gospel singer Evelyn Chisaga (Nganalila Yawe)
      It's a Powerful song indeed.

  • @marthachuya
    @marthachuya 4 роки тому +1

    Mungu awabariki Tafes Ardhi, Faith ubarikiwe dear

  • @gloriajames9460
    @gloriajames9460 2 роки тому +1

    SIUCHOKI 😣GIVES ME A HEART PEACE WHILE TEARS RUNNING OUT OF MY EYES HIS MY HELPER
    GOD BLESS YOU MLIOSHIRIKI KWENYE HUU WIMBO

  • @Jonathan_Leodgards
    @Jonathan_Leodgards 4 роки тому +1

    Utukufu kwa MUNGU BABA Pekee!! Hongereni sana kwa Uimbaji mzuri na Kumuinua. Mmebarikiwa Sana

  • @hekimaupendo2845
    @hekimaupendo2845 3 роки тому +1

    Kupitia wimbo huu nauona ushindi mkubwa ktk pito nililonalo MUNGU haujawahi kushindwa ndani ya uumbaji wote hata hili litapita

    • @tafesaru
      @tafesaru  2 роки тому

      Hakika Mungu ndo kila kitu kwetu Tukimuita Yeye anaitika.

  • @donathakihiyo7100
    @donathakihiyo7100 Рік тому

    Msaada wangu huwez kushindwa...❤

  • @kelvinlwiva5380
    @kelvinlwiva5380 3 роки тому +1

    KWANINI UNARUDI NYUMA ILI UFE?
    Bwana Yesu apewe sifa mtu upendwaye na Mungu! Mungu ametupa neema ya uzima, nami ndani yangu nawiwa kukuletea neno la Mungu la lenye kuponya. Hasa wewe ambaye umekwisha kuijua neema na kipawa cha Mungu, lakini bado unavutwa na kuvutika kurudi nyuma ukidhani huko kuna usalama kuliko kwa Mungu, eti kwasababu kwa shetani utapata hirizi ya kuvaa, eti kwasababu utachanjwa chale na kuwekewa dawa, eti kwasababu utanyweshwa dawa za kujikinga, eti mganga atazindika nyumba yako, naomba nikwambie kitu mpendwa, shetani amekuwa akikuwinda sana wakati Mungu amekufunika na ulinzi wake, mara tu utakapotoka mikononi mwa Mungu,shetani atakugawanya vipande vipande, na Mungu anachukia kurudi nyuma, hebu msikie mwenyewe! “Ikiwa mtabaki katika nchi hii, ndipo nitawajenga, wala sitawabomoa, nami nitawapanda, wala sitawang'oa; kwa maana nayajutia mabaya niliyowatenda” Yeremia 42:10. Endelea kumsikiliza, “Haya ndiyo yatakayowapata watu wote waelekezao nyuso zao kwenda Misri, na kukaa huko; watakufa kwa upanga, na kwa njaa, na kwa tauni; hakuna mtu awaye yote miongoni mwao atakayesalia, au kuokoka katika mabaya nitakayoyaleta juu yao” Yeremia 42:17. Mpendwa kaa kwa Yesu kuna usalama wa kutosha, huko misri/duniani/kwa shetani UTAKUFA!!! Katika Mithali 1:32 imendikwa “Maana kurudi nyuma kwao wajinga kutawaua, Na kufanikiwa kwao wapumbavu kutawaangamiza.” Kurudi nyuma au kumwacha Yesu ni ndani ya maamuzi yako, lakini kutakuua, be sure! Yesu akagongelea msumari huu hapa katika Mathayo 12:45, msikie “Mara(pepo) huenda, akachukua pamoja naye pepo wengine saba walio waovu kuliko yeye mwenyewe, nao huingia na kukaa humo; na mtu(aliyerudi nyuma/mwacha Yesu) yule hali yake ya mwisho huwa mbaya kuliko ya kwanza. Ndivyo itakavyokuwa kwa kizazi hiki kilicho kibaya.” Uko tayari kupata shida yote hiyo? Sema hapana, maana Mungu baba yetu anatupenda na wala hataki tupotee, kaa ndani ya Yesu uwe salama na ufanikiwe! YESU NI MWOKOZI WA ULIMWENGU NJOO KWAKE LEO! Uwe na siku njema katika jina la Yesu Kristo.
    Kwa msaada zaidi piga: 0756-292-211 au 0711271110 Mwalimu kelvin Nathaniel Lwiva

  • @giftedreuben1669
    @giftedreuben1669 4 роки тому +3

    You are a blessing TAFES ARU....
    Surely.....Hujawahi shindwa Yesu na hautoshindwa...🙌🙌🙏🙏🙏

  • @rosemmassy1739
    @rosemmassy1739 4 роки тому +1

    Naskia nguvu ya ajabu,,hakika mungu ni mwema

  • @daccordaurevoir5526
    @daccordaurevoir5526 Рік тому +1

    Utukufu Utukufu Utukufu Utukufu...

  • @simplycaren375
    @simplycaren375 4 роки тому +13

    Just listening after prayers, feeling the presence of the holy spirit.

  • @aikaelyjacksoni453
    @aikaelyjacksoni453 4 роки тому +2

    Blessed song aseee hajawahi kutucha

  • @splendourntinyari7903
    @splendourntinyari7903 Рік тому +1

    I bless the lord 🙏 this song is heart touching may God continue raising you higher

  • @preciousjonas2225
    @preciousjonas2225 4 роки тому +1

    Yeeeeeeeees,msaada wangu YESU huwezi kuushindwa.

  • @stephensonwemeshinaka
    @stephensonwemeshinaka 4 роки тому +1

    Nimebarikiwa Sana na wimbo huu.... Mungu awabariki

  • @georgegokoofficial.8547
    @georgegokoofficial.8547 4 роки тому +3

    Nikikulilia Yahweh, Waitika Yesu.. Hakuna usiloliweza.
    Thanks, so much, a powerful song and a Blessing.
    #leader doing it with revelation of what She's doing.
    Glory to GOD.

  • @phoebyweru8893
    @phoebyweru8893 3 роки тому +4

    🙌 I just can't hold myself when this sacrifice of worship comes along

  • @edwinmuchiri3893
    @edwinmuchiri3893 4 роки тому +6

    I feel blessed and elevated by the song,listening from Kenya.

  • @gloryanold157
    @gloryanold157 3 роки тому +1

    Yahweh... Msaada wangu huwezi kushindwa😭😭😭

  • @davidjulius3594
    @davidjulius3594 4 роки тому +1

    Very powerful nyie vijana

  • @gabrielokey9768
    @gabrielokey9768 4 роки тому +6

    Nimeusikiliza Huu Wimbo On Repeat Nikayatafakari Sana Maisha Yangu Bila Ya Mungu Yangekuwaje Nilijikuta Nikilia Sana Na Kumshukuru Sana Mungu, I Hope Huu Wimbo Utaenda Kufanya Ibada Kwenye Moyo Wa Kila Atakayeusikiliza Na Zaidi 🙏🏾 GOD Is Good

  • @alphamakole2216
    @alphamakole2216 4 роки тому

    nafurahishwa sana na nyimbo yako mungu azidi kukuinua

  • @glorykapenja9473
    @glorykapenja9473 4 роки тому +2

    Jesus is the same yesterday today and forever 🙏🙏🙏🙏

  • @elizabethluhutsa3054
    @elizabethluhutsa3054 4 роки тому +2

    Wow wow woooow.....I like your voice sister....God bless you...Mungu msaada wangu...ameeen

  • @hillarytheworshipper
    @hillarytheworshipper 4 роки тому +6

    😭😭😭😭😭
    Msaada wangu ni Yesu🙌🙌🙌

    • @tafesaru
      @tafesaru  4 роки тому

      HILLARY THE WORSHIPPER Amen....YEYE Bwana hajawahi shindwa

  • @brayanbobyrobson3683
    @brayanbobyrobson3683 4 роки тому +2

    Am speechless Mungu azidi kuwainua this song is truly anointed

  • @patrickfrancis2686
    @patrickfrancis2686 2 роки тому

    Nabarikiwa na hii☝️☝️☝️☝️💥💥💥

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 2 місяці тому

    Huwezi kushindwa baba

  • @rachelmwasomola1065
    @rachelmwasomola1065 2 роки тому +2

    I feel blessed when I listen to this song

  • @petersonmurithi9785
    @petersonmurithi9785 2 роки тому +1

    This lady rhymes someone in the spirit of praise,S.Africa...so powered

  • @lucymukui3019
    @lucymukui3019 4 роки тому +6

    Wow this song takes me to another level, when praying, it is a song for overcomers.. Nikilia Yahweh anacome thro na overcome. Congrats tafes

  • @naomijohn1273
    @naomijohn1273 4 роки тому +1

    Wow nmebarikiwa sana! mnaweza

  • @karenmujungu2703
    @karenmujungu2703 4 роки тому +1

    Msaada wangu hajawahi kushindwa kamwe, Asante YESU wangu

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 4 роки тому +1

    Powerfull brethren may God's will be done in your lives🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @ednawilliam7759
    @ednawilliam7759 3 роки тому +4

    Much appreciation... From TAFES TIA!

  • @Sarose_investment
    @Sarose_investment Рік тому +1

    Lets give Him all the glory

  • @LaurenPaullp
    @LaurenPaullp 3 роки тому +4

    Deep deeper worship, the song has really given me Hope ,was Almost giving up in ministry,But what a inspirational song, Nililia Yahweh Naona mkono Wako,Msaada wangu Hauwesi kushidwa

    • @tafesaru
      @tafesaru  2 роки тому

      Hakika Mungu hawezi kushindwa, endelea kubarikiwa

  • @AdventinaAnthony
    @AdventinaAnthony 4 роки тому +4

    Thank you TAFES ardhi.
    Such a powerful worship 🙌
    May God honour you guys.

  • @zeniarose8110
    @zeniarose8110 4 роки тому +3

    The tune sounds exactly like Zimbabwean artist song When I pray Oh Lord U hear me by Olinda Marowa. Great song hey

  • @rosareekelvin6709
    @rosareekelvin6709 Рік тому

    Nikilia yaweeeh wanisaidiaa yesuuuuu😭😭😭

  • @razalowatson7571
    @razalowatson7571 3 роки тому +1

    God bless as

  • @rechodaudi7235
    @rechodaudi7235 4 роки тому +1

    Hongeren mko vzr,huu unanibariki sana

  • @deboramalakasuka5396
    @deboramalakasuka5396 3 роки тому +1

    Hakika tukikuita Baba wewe waitika
    Sikio lako siyo zito 😭😭😭 ni MUNGU tu I love this song

    • @tafesaru
      @tafesaru  2 роки тому

      Be blessed more Debora

  • @charitimahenge6058
    @charitimahenge6058 4 роки тому

    Nimewapenda mzidishiwe na Bwana yesu kristu.

  • @dorothygeorvid6557
    @dorothygeorvid6557 4 роки тому +2

    Much congratulations from IFM Tafes family

  • @felixwandera6987
    @felixwandera6987 4 роки тому +3

    such an uplifting song ...my spirit feels enriched and calmed ...keep it up let's worship and glorify the Almighty God

  • @happyallan508
    @happyallan508 4 роки тому +1

    Oh God I just ended speaking in tongues sijui niandikije Glorious

  • @mariancapson7243
    @mariancapson7243 4 роки тому +3

    Very connected song directly to our Almighty Father

  • @nsesheyelamson9061
    @nsesheyelamson9061 4 роки тому +1

    Vile niliusubiri na kuutafuta huu wimb0 mweeeh🙌🏾mbarikiweeeeeeee

    • @tafesaru
      @tafesaru  4 роки тому

      Nsesheye Lamson Amen, Asante sana kwa kuwa pamoja nasi Tunakupenda, Karibu TAFESARDHI

  • @mbuthiabebs1181
    @mbuthiabebs1181 4 роки тому +1

    Hongera hawezi shidwa

  • @winniewairimu180
    @winniewairimu180 3 роки тому +2

    I am so blessed.....this song takes you so deep in worship

  • @danstanmathayo1332
    @danstanmathayo1332 4 роки тому +1

    Mungu azidi kuwatumia katika huduma.

  • @erastopeter8650
    @erastopeter8650 4 роки тому

    barikiweni sana kwa kumtukuza Mungu kwa nyimbo nzuri

  • @neykim8727
    @neykim8727 3 роки тому

    Nikilia yahwe we wanisaidia hakika wewe ni bwana.

  • @blessedone4624
    @blessedone4624 3 роки тому +1

    Thank you Lord for you are my help