Ujue Stan anamtangaza sana ney wamitego iwe ni positive au negative ni kumtangaza siku hizi tena ukisemwa vibaya ndio watu wanakufatilia Stan ume waza mbali sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣stan bakora unafanya nicheke Sana Ila yote kwa yote ney usimaindi tambua hii nikama masiala tu jamaa naona anafanya so twakupenda pia ney true boy big up 💪 pigakazi brother ninachokiamini mm nikwamba kilamziki unawapenzi wake ndomana mpaka Leo hii huohuo mziki ndo umekufikisha hapo ulipo sasaivi so Dua nyingi brother mziki wako bado unaishi mtaani 💪💪
Napenda vile Stan anamfanyia promo nay
Msicho kijua Stan na nay ni wa2 wa Karib sanaa anacho kifanya anakijua
Stan bakora UNAJUA KAKA NIMECHEKA SANA WATU WENGINE HAWAWEZI KUELEWA NIN UNAFANYA 😂😂😂💯💯
Kumbe nawee mjinga mpaka huko
Nilicho gundua Stan nishabiki namba 1 wa Ney na anakubali sana tungo za Ney ila ni friend style yao tu.
Kabisa nilikuwa naja hapo kwa kayumba ❤❤
stan unalo wenge sana chaliangu but i like it ney hakuwezi kichaa wangu
Kwaiyo nduguyo wa hovyo?😂😂CONTENT IPO SAWA🔥🔥🔥Oi umeweza sana....🇰🇪n watchin from 🇶🇦
Kwani hao ni ndugu?
We ni fr tyu wajina ukosea juwa kichwa Cha wimbo Alf sema we nikama demu
Content nzuri sana huwa napenda sana unavyo promote kazi za msela wako Ney... Keep it up
Leo Stan usikatishe mitaa ya manzese 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe ndo. Wa ovyo paka wewe
🤔🤔😂😂
Ndugu hao
😂😂😂😂
Yani huu jama mavi mara zotee nakosa nisemeje ila wee wee mavituuu nay kingi wee sepa zako kudadenya zako
Naziona love 2 kati yao 😂😂😂😂❤
😂😂😂😂Stan ww uraryohera cane ndatwemze ndahwera
Stan bhana noma sana ila kweli mkali wa ovyo
Nay all the way... Na venye unamchambua unamaanisha unaskia ngoma zake kama zote!! Nay anatega kutega. We uko tu na machungu
🤣🤣🤣🤣🤣ujue Stan akili yako unaijua mwenyew
😂😂😂😂😂 akiii nimecheka🤣🤣🤣🤣
😁😁😁😁 ❤️ nay.nina mkubalii Sanaa wewe wata ka kiki
maswaiba hao😂😂😂
Stan bakora umeiva nakukubali sanaaaa#msalmie gitale watu pori #
Ney is the best Rais wa kitaa
😀😀😀 we unamuita nay wa ovyo pindi umebeba sura yake 😀😀😀
Nimecheka sijategemea dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukinichiti nami nakuchit pia🤣🤣🤣🤣
Wagiriki tumeelewa unacho maanisha bro, good Idea ktk presentation. Wasikilizaji wamefurahi na Nay nae anapata followers. Hapa kuna shida Gani sasa.
Ujue Stan anamtangaza sana ney wamitego iwe ni positive au negative ni kumtangaza siku hizi tena ukisemwa vibaya ndio watu wanakufatilia Stan ume waza mbali sana
Ati katoe mtu kafara😂😂 daah Nay
Mbona series ya binadamu amtoi
Nikisema wewe nimdogo wake naye watu hawabish,,kila kitu mpo sawa🔥🔥
Hahahaha stan wewe mda mwengine unachekesha sana, mda mwengine pia unasema ukweli
Kwaiy Ney mzikiwake niwamchongo
We ndo wahovyo kweli ney useme wahovyo
Mimi namkubali Sana ney maana husema ukweli shida huwa anakuchoma
Apo mwisho Ney hana shukrani kwa wazazi wake kweli Stan we wa hovyo
😂😂😂😂 Stan nomah
From Kenya tunasema mind your business.... Nay wa mitego the best. Nenda usikie vibaya na hukooo....😂
Ukiona Mambo hayaendi mtoe mtu kafara, nisaidieni haya maneno yapo kwenye wimbo gani
Hakika kampende mamako huyo ndio anajua uchungu wako ney yuko sawa
We mtoto msenge😀😀😀
Nay ni mtetezi wa wanyonge
Kwani nay wa mitego sio wewe 😂
Uyu ni stan ila saut tu zina fanana
Sio yeye huyo ni kichwa kibov anaitwa stan bakora ndio wale wanaoeki sauti ya bwakila na mkude simba kama ulishawai skia 😂😂😂😂
Nmecheka kinoma😂😂😂😂
Akili huna stan na unajipendekeza kwa mama
Leo ukipita manzese una sisi 😂😂😂😂
Ww kwenda huna hasira katika kazi Kuna nyimbo za uharakati ww Bado uko katika kundi ya chawa kama chawa wengine nyimbo nyingi hapa duniani
Steve bakora nice content 🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪
👊kirotopo Kuna vitu unavifanya kiufara sana kama hii
Stan bakora na ney ni washkaji 🤣🤣🤣
Kyeeeee brother tunajua Nay nimakapitupu but hatusemi cs watakuja kukuvunja mbavu 🤣🤣🤣🤣🤣
Xemaa mm sikatai ni kaziii
Mr Boom was here
Fanya kazi yako mbona wemwenyewe wa hiyo tyu
Hizo kiki wewe🎉
Stan wee ni fala sana mtoto asee
Acha usengee wew
Sasa hio ya mwana fa mbona mumeikatisha pale alipowai kusema neno matako mwanzo kabisa et matako mh waziri bhna🤣🤣🤣
hapa mjin bwana vipind vinafanana
Bby bby I lv u.. kapende mamako😂
Nyie watani tena😂 washikaji
😂😂😂😂Stan avyo ongea kweli kbx❤
Raïs wakitaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Acha ushamba kuongelea maisha ya mwenzio
Wajuana awo❤
Utapigwaaa 😅
Mwanae sana amna shida qta
Mwnae hyo
Nay si ni Bro wako kabisa
Hawa jamaa wana kautan fulan bwan🤣🤣
Kipind kipo pw san
Stan mbingun uendi😂😂😂
kwanza wewe sikujuwe ata kidogo Congo tuna jua ney tu no Rapa wa kwanza Tz na rostam
Stan ww 🤣🤣🤣 utapigwaaa aki 🤣🤣🤣
😂😂😂we maku niniii😂
Acha masihara na raisi wa kitaa
Nimecheka mnooo 😂😂
asha Ney sio mwezenu,apigi mapenzi ni mutetezi wa kita
🤣🤣🤣 uwez mjua shoga wakat wewe siyo shoga so we stan pita huku
Wanajuana hao msiingilie
Kweli kabisa
Stan ww ni kijana wa hovyo
Wendo wa ovyo fala wewe ukimsema ny umesema taifa
Kumpenda mamako!!!
mbona nyimbo ya fa haija anzia penyewe pale kua pesa siyo matako Kila mtu anayo
Sawa tumekuelewa unatetea nana wa nini wey😢
Hatutaki kubembelezwa haha😅
Nomaa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣stan bakora unafanya nicheke Sana Ila yote kwa yote ney usimaindi tambua hii nikama masiala tu jamaa naona anafanya so twakupenda pia ney true boy big up 💪 pigakazi brother ninachokiamini mm nikwamba kilamziki unawapenzi wake ndomana mpaka Leo hii huohuo mziki ndo umekufikisha hapo ulipo sasaivi so Dua nyingi brother mziki wako bado unaishi mtaani 💪💪
Stan wewe so mzima nimecheka kishezi
Stan na ney ni malafika 😂
Raisi wakitaaa ni mtu mmoja mzuri snaa ye ni mtetezi wa wanyonge ndomana wengi wnu amumkubali t🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Hawa ni marafiki. Wanajuana.
Ila bongo stan amesema mm nipo "honesti" afu kuna mtu kamrekebisha kasema upo "hanesti"😂😂😂
😁 jamani stany yo so funny dude
Stani bakora achazakishoga wewe ndio wewe
Wanajuana hawa.
We boya sana u
Nay fundi sanaaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 unalo Hilo
Dram coming, someone tag me when nay responds.
ndugu yake uyo
Achana na laisi wakita
Umemchonga poa sana 😂😂
Fala hili😂😂😂🤣
Stan ni mkweli 😅😅😅
Achan unafki nyee
Pumbafu unatafuta content na Nay utapigwaaaaa
Wanajua wenyew ni mtani wake😅😅😅😅
Umechangamsha kipindi hadi Raha an