Ambwene Obadia Mwasongwe, nimekuita majina yako yote matatu - Mungu akubariki sana kwa kutubariki na tungo zinazotusogeza Karibu na naye kiasi hiki. Stay blessed 🙏🏽
Bwana Yesu azidi kukupaka mafuta mabichi brother. You are blessed. Tulipaswa kuja Mara kwa Mara kuuchungulia huu wimbo Kama upo. Finally here we are. 🙏🙏🙏🙏
Huu wimbo ni maombi, Huu wimbo ni unyenyekevu mbele za MUNGU, huu wimbo ni ibada kamili 🥺💖 ...... nisaidie kula chakula nje ya njaa yangu, nisaidie nisiseme gizani yale ambayo nimeshindwa kusema hadharani ❤️❤️❤️❤️😭😭
Unifundishe kuomba, nifundishe kupenda, nifundishe kiasi! Imani ya matendo na moyo wa toba ❤ huu mwimbo ni Ibada. Mbarikiwe sana Jack Walter na mume wako mpendwa, Bwana azidi kuwatumia. Amina.
Mtumish wa Mungu nakuheshimu sana, hakika umesimama Kwenye kusud ambalo Mungu amekuitia. Dah am learning a lot from you. Utukufu Kwa Mungu aliyekuamin akakuchagua. Nakuombea utukufu wa mwisho uwe mkuu kuliko wa Kwanza. Na hatima yako ikawe njema na ya baraka Kwa Mungu na Kwa wanadamu.
Ambwene Nyimbo zako zimekuwa za baraka sana kwangu yaani my main playlist ni nyimbo zako. 1. Majaribu 2. Upendo wa Kweli 3. Ombi langu and Now 4. Nifundishe Kuomba ~ i have been listening to this those song i cant just get enough of it , umenibariki sana my brother. God bless you brother.
Be blessed my brother.🙏....Nazitaka nguvu ulizonazo wewe Yesu. Ninataka kushinda.💪 Uwezaye kunituliza wakati wa huzuni, neno lako linisaidie niweze kubagua chakula cha kuupa moyo wangu. Nisaidie pale nisipoweza kwenda mchana, nisiende pia usiku. Nikanyage pale waoga hawawezi. Nioneshe jeuri kwa shetani. Ninataka kushinda.
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nyimbo yako inagusa sana moyo wangu nimehangaika kwa mda mwingi hata jamii kuna kipindi nilihisi inanicheka namshuku mungu alinipa moyo wa ujasiri na kushinda walionidharau leo hii wanaheshimu heshima na utukufu kwako mungu😭😭😭😭😭🙏ni neema sikustahili kabisa
Mungu akubariki kaka Mungu nifundishe kuomba pia nifundishe kunena nifundishe kiasi nifundishe imani zaidi Mungu nipe moyo wa toba siku zote maishani mwangu
Be bessed man of God,namshukuru Mungu kwa ajili yako.toka albamu ya kwanza hadi sasa kila nyimbo unayotoa inanikuta kwenye mapito na kupitia nyimbo hiyo navuka jaribu salama.aisee maneno yangu hayatoshi ila Mungu anajua kwa nini kakupa karama ya kuganga myoyo ya watu kupitia nyimbo zako.utukufu hata utukufu.amina.
This song is so powerful.....huu wimbo ni maombi kamili mbele za Mungu muumba wa mbingu na nchi.....nifundishe kuomba Yesu nitembee kwa Imani siku zangu zote hapa Duniani.Amen
This song is a blessing....ni maombi yetu wengi sana tunataman Roho wa Mungu atufundishe mengi sanaa ..... ubarikiwe sana kwa kuimba our prayer points...Mungu aendelee kukutumia na kukupeleka viwango vya juu zaidi
Maneno yangu matendo yangu tabia yangu zifanane na hisia zako...nifundishe kuomba nifundishe kunena nifundishe imani ya matendo..nipe moyo wa tobaa..👏👏kaka Abwene Yesu akutunze sana Ubarikiwe na kuinuliwa zaid
Uwezae kunituliza wakati wa shida na matatizo 😭I'm blessed Kaka Ambwene Mungu akubariki sana. Sipati maneno mazur ya kuahkur Ila huduma yako Mungu aizidishe Mara elfu kupitia huduma yako Imani yangu inakua kila siku. Ubarikiwe mtumishi
Kaka Ambwene mi nasema Asante....Mungu umtumikiaye azidi kukupandisha kutoka utukufu Hadi utukufu. Mashairi ya wimbo huu yanatupa tafakari ya pekee...Mungu akubariki Kaka.
Mungu naomba unipe moyo wa toba.Mimi si mkamilifu baba.Muda wote natamani moyo wangu uimbe wimbo huu.Mungu akubariki na kwa viwango vya juu zaidi akuinue mpakwa mafuta wa Bwana kaka Abwene.
Wimbo una ujumbe mzuri sana sijawahi kuona ninakuombea kwa Mungu wa mbinguni azidi kukutumia wewe pamoja na familia yako kwa viwango vya juu zaidi ili sisi sote tumfahamu Mungu zaidi. Mungu wa mbinguni akubariki wewe pamoja na uzao wako wote.
MUNGU WANGU MANENO MAZITO..................................................................... NENO LAKO LIKANIZUIA KUFANYA , NEEMA YAKO IKANIFANYA KUPAKUA CHAKULA TOFAUTI NA NJAA YANGU, KULE NISIKOWEZA KWENDA MCHANA NISAIDIE NISIENDE USIKU. YALE NISIYOWEZA SEMA HADHARANI, NISISEME GIZINI. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 PLEASE GOD HAVE MERCY ON ME. BWANA NAOMBA NIFUNDISHE.
To anyone reading this, May the Lord be your solid rock. May He be your refreshing fountain. May the Lord be with you always. May you rise and shine in Jesus Mighty Name. Amen.
Ombi langu Nifundishe kuomba.....ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kila nikiusikiliza huu wimbo nasikia kububujika moyoni , Mungu azidi kukutumia Mtumishi 🙏
Sisi huku Lusaka,zambia🇿🇲 we are saying may the God who started the good work in you, push you through till the end!,You are such a blessing to us and to this generation Mr Ambwene...#AsanteUbarikiwe🙌🙌😍❤
Kaka ambwene, Mungu azidi kukutumia. Ume baki mmoja kati ya wachache sana kama wewe usije ukatoka kwenye hao wachache. Mi binafsi naifurahia sana kazi yako, na nabarikiwa sana kupiti kazi Mungu aliyo weka ndani yako. Fanya kazi kaka ujira upo unatusubiri, simama na Bwana mpaka mwisho kama ulivyo weza kulishinda wimbi la umaarufu endelea kushinda kaka. Nakupenda.
Kweli Roho Mtakatifu atusaidie kutufundisha kuomba ipasavyo, maana ukikosea kuomba, huwezi pata majibu ya maombi yako kama atakavyo Mungu. Ubarikiwe kaka Ambwene kwa wimbo mzuri
Ambwene Obadia Mwasongwe, nimekuita majina yako yote matatu - Mungu akubariki sana kwa kutubariki na tungo zinazotusogeza Karibu na naye kiasi hiki. Stay blessed 🙏🏽
Yale nisiyoweza kuseme adhani nisiseme gizani. Mungu akubariki kaka abwene
Bwana Yesu azidi kukupaka mafuta mabichi brother.
You are blessed.
Tulipaswa kuja Mara kwa Mara kuuchungulia huu wimbo Kama upo.
Finally here we are.
🙏🙏🙏🙏
Kila nikisikiliza natamani kuliaaaa 😭😭😭😭😭😭 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Huu wimbo ni maombi,
Huu wimbo ni unyenyekevu mbele za MUNGU, huu wimbo ni ibada kamili 🥺💖
...... nisaidie kula chakula nje ya njaa yangu, nisaidie nisiseme gizani yale ambayo nimeshindwa kusema hadharani ❤️❤️❤️❤️😭😭
uzuri wa kuimba ukiwa mtu wa neno..msomsji
Amen Amen...
Nifundishe kuomba,
nifundishe kunena,
nifundishe kiasi,
nifundishe imani ya matendo,
nipe moyo wa toba🙏🙏.
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu...
Kaka unajua kabisa tunazielewa kazi zako! Ubarikiwe sana. Like zetu za kutosha kwa Ambwene pls
Kule nskoweza kwenda mchana nizuie nisiende usku🙏🙏.Mungu akulinde bro nmekuelewa.
Unifundishe kuomba, nifundishe kupenda, nifundishe kiasi! Imani ya matendo na moyo wa toba ❤ huu mwimbo ni Ibada. Mbarikiwe sana Jack Walter na mume wako mpendwa, Bwana azidi kuwatumia. Amina.
Mwimbaji usiyefuata mitindo ya dunia, hakika Mungu yuko naa wewe katika huduma yako
Ahsante kwa ujumbe mzuri mno, Nifundishe Imani ya matendo Yesu
Huu sio wimbo ni maombi kamili. I think kwa muda haya yatakua maombi yangu! Yanajitosheleza kabisa!! There’s a work I long for God to do in me
Hakika
Dah! Huu wimbo umenigusa sana aise, MUNGU azidi kukuongoza mtumishi Ambwene 🙏
Hili ni Ombi jema lililoletwa kwa njia ya wimbo. Ubarikiwe ambwene
Mtumish wa Mungu nakuheshimu sana, hakika umesimama Kwenye kusud ambalo Mungu amekuitia. Dah am learning a lot from you. Utukufu Kwa Mungu aliyekuamin akakuchagua. Nakuombea utukufu wa mwisho uwe mkuu kuliko wa Kwanza. Na hatima yako ikawe njema na ya baraka Kwa Mungu na Kwa wanadamu.
Barikiwaaaaa sanaaaa Kaka ambwene
amina mtumishi
Ambwene Nyimbo zako zimekuwa za baraka sana kwangu yaani my main playlist ni nyimbo zako.
1. Majaribu
2. Upendo wa Kweli
3. Ombi langu
and Now
4. Nifundishe Kuomba ~ i have been listening to this those song i cant just get enough of it , umenibariki sana my brother. God bless you brother.
🙏🏽🙏🏽 NIFUNDISHE KUOMBA BABA🙏🏽🔥
BLESSED VOICE THAT HEALS THE BROCKEN SOULS🔥🔥🔥 MUNGU AIBALIKI KAZI YAKO NA KUKUTIA NGUVU...
Be blessed my brother.🙏....Nazitaka nguvu ulizonazo wewe Yesu. Ninataka kushinda.💪
Uwezaye kunituliza wakati wa huzuni, neno lako linisaidie niweze kubagua chakula cha kuupa moyo wangu. Nisaidie pale nisipoweza kwenda mchana, nisiende pia usiku. Nikanyage pale waoga hawawezi. Nioneshe jeuri kwa shetani. Ninataka kushinda.
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nyimbo yako inagusa sana moyo wangu nimehangaika kwa mda mwingi hata jamii kuna kipindi nilihisi inanicheka namshuku mungu alinipa moyo wa ujasiri na kushinda walionidharau leo hii wanaheshimu heshima na utukufu kwako mungu😭😭😭😭😭🙏ni neema sikustahili kabisa
Wimbo huu umefanyika baraka kwangu aisee,sichoki kusikilizaa,,,nami nakusaluti,nakuimbia wimbooooo ewe Yesu,jina lako Mesaya,,,barikiwa kaka Ambwene
Ambwene my father nyimbo zako zinanibark san mungu akupe hitaj la moyo wako Amen
Hatimaye 3 years of waiting is over .... A blessed one
Mungu akubariki kaka Mungu nifundishe kuomba pia nifundishe kunena nifundishe kiasi nifundishe imani zaidi Mungu nipe moyo wa toba siku zote maishani mwangu
Endelea kupita kwangu ee Bwana sistahili#nistahilishe Bwana Yesu.
#nifundishe Imani na matendo
#nipe moyo wa toba.
Ambwene ukiimbaa namuona mungu uyuu apaa unaimbaji wa tofauti sana nyimbo zakoo nila pekee sana
Sijwahi acha kusikiliza nyimbo zako zinanibariki sana mungu akutunze sana ambwene wetu
Be bessed man of God,namshukuru Mungu kwa ajili yako.toka albamu ya kwanza hadi sasa kila nyimbo unayotoa inanikuta kwenye mapito na kupitia nyimbo hiyo navuka jaribu salama.aisee maneno yangu hayatoshi ila Mungu anajua kwa nini kakupa karama ya kuganga myoyo ya watu kupitia nyimbo zako.utukufu hata utukufu.amina.
This song is so powerful.....huu wimbo ni maombi kamili mbele za Mungu muumba wa mbingu na nchi.....nifundishe kuomba Yesu nitembee kwa Imani siku zangu zote hapa Duniani.Amen
Nimebarikiwa mno na huu mungu hili ombi langu nigundishe kuomba nipe moyo watoba
Kakaetu wa hekima.be blessed nisaidie nisiende kule nisikoweza kwenda mchana nisiende usiku neno lako linikataze...amen amen Mungu wetu akutunze
This song is a blessing....ni maombi yetu wengi sana tunataman Roho wa Mungu atufundishe mengi sanaa ..... ubarikiwe sana kwa kuimba our prayer points...Mungu aendelee kukutumia na kukupeleka viwango vya juu zaidi
Whoever reading this, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Amen
Amen
Amen
Amen
Amen 🙏
Ameen
Sijui ni namna gani unaandika nyimbo zako, ila yote katika yote Mungu apewe sifa sana kwaajili yako! Mungu akubariki sana sana sana!
Maneno yangu matendo yangu tabia yangu zifanane na hisia zako...nifundishe kuomba nifundishe kunena nifundishe imani ya matendo..nipe moyo wa tobaa..👏👏kaka Abwene Yesu akutunze sana Ubarikiwe na kuinuliwa zaid
Aise Tusipo sema Mbinguni tutaulizwa tu.
Mtumishi Abwene Mungu Wa Mbingu na Inchi hakubaliki sna Maana Na Jiisi Kubalikiwa Kupitia Wimbo Huu
MWENYEZI MUNGU na azidi kukubaliki . Wimbo mzuri sana👏👏👏
Mungu akubariki mpenzdwa ktk Kazi ya Bwana hii utendayo🙏🙏
Hili ni ombi langu nifundishe kuomba nifundishe kunena nifundishe kiasi nifundishe imani ya matendo nipe moyo wa toba. Barikiwa sana mtumishi
barikiwa Sana nyimbo hii imegusa maisha yngu ujumbe mzur
Wimbo huu daaa nakuta nalia nyimbo zako huwa ninanigusa sana🙌😭
Huu wimbo nilikua nausubiri jamani nikiusikia kwenye harus ya abwene kwa kias kidogo hatimaye leo huu apa Glory to God.🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Uwezae kunituliza wakati wa shida na matatizo 😭I'm blessed Kaka Ambwene Mungu akubariki sana. Sipati maneno mazur ya kuahkur Ila huduma yako Mungu aizidishe Mara elfu kupitia huduma yako Imani yangu inakua kila siku. Ubarikiwe mtumishi
Wimbo huu umenipandisha kiwango cha lmani, barikiwa sn brother ww ni fundi ,
Kaka Ambwene mi nasema Asante....Mungu umtumikiaye azidi kukupandisha kutoka utukufu Hadi utukufu. Mashairi ya wimbo huu yanatupa tafakari ya pekee...Mungu akubariki Kaka.
Nifundishe kuombaa🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥 miaka 13 ya Moto wa UAMSHO
kaka nilikungoja muda mrefu mpaka nikachoka.mungu akubariki nimepona tena.mimea bila maji inakauka kaka.mungu akubariki mnoo.
Hii nyimbo nimeirudia Mara 7 haishi uhondo uuwiii!!! Yesu ni mzuri haki
Sana tuu
I've been listening to this song all day long on, repeat...umekuwa ombi langu .Ubarikiwe Mtumishu🙏🙌
Ppl😅
Mungu akubariki sanaa mtumishi wa Mungu.....nikiimba nyimbo zako naona uwepo wa Mungu hakikaa.....
👏👏👏🙏 Wimbo mzuri umenibariki sana Mtumishi, Mungu azidi kuiinua huduma yako kwa viwango vya juu na akuongezee maarifa ya kimbingu.
Mungu naomba unipe moyo wa toba.Mimi si mkamilifu baba.Muda wote natamani moyo wangu uimbe wimbo huu.Mungu akubariki na kwa viwango vya juu zaidi akuinue mpakwa mafuta wa Bwana kaka Abwene.
Nahisi nguv za Mungu kwa kiwango cha juu ubarikiwe kaka
WIMBO HUU UNAPUMZI YA MUNGU WA MBINGU NA NCHI
BE BLESSED BROTHER!
Hongera sana kwakutoa wimbo mzuri
Sichoki kuskiliza unanibariki san
Yale nisiyoyaweza yasema hadharani, nisiyaseme Gizani🙌🙌🙌🔥
Kabisa
Kazi nzuri Kaka Ambwene... you never disappoint....Mungu akubariki sana
Nabarikiwa sana na nyimbo zako kaka mungu akubariki kwa mahubiri haya mazuri kupitia nyimbo big up brother
Mungu akubariki sana kaka nyimbo zako zina nguvu tele ya Mungu🙏🙏
Ubarikiwe sana mtu wa Mungu. nyimbo zako zinanibariki sana. uendelee kutumika kwaajili ya Kazi ya Mungu.
Mungu azidi kukutumia brother Ambwene
Mungu azidi kukupa macho ya Rohini mwaisa.nimesikiliza zaidi mara mia najikuta machozi yanatoka.Mungu anipe moyo wa maombi
Wimbo una ujumbe mzuri sana sijawahi kuona ninakuombea kwa Mungu wa mbinguni azidi kukutumia wewe pamoja na familia yako kwa viwango vya juu zaidi ili sisi sote tumfahamu Mungu zaidi. Mungu wa mbinguni akubariki wewe pamoja na uzao wako wote.
Nabarikiwa mno na nyimbo zako .....
Nifundish kuomb oooh Mungu wangu🙏🙏♥️
Moyo wa Toba ....Mungu akubariki Sana brother
Hongera sana kaka kwahatua uliyofikia Mtumishi kazizako nakufatilia sana Mungu Akubariki
Mungu akubalika Sana mtumishi nyimbo zako zinanibariki Sana
Mungu nifundushe kuomba mungu nifundishe kunena🙏🏻🙏🏻
NIPE MOYO WA TOBA 🙏🏻🙏🏻
Imani isioyumba ,imani iliokweli ,imani itendayo makuu hakika Kupitia uimbaji huu tunapata nguvu ya kusimama na kristo 🙏barikiwa mtumishi
This is my prayer Lord! Nifundishe kuomba siku zote.
MUNGU WANGU MANENO MAZITO.....................................................................
NENO LAKO LIKANIZUIA KUFANYA , NEEMA YAKO IKANIFANYA KUPAKUA CHAKULA TOFAUTI NA NJAA YANGU, KULE NISIKOWEZA KWENDA MCHANA NISAIDIE NISIENDE USIKU.
YALE NISIYOWEZA SEMA HADHARANI, NISISEME GIZINI. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 PLEASE GOD HAVE MERCY ON ME. BWANA NAOMBA NIFUNDISHE.
Mungu akubariki kaka akupandishe viwango hujawahi kutuangusha big up sana
Wimbo wenye sifa nyingi za Mungu. Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu Sana kaka.
Nifundishe kuomba, nifundishe kunena, nifundishe kiasi, nifundishe imani ya matendo...... Unipe moyo wa toba. Nami nakusaluti.... Nakuimbia wimbo. Ninapaza sauti..! Barikiwa Mtumishi.
🙏🙏 Mungu nifundishe kuomba, be blessed brother Ambwene
Asante Ambwene kwa wimbo wa baraka. Mungu akuinue, akupe haja ya moyo wako kwa mapenzi yake.
3 years huuu wimbo Tuanusubili Ubarikiwe sana Kaka wa Taifa
Kweli Mungu akuzidishie mara dufu mtumishi kwa uduma nzuri
Nifundishe kuomba Yesu. Nipe Imani ya Matendo. Nipe Kiasi Bwana
Ndan ya moyo wangu ninataka uish wewe bwana kwa wema 🙏🏼🙏🏼❤
Ladha mpya tumepewa kwa huu muondoko Safi ukiachana na ujumbe mzuri wa wimbo. Mungu ipe furaha familia yake.
To anyone reading this, May the Lord be your solid rock. May He be your refreshing fountain. May the Lord be with you always. May you rise and shine in Jesus Mighty Name. Amen.
Ameeen
Amen
Amen I receive 🙏
Amen 🙏
🙌🙌🙌🙌kila nikiskia huu wimbo naiskia saut ya mbubujiko wa kuomba ndani yng.Ubarkiwe mtumishi wa Mungu
Haujawah kukosea kwenye utunzi, Mungu aendelee kukutumiaa mtumishi wa Mungu... barikiwa sana
Ur blessed alot brother, ashukuriwe Mungu kwa kukuumba kwa ajili yetu hakika nafsi nying zinaongoka kwa kupitia nyimbo zako🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri mtumishi, Mungu azidi kukuinua🙏🏽 The wait is finally over🔥
Naomba niwekee imani yesu🙏🙏
Ombi langu Nifundishe kuomba.....ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kila nikiusikiliza huu wimbo nasikia kububujika moyoni , Mungu azidi kukutumia Mtumishi 🙏
Kila siku nyimbo zako nizatofauti na barikiwa Sanaa ameendelea kutuimalishaaa
Ehh Mungu nifundishe kuomba katika kweli yako 😭😭😭🤦🏽♀️ , barikiwa sana kaka angu na Mungu akizidishie karama hii ya uimbaji 🙏🏾
Bwana akuinue zaidi huu wimbo umenisogeza hatua kubwa Sana
Sisi huku Lusaka,zambia🇿🇲 we are saying may the God who started the good work in you, push you through till the end!,You are such a blessing to us and to this generation Mr Ambwene...#AsanteUbarikiwe🙌🙌😍❤
Nimebarikiwa nyimbo nzuri
Mungu akuinue utukufu Hadi utukufu uuuuuuuuuuuuuu barikiwaaaaa
Ujumbe mzur San, ubarikiwe kwa huduma njema
Kaka ambwene, Mungu azidi kukutumia. Ume baki mmoja kati ya wachache sana kama wewe usije ukatoka kwenye hao wachache. Mi binafsi naifurahia sana kazi yako, na nabarikiwa sana kupiti kazi Mungu aliyo weka ndani yako. Fanya kazi kaka ujira upo unatusubiri, simama na Bwana mpaka mwisho kama ulivyo weza kulishinda wimbi la umaarufu endelea kushinda kaka. Nakupenda.
Kaka ambwene nakuombea Hakika Mungu amewekeza kwako
Kweli Roho Mtakatifu atusaidie kutufundisha kuomba ipasavyo, maana ukikosea kuomba, huwezi pata majibu ya maombi yako kama atakavyo Mungu. Ubarikiwe kaka Ambwene kwa wimbo mzuri
All in all nikitembea nitembee na wewe Yesu...wewe hukai katkat maana wewe ni alpha na omega yaan mwanzo na mwisho🚶♀️🚶♀️
Mtumishi nyimbo zako zinafundisha na kutubariki Mungu aendelee kukulinda
Dah! Hili song lime simama sana back up wametisha sana
Barikiwa sana kaka ,wimbo mzuri Sana'a saana.,nilikuaga na utafuta mwee kumbe ulikuaga bado, sasa nimefurahiiii.
Barikiwa mno na kuzidi.
Mungu wa mbinguni akubariki mtumishi hii nyimbo inifungue na mim
Haya ni maombi kamili Amen napokea kufundishwa