Hapo wa bongo ndipo mnapofeli mnashindwa kuendeleza mandhari yaliyopo kwa wakati, huyo Dada aliyemsaidia Kim kwenye eps ya kwanza hakubeba begi Hilo na Wala hakujifunga kiremba kichwani jamaaan😅
Kim I'm your fans and I love you so much you can send this movies back to back 🎉🎉🎉❤ I'm from DRC congo 🇨🇩 but now I'm in sud afrique 🇿🇦 good nice one job 🎉🎉
Kim kim kim nimekuita mara 3 kutoka kwenye misteki mpaka kwenye pete tebanae bonge la move hongera mno zaidi ya sana nakukubari mungu akubariki uwe na avya njema nakundi lako pia nafamilia zenu❤❤❤❤❤❤
Huyo dada aliempokea Kim katudangny upnde wa mavaz maan wakt anmfwat Kim alkuwa hajvaa kofia wakt anaingia n Kim kwake kavaa zingatien props za continues
MashaAllah ❤ ila jitahidi kuongeza dakika Kim wangu
Sawa
@@Kimvevo256
Tuongezee dakika kidogo @@Kimvevo256
@@Kimvevo256omukerebhe wetu oghumile
🎉🎉
Congratulations Kim VEVO kwa hiii movies nzulii sanaaaa 😂😂😂🎉🎉🎉🎉
😅
Hapo wa bongo ndipo mnapofeli mnashindwa kuendeleza mandhari yaliyopo kwa wakati, huyo Dada aliyemsaidia Kim kwenye eps ya kwanza hakubeba begi Hilo na Wala hakujifunga kiremba kichwani jamaaan😅
😅
Yani mi pia nimeshanga begi halikuwa hilo wa hakuvaa kilemba wawe tu waangalifu
Nikweli mimi ndiomaana sizipendi move nyingi za bongo hazieleweki wanapenda kuruka vipande
Ni kwel mwenyew nimeshangaa kilemba na mkoba sio begi tena
Jini hilo uerew nn
Kim I'm your fans and I love you so much you can send this movies back to back 🎉🎉🎉❤ I'm from DRC congo 🇨🇩 but now I'm in sud afrique 🇿🇦 good nice one job 🎉🎉
Kim kazi yako nzuri Sana ❤❤❤🎉
❤❤
Move Kali umeweza kpnz
Much love from saudi 😢😢😂😂😂😂
Mko vzur kwa kweli ila mda nimchache sana kwa hio ongezen mda tafazalin
Kim movie looks nice.
Keep up momma
Ongeza dakika km nakukubali sana niko mpanda
KAZI nzuri Sana Kim vivo❤❤❤❤❤
From Moz 🇲🇿 Moçambique tunakupendaa Kim
zingatien muendelezo, uyu dada alikuwa hanabkofia sasa iv anakofia
Dakika ni chache mno,mjitahidi kuongeza dakika
Kazi nzuri sn 👌🌹💐 Kim,but ongeza dakika basi
Mafunxo mazuri ilah mda n mchache xna,,,hongera xna🎉🎉🎉🎉
From🇰🇪 series Iko 🔥🔥 big up kim
Filam nzuli sn alakin mbon Dakika nindogo san😢😢😢 tupe mambo jmen
Namba 1
Nic❤ nwapenda mimi natoka Bujumbura 🇧🇮 1:05
Kim ❤❤❤❤congratulations
❤❤❤
😂😂❤ KAZI nzuri ❤❤
Kim nakupenda sana isee, Kama upo single naomba nikupate
Nakukubali sana kwenye background sound
Keep it up sis. Kazi nzuri sana utuongezee dakika pls
I like this movie ❤
Much love from Kenya 🇰🇪
❤❤❤❤ sema tatizo dakika chache sana
Kaambiwa apike ugari na samak lkn naona wali😅😅😅😅😅
Très bien kim kutoka congo
Kim love you ❤️❤️ FRom mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Ongera sana Kim wangu
Kimu nakufatiliya kutoka Congo 🇨🇩 naomba zakwangu,❣️❣️
Kazi nzuri kim jitahidi kuongeza mda tu
Kim vevo wewe ndowangu nakupenda kwakazinjuri ongera sana❤
Kim kim kim nimekuita mara 3 kutoka kwenye misteki mpaka kwenye pete tebanae bonge la move hongera mno zaidi ya sana nakukubari mungu akubariki uwe na avya njema nakundi lako pia nafamilia zenu❤❤❤❤❤❤
Huyo dada aliempokea Kim katudangny upnde wa mavaz maan wakt anmfwat Kim alkuwa hajvaa kofia wakt anaingia n Kim kwake kavaa zingatien props za continues
Kazi nzur kimu vevo
Kufuli nayo uliwahi kuimaliza kungali mapema ❤❤❤ napenda kufatilia movie zako congrats
Mutuongeze wakati kabx ❤
GOD bless you my dear ❤
Much love from kenya ❤❤❤
Tunakatala kutuchelewesha mshangazi😅😅😅
Kim umeambiwa upike ugali samaki kachumbari unapka ugali samaki wa mchuzi😂😂😂
😅
kim umenifulahisha sana pete bwana
Kim ungeza dakika please 🙏🙏🙏 ❤️❤️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Insalah Nimeipenda♠♤
Kazi nzuri Kim vevo🇹🇿
Hongera da kim kaz nzr mzenj ap❤❤
Nakupenda bure Kim
Jamani kazi nzuli ongeleni dakika 😅😅😅
😅
Kim anafanya kazi Vzr sana nakupongeza Sana ❤❤❤❤ ongeza dakika Kim tunakupenda sana tuletee epsode ya 3 haraka
Unajitaid sna ongeza juhudi
Kim wang unakuja motooo nakupenda bureee
Kazi zuri kim lakini tu na kuomba isi tukate tena utamu kama ile pete ingine ilio tuonesha bahilam kazi jema kwako🎉🎉🎉🎉🎉
🎉
Picha nzur lakin dakika chache jaman waongeze
Ii nikali kabisa clam
Woow ni nzuri sana next plz 🎉🎉🎉❤
Zingatia dakika my dear kim😊😊
Kim kim kim.tafadhali tuongezee muda tafadhali🎉❤❤❤
Da Lizzy,,Mungu azidi kukuinua hadi viwango vya juu
Good job next pleaz
Courage Kim🇨🇩,,jipambanie mwanangu
Ongeza dakika hizi ni kdgo please 😂
Nice Kim Big up sana kwa kazi nzuri
Ndo dakika kumi tu mweee Da Kim jaman 😢
Kim jameni angalau njoo Kenya mkashuti movie uko poa sana akujaliye karima
Mungu akupe wepesi uenderee kufanya vizuri zaidi
Kazi njema
Kim huu wimbo wa kwenye hyo film ya pete nikitaka download naipata kwa jna gan
Heko kwako na team nzima dada kim🎉🎉🎉# mama karobo OG ndani ya mjengo❤
epi to epii❤
salute kubwa
Wakwanza leo
Asanti kwa kuwa wakwanza endelea hivyo
Wapili
Kim hii ni moto wakuotea mbali 🔥🔥🔥🎉🎉❤❤
Kali sna wallah
Jmni dada kim ongeza dakika bhna unatuboa mashbiki zako
Kali sana
Naomba kuuliza mwinyi ivi awowachawi wenyewe waukweli awawapitiagi kwenye maisha yakawaida namanisha kwakuwapongeza au kuwakejeli naomba Kujuwa kamazinawakuta changamoto kamaizo
Jamani kila siku nakua wa mwisho from mozambique 🇲🇿
Safi sana kim🎉🎉🎉
Mashallah❤❤❤
Mbona yaenda Kasi ivi
Jamani ongezeni dk
Dada Pete muzuri San 🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂
Hako ka mziki dah ❤❤❤
🎉🎉❤❤♥️🔥🔥🔥🥰
Mayu kim kinahe tudakika tudogo sana 😅
Mashallah movie nzur ❤❤❤
Hongera kim
Wew noma
Movie zuri sana lakini dakika uongeza jamani
50 mnts🇲🇿
❤❤🇰🇪🇰🇪
Kim ndo dakika 10 kweli
Shemj mwnyew anokujaga kujaga sku moja moja na kuondoka ni mm kim 😂
Mama karobo original mzuri
Masharwaaaaa❤❤❤❤❤
Mama karobo Og na pete