TAARIFA RASMI YA MASHINDANO CHINI YA SHEIKH KISHKI, JE YAPO JE YATAFANYIKA WAPI? WANAONA NAPIGA PESA
Вставка
- Опубліковано 5 лют 2025
- Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
UA-cam: / @khidmaonlinetv350
Allah akupe afya njema shekhe kishki na akupe mwisho mwema na akuingize ktk pepo ya jannat fildausi🤲
ALLAH akupe maisha malefu na Pepo ya filidas na akupe kitabu chako Kwa mkono wa kulia lnshaallah
ALLAH akuhifadhi sheikh kishki,unafanya kazi kubwa
Aamiin
Naaaaaaaam dats ma Sheikh 💪Masha Allah, tabaarakallah , hana longolong wala mbambamba kama ni njia bac ilonyook isiyo na vichochoro, big up sana Sheikh, hatuna shaka na ww tunakukubal sana
Allah akuhifadhi wew na sisi sote inshallah.
Masha Allah Allah akuifadhi na kila shari shekhe wetu
Namuomba Allah atufikishe tukiwa na siha na afya nzuri shekh Nurudin Kishki kwa hakika wenye kukuelewa unatupa burudani ya moyo Allah akutunzie mema yako ktk mizani ya hasanati
Natanan niwepo namkubal sana sheikh kishk Allah akuhifadh wew na familia Yako nakupenda kwa ajil ya Allah
Mashaallha shekh wetu mungu akupe umli mrefu ❤❤
ALLAH KARIM. awatangulie kwa kila JAMBO la KHEERY INSHAALLAH.
Shekh wetu hata ukipata pesA ni haki Yako shekh wetu mashaaAllah
Mash Allah tabarak Allah shelkh Allah akuhifadh in shaa Allah Amiin Amiin Amiin
Waambie na hao watoa haki watoe haki wasisababishe matatizo lnsha Allah kheir
Shekh hata ukichukua mungu atakusamehe unafnya mengi mazur, kwanza leo umenifurahosha sana kuunganosha waislaam
Mash Allah
Wapo wapiga pesa za dini
Siyo wewe ALLAH akuhifadhi
Sheikh Mti wa Matunda lazima upigwe mawe,hivyo mengi yatasemwa ila uyafanyayo ni makubwa Allaah akulipe na akulinde na shari zao
Wallah tunaokupenda sote hatuna dhana mbaya na wewe hata moja
Wanye dhana mbaya na wewe ni wale wenye kisokolokwinyo
Wanachoyo hao ,Allah atuongoze
Hakuna kurudi nyuma, wanataka kukuvunja Moyo. Pambana Kwa ajili ya Allah
Hawana ujanja wakumkata nguvu huyo kishateuliwa na Allah
Allah amtangulie
Unajuwa shekh wetu nuridn kishk waislam wajinga wnakuonea wivu we fanya kwa ajili ya Allah hao ,mashetan ambao hawapend Kaz kubwa unayoifanya Allah awalan kabsaaa,,
Hata kama wanakuzushia sio vizuri kuapa hivyo; kwamba motoni milele
mahizbi mmeovuruga dini mno!!hivi hayo mashindano ya qur'an yana faida gani?kuwaweka mabinti wazi hadharani na kusikilizisha watu ajinabi sauti zao??
Visokorokinyo hivyo, kwani hata ukipata hiyo pesa ni haramu? Wafanya kazi, na wao pia waupige mwingi